Usikumbuke uovu wangu Bwana,rehema zako nazihitaji.ujana wangu umekuwa wa uovu mwingi sana Baba naomba usikumbuke,nioshe na Unitakase kwa Damu ya Yesu AMEN 🙏 2024 mpoooo
@mrsmile24202 ай бұрын
"Mimi naam, mimi ndimi niyafutayo makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe wala sitazikumbuka dhambi zako" Isaya 43:25
@aruaamon140911 жыл бұрын
Dada jane...hii nyimbo inagusa sana. Si kwa uwezo wako tu. Nadhani wakati unaandika wimbo huu roho mtakatifu alikua amekufunika kabisa. Umeleta ujumbe ambao sisi sote tunauhitaji sana. Ubarikiwe sana dada.
@jamsnoel97326 жыл бұрын
Ubarikiwa sana mam wimbo huu ume nigusa sana
@edinageorge64016 жыл бұрын
Amina
@vivianikiria1435 жыл бұрын
Abjljljlj7dmm Non existent ruzknmjjanàbbnnbnnbnnbnhbb bbba Amon axSxxhàmS. .gjtjbmjljljmabja
@johnkalage29143 жыл бұрын
Hakika
@naomiiantonio37313 жыл бұрын
Amina
@elizabethsanga407610 ай бұрын
Nyimbo nzuri mno i like it
@jillianlovie40845 жыл бұрын
Nyimbo zinazoishi ndani yetu mpaka Sasa.. YESU usikumbuke uovu wangu Wala wa wazazi wangu.. tazama walibeba mimba yangu hatiani.. Nisamehe wasamehe YESU Nakupenda na sijaona wakumpenda zaidi yako
@magynzioka11225 жыл бұрын
2019 bado namwambia uyu.MUNGU asikumbuke maovu yangu nimemkueda maovu mengi mimi usikumbuke nisamehe
@maryannemuumbi68515 жыл бұрын
2020
@maclynnyamusiАй бұрын
I'm back again in 2024. This song is a blessing 🙌 God bless you Jane
@lindakabogo1858 Жыл бұрын
God has a reason why I came across this song.... Mungu usikumbuke maovu yangu...nisamehe!
@goodluckleonard15813 жыл бұрын
Petro Akasema Ondoka kwangu Ee Bwana Mimi ni mwenye dhambi, lakini Yesu anamuambia usiogope tangu Sasa utakua mvuvi wa watu.
@emmycharles84634 жыл бұрын
Usikumbe uovu wetu baba tumekutenda uovu mwingi afrika yote Jehova tusamehe baba tuepushe na gonjwa hili lililoikumba dunia yote
@estherwanjiru69915 жыл бұрын
Nisamehe baba nakuomba, nahitaji rehema zako yesu...
@graceglory30385 жыл бұрын
Usikumbuke uovu wangu mimi rehema zako naziitaji nimekutenda uovu mwengi mimi nisamehe baba usikumuke good songs 🇧🇮🇧🇮
@agathadenis32074 жыл бұрын
Usikumbuke baba nisamehe mm mwenye dhambi nimetenda dhambi mbele ya macho yako nisamehe yesuu bado nahitaj rehema zako😭🙏🙏🙏
Daaa Huu wimbo jmn unakufanya uwe ndani ya uwepo wa Mungu,usikumbuke uovu wangu Mungu rehema zako nazihotaji!!
@winifridalaswai1921 Жыл бұрын
#2023 Bado NAMPENDA YESU 😭😭😭😭😭😭😭🙏
@esperanceuwimana1765 Жыл бұрын
This song never gets old
@giftgodson56035 жыл бұрын
2020 January Yesu usikumbuke uovu wangu
@marggywilliams8925 Жыл бұрын
2023, what an inspiration may GOD bless you sister
@euniceeunice76805 жыл бұрын
Usikumbuke baba maana zambi zngu ni chafu azielezeki baba usikumbuke samehe mimi damu yko inikomboe....nimekutenda uovu mwingi mimi 😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
@hopenrejoice99453 жыл бұрын
Rehema zako baba yangu ...
@chrissmichaelmashouda17264 жыл бұрын
Amina Amina asikumbuke uovu wa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Bali aangalie ukuu wa jina lake na rehema zake.....
@mutiramaimush60335 жыл бұрын
Usikumbuke uovu wangu Babaa,,i really love this song
@shedrackdaudi34035 жыл бұрын
Samehe baba nce song nan anaskilza 2019 november gong lke
@owennikata33785 жыл бұрын
usikumbe uovu wang
@felistapanga23875 жыл бұрын
Nisamehe mungu wangu nimekutenda dhambi naomba toba na rehema mungu wangu
@goodlucktemu31495 жыл бұрын
am watch from africa tanzania🇹🇿 , AMEN🙏
@paulamani39364 жыл бұрын
The door of Mercy is always open. I believe that
@SamsonMadagaa-n9c24 күн бұрын
Usikumbuke uovu wangu ujana wangu imekua wa uovu naomba nianze mwaka na njia zako nikawe kumbe kipya kinacho patikana kwa maombi kinalindwa na maombi😭😭😭😭😭😭
@rodasyengo40562 жыл бұрын
Mungu akuzidishie miaka hii wimbo wako wanguza sana
@marymauya92075 жыл бұрын
Usikumbuke uovu wangu mm rehema zako nazihitaji,nimekutenda uovu mwingi nisamehe mungu usikumbuke.
@phyemu21355 жыл бұрын
Its good be blessed
@christinachriss92313 ай бұрын
Am here today Mungu wa mbinguni naomba Rehema yako
@kassebo2 жыл бұрын
Mtumishi unakarama kubwa sanaaaaaa yakuwavuta watu kuja kwa Yesu kristo wanazareti aaaameeeee
@gracemkanta7382 жыл бұрын
Nyimbo ni injili, na injili inaishi milele, huu wimbo ni wa miaka mingi ila leo ni siku yangu ya kuguswa nao kwa namna ya tofauti kabisa, Barikiwa sana dada Jane !
@leaherasto9292 жыл бұрын
Mungu usikumbuke uovu wangu ee Bwana nimekutenda uovu mwingi samehe baba usikumbuke 🙏
Usikumbuke uwovu wangu Baba nimekutenda dhambi mbele ya macho yako ninazihitaji rehema zako kwenye maisha yangu 🥺🙏🙏Yesu nakuitaji uniokoe
@emmyjohn39706 жыл бұрын
Usikumbuke uovu wangu..Rehema zako nazihitaji...strong song.be blessed..Put your like if we together
@shemoketch89015 жыл бұрын
May the Lord's name be praised
@norankya31767 жыл бұрын
usikumbuke uovu wangu mimi rehema zako nazihitaji Ee Mungu wangu
@isaacsore51084 жыл бұрын
This song has touched me, Lord usikumbuke uovu wangu pia
@selemansamwel70805 жыл бұрын
Mungu nimekutenda uovu mwingi sasa naomba unisamehe/unioshe kwa damu ya mwanao Yesu Kristo na usiukumbuke, Roho wa Mungu chukua maisha yangu leo uyatawale. Amina.
@tinaanthony24915 жыл бұрын
Amen
@isabelmazik41532 жыл бұрын
Miaka mingi imepita toka wimbo huu uimbwe lakin unanibariki Sana,Amen
@nicholaskamadi77743 жыл бұрын
I listened this song every day.naomba unikumbe kwa maombi.coz I need salvation army to me my siz
@williammloha8935 жыл бұрын
hakika wimbo huu ni baraka sana kwangu na kwa wengine pia bila shaka. barikiwa sana mtumishi
@lizymavuko38135 жыл бұрын
Amiin dada Jenny, Mungu uckumbuke uovu wngu mm naomba unisamehe mm
@ssmburujohn51864 жыл бұрын
Dah huu wimbo umenifanya nitokwe machozi..,mungu usikumbuke uovu wangu tafadahr
@veronikafredrick16248 жыл бұрын
Naupenda sina huu wimbo umekuwa baraka kwangu
@cyprianmallya46705 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Kilanaposikiliza nyimbo hii huwanajisikiahuzuni kubwasana moyon mwangu. Wanadamu tumejisahau sana kwa uwepo wa Mungu nakuyakataa yote yaliyomema kwa Bwana Mungu wetu. Tumekuakimbiliyo kwa shetan nakuyaweka maisha yetu rehan jehanamu. Niwajibu kwakila mwenyekujitambua nakumrudia Muumba wetu
One of my favorite song, all my life. Usikumbuke uovu wangu Mimi James
@severinaseverinanyoni7073 жыл бұрын
Nyimbo nimeitafuta sana hii asant leo nimeiona jina ndio nilisahau Mungu akubalik mtumishi
@gracemihayo94163 жыл бұрын
2021 as we are in the 3rd day of prayer to our country , Tanzania , Jesus have merch on our sins , come Holy spirt . Amen
@violahjay18067 жыл бұрын
usikumbuke uovu wangu mm rehema zako nazihitajii nimekutenda uovu mwingiii mimii nisamehe baba usikumbukee
@florahelisha15945 жыл бұрын
Huu wimbo kwa kweli huwa unanigusa moyoni mwangu siuchoki kabisaaa ubarikiwe sana
@evafilipatali15432 жыл бұрын
Mungu akubariki dada jane huu wimbo nilikua nauskiliza nikiwa arusha nimetoka kuokoka nilimuona mungu maishani mungu nanaendelea kuusikiliza mungu akubariki
@mkanotimmass4691 Жыл бұрын
Dada Jane Kila nisikilizapo wimbo huu nabarikiwa sana .ubarikiwe
@paulkanda33506 жыл бұрын
What a humbling way of repenting and confessing ones' sins. Glory to God.
@newdream63405 жыл бұрын
Usikumbuke uovu wangu mimi ,nirehem mungu wangu 🙏
@Loveseche4 жыл бұрын
Nasikia kuyeyuka jaman huyu Mungu acheni aitwe Mungu... uovu wote nnao mtenda mabaya yangu ni mengi ila sichoki kuomba anisamehe na kusahau, amenitendea mengi mazuri yaan huyu Mungu kweli ni wa rehema. Endelea kunisamehe baba wewe ndio mwanzo mwisho kwangu sina mwingine wa kumkimbilia
@shilqueendarlyne63854 жыл бұрын
Usikumbuke Mungu nahitaji Rehema zako nazihitaji mno😭🙏
@pendongaserevaa2024 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi huu wimbo unagusa sana kwakweli barikiwa
@crismandaatandiza13254 жыл бұрын
One of song best
@annamrindoko186111 жыл бұрын
Mungu akubariki Jane Misso.Wimbo huu ni ibada tosha.Hongera kwa ufunuo huu.Nakutia moyo kuzidi kumtafuta Mungu ili nyimbo zako zizidi kuwaleta ndugu zetu mahali pa kumwamini Bwana Yesu kwa kumfanya kuwa Bwana na Mwokozi katika maisha yao.
@sylviajoseph88866 жыл бұрын
Mungu akubariki Jane miso kwa wimbo mzurii roho wa bwana awe nawe
@lusajomwakalinga13745 жыл бұрын
Anna Mrindoko we acha tu
@jamesnkinda30125 жыл бұрын
Sylvia Joseph amen 🙏🏾
@4stars7113 жыл бұрын
Nyimbo ina ujumbe mzuri ..ni vyema kutubu dhambi zetu siku zote za uhai wetu
@mercyadija81544 жыл бұрын
In love with this wonderful song .
@erastozephania13025 жыл бұрын
Mkono was mungu unauwezo ,,,nabarikiwa xaana na huu wimbo
@kikotikikoti71763 жыл бұрын
Eee Mungu baba wa mbinguni unisamehe maovu yangu yote ameeeni;;
@eddakayuni54365 жыл бұрын
I love this song! God bless u mom! Tuyaepuke yaliyo chukizo kwa Mungu! Tuhurumie Baba
@eliascharles80904 жыл бұрын
Dada Mungu aendelee kukuinua wimbo umenibaliki sana
@rodasyengo40562 жыл бұрын
This song they usually bless me
@paulina.kivuyo1665 жыл бұрын
Usikumbuke uovu wangu Mungu
@anithakivamba45125 жыл бұрын
powerful song aiseee.....baba usikumbuke uovu wanguu😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@smartzipbusia34444 жыл бұрын
Yes Lord Jesus change my 💓 of stone into ❤️ of flesh n forgive me Lord. I need u. Help me Lord. Am stuck n confused. Thank u Lord Jesus 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.
@anethmalongo67546 жыл бұрын
Hakika ni wimbo mzuri unabariki sana hongera dada janne misso Mungu aendelee kutumika ndani mwako👏👏👏
@RodaStephano9 ай бұрын
Mungu akubariki na akuinue Kwa hii huduma ya uimbaji dada😢
@michelinnyongesa556810 жыл бұрын
This song leads you to repentance every time you listen to it. GBU my dear, an awesome song.
@mildredlucy98035 жыл бұрын
Actually I have sinned against you Lord,forgive me God.i am more than sorry
Ee Mungu unipendaye,usikumbuke uovu wangu,nisamehe mabaya yote niliyokutenda
@pennygibson86724 жыл бұрын
Usikumbuke uovu wa nchi yangu Tusamehe Turehemu Usikumbuke😭
@gladwambura72505 жыл бұрын
Wimbo huu unibariki xana!
@paulineotinga33644 жыл бұрын
I love this version more than the remix. It's a repentance song. I love it.
@bernadethahassanmkandya868 жыл бұрын
Jane miso this is powerful and very inspiring! keep up an sky is the limit! Bwana Yesu akutunze mtumishi ktk huduma hii kwa ajili ya utukufu wake!
@mbalejohnlubale13485 жыл бұрын
Ee mungu wasamehe watu maovu yao kupitia huu wimbo wa mtumishi wako Jane misso
@michelleryan612210 жыл бұрын
When i listen to this song. I regret every minute of my life.. its so inspiring.. LORD YOU ARE WONDERFUL.
@lucymuchomba24846 жыл бұрын
Ooh God, usikumbuke uovu wangu, nimekutenda uovu mwingi baba usikumbuke, Nahitaji rehema zako... Very touching song, it's my every day song... Be blessed