#JaphetZabron Umewahi kusemezana na Mungu kupitia Maombi?alikujibu au hakukujibu?ikiwa alikaa kimya,je ulielewa kwa nini alikaa kimya?Barikiwa na ujumbe wa Wimbo huu,utakao kupa tafakari ya maswali haya.#zabron singers
Пікірлер: 522
@princemedia346014 күн бұрын
i am leaving this comment to remiind me the tears and what i have told my GOD
@Mercy-if3hd14 күн бұрын
Here with you
@faithmbaga1105 Жыл бұрын
Hee wimbo wa Kugusa namna hii imekuaje nausikia na kuuona leo 2023 April 21?I’m Blessed.Halleluyah
@jaredmaobe13875 жыл бұрын
Nashukuru kwa roho aliyemzungumzia mtunzi na mwandishi wa wimbo huu...wimbo wenyewe wazungumza na roho yangu moja kwa moja. Na sio kwa nyakati fulani, lakini kila wakati.
@gladysrinvasan4 жыл бұрын
I wish everyone would listen to this song. I'm always encouraged. The first time I watched this song I just shed tears. Glory to Jesus Christ for such wonderful singers
@Cayden12385 Жыл бұрын
nimeshasemezana na wewe kwa maombi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Cayden12385 Жыл бұрын
And God listened and gave me a job ❤
@VashonceeMinistries5 жыл бұрын
Kumuelewa Mungu wakati unapitia changamoto ni jambo gumu sana, ila Mungu wetu habadiliki kutokana na matukio, yeye ni yule yule jana, leo na hata milele. Yeye ni mwema tu siku zote, changamoto inabaki kwetu kuamini hekima Zake. Mungu awabariki sana Zabron Singers.
@japhetzabron18815 жыл бұрын
Naomba nikushukuru kwa niaba ya Zabron Singers,yaani ninauona upendo wa Mungu ndani ya moyo wako,ujue wewe ni mmoja kati ya waimbaji wazuri na ninazielewa sana kazi zako. Ni mara chache muimbaji mwenye hatua kama yako kufuatilia kazi za wengine na kuwatia moyo ktk kazi zao Nimejifunza kitu toka kwako Mungu aendelee kukuinua na kukubariki zaidi. Binafs ninabarikiwa na nyimbo zako pia#Vashoncee
God bless you keep up brothers and sisters for that remission because we are living in difficulties time and keep preaching since we are end times
@robertfabian30305 жыл бұрын
Ameni asante sana💔💟
@marwadaniel9225 жыл бұрын
amina mubarikiwe sana zabroni kwawimbo muzuri umenitowa machozi wimbohuu nasubiri mubarikiwe sana tena sana
@linahtamba88283 жыл бұрын
kiukweli sikuwahi kusikia kabla ila nimesikia nimeponywa nimebarikiwa sana na nimevuka mahali,..Mungu awabariki sana kwa kaz nzuri
@claratenga68835 жыл бұрын
"Nimesha semezana nawe kwa maombi" Very powerful song,,,God bless you all.
@jamilambone2863 Жыл бұрын
Wow 👉👉 ntasubiri Na kusubiri sitachoka Kwa maana nishasemezana na ww Kwa maombi 🙏🙏 nashukuru hata Kwa majaribu Kwa maana unasababu ya mm kuishi Maisha kama Haya 🙏🙏,,, you guys you are my best ❤️ blessed always 🙏🙏
@kwizeraelly92613 жыл бұрын
Wimbo huu nimelia Sana nimeusikia nikiwa na magumu moyoni nimejikuta ninalia na kufarijika.
@nassonexaudy99575 жыл бұрын
Kwa hakika, ujumbe ni mzuri na uimbaji unaogusa mioyo. Mungu awabariki katika kazi ya Kristo
@neemaelisha88933 жыл бұрын
Ahsante mtumishi kwa nyimbo zur
@davidnoah36855 жыл бұрын
Come again tomorrow!! Oh yeah!! Powerful.. Hallelujah!! God bless you guys!!!
@benardmarenge43993 жыл бұрын
Nawapenda sana zabron singers mungu awabariki
@mzalendokemboiamos43054 жыл бұрын
Mola nibariki. Nipe nafasi nikuhudumie.
@candyneshmakeup26972 жыл бұрын
Katika wimbo Mungu alinitetea nao ni huuu siwezi sahauuuu ....Mungu yupoo aiseee
@lewinakilana73754 жыл бұрын
Mnanibariki sana jaman mungu awabariki zaidi na zaidi
@fidelebanso34595 ай бұрын
Mingu bariki kwaya hii...huu wimbo unagusa maisha tena unaleta faraja kujuwa kusubiri majibu ya maombi
@kalisaphilippe36392 жыл бұрын
Nawapenda Sana zebron choir Mungu awabaliki kutoka RWANDA
@veronicarobert96215 жыл бұрын
daaah wimbo ni mzuri sana Mungu azidi kukubariki na kukupa afya njema
@kwizeraelly92613 жыл бұрын
Mungu una sababu ya Mimi kuishi Maisha Kama haya.
@user-yb4ur9cp7r3 ай бұрын
Thanks great message giving us hope to depend on God for everything
@jackyjerotich5 жыл бұрын
This is the kind of worship explained in John 4:24 .Baraka tele
@leahshilatu66065 жыл бұрын
Huu wimbo umenitia nguvu kabsa Mungu awabariki Sana watumishi nimebarikiwa
@japhetzabron18815 жыл бұрын
Amina
@davinadaniel27943 жыл бұрын
Nawapenda sana Zabron,wimbo huu ndo unaomaloza MB zangu, nabarikiwa mno mno Mjngu awatunze muimarishwe zaidi katuka utumishi wenu
@joycegesare15713 жыл бұрын
Ameeni kweli barikiwa sana wana zabron
@bonymgassa99465 жыл бұрын
God you have a reason me to live such kind of life amen stay blessed oooh thank u so much dears.
@catherinemsoffe83662 жыл бұрын
Dah dah dah Mungu azidi kuwainua
@joashimbwelwa603010 ай бұрын
To realize the sound of God during your tempitations& your an anormous trials ,is very important issue because the Almighty God will not fade for you in order to stablize you to sustain on your trials ,so the important things to consder on trials is only to ensure you recognize your God's voice and not your enemy ' s voice🛐🛐🧎🧎♻️♻️🙏🙏🙏🙏
@rochozarori50455 жыл бұрын
a beautfull song to relief and comfort when somebody undergoes challences that can not be over spoken,He/She also loose hope and happyness in life but no one to tell the problem ooh but their is only one comforter JESUS ajibu asi jibu tunaelewa ajabo kawia atatufidhilisha shida zetu............ZABRON SINGERS thanks for the song am relieved alot
@nasherapeter86537 ай бұрын
Mungu utabaki kuwa Mungu siku zote
@judykaimuri2161 Жыл бұрын
I love this song much, despite the situation God will always be there for us
@elizabethbulabo85623 жыл бұрын
Ameen, Ameen. mbarikiwe Sana na BWANA.
@christinenyangara81773 ай бұрын
Here in 2024, it's still a hit
@irineamayayi84374 жыл бұрын
Hakika huu wimbo umeniguza moyo wangu mpaka nimetoa machozi,Amen and Amen
@aishakiwembo91417 ай бұрын
Mungu awabaliki zaid maana nawapenda
@petrosana89342 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri
@dollacatewanjiru3272 Жыл бұрын
Wimbo juu hunipa fataja kila wakati maana nimepitia mengi maishani mwangu....😢
@BrianRono-vt8oo8 ай бұрын
Thanks sapron this song is really tauching
@shideashidea55705 жыл бұрын
Mungu wewe una sababu ya mimi kuishi maisha yangu hata nijapopita ktk magumu najua wewe upo hautaniacha nikuite madamu wewe upo unapatikana Amina
@elizabethmwangimaina74184 жыл бұрын
Mung wewe una sababu ya Mimi Kuishi maisha yangu hata nijapopita ktk magumu najua wewe
@jacobnkanwa31055 жыл бұрын
Barikiweni sana kwa wimbo unaotia uvumilivu katika majaribu
@iddygeorgekatendele9583 жыл бұрын
Mbarikiwe vijana ktk bwana,huu wimbo unanifanya niwafatiliee wasabatoo
@zephaniamanguwa52215 жыл бұрын
Barikiwa sn ni wimbo mzuri sn unarudisha tumaini na kutumia moyo sn
@bentaachieng46484 жыл бұрын
This small madam is going far kumtumikia mungu kuna manufaa sana mungu ampeleke viwango vya juu
@neemashigongo28065 жыл бұрын
nitasubiri nakusubiri stachoka...amina stachoka kuwapenda zabron singers barikiwa zaidi
@machariawalowloader67272 жыл бұрын
This song gives me hope to keep moving even when seems not okay. There is a God worth waiting for. Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ruthalbertine1958 Жыл бұрын
Tu y55hhj55jvhjjllllkbbbjkkkkkjjjjjj
@breecagz60473 жыл бұрын
Nitasubiri kwa sababu nimesemezana nawe kwa maombi bwana wangu na sitachoka🙏
@matondokija19504 жыл бұрын
Hakika usikate tamaa mungu atajibu ndy ujumbe
@mariamhinda38724 жыл бұрын
Hakika Mungu unasababu mimi niishi maisha haya
@danielnyantory51325 жыл бұрын
Hakika naZuUnika sana sana yaan kipindi napitia makalibu nataman nitoweke dunian hapa ila huu wimbo unanitia nguvu
@smashergerry37125 жыл бұрын
Mungu awabariki Zabron singers kwa wimbo huu hakika umenigusa
@MutheuHope-pr1mo5 ай бұрын
Sending love from Kenya ❤️
@salhatkimbesalhat95844 жыл бұрын
Mwenyezi mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi kwa kazi nzuri mnayoifanya nabarikiwa Sana..
@ayilarhoda25035 жыл бұрын
Nashukuru hata Kwa majaribu....MUNGU una sababu Mimi kuishi maisha kma haya. Nafarijika sana kwa wimbo huu na hakika MUNGU anisaidie nisikate tamaa
@edinaaloyse90254 жыл бұрын
Mungu hachunguziki hatakidogo
@RobaiOkinyi-mk7oi Жыл бұрын
Come through for those who are through difficult times Lord. Thanks for comforting words.
@moneya70295 жыл бұрын
Amina,hakika IPO sababu kuishi maisha haya.mbarikiwe kwa wimbo mzuri
@blancsshipanzilutenyo52015 жыл бұрын
Nyimbo zenu safi sana ahsante Kwa sauti nzuri yesu awe nanyi milele na milele Amina
@ciciliamacharia839610 ай бұрын
I love ya nifariji sana
@PhaniceChebet-ll3ry Жыл бұрын
😭😭😭nimelia nakujinyamazisha bekee yangu😔😓
@rhinaregina58065 жыл бұрын
Amen I am thankful God for everything and I will understand for this kind life I am living in right now but I come in your present Jesus to say thank you for everything you done for me my God I wait I will never be tired
@jameslameck70665 жыл бұрын
Huuu wimbo unanibarik sana has
@tideone972 жыл бұрын
I feel blessed, Utunzi na uimbaji ni wa kipekee sana 🙏🙏 Thank You Zabron singers for this Special Gift 🎁
@rehemaelias95295 жыл бұрын
MUNGU una sababu nami katika maisha haya usiponijibu nitaelewa Ahsante MUNGU. na endelea kuwapigania hawa watumishi wako
@kaptuyamelvincheptirim30082 жыл бұрын
What a beautiful song....I wish everybody would watch this video it soo encouraging.....God bless you so much zabron singers
@pendoalexander79105 жыл бұрын
zabron nawapata vzr sana mungu azidi kuwabariki zaidi na awatetee mletee wengi zizin
@irenembise16185 жыл бұрын
Waabudio halisi wataabudu ktk roho na kweli Mungu awabariki
@damarice733 жыл бұрын
Wimbo huu unaleta faraja kwa mioyo iliovunjika.
@achiengobondo82775 жыл бұрын
Mungu awabariki kwakweli mnaparahaa sana na amani nikitaka kukata tamaa mnatia nguvu.Mungu awabariki
@mbukemagulija97743 жыл бұрын
Mungu awabariki sana sana
@mosesmajokakot87453 жыл бұрын
Glorious are the songs of this Zabron singers. I can't get the language well but I enjoy it much. May the Lord lead you for more to do the best.
@beatricem29815 жыл бұрын
wacha mungu aitwe mungu wakati wa shinda na wakati wa raha abaki kuwa mungu asante kwa wimbo mzuri sana
@solomonrwabose76003 жыл бұрын
I'm blessed to listen to this songs. Thanks Zabrona for your ministry
@halimatelesia96284 жыл бұрын
Kaka japhet nakupenda sana
@debbiedebbie66562 жыл бұрын
Nimeshasemezana nawe kwa maombi.Nitasubiri nakusubiri sitachoka.Ujibu,usipojibu...nitaelewa maanake wajua, Mungu,mbona niishi maisha kama haya.God bless the singers
@suzanapaul51865 жыл бұрын
Inatakiwa hekima ya mbingu ndipo umwelewe Mungu,barikiweni
@emmanuelsasraku68713 жыл бұрын
Nimeona baadhi ya waimbaji walishindwa kujizuia kulia. Wimbo huu unanigusa sana na huniliza kila ninapousikiliza. JP nakuombea Mungu azidi kukubariki ili ukawabariki wengine Nitasubiri na kusubiri sitachoka.
@asantemtulo99005 жыл бұрын
Mungu awabariki sana huwa mnanibariki sana kwa nyimbo zenu natamani cku moja tuonane pale angani tukaimbe wimbo Musa na Mwanakondoo
@giftynicodemus64005 жыл бұрын
Barikiwa sana kwa kazi nzurii
@eunicemcgeachy61132 жыл бұрын
Thank God I came across Such a beautiful song today.😭❣️ 28/10/2021 I really needed to hear this message especially today. May whoever is reading this find peace and rest in the Lord. 💕💕💕
@mirerageorgemariita61962 жыл бұрын
Everything comes at His right time
@sarahkilusu3398 Жыл бұрын
} pp
@edwardfesto94182 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana Wapendwa kwa Huduma Yenu... Nimebarikiwa Mno
@linetkemunto76955 жыл бұрын
Amina hata katika kusubiri hilo bado jibu
@arnoldkimori3822 Жыл бұрын
Feeling like going down in prayers whenever I hear this song...true worship from the heart
@geofreyonkundi81615 жыл бұрын
I love your songs and the message in it ,God bless you and give you strength to keep preaching. Geofrey from Minnesota USA.
@gracesiyon79765 жыл бұрын
Jamani huu wimbo unanigusa hadi ,mmh!
@MWALIMUDENNISOFFICIAL5 жыл бұрын
This makes me miss my campus days with the Christian Union choir. Mungu awabariki
@flowershirima57153 жыл бұрын
Ujumbe mzuri saaaaaana, napousikiliza wimbo huu nafarijika sn.
@denniskibet414 жыл бұрын
Wimbo huu unaniguza saana,
@davidelias39864 жыл бұрын
“Usipo jibu au ujibu ntaelewa” Mungu una sababu..
@abdialasow625 жыл бұрын
Nitasubiri wimbo huu unanipa hamasa yare kushiin positive japo nimwenye dhambi
@agnetamwaighuri7362 жыл бұрын
Wow 👌kwel Mungu Ana sababu mm kuishi maisha kama haya nice song b blessed Servants of the most high God 🙌
@vicentshirima19933 жыл бұрын
Nakukubali sana kwenye uandishi
@leahshilatu66065 жыл бұрын
Naupenda Sana huu wimbo unanifariji
@cindy_M232 жыл бұрын
Today of days🥺😭❤ I needed to hear this.😭😭 Blessed be the name of the Lord
@morriskariuki18564 жыл бұрын
Am blessed everytime I listen to your songs.. May God continue uplifting you to greater heights in Jesus name.
@HappyWaari10 ай бұрын
Amen mbarikiwa sana
@rebekangengena88965 жыл бұрын
Dah Mungu azidi kuwapigania kazi nzur Sana Japheth sauti yako nzur Sana
@japhetzabron18815 жыл бұрын
Sante
@gladyskwamboka85615 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu
@lucyhangaya57595 жыл бұрын
Fireeeee
@esterlupilya7605 жыл бұрын
nakusubili Bwana nimeshasemezana na ww kwa Maombi ,,,nibariki ss ukijibu maombi yng,,samehe yte yte bure kwa damu ya Yesu,,lkn hata hivo Bwana una sabbu mm kuishi maisha km haya .
@inesirakoze4980 Жыл бұрын
Mungu Awabaliki saanaa Zabron Singers❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@thobiasnzanie51253 жыл бұрын
Ukiwaambia watu shida zako inageuka kuwa mkuki kwako
@nimrodmwalo72365 жыл бұрын
Zaburi 37:29-34 nitasubiri mungu, hallelujah hii wimbo umeingiana vizuri na Hali yangu umenitia moyo na kunikumbusha niwe mwingi wa shukrani kwa mapenzi ya MOLA..Bwana awajaze tuzidi kumtumikia kwa nyimbo AMEN & AMEN