Dont forget to Subscribe, to like,to Comment & to Share with others
Пікірлер: 125
@bensonobwangi52975 ай бұрын
Hongera Japhet,I was happy to see you and your team live Today at Victory SDA church in Kisumu.
@eunitabob53369 ай бұрын
Wishing you all the best of happy marriage life Japheth......🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@faithkisiangani57026 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ElizabethOuma-mx9vf9 ай бұрын
What an amazing wedding. With an amazing singer. May God keeps you guys together forever & ever till death do you apart.
@irenekatana16176 ай бұрын
Wewe unatoa guts wapi za kuambia mtu ivo aki
@user-wd6su5ms6s5 ай бұрын
@@irenekatana1617 nini
@user-hw9kt7bn3h13 күн бұрын
God bless you all and take care of your healthy forever 🙏🙏
@HappynessKamgisha-wl8oq7 ай бұрын
Hongereni sana wapendwa nammependezana sana
@lightnessgamasa603914 күн бұрын
Jamani sio mimba nilile vazi ,nyie wachafuzi jamani 🤗mengine muachieni mungu hii ni Dunia Aaaaa mmezidi
@edwinmmary845912 күн бұрын
Kwanza sio harusi bali walikuwa wana shoot hiyo video. Pili hakuwa mjamzito bali ni vazi kama ulivyosema. Tatu wamwachie Mungu mwenye kuyaona yote haya kwa kweli.
@user-yu1yw1cn2u6 ай бұрын
mmependa sana kwakweli watumishi wa mungu
@user-rx5zf8hy5q11 ай бұрын
Hongereni ❤❤🎉jmn
@helena82742 ай бұрын
God bless your marriage 🎉🎉
@VivianMkumbo3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi.
@user-sn2oo9bt7y5 ай бұрын
Hongeraaa kaka japhet
@vicentrenatus6 ай бұрын
Ndo tyar ishafungwa, Mungu awabariki sana
@user-lq6mt5ji4l10 күн бұрын
Mnaendana ❤❤❤🎉🎉🎉
@user-ed2wl7xt9o3 күн бұрын
Hongera japhet
@PetloNelson5 ай бұрын
Mmependeza sana🎉🎉
@user-yz7xp8qf6d3 ай бұрын
Kasha jazwa uyoo😂😂😂😂😂
@mariamnzai885815 күн бұрын
Dear brothers and sisters huyu ni brother na marco
@shadrackkibet-zm1nn2 ай бұрын
❤❤❤❤ from Kenya
@blessedsoul9496 ай бұрын
Woiow...hongera kwa wanandoa
@SharonJepkoech-w9k6 күн бұрын
Happy family
@gkarangi85997 ай бұрын
Hongera. Mungu awalinde
@dorcasrhobi82116 ай бұрын
Hongera saana
@helenadahn46136 ай бұрын
Congratulations Family
@tabbymwethya45603 ай бұрын
Hongera
@rosemgeni22216 ай бұрын
Hawa wanabariki ndoa jmn msiwalaumu wapeni baraka na hongera zao kwa kupga hatua
@user-bo4bp7og4z6 ай бұрын
Ni sabato gani iliyokua inawaruhusu kuhudumu Kama washirika na hawajafunga ndoa
@user-ju9mf8dh2l6 ай бұрын
Nawapenda sana
@DainesMwapela-mr4wc11 ай бұрын
Na katoto kapo tumbon 👏👏👏👏
@rehemakanyere41886 ай бұрын
Hahaha hahaha
@user-th8bo9lu8n5 ай бұрын
We usinambie 😢
@marynasyieki37836 ай бұрын
God bless you 🙏🙏🎉❤❤
@user-wd6su5ms6s6 ай бұрын
Kwahy family dah umepatikana
@user-xy8cs9xc4k3 ай бұрын
All the best
@user-tw4rt2ir7g6 ай бұрын
Japhet kipenzi chako iki?? vizuri
@asnethmaythealmightygodbew35706 ай бұрын
Congratulations🎉
@EdithMkai-pm7dv2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@johnshimuda83319 ай бұрын
Hongera braza
@clesenciaoogamoraaooga42011 ай бұрын
Our wedding date. Congratulations Zablon and family
@UshindichoirMusique5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Jacksonswai6853 ай бұрын
Barikiw
@user-rs3rc4nn7y6 ай бұрын
❤
@user-wd6su5ms6s5 ай бұрын
Mmh
@user-wd6su5ms6s5 ай бұрын
Lulu
@user-wd6su5ms6s6 ай бұрын
Lulu ndoa juz tu saiv upo uparen kufanyaje
@maryachuti49977 ай бұрын
Kama mujamuzito.... labda ndoa kafungiwa inje ya kanisa.
@edsondaudi275910 ай бұрын
Good
@user-vi7dw7wk1b16 күн бұрын
What one year kwa ndoa then kifo woiii😢
@gracenjeri203514 күн бұрын
Si yeye amepass
@waridkikoti48387 ай бұрын
Harusi ni sherehe ndo itakuwa ishafungwa
@johnshimuda83319 ай бұрын
Duuh yaani me hii ndio naiona hamuwezi aminii
@user-ng9rd1zm1f5 ай бұрын
Watu muna umwa nanini? Kila mtu na baraka yake mjamzito sijuwe nini haya waonieee muache wivu nyinyi
@heliethngole9 ай бұрын
Mmmnh mbona kama katoto nyie
@princessesther-yl1nr5 күн бұрын
You are judging them na mumeona amevaa gauni tofauti na la harusi??
@marymwaya96856 ай бұрын
Duh wangesubiri tu ajifungue au wanaruhusu uzinzi live kanisakni kwao
@happyramsey96126 ай бұрын
Umeiona video waliofungishwa ndoa? Yaani sio tu kusubiri ajifungue. Hata angejifungua isingefungwa ile ndoa unayojua wewe. Sina hakika kama ndoa yao ni ile ilokua na matching kuingia kanisani. Badala yake nina hakika wamefungishwa ya mezani (kubariki). Sio vema kuongea vitu usivyovijua. Wasabato wenzao au wale walio na uzoefu na dini hiyo ndio wanajua ni aina ipi ya ndoa imefanyika hapa. Jitahidi kutafiti kabla hujahukumu
@miriamkanyelela89315 ай бұрын
Rangi ya shela ni alama tosha kuwa wanabariki
@magrethmkira62505 ай бұрын
Mbona iyo dada sio jamila ndo kubadilika kwa sabab ya make up, jamila walzaa tu alaf akaoa mwingine 😮
@user-th8bo9lu8n5 ай бұрын
Duh ngoja ninyamaze 😂
@Bravegirl202416 күн бұрын
Jamila dotto ama Jamila yupi?😮@@magrethmkira6250
@sophiajonas209016 күн бұрын
Hmmmmm nn hiki.so sad jmn
@EvarLucas4 ай бұрын
hogelen
@joycephillip89267 ай бұрын
Mbona kama bi arusi mjamzito ama macho yangu
@Marthakibasa927 ай бұрын
Ndio Ivo!!. Mbona Alisha jifungua
@aidamwakalinga61827 ай бұрын
Ko hapa walifanya tu sherehe ya nyumbani siyo?!!
@Marthakibasa927 ай бұрын
Sijui kwasabab Japheth mwenyew hakutaka iwe ya public!!.
@lightnessndanzi49257 ай бұрын
Walikuwa wanabariki itakuwa maana Kwa wasabato huwez funga ndoa kama n mjamzito na ndo maan hajavaa gauni jeupe
@Marthakibasa927 ай бұрын
@@lightnessndanzi4925 kumbe!?. Ndo naskia kwako
@margarethpolepole74386 ай бұрын
Biblia agano la kale lilisema kutatokea manabii wa uongo magonjwa yasiyotibika kama ukimwi corona kansa ebola nk sasa ndiyo hayo binti kuolewa na mimba wakati wanajiita wasabato habari ndiyo hiyo
@naomikisaba57856 ай бұрын
Ndoa ya huyu Kaka ilikuwa Ile ya kwanza Ila hii mmh mwenyezi Mungu atusaidie
@Bravegirl20246 ай бұрын
So huyu ni bibi wa pili? Na tena ana mimba?! dah😂
@user-wd6su5ms6s6 ай бұрын
Sema
@traizer11545 ай бұрын
Mimba ulipimaje sasa hapo ....aisee msiwe mnapenda kuongelea ambavyo ham a uhakika bhana
@user-wd6su5ms6s5 ай бұрын
@@traizer1154 mwenye macho haambiwi tazama
@user-wd6su5ms6s6 ай бұрын
Dah
@gracenehondo39426 ай бұрын
Whom r u 2 judge r u that holy? Gods mercy when is yours marriage is frm above not frm mokers behave
@EvarLucas4 ай бұрын
uimbaj
@witnessmjema418811 ай бұрын
imekaa pos
@bennytv5074 ай бұрын
vitatu
@ednahrotich3057 ай бұрын
Makeup ya nn Adventist
@joycephillip89267 ай бұрын
Wanahubiri nini sasa hao
@jacklineanyona70807 ай бұрын
Wangeavya hiyo mimba ndio wafanye arusi wangekuhubiria ukaokoka? don't be judgmental, congratulations wapenzi