Hakika haikuwa rahisi Bali ni mkono wake Bwana Yesu.❤🙏
@Peterchila-un2lx4 ай бұрын
Nyimbo nzur sana brooo ujawhi kukosea
@efronaaron67724 ай бұрын
Huu ni wimbo bora kabisa wa mwaka. Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Hongereni watumishi.
@Kenyanmoon4 ай бұрын
Amen
@samweljohn1234 ай бұрын
wanaosema bila MUNGU hawawezi chochote tujuane kwa like hapa🙏
@SimoniMadafu4 ай бұрын
Siwezi babaangu we ndio ngome yang🙏🙏🙏🙏u
@denicegaspar94794 ай бұрын
👊👊🙏🙏🙏🙏
@puritymutanu55044 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@AlexandrebyajuwaSeth3 ай бұрын
mungu ni Mwema kwetu bila yeye hatuwezi lolote.
@lawrenceluboka70743 ай бұрын
bila mungu siwez chochote
@MaryMushy4 ай бұрын
Kama unamkubali obby alpha japhet zabron Victoria maestro gonga like za kutosha apa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@GradnessMuba2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Blessing_Hurdley4 ай бұрын
This song Is hitting me differently. I was suspended from Collage due to School fees and now I have a Scholarship In Australia fully paid for a masters Degree. God you are Faithful😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@saidishebuge47964 ай бұрын
Our God is Gud
@AmosMponeja4 ай бұрын
Amen,, God bless you.
@mercyotieno55394 ай бұрын
When Gods' grace decides to locate you, 😊no one can prevent it from doing so
@winstonejustinian78854 ай бұрын
To God be the glory
@heriethmsangi24994 ай бұрын
Waooooooh ... Am Happy For You
@loyalforumtv4 ай бұрын
Huyu jafet ni hatali nampenda sana anaimba vitu really❤❤❤❤❤
@JoyceMadasi-ks8bjКүн бұрын
Hata mimi ninapenda japhet sana
@damarisfirstdaughter2 ай бұрын
Its November haikuwa rahisi huu ni muujiza... who is here with me 🎉🎉🎉 praise God
@Moonlight-m7l4hАй бұрын
Amen
@InnocentiusMuchunguziАй бұрын
Here I am. God is good all the time.
@PerisKadzo-bm6leАй бұрын
Amen 🙏🏼
@Vuvi-jr4 ай бұрын
wakenya wapi likes za Victor Maestro
@morrinerambiri28224 ай бұрын
I wish I could like more times...👍 👌 💛
@PresenterKai4 ай бұрын
Kwa wengine inaeza kuwa kawaida sana kufika mahali nimefika, ila kwangu ni muujiza 🔥🔥
@YohanaFrancis-bl6bh2 ай бұрын
Hallelujah 🙏
@EvalynMagoma-h5g4 ай бұрын
Hakika haikuwa rahisi na bila Mungu mimi singeweza na siwezi pekee yangu 🙏, Shalom 🙏😇♥️🥰🇰🇪😂
@mgandikadesire4 ай бұрын
Wanaompenda Obby Alpha Gonga like hapa tujuane🎉🎉
@modestbaltazary60963 ай бұрын
Tupooooo
@AgnessBundala2 ай бұрын
God blessing
@moto-junior_ITV4 ай бұрын
Wanaopenda Japheth Zablon gonga like hapa
@AngelAnthony-v3e2 ай бұрын
Kama si huruma zako ningekua wapi Yesu😢🙏🙏
@SuleAmber-lw2tx4 ай бұрын
Japhet Zabron is something else guys wow
@evalynemuchiri85273 ай бұрын
huwa ananibamba sana kwa nyimbo zote
@VelmaAkinyi-e7vАй бұрын
Nina kitu gani yesu kifanye waniseme nimeweza ukaniokota tena ukaniokota...nabarikiwa na hii part sana❤❤❤ubarikiwe kaka japheth
@ingozescopion4 ай бұрын
Haikuwa raisi mimi kuokoka mana kama zambi ingekuwa inatoa harufu mimi nilikuwa nimeoza asante Mungu
@zillipahsereina50682 ай бұрын
There's always something about men who serve God diligently. On loop mode every single day. Blessings upon blessings
@NaomyDaudi3 ай бұрын
Tulio rudia kusikiliza mara kadhaa tujuane na kama umebarikiwe nyosha mkono tujuane chap kunasiri kubwa niwafichulie gonga like hapa pleaz🎉🎉 nawapenda waimbaji wangu
@emilywambui19604 ай бұрын
Haijakuwa rahisa kweli, lakini nani kama Mungu. Asante Mungu.
@clarageorge83854 ай бұрын
Huyu japhet ni moto wa kuotea mbali aise
@Inspectordogocomedy4 ай бұрын
Obbi alfa ,tunamkubali sana ,we Kenyans let's gather here why is our likes🎉
@EvaBaya-f5q4 ай бұрын
Wow wow wow yani nyimbo akiwa Japhet the zablon iko amaizing The voice is voicing..Good job guys
@linzah75634 ай бұрын
Japheti fundi fundi alafu fundi tena
@hawahosea18044 ай бұрын
Bila Mungu Mimi siwezi 😢 Asante Mungu kwa neema yako🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@PendaelHagaiMRPH4 ай бұрын
Huu wimbo umenibariki Sana sijawahi kuwaza ningesikika kwenye Radioni na kuonekana kwenye Television 📺
@Faykyms2 ай бұрын
15/12/2024 will come back to celebrate with this song of a something have been waiting for.
@damarisfirstdaughter2 ай бұрын
Please I will celebrate with you, may God do it 🎉
@FaykymsАй бұрын
Back here to celebrate with this song again because he has done it for me,he has answered my desire.
@damarisfirstdaughterАй бұрын
@@Faykyms Glory to God, congratulations 🎊
@FaykymsАй бұрын
@@damarisfirstdaughter thankyou I celebrate God
@JoyceWanjiku-p7u3 ай бұрын
This has become my anthem "uliniokota tena ukaniokota. Nilikuwa si chochote si lolote😭😭😭😭..thank you for giving me a song that takes me on our knees
@DmgDigitalOnline4 ай бұрын
Ila hivi vichwa viwili hivi ni balaa Obby & Japheth.
@AgnessBundala2 ай бұрын
God bleessing
@butterflytv-r4p2 ай бұрын
Wanao sema bila Mungu tujuaneee wanawamunguu
@faithrehema47674 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤haikua rahisi kwa kweli from kenya 🇰🇪 mungu awabariki majirani zetu ❤️
@Producervbaddset4 ай бұрын
VICTOR MAESTRO ILITAKIWA UMALIZIE VERSE YAKO KWA KUSEMA "WAPI VIGELEGELE"
@Mwl_Lupimo4 ай бұрын
Blessed More, Exactly Kaka mkubwa Obby, Si RAHISI ni NGUMU kuyaelewa wala kuyaeleza MAPITO
@stewartmwakasege4 ай бұрын
Mtumishi Barikiwa...Mno
@Migapogospel67811 күн бұрын
Ila watu wa mbeya 😢😢
@ernestbenedictor5558Ай бұрын
😢kuna vile moyo umebeba n kupitia magumu mengi alafu unaiona hii video ....Be Blessed.....inaamsha hope mpya moyoni
@KambaleMagherya-hs1td2 күн бұрын
❤❤❤naona hatujapoteza sana mungu aendelee kuwawezesha
@rachelchesoli452Ай бұрын
Bila mungu siwezi, it’s only you Lord🙏🙏🙏🙏. Thank you!!!
@CarenWangs4 ай бұрын
Bila Mungu hata mimi mwenyewe sijui ningekuwa wapi, it's been God and it will always be Him
@OliverGodwinzakaria3 ай бұрын
❤❤❤wewe ni hatariii unayembea na upako ndio maana Mungu anakupandisha juu Kila siku sio wengine kujionesha Tu afu hawana kitu ,,,Mungu akuinue Zaid ya hapo mtumishi❤
@geraldinho2402 ай бұрын
Vijana wa maaana kabisa haikuwa rahisi kweli
@glorykamenya25432 ай бұрын
Nakumbuka mbali sana hakika ni Mkono wake Mungu🙏
@metrinevusaka-qt6zz3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana ndugu🎉,ila naomba tu kukushauri.Uimbaji sio mashindano ,napotazama naona ndani ya mwezi mmoja umeachilia vibao vitatu vizuri sana ila singependa kuona ukivuma tu kwa muda mfupi na kutoweka,hivo ningekushauri ujipee muda kabla ya kuachia wimbo mwingine😊,wapo wengi waliokuja hivo kwa kasi ila hawakudumu na singetamani uwe mmoja wao,ni ombi langu Mungu akujalie neema na maarifa. Kwa hakika maisha yako ni ushuhuda kwa kila anayeijua safari yako mpaka ulipofika,wqcha tu Mungu aitwe Mungu na azidi kukuinua🙏🙏
@RebecaRebekaGwimbiyeАй бұрын
Jaman bila mungu mimi siwezi mungu awabaliki sana mmeuwa wote❤❤❤
@pringanmajaliwa9897Ай бұрын
Bila Mungu sijui mimi mwenyewe ningekua wapi😢 it's been God and it will always be Him🙏 ❤
@petrobukanda-c3f4 ай бұрын
I like how wame vaha wote wa tatu and Harusi ..............powa kabisa God bless you
@JosephOyula4 ай бұрын
This is on replay. It is amazing how great Jehovah is. It is outstanding how loving and faithful our great God is. It is never easy, BUT Jesus…..
@denissimeo19244 ай бұрын
Ongelen sana! Japhet pole kwa kumpoteza brother
@laxmajor4 ай бұрын
Hapa ulipo mbali Sana obby alpha 😍💯💯💯💯💯
@YvonneAwinja-m2o3 ай бұрын
Kwa kweli bila mungu mmi siezi
@johntee70163 ай бұрын
Victor maestro ni noma sana from kenya be blessed but were waiting for your channel
@maggiebonareri50784 ай бұрын
I pray may God hear every one who is calling him🤲🏼
@veronicaboniphace72893 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
@johnshimuda83312 ай бұрын
Yaani nyimbo imeanza vizuri sana Na obby alpha Akatembea na beat kiutam sanaa Sasa Alipokuja kuimaliza nyimbo ni japhet Brooh Nyimbo umeimalizaa hebu msikilizeni japhet Jinsi Alivyo ibadilishia beat
@witnesswilson86604 ай бұрын
Amen 🙏 ni kweli bila Mungu hatuwezi lolote Barikiwa sana Watumishi wa MUNGU . YESU KRISTO AENDELEE KUWATUMIA KATIKA UTUMISHI MWEMA .
@PaulineOttichilo2 ай бұрын
Very true hata mm siwezi bila Mungu very nice song
@fainessndone72543 ай бұрын
Hadi hapa namshukuru MUNGU tu,, lakini naamini Mungu nitainuliwa kwa wakati wake zaid😢 bila Mungu mm swez
@NeemaChawala-kz2ob4 ай бұрын
Jafeti unaweza sana
@EuniceNgigi-ot6pg5 күн бұрын
This is true God has good plans calendar 📆 yake c ya mwanadamu❤
@suzanjaphet81334 ай бұрын
Bila MUNGU mimi siwezi 🙌
@lilianemanuel2579Ай бұрын
Siwez bila wew yesu😢😢 naomba unikumbukee
@belovedlyn28813 ай бұрын
Listening to this song and I can't tell how uplifted I feel... This was timely in my current situation.❤
@Esther-n6s17 күн бұрын
Japhet kipawa unacho.mungu akuinue kabisa
@danielsamuel75573 ай бұрын
Huu jumbe kwenye huuu wimbo acha Mungu aitwe Mungu nilipo toka na hapa ni lipo sio akili zangu wala nguvu zangu
@DeboraMussa-i6vАй бұрын
Amen🙏🙏 kwa kweli bila MUNGU hatuwezi chochote mbarikiwe na BWANA 🙏🙏🙏
@stevenmeshack4672 ай бұрын
Sautiii nzurii Sanaa 🎉🎉
@marlineisiji414Ай бұрын
❤❤❤huu wimbo hunibariki sana ,napenda kuuskiza sana
@Ladystill11 күн бұрын
Nimerudi hapa mara mia Moja🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@GiriadyMsumle-jw1ekАй бұрын
Obby alpha kaka nabarikiwa sana Kwa kipawa chako mungu azidi kukubariki
Jamani Mimi sielewi watu wanavyo sema huu wimbo ni wakishetani wanamaanisha nn.naomba kujua maana Mimi nasikia maneno ya kumtukuza Mungu
@BensonTegambwageDecordesignАй бұрын
Mungu azidi pumzi na uzima, asikengeuke kama hao waimbaji wengine wanaanza na gospel ghafla unasikia anaanza kuimba bongo fleva
@sylviakissamunyole7644 ай бұрын
My testimony🙏🙏🙏 Awesome message! More Grace @ObbyAlpha🙏💥💥💥🇺🇬🇺🇬
@Emmanuelboniphace-n3gАй бұрын
Bila Mungu mimi siwezi
@vanasae98233 ай бұрын
This song inspires me daily that despite my tribulations I have a lot of reasons to thank God ! He has been with through it all. If you feel the same way like and comment so that I can keep coming back and listening to this uplifting jam over and over again! Much love from Kenya
@SammyFelixRobert11 күн бұрын
Obby Alpha you will go far in JESUS NAME
@ZacharyMangara4 ай бұрын
From Kenya good song brother God bless you all 💯 donga like tukisonga wadau
@EsterChristopha-c8uАй бұрын
Yani,ni kweli kabsa,bila Mungu hatuwezi,hapa tulipo ni neema tu
@_bi_taifa4 ай бұрын
Im not where I want to be yet. But God I'm grateful,thanks obby for this song,I know I'll sing it when that time comes.❤🇰🇪
@EdwinMotto-v4g23 күн бұрын
Amina watumishi mmenigusa saana nawimbo huu
@mwitamataiga474816 күн бұрын
Barikiwa sana na nyimbo zako ndugu yangu
@margretadhiambo86814 ай бұрын
Hakika haikua rahisi kufika apa, Asante Mungu 🙏🥰🥰
@IRENEKIMARO-v6p22 күн бұрын
Nawependa jmn mmenibariki sana mungu awatunze
@MwagambosCorner4 ай бұрын
Haikutosha pale CALVARY bado apo nami ❤ Bila Mungu mm siwezi
@mtokambali2320Ай бұрын
This is too Evangelical... May God bless you lads and your ministries...
@mrcreativetz4 ай бұрын
Japhet umetisha sana kaka
@mercykamau43604 ай бұрын
What a masterpiece...I love Obby's songs but this combination was something else ❤❤❤🇰🇪
@NeemaMgaya-ez9un8 күн бұрын
Ama kweli haikuwa rahis kufika hapa nimkono wako
@BenardKyalo-l5e2 ай бұрын
Hakika ni mkono wa mungu my dear ❤🎉😢💯🙏✨
@eunicesipitiek-ym9fv11 күн бұрын
My favorite song 😭😭😭,,,God bless you 🙏🙏
@irenejonas-q2w2 ай бұрын
Tunayaweza mambo yote katika yeye atutiae nguvu
@AgnesChawalaАй бұрын
Napenda sana Mungu yeye anayenipa kuishi
@lilianemanuel257928 күн бұрын
Aminaa ipo siku utaona kwa uweza wa mungu
@evamakula28503 ай бұрын
Haikuwa rahisi nifike ni wewe Mungu
@FaithWanza-b1t4 ай бұрын
Nice work brother,,,God bless you ,,,,
@GradnessMuba2 ай бұрын
Mungu mpe jina mtumishi wako
@elitheservant81824 ай бұрын
NEEEEMAA...Wengine katupangia eti hatutofaulu lakini mipango ya Mungu aipangapo hakuna wa kupinga...
@WinfridaBoaz2 күн бұрын
Uhakika kaka bila Mungu hatuwezi
@mrjohnburundi55514 ай бұрын
Haikua raisi kama sihuruma zako ningekua wapi yesu amen
@JecintaKariuki-bd3kd2 ай бұрын
Oh God nakushukuru Mungu wangu 😢
@IRENEKIMARO-v6p22 күн бұрын
Jmn japhet ameimba vzr hapo nimeipenda ❤❤❤❤
@SabrinahJayden4 ай бұрын
From 🇰🇪🇰🇪 Japheth did it well and my sincerely condolences to zabron singers for the death of Marco
@edinakitui12164 ай бұрын
Kwa kweli bila mungu mimi siwezi ' nakutumaini kwa kila jambo jehovah ❤❤