VERSE 1 iwe giza baridi na upepo iwe kuna mawingu na minyesho your body baby joto unafanya nijihisi special unanipa sababu ya uwepo kando yako we mtoto my desire we nipe dawa mi mahututi sijielewi ooh my god BRIDGE shida ni nimekolea penzini shida ni baby uko moyoni wewe CHORUS nakupenda we nakutaka we kwako sijiwezi oooh my love mpenzi we roho yangu we kwako sjiwezi oooh my love VERSE 2 Akili mwili baby hasira yangu navituliza ukiongea nasikiliza yote sababu ya upendo pili pili baby vindimu chumvi ya kunyunyiza yani uroda kupitiliza nimeumaliza mwendo kiukweli napendwa nachanganywa na haya ma-raha BRIDGE Shida ni nimekolea penzini shida ni baby uko moyoni wewe CHORUS Nakupenda we (anhaa) nakutaka we (oh nana nana) kwako sijiwezi oooh my love (oooh my baby) Mpenzi we (ooh nonono) roho yangu we(aaah yayaya) kwako sijiwezi (ooh uoh) oooh My love (oooh naneh)
@ulrichjeanfleurygilmete3552 Жыл бұрын
Iwe giza baridi na upepo Iwe kuna mawingu na minyesho Your body baby joto (joto) Unafanya nijihisi special Unanipa sababu ya uwepo Kando yako we mtoto My desire we nipe dawa mi mahututi Sijielewi ooh my God Shida ni nimekolea penzini Shida ni baby uko moyoni wewe Nakupenda we Nakutaka we Kwako sijiwezi Ooh my love Mpenzi we Roho yangu we Kwako sijiwezi Ooh my love Akili mwili baby Hasira zangu navituliza Ukiongea nasikiliza Yote sababu ya upendo Pili pili baby Vindimu chumvi ya kunyunyiza Yani uroda kupitiliza Nimeumaliza mwendo Kiukweli napendwa nachanganywa Na haya ma raha Shida ni nimekolea penzini Shida ni baby uko moyoni, wewe Nakupenda we (anhaaa) Nakutaka we (oh nana nana) Kwako sijiwezi Ooh my love (ooh my baby) Mpenzi we (oh nonono) Roho yangu we (aaaah yayaya) Kwako sijiwezi Ooh my love