Ainuliwe bwana wa mabwana utaenda mema 🙌🙌💃💃🕺🕺🎼🔊🎤🎸🎷🎧🥁👏
@mpayakamara50283 ай бұрын
Hakika Bwana wa mabwana Ametenda mema. Sifa na utukufu tumrudishie Yeye.
@findpartner13144 жыл бұрын
Hallelujah 2020 nani uko ndani ya yesu nami 👋🏻👋🏻👋🏻👋🏻💃💃💃🕺🕺🎺🎺🎹🎹🎷🎷👏👏🎧🎧🎤🎤
@carolinaadolf69552 жыл бұрын
Happy Sunday 😊 21 November 2021. I'm blessed
@carolinevitute20992 жыл бұрын
For sure jane your songs are always a blessing to me. Keep it up sister.
@dotosaloon98272 жыл бұрын
Hakika ainuliwe Mungu wa mbinguni kwa mambo makubwa aliyotenda maishani mwaangu.
@dotosaloon98272 жыл бұрын
Uinuliwe Bwana wa Bwana umetenda mema kwenye maisha yangu.
@emanuel3215 Жыл бұрын
Hakika.amasitahili.Mungu.wetu,,.mbarikiwe
@ladybilionaire3797 жыл бұрын
Asante saana kwa kuangalia na kubarikiwa nyimbo zangu Mungu awabariki sana kwa maombi yenu endelea kuangalia nyimbo zingine mpya kabisaa kama vile Jane Misso Mwinamila, Mungu usieshindwa, Nauendea msalaba, Usikumbuke uovu wangu remix, na kuna zingine mpya naweka sio mda mrefu kama Nuru imekuja, Malunde, Mambo yamebadilika, Haleluya kuna nguvu imeshuka kwangu na zingine nyingi karibuni
@faithfaith47826 жыл бұрын
Lady Bilionaire uinuliwe njuu Bwana 3, hallelujah faith
@faithfaith47826 жыл бұрын
Lady Bilionaire vyema dada Jane naendelea kubarikiwa nkiwa sehemu za Qatar ,I feel at home Thanks sister God bless you faith
@saidalmasi32935 жыл бұрын
Lady Bilio
@gladyshabel84424 жыл бұрын
Wimbo huu hunifariji sana
@agathadenis32074 жыл бұрын
Amen
@faithkaykay5 жыл бұрын
Kumbe mwenye huu WIMBO Ni wewe mama ,oooh my God
@fidelismutolo15455 жыл бұрын
Kwa kweli mungu ni wa kuinuliwa mama Jane unanibariki sana kwa nyimbo zako God bless you so much mum for your humbled heart before the Lord
@evamwakahesya36985 жыл бұрын
Kwa kweli huu wimbo unaubariki moyo wangu sana, be blessed momy
@mbithejustus2465 жыл бұрын
Wadada please funikeni kufua vizuri,, ni kusifu Mungu sio show
Have never known kwamba this song belongs to jane misso! am blessed through the song
@zachariangassa33965 жыл бұрын
Ubalikiwe sana nimeskiliza wimbo huu nimebalikiwa sana mungu akubalikisana mtumishi wa mungu
@neemanyagawa44205 жыл бұрын
Halelujah Uinuliwe BWANA WA MAJESHI.
@rinatar80516 жыл бұрын
Barikiwa Sana Dada Misso nice song mm nakukubari Sana Kwanza kwa mavazi pamoja na sauti yako God be with you
@mwasuma409 жыл бұрын
Asante sana kwa huu wimbo,unanikumbusha wakati wa machozi yangu lakini Mungu kweli ainuliwe ,barikiwa sana mama na Mungu akuzidishie
@paolomaldini34184 жыл бұрын
Mungu akuinue na akupiganie
@beatricemakanga69563 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada huu wimbo umenkuza.
@adtvhjnjkivvfw51 Жыл бұрын
Nakupenda sana jane
@margaretmburu52716 жыл бұрын
Hakika uinuliwe bwana Wa majenzi. Ubarikiwe dada Jane . Ninakukaribisha hapa Atlanta Ga USA.
@peresheisig30335 жыл бұрын
Hi i like your Songs they are a blessing to me and those who are listening to them like me its wonderful God bless you so much and Continue to Sing God bless you
@judithwavinya87123 жыл бұрын
2021 na bado tunamuinua ametenda
@peresheisig30335 жыл бұрын
Asante Sana kwa hi wimbo zuru Sana ubarikiwe na Mungu
@bradybradley10286 жыл бұрын
Be blessed, acha Mungu aendelee kukubariki dada
@justerdeus77905 жыл бұрын
Aisee! Mungu awabariki waimbaji wa nyimbo za injili mnajua kugusa mioyo ya watu.
@catherineezekiel62067 жыл бұрын
Uinuliwe Mungu wa Mwingira katika maisha yangu na mpenzi wangu, kwa wazazi wangu wa kiroho na kimwili na familia yangu yote.
@elisaarobert90215 жыл бұрын
Haleluuuuuya kweli umetenda mema ,ununuliwe juu baba
@millyshiko39215 жыл бұрын
Worshipping the Lord in truth and in spirit, Hallelujah!!!
@sotailo31485 жыл бұрын
Jane Misso a great Singer God bless you
@timothymatolo84115 жыл бұрын
Kazi nzuri dadangu. Keep it up.
@mayayazbeck52126 жыл бұрын
Hallelujah Uinuliwe bwana wa mabwana. Umetenda mema.
@casineobote99897 жыл бұрын
uinuliwe mungu wa ajabu🙌🙌 uinuliwe umetendaaaaa memaaaa💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@witnesngelime13037 жыл бұрын
Casine Obote Anastahili kuinuinuliwa yeye peke yake
@estermsuya88184 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi. Wimbo bora wa sifa
@casineobote99897 жыл бұрын
uinuliwe🙌🙌🙌🙌 bwana wa bwana🙋 uinuliwe 🙌🙌🙌umetenda memaaaa💃💃💃💃💃💃
@user-zh4ft1zq1x5 ай бұрын
Aaaamen!!!❤
@ashirafukatindasa223710 ай бұрын
Nice songs
@bahatimasai61904 жыл бұрын
I love this song .umetenda mema Bwana wa mabwana
@drucillahzachary24805 жыл бұрын
Umetenda mema bwana Wacha uinuliwe milele so touching
@ayubusamwel52566 жыл бұрын
Nasikia kubarikiwa na huu wimbo. Barikiwa sana Dada Jane.
@jacobkennedy5171 Жыл бұрын
Nice song
@scovianaiga3531 Жыл бұрын
Inanibless sana
@evansmutuma41932 жыл бұрын
Good song i appreciate thisa
@cathereneisaka55704 жыл бұрын
Amen ubarikiwe, Nice song
@kevinjuma10366 жыл бұрын
uiniliwe Mungu wetu jehovah, unatenda majabu
@TonyJonas-mk9ik4 ай бұрын
2024 🙏
@raphaelsiweya292810 ай бұрын
Glory to God 🙏🙏
@paulinakiria7918 Жыл бұрын
Thank you Lord
@paolomaldini34184 жыл бұрын
Barikiwa jane
@casineobote99897 жыл бұрын
uinuliwe mungu wa ajabu🙌🙌🙌 uinuliwe umetenda memaaaaa🙌🙌🙌🙌
@magarethkimario47945 жыл бұрын
Nimecheza mpaka nimeuona utukufu wa mung baba
@rhinaregina58066 жыл бұрын
All your songs have been blessing us thank you Mom God continue bless you all
@edwinatakha86293 жыл бұрын
am blessed with the song ubarikiwe
@mwitimukundi43162 жыл бұрын
I'm blessed a lot.
@winstonkachema17318 жыл бұрын
yesu kristo mnazareti anastahili kutukuzwa
@elisaarobert90215 жыл бұрын
Haleluya ,uinuliwe baba
@patriciapaskali15235 жыл бұрын
Elizabeth Nyelloamina dada ubalikiwe
@hoseamasaule63975 жыл бұрын
Mungu akubariki kwakazi nzuri sana ubarikiwee dada
@luckyfortune3316 жыл бұрын
pure praise song...b blessed
@empressraj24184 жыл бұрын
Good song for real aki, I love it 😘
@jacklinejerusa98627 жыл бұрын
feeling blessed with this song haleluyah
@aminaagnita67574 жыл бұрын
Hallelujah
@berthakobelo1408 жыл бұрын
asante kwa huu imbo umenibariki
@annerobi13288 жыл бұрын
For Sure Mungu wastahili sifa na utukufu
@gertrudekopiyo2 жыл бұрын
Very beautiful
@silaselias42058 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua zaidi
@labanitobkala6205 жыл бұрын
The song is a blessing to me
@hoseamasaule63975 жыл бұрын
ubarikiwee my mother 🙏
@majaliwachamphene69766 жыл бұрын
So super and powerful praise song, Real Holly
@justinebosire98043 жыл бұрын
Kabisa
@jhb119213 жыл бұрын
I really love this praising song. May Gob bless those who get blessed with it. Thanks Misso God bless you more.
@waltermacheche38417 жыл бұрын
True praise... Thanks mum
@johnsonmwazera61714 жыл бұрын
Just a great worship
@samsonkaboko51375 жыл бұрын
Pllz the Lord
@elipinapodius23658 жыл бұрын
barikiwa sana mtumishi wimbo mzuri
@eutychusmotanya2689 жыл бұрын
wah am blessed indeed
@tangashariph91749 жыл бұрын
mom it's a nice song be blessed
@ruthaluoch35686 жыл бұрын
Sauti nzuri ..ubarikiwe sana Mum
@stephenwambagae46387 жыл бұрын
yeye ni ngao yetu, uinuliwe baba
@patriciapaskali15235 жыл бұрын
STEPHEN WAMBAGAE amina
@knowledgekamanga10114 жыл бұрын
Amen
@sarahtemba64114 жыл бұрын
Bahati songs
@aranyaelmbise7448 жыл бұрын
HAKIKA MUNGU AKUZIDISHE MTUMISHI WIMBO UNA UPAKO HASWA
@abrahamabrahamkatavo55284 жыл бұрын
BARIKIWA SANA
@mapendomonique17707 жыл бұрын
This music is good God bless you
@roselinekanze66246 жыл бұрын
Uhimidiwe
@sheillahnalyanya60126 жыл бұрын
Inuliwa maishani mwangu
@oseanashoni42496 жыл бұрын
wimbo mzuri
@deojohn14135 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua Dd Dane!!
@gabrielntirandekura63355 жыл бұрын
hi
@carolineasalh93195 жыл бұрын
Barikiwa sasa dada
@jacobbaya44206 жыл бұрын
Ubarikiwe sana,
@josephinenthesh4885 жыл бұрын
Blessed my dear sister
@jamimajaphet46885 жыл бұрын
💆💆💆💆💆💆💆💆💆💆💆ameeeeeeeen,ubarikiwe
@valentinev83638 жыл бұрын
pure praise entertainment.
@happinesstesha70614 жыл бұрын
Be blessed for this song,its very powerful
@judithwavinya87123 жыл бұрын
I didn't know this song is for Jane Misso I actually thought it's for anastacia