JAPHET ZABRON - NAWAKUMBUKA (official video)

  Рет қаралды 1,052,739

Japhet Zabron

Japhet Zabron

Күн бұрын

Пікірлер: 535
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 3 жыл бұрын
Mimi ni Japhet 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Akina Japhet wote leteni like tumsapoti wajina letu
@neemamussa5630
@neemamussa5630 3 жыл бұрын
Unajua Kuna wakat Mungu anasema na sisi directly kupitia nyimbo za watumish wake,I was feeling like Giving up lkn nmehis kupata nguvu upya😭
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 3 жыл бұрын
Mungu akuinue na akuguse moyo wako na magumu yako,Never give Up mpnz,Mungu anakuona na anakupigania sana
@aishakiwembo9141
@aishakiwembo9141 Жыл бұрын
Nakukubali sana unaimba nyimbo nzuri
@AmosObanda23Thursday16Nov8am
@AmosObanda23Thursday16Nov8am 7 ай бұрын
Mie Mungu hunena Nami sana kupitia NYIMBO, then napata verse huo wimbo watoka🔥
@rosekariuki-u8o
@rosekariuki-u8o 4 ай бұрын
Napenda nyimbo zao but am confused who is who Hawa watu wafanana hadi kwa wimbaji😢
@BarakaLagoh
@BarakaLagoh 2 ай бұрын
Yan nimeusikiliza huu wimbo tangu asbh had jion sichoki.Barikiwa sana
@maracezighe1758
@maracezighe1758 Жыл бұрын
Kwa hakika wimbo huu ninapo usikiliza unanipa moyo wakuzidi kusonga mbele barikiwa sana Japhet 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AncyMerci-un2nu
@AncyMerci-un2nu 4 ай бұрын
Inapo pitiriza kipimo kwa kweli mtu anashoka hata kuomba mtu anashindwa kwa kweli Mungu tuwezeshe ila sirahisi maisha magumu
@jamiladotto9622
@jamiladotto9622 3 жыл бұрын
Wimbo unaujumbe Makini sana🙌🙌.. unagusa. 😢😢 Mungu pamoja nawe. Mwalim Japhet zabron. Uende mbali....🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Migapogospel678
@Migapogospel678 3 ай бұрын
Huu wimboo .naona kabsa unahusu maisha yangu .ni kweli kabsa umeongea mungu akubariki kwa💯🙏 Kazi ya bwana ❤❤
@christinesamba5744
@christinesamba5744 3 ай бұрын
Napenda sana huu wimbo .strong .msg...for those who feel like giving up..msichoke furaha yetu iko karibu....
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
Brother mimi huwaga nakomenti hatakama sijasikiliza nyimbo mpaka mwisho Huwa nabarikiwa sana🤝🎧🔥🔥🙏
@japhetzabron1881
@japhetzabron1881 3 жыл бұрын
Amen Amen brother
@egonmatwiga9102
@egonmatwiga9102 3 жыл бұрын
Kama unamwamin Mungu wa Japhet kuwa anaweza like hapa pia mwamin na ww atakuwezesha kwa kila unacho taka kufanya
@omryjohn1868
@omryjohn1868 3 жыл бұрын
Hujawai kuniangusha @Japhet
@mwlrobinson
@mwlrobinson 3 жыл бұрын
Katika waimbaji wanaoimba content za kufaliji na kuokoa faith ya watu , ww unanikosha na unanitach as you can think nmekusimulia maishayangu Basi unanifalijiiiiii du , Mungu akubaliki 😭😭😭
@Lakhishi-oc3kt
@Lakhishi-oc3kt Жыл бұрын
Hii wimbo naisikiliza asubuh mpaka usiku na sioni nikichoka aki naipenda sana iko nzur sana
@paulmwati7539
@paulmwati7539 2 жыл бұрын
Amina mpendwa katika Bwana yesu Christo tumebarikiwa sana
@JoyceMadasi-ks8bj
@JoyceMadasi-ks8bj 29 күн бұрын
Fille de yahweh ana barikiwa kila siku na Kaka japhet 🙏🙏🙏🙏🥰
@edensingers.8781
@edensingers.8781 3 жыл бұрын
Umegusa mahitaji ya wengi, barikiwa Sana kijana. I'm Happiness kutoka Nkololo Bariadi.
@mutuasteve2179
@mutuasteve2179 2 жыл бұрын
Tunaitaji nyimbo kama hizi, God chosen people,, bado nasikiza huu wimbo, nafikiria sana wanaomahitaji balibali kama wato wa mitaani, wajane, mayatima,jamani tuwakumbuke, hii ndo ibada Mungu anaikubali.
@Ann-vr7ti
@Ann-vr7ti 3 жыл бұрын
Yaani kuna wezakano hunijui Ila huu wimbo umenimbia mm, asante Kaka zabron
@atumwinuka2840
@atumwinuka2840 3 жыл бұрын
Wow...nmeusubiri Sana huu wimbo, great job Japh
@takelight6196
@takelight6196 Ай бұрын
Huwa huu wimbo umeniokoa sana ktk mapito 🙏🙏🙏 Huwa Mungu ana njia za kutuokoa
@Rockcitytz
@Rockcitytz 3 жыл бұрын
Bariki xana umewakimbuka watu mhim ktk jamanii ..na ni kama wanasahaurika fulan hv.. good Job kijana
@AssyJahenda
@AssyJahenda 3 ай бұрын
Mi ni wa mungu nilipo nipo na mungu, Nasema usiniguse Hapa nilipo nipo na mungu🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@OséeKavughavisi
@OséeKavughavisi 4 күн бұрын
Mutumichi wamungu. muumbajiwako akubarikimaradufu nyimbonitamu kupita asali.
@piresombati3651
@piresombati3651 3 жыл бұрын
Ni story yangu umeimba ila nashukuru mungu kwa yote
@zabronalex5052
@zabronalex5052 3 жыл бұрын
Hengera sana mtumishi kwakazi nzuri na mungu akubariki
@nyembamathias5786
@nyembamathias5786 3 жыл бұрын
Wimbo makini sana Mungu akubariki
@JumaSatarajr
@JumaSatarajr 10 ай бұрын
Japhet Zabron sijuyi nisemenini hakika Umekuwa mwarimu kwa ngu ni siyoyajuwa nimeyajuya🎆🎆🎆🎆🎇🎇 kupitiya nyimbozako NA Mungu🎇🎇 Azidikukuinuwa Naombaupokee zawadi yangu🙏⌚🎤🎸🎧🥀
@jeannettekeza6434
@jeannettekeza6434 3 жыл бұрын
Mmhhh kwakweli nyimbo zako Jaohet huwa zina ufaridji moyo wangu kila mara siwezi kumaliza siku mbili sija kusikiliza baba mungu akuzidishie milele 🙏🏽🙏🏽
@BusyBeeOnyiego
@BusyBeeOnyiego 3 жыл бұрын
Waiting
@MajaliwaJuma-c5g
@MajaliwaJuma-c5g Ай бұрын
Mungu akubariki sana🎉🎉🎉🎉🎉
@dicksonmwanzi5060
@dicksonmwanzi5060 3 жыл бұрын
Kazi safi na kuntu kabisaa
@Ngiz85
@Ngiz85 2 ай бұрын
Mungu siwezichoka najuwa hujaniacha unadjuwa yote
@AnnaCosmas-zf7cb
@AnnaCosmas-zf7cb 3 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu uendelee ku2fariji
@AnithaDanford-gr7mt
@AnithaDanford-gr7mt 3 ай бұрын
We ndo kaka wa Tz na Roma mnajua kusema ukweli
@georgembile7025
@georgembile7025 3 жыл бұрын
Machozi ya furaha yanabubujika toka kwenye macho yangu, BARIKIWA sana Japhet
@alicekamanzi7815
@alicekamanzi7815 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua my brother uzid kutuinjilisha.
@aderinacharles9415
@aderinacharles9415 3 жыл бұрын
Jamani bora huu wimbo naupendag sana
@BagamoyoBranch
@BagamoyoBranch 3 ай бұрын
Ubarikiwa na wimbo mzuri na mungu azidi kukupa maono
@tolekabizneztv
@tolekabizneztv 3 жыл бұрын
Nakukubali sana brooo Nyimbo zako zote hamna yenye sina
@geofreywayesu5638
@geofreywayesu5638 3 ай бұрын
Nyimbo nzuri barikiwa mtumishi wa bwana
@ZaituniHamdani-un5zo
@ZaituniHamdani-un5zo 4 ай бұрын
Umengusa maisha yangu kaka mungu akubali
@happyzephania9413
@happyzephania9413 2 ай бұрын
Daah! Kumbe unanyimbo nzr hiv
@elisherhando
@elisherhando 3 жыл бұрын
Kuimba raha hasa ujue kuimba, u made it Mungu azid kukulinda
@prettywizard5374
@prettywizard5374 3 жыл бұрын
Hakika kilio changu Mungu anakijua na hivi karibuni nitafurahi,,,,,,kazi nzuri ndugu,, keep it up!!!
@EstherMangaza-k9z
@EstherMangaza-k9z 3 ай бұрын
Baba yangu mungu akuwezeshe 😮😅😅😅😅
@FredinaEzekiel
@FredinaEzekiel 2 ай бұрын
Mungu akubarki kwa huduma nzuri mtumishi
@naimawilly5542
@naimawilly5542 2 жыл бұрын
Dah, ujumbe mzur sn mungu akukumbke na ww
@AnesieNizigama
@AnesieNizigama Ай бұрын
Asant kwa nyimb nzur ❤
@jakoboemanuelrobat9777
@jakoboemanuelrobat9777 2 жыл бұрын
Mungu akubalik San Brother Wimbo mzl San 🤝
@Daicytoorop1
@Daicytoorop1 4 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪 Ujumbe mzuri ❤
@dottodaniel7535
@dottodaniel7535 3 жыл бұрын
Ujumbe makini
@ZaituniHamdani-un5zo
@ZaituniHamdani-un5zo 4 ай бұрын
Umengusa maisha yangu kaka mungu akubalik
@buregeyarehema
@buregeyarehema 2 ай бұрын
naona unaacha famille yazabron
@esrommakono9213
@esrommakono9213 3 жыл бұрын
Great job kijana. Mungu azidi kukuweka viunga vya juu sana
@japhetowoya9505
@japhetowoya9505 3 жыл бұрын
Asante sana mtumish wa Mungu nabarikiwa sana Japhet
@kirongoephy6236
@kirongoephy6236 3 жыл бұрын
God is faithful..🙏 Much love from kenya🇰🇪
@lyontheblessed8200
@lyontheblessed8200 3 жыл бұрын
Kirongo kzbin.info/www/bejne/hWa9YnSfa8aNraM ✅🙏🏼
@AnnoyedArcticFox-dh5dv
@AnnoyedArcticFox-dh5dv 7 ай бұрын
Nakukubali Sana kaka yangu mungu ni mwema
@gracebwambale5032
@gracebwambale5032 3 жыл бұрын
Mbarikiwe saaana
@magdalenajoel4409
@magdalenajoel4409 Жыл бұрын
MUNGU ndio huinua hushusha mwamini atakuinua😭😭😭🙏🙏
@rezegerezege691
@rezegerezege691 2 жыл бұрын
Naupenda wimbo huu ipo siku Mungu ataniinua nami😭😭😭
@katapilashow
@katapilashow 3 жыл бұрын
Hongera saana kaka, KAZI nzuri. By katapila
@CatherineKilaka-zf9li
@CatherineKilaka-zf9li Жыл бұрын
Wimbo wako unanifuza Mambo mengi sana barikiwa sana japeth
@linetambasa9844
@linetambasa9844 28 күн бұрын
Wow nice song japhet congratulations❤❤❤❤
@RobertNyoni-o4x
@RobertNyoni-o4x 18 күн бұрын
Hongera kaka japhet
@VailetMashaka
@VailetMashaka Ай бұрын
Ubatikiwe kaka japhet kwa uimbaji❤❤❤
@catherineaugustine7124
@catherineaugustine7124 2 жыл бұрын
Mungu ATUSAIDIE kuyatenda mema🙏🙏
@agnetamwaighuri736
@agnetamwaighuri736 3 жыл бұрын
Wow ndugu japhet zabron haki huu wimbo ni mzuri sana nimeuhisi umenigusa umenibariki Mungu akuinue zaidi na zaidi
@abelbaraka263
@abelbaraka263 3 жыл бұрын
Mungu Ndiye hupanga maisha
@mapendonikola
@mapendonikola Жыл бұрын
Amen kubwa Mungu ni mwema kwetu sifa ni za Bwana iyi nyimbo inakuwa ikinipatiya tena nguvu katika maisha yote Mungu ni Baba ya mayatima 🙏🙏🙏🙏
@mangalajr1476
@mangalajr1476 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana mkuu kwa kazi nzuri Mungu akubariki.
@TabithaMiddle
@TabithaMiddle 4 ай бұрын
Am hear from 🇺🇬🇺🇬2024 this lyrics has a strong 💪🏽 with massage and it encourages Young 🌱 people out.may God 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 strengthen you and continue 👏🏽 and I
@MjukuuMagunguma
@MjukuuMagunguma Жыл бұрын
Kiukweli wimbo wako uliumiza sana akili hongera mungu akutie nguvu
@neustermussa4262
@neustermussa4262 2 жыл бұрын
Huu wimbo umenikumbusha mbali Sana mungu awe nawe ck zote
@steveagustino9368
@steveagustino9368 3 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana brother. MUNGU akubariki.
@godfreyjoseph863
@godfreyjoseph863 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana nimemuona rafiki yangu Harrison akitoa msaada
@nyachirangimlengwa
@nyachirangimlengwa 3 жыл бұрын
Huu wimbo jamani, hatimaye tumeupata mashabiki, Barikiwa sana
@estherkaaya750
@estherkaaya750 2 жыл бұрын
Mimi pia Leo ndo najua unaenda Kwa jina la nawakumbuka
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv 4 ай бұрын
Mungu na aibariki kazi yako na izidi kupata kibali kwa Mungu
@jescamasanja7655
@jescamasanja7655 3 жыл бұрын
Ohoo hatimaye..wimbo umerudi.Wimbo wa Albamu ya kwanza. NAWAKUMBUKA.Hongera....
@christinehstemy734
@christinehstemy734 3 жыл бұрын
Nimeguzwa Sana mungu azidi kukupa kibali bro kazi mungu iendelee 🙏
@emmanuelkiiza7945
@emmanuelkiiza7945 3 жыл бұрын
Asante YESU , Mungu awabariki , nawapenda
@KadimaLinetKasandi
@KadimaLinetKasandi 3 ай бұрын
Japhet keep that tablet that God gave you to win many souls Linet watching you from Kisumu, Nyamasaria
@barakanyambele6642
@barakanyambele6642 2 жыл бұрын
Nipo kahama majengo japhet, nahitaji japo siku moja niwatembelee nyumbani
@CharlesMwitamasengwe-wn8zu
@CharlesMwitamasengwe-wn8zu Жыл бұрын
Mungu anatupenda sana na ipo siku tutaishi kwa amani
@yusterexpedito
@yusterexpedito 2 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako minggu akubark kwa hudumaa yako
@gracemtango3591
@gracemtango3591 3 жыл бұрын
Hujawahi kuniangusha bigup brother
@neemamkunte3127
@neemamkunte3127 3 жыл бұрын
Wow nice song ❤❤❤❤. Mungu azidi kukuinua kwa viwango vingine
@magrethbisaku165
@magrethbisaku165 3 жыл бұрын
Wow!wow!nakupenda mwaaaa Zabu unajua endelea kumtumikia muumba wako kabla sku mbaya za uzee hazijaja utakapo sema sina nguvu tena BWANA
@tukulambamichael709
@tukulambamichael709 2 жыл бұрын
Uko vizuri my brother mungu akubariki
@anthonykisilu6685
@anthonykisilu6685 3 жыл бұрын
Wimbo mtamu tena wenye ujumbe mzuri zaidi
@chiko_55
@chiko_55 3 жыл бұрын
Kaka kazi nzur sana
@hapdomyiroga6985
@hapdomyiroga6985 3 жыл бұрын
Nabalikiwa kwa huu wimbo mpk machoz yanatoka
@moshiwamboi1266
@moshiwamboi1266 2 жыл бұрын
Covenant family ❤️ Patricia boatwright let's come together
@isayajohn-u9l
@isayajohn-u9l Жыл бұрын
Wimbo wa kimbingu sana utukufu apewe .. Bwana
@obbelinmoshi5891
@obbelinmoshi5891 3 жыл бұрын
Hongera sana Karibu sana Runzewe sec siku moja
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 3 жыл бұрын
Japo Maisha ni shida yasitutenge na Mungua
@sandraa8706
@sandraa8706 3 жыл бұрын
Balikiwa kakaanguuu
@Furaha-q4x
@Furaha-q4x 4 ай бұрын
Mungu akubariki mwanangu, mungu atakusaidia
@edwinmhema3191
@edwinmhema3191 Жыл бұрын
Hongereni kwa nyimbo nzuri mungu awabariki hakika
@andreamndeme1539
@andreamndeme1539 3 жыл бұрын
ENDELEEEA MBELE MTUMISHI BWANA ANAKAZI NAWEWE KATIKA TAIFA HILI
@marysamson1209
@marysamson1209 Жыл бұрын
Mungu uponye kila roho yenye uhitaji wakono wako Usimsahau huyu mtumishi wako ulomuwek kupitia ulichoweka ndan yake kutukumbusha tunapojisahau katika utumishi 🙏🙏 Ishi tu rfk yangu nakupenda mnoo
Best Zabron Singers video mix 2023
22:13
Lenny KE
Рет қаралды 110 М.
JAPHET ZABRON -KUSUDI LA MUNGU (Official video)
3:54
Japhet Zabron
Рет қаралды 619 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Estell Nadine Ft Japhet Zabron - Raha Yangu/Natafuta Lugha Nzuri(Official Video)
3:50
Estell Nadine official
Рет қаралды 2,5 МЛН
MARCO JOSEPH - TOFAUTI (official video)4k
5:00
Marco joseph family
Рет қаралды 680 М.
ZABRON SINGERS - HILI LIMENILIZA SANA (OFFICIALL VIDEO)
4:29
ashtiv kenya
Рет қаралды 191 М.
BEST OF ZABRON SINGERS FT DJ NICKYNICKS 254
48:33
NICK MWIRIGI
Рет қаралды 37 М.
Marco Joseph - Daktari (official video)4k
3:17
Marco joseph family
Рет қаралды 2,4 МЛН
JAPHET ZABRON - NIACHE NIENDE (official video)
5:25
Japhet Zabron
Рет қаралды 660 М.
EMOTIONAL AS ZABRON SINGERS PERFOMS LIVE WITHOUT MARCO JOSEPH BUKURU
8:47
045 NEWS PARACHUTE
Рет қаралды 21 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН