Jay Moe Kama Unataka Demu Ft Solo Thang

  Рет қаралды 104,058

Bantu Mc's

Bantu Mc's

Күн бұрын

#JayMoe #SoloThang

Пікірлер: 73
@charlesmsage1306
@charlesmsage1306 8 ай бұрын
who else 2024
@user-hawktv
@user-hawktv 3 ай бұрын
We here
@user-hawktv
@user-hawktv 3 ай бұрын
We here
@kybomaenterprises5405
@kybomaenterprises5405 Жыл бұрын
Huu wimbo ulikua kama signature (kibwagizo) wakati Channel 5 ilitokea. Mtamu kweli. This introduced me to Bongo Music. Mad love from 🇰🇪
@RioIpo
@RioIpo Жыл бұрын
KAMA UNATAKA DEMU. _______________________ "Kama unataka demu" Sema unataka awaje-awaje "Kama ukienda boogie" Ungependa atokeaje-atokeaje "Marashi itakuwaje" Angenukiaje "Na akiwa mtaani" Ungependa atokeje 🎼🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶 Verse 1: ----------- Ndiyo nataka demu Lakini tuanzie makumbusho Awe mfano wa Fifi Madada zangu waitwe wifi Siyo Nkinde siyo Leyla Mtaa wao Miyeyusho Simtaki fulani amri ndefu Ndiyo wa leo na kesho Siongopei Phat Pham Nimefull zaidi watapeta Belinda na Moza waki-realize Vipi watadata Jadida la Lydia Wabakie vikono nikipita Sina habari na Naomi wala Salama Vile walinitesa Ndiyo kisa cha kutompenda Koku wala Septou Mwambie Samira amtoe Kachichi Ni washkaji tu Rose na Mariam mapacha Nisije nikachanganya Ni sawa na Esther na Suzie Wa maghorofa ya Bima Bora nitoke Makumbusho Niende zangu K Nyama Kwenye Watoto wa geti Kali Baba Mama tajiri Kama Miriam Hassan Nusu mbongo nusu Msomali Nakwenda kumpa dili Akinata nageuza gari Nikaendelee na Sinza Mbezi mpaka Kunduchi Herieth wa Sinza Mbezi Shakira Tamoh Kunduchi Nadhani ushanielewa Demu wangu atakuwaje-atakuwaje We njoo makumbusho Utamuona amevaaje-amevaaje 🎼🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶 Verse 2: -------------- Sasa nakwenda kwenye majina Na heshima mahsusi. Kama mfaudhia, Jodity, Domina au kama Hoops. Au sera zikimnasa Kibibi kuna ubaya.? Nadhani Mamiss Hawataniona tena mimi mbaya Ila awe Mkweli Siyo mambo ya Miss California Awe kama Sister J Mweupe kama Eugenia Naomba radhi Niliowataja naomba msiwe na kinyongo Mimi nafanya kuwapeni thamani ya juu ndani ya Bongo Tukisema mtoto wa tajiri Mimi namchagua Regina Tukisema Model Ni Miriam Odemba, au hapana..? Tukisema Miss Aminata Keita haina noma IFM watakoma Kwa muda wote ambao anasoma Ila ataweza vipi Kuimba R&B kama Stara Au ni sawa na Mercy Galabawa Leo kuwa msela Nini Gado kama Zay B Mrefu kama Basilla Designer Khadija Mavazi akatuoneshee Kajala Nitahakikisha Hakuna machozi kama Jaydee Sintosubiri Akisema anakuja kama Sister P Nadhani ushanielewa Demu wangu atakuwaje-atakuwaje Kama ukija Bills Utamuona amevaaje-amevaaje 🎼🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶 Verse 3: ------------- Yo.. Nataka demu Miguu mizuri kama Ray C Macho kama Asia Alcoholic kama Sister V Nampenda demu Awe Sister Dread kama Babe Naogopa sana Mpenda chapaa kama Dokii Awe anapenda Rap Siyo bolingo kama AC Mchizi kama Naziz Ila bright kama Cecy Mrefu siyo mfupi na nyama Siyo mwembamba Hewani kama Magese Kiuno kama Odemba Hasiwe Lady flani Hajui kupiga pamba Avae Kama Seven Japo atoke bomba Awe anajua kupika Awe anang'aa kama Sanca Laini kama mafuta Kwenye giza awe anawaka Awe anang'ara Apoze zangu harara Awe na sauti tamu Kuliko ile ya Stara Siyo Kauzu kama Nina Bora mcheshi kama Nora Ili nimpende Sana Waganga wasijenipora Awe anaishi kama Precious Bila mama yake Gypsies Ili siku akichacha Tukakope hata chipsi Maridadi.. Mvuto wa Zamaradi Apitapo maskani Washkaji mpandwe midadi Awe aliyefundwa kama Zinduna Mjanja kama Muna Awe anatabasamu Siyo Kila siku ananua Kama ntapata demu Atakuwaje fikiria Lafudhi iwe tamu Siyo kithethe ka Radhia Hapo mimi ntadata Kama Nature kwa Sonia Hapo mimi ntadata Kama Nature kwa Sonia 🎼🎶🎶🎶🎶🎶🎶 ************** Wimbo: Kama unataka demu Wasanii: Jay Moe Solo Thang & Q Chilla Studio: Bongo Records Prodyuza: P Funk Majan
@queenandchill91
@queenandchill91 Жыл бұрын
Umetisha 🔥
@RioIpo
@RioIpo Жыл бұрын
@@queenandchill91 Yeah
@KalamuYaGalana
@KalamuYaGalana Жыл бұрын
Safi sana
@RioIpo
@RioIpo Жыл бұрын
@@KalamuYaGalana 💥💥
@sengybreeze
@sengybreeze Жыл бұрын
sjawai ku reply comment you tube hii ya kwanza
@boniphacegervas8118
@boniphacegervas8118 Жыл бұрын
2023 who else around here ?
@flexflex6685
@flexflex6685 Жыл бұрын
Nimepiga seti hapa nimekuwa naitafta.Hii ndio bongo yenye ilitawala enzi zake.Rhymes after rhymes
@salminabdallah6328
@salminabdallah6328 Жыл бұрын
Daaa enzi hizo nasoma Kijitonyama primary school hii ngoma nilikuwa naimba verse after verse
@privernnorens2317
@privernnorens2317 6 ай бұрын
Ulikuwa darasa la ngapi na ilikuwa mwaka gani
@rafaelmaniamba5662
@rafaelmaniamba5662 5 ай бұрын
Enzi hizo tupo na kodo
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343 Ай бұрын
A legend indeed
@user-bw2qo6bg1n
@user-bw2qo6bg1n Ай бұрын
Nataka demu / basi nimegahili nenda kwauyo jay moe 2024
@therealTanzanian
@therealTanzanian 4 ай бұрын
This to me is the best bongo flava beat of all time 🔥🔥🔥🔥
@mutumbaroni7546
@mutumbaroni7546 27 күн бұрын
Kabisa
@Ogutateganya-Kasule
@Ogutateganya-Kasule Күн бұрын
True, the beat so infectious.
@MrMPUTO
@MrMPUTO 2 жыл бұрын
NYIMBO YA TAIFA ENZI HIZO
@Kimosa-eb7qi
@Kimosa-eb7qi 7 күн бұрын
Respect brother jay mo
@goodluckydavid5331
@goodluckydavid5331 2 ай бұрын
June2024' who else z HERE.
@witopeter7501
@witopeter7501 23 күн бұрын
sio mademu wa siku hizi lakini uta nyonyoka
@fauziashabibu1467
@fauziashabibu1467 Жыл бұрын
Jamani hii nyimbo enzi hizo mimi mim hata shule bado sjaanza kusoma mpaka leo 2022 naingalia
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 5 ай бұрын
Duuh
@RaiderTube
@RaiderTube 2 ай бұрын
Hii ngoma 2002, miaka 22 iliyopita
@mutumbaroni7546
@mutumbaroni7546 27 күн бұрын
The Best bongo flava rapper of all time?
@kenwatkinz9828
@kenwatkinz9828 4 ай бұрын
Gone are the days, 2002 Kiwira - Tukuyu.
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 4 ай бұрын
Bonge la ngoma
@WaziriLugazo
@WaziriLugazo 4 ай бұрын
Aaaaah kitamboooo iyoooo jay mo
@bizzosela6186
@bizzosela6186 3 ай бұрын
16/May/ 2024 +27 Bado Tunaish nayo 😜
@francistarimo3105
@francistarimo3105 Жыл бұрын
Old is gold 🔥🔥🔥
@chotarawakingoni8148
@chotarawakingoni8148 Ай бұрын
Hapo Kwenye Chorus ukickiliza vizuri “kama ukienda Boogie”..! Kwa wasiojua miaka ile kuna Shows za mziki zilikuwa zinaitwa Boogie Zilikuwa zinaanza Mchana Hadi Jioni 😂😅 Daah…
@kiruikaptich8152
@kiruikaptich8152 7 ай бұрын
Here 2024.... and counting!
@ngenokipkorir9758
@ngenokipkorir9758 8 ай бұрын
Old is gold...i missed these songs
@user-hp9yu3xo5p
@user-hp9yu3xo5p 6 ай бұрын
Tanzania day by p mawenge
@bizzodaboy5367
@bizzodaboy5367 Жыл бұрын
Verse la solo thang noma
@shabanimakwaru2875
@shabanimakwaru2875 Жыл бұрын
Hii na ingekuwa vipi ya FA ngoma za zamani kali
@shafiiluwongo5199
@shafiiluwongo5199 Жыл бұрын
Kwa heshima zote kwa FA hili dude kali sana. Jay Mo, Solo thang Mkono wa P- Funk. Bonge la biti
@brownngullo4051
@brownngullo4051 5 ай бұрын
Q chief aliua kwenye chorus .. Enzi hizo niko Form One ngoma imetoka
@Qqambaa
@Qqambaa 5 ай бұрын
Wow! Kumbe ni qchief
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 4 ай бұрын
Namkumbuka sana DJ Fred Waaah!
@lightmedia8096
@lightmedia8096 8 ай бұрын
here 2024
@clivedishon8192
@clivedishon8192 8 ай бұрын
classic
@saleh9997
@saleh9997 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana 2005-2023
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
Old iz gold## j mo🔥🔥🔥🔥🔥
@eliasanyimu1669
@eliasanyimu1669 Ай бұрын
2024 still going strong
@albertlilechi4906
@albertlilechi4906 5 ай бұрын
Jay Moe nakubali mkuu
@sajumahege4903
@sajumahege4903 6 ай бұрын
VERSE 1__JayMo Ndiyo nataka dem lakini tuanzie Makumbusho, Awe mfano fifi madada zangu wamuite wifi, Siyo Mkinde siyo Leyla, mtaa wao miyayusho Simtaki flani Amri Dave ndiyo leo na kesho, Siogopei Fat Family full dhahiri watapeta, Belinda na Mose wakirealize vipi watadata? Jedida na Lidya wabaki vikono mkipita, Sina habari na Naomy wala Salama vile walinitesa, Ndo kisa cha kutompenda Coco wala Zeitun, Mwambie Samira mtoe kachichi ni washkaji tu, Rosillah, Mandu mapacha nisije nkachanganya, Ni sawa na Esther na Suzzy wa Magorofa Bima, Bora nitoke Makumbusho niende zangu Kinyama, Kwenye watoto wa geti kali baba mama tajiri Kama Miriam Masa nusu Bongo nusu Msomali, Nakwenda kumpa dili Akhenaton nageuza gari, Nkaendelee na Sinza, Mbezi hata Kunduchi, Heri ntoe Sinza, Mbezi Shakilla hata Makunduchi, Nadhani ushanielewa dem wangu atakuwaje takuwaje, Wee njoo Makumbusho utamuona amevaaje mevaaje
@user-en2fc5xp7e
@user-en2fc5xp7e Жыл бұрын
Oyaaa kama hili goma ulikuwa kwenu na hadi Leo uko kwenu mkuu mkuu mkuu utapakatwa toka magetoni kondoo wa bwana
@Qqambaa
@Qqambaa 5 ай бұрын
Kati ya mvua najua unapenda nini??😂😂
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 8 ай бұрын
ila brother J moe noma sana
@shafiilupyagu2504
@shafiilupyagu2504 2 ай бұрын
Ngoma kali san daaaa ktmboooo san daaa😢
@user-bw2qo6bg1n
@user-bw2qo6bg1n 5 ай бұрын
Nataka demu❤❤ U
@hendrykimaro1717
@hendrykimaro1717 Жыл бұрын
March 5 2023 🤗
@angelavayinga914
@angelavayinga914 Жыл бұрын
Zamani sana hadi raha
@thomaswilliam2214
@thomaswilliam2214 4 ай бұрын
2002-2024🇹🇿
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 2 ай бұрын
2024
@emmanueldavid6809
@emmanueldavid6809 2 жыл бұрын
dude kali mpaka leo hii 2022
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 9 ай бұрын
Kitambo sana
@laurencesamwel
@laurencesamwel Жыл бұрын
Unyama ni mwingi haina longo longo
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 9 ай бұрын
2023❤
@hassanbashir3253
@hassanbashir3253 7 ай бұрын
More technics👍
@RaiderTube
@RaiderTube 2 ай бұрын
Jay moe
@chidmashine3401
@chidmashine3401 2 жыл бұрын
Enzi izoo
@abelshao6284
@abelshao6284 3 ай бұрын
18 may 2024
@mcoastlaubizy
@mcoastlaubizy 4 ай бұрын
2024😂
Jay Moe - Cheza Kwa Step Ft Ngwea
4:43
Bantu Mc's
Рет қаралды 44 М.
Jay Moe  Bishoo
4:12
Bantu Mc's
Рет қаралды 25 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 11 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 48 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 97 МЛН
Mtoto wa geti kali - Gangwe Mobb
6:25
Graphix Master
Рет қаралды 77 М.
Ngoma itambae-chid benz  dir : by hassan Kundamayi
5:02
Hassan Kundamayi bin Tambwe
Рет қаралды 1,2 МЛН
JUMA NATURE - MUGAMBO
3:31
gasper gwanchele
Рет қаралды 74 М.
Jay Moe  Maisha Ya Boarding
5:00
Bantu Mc's
Рет қаралды 8 М.
Boss (feat. Ferooz & Juma nature)
7:26
Dominick DM7 - Topic
Рет қаралды 110 М.
Afande Sele  ft lameck ditto - Dunia ina Mambo
5:06
Afande Sele
Рет қаралды 4,1 М.
Mandojo & Domokaya - Wanok Nok
5:00
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 357 М.
Jahafarai - Niko Bize
3:55
Anton B
Рет қаралды 433 М.