Naisikiliza hapa zaidi ya mara ngapi sijui..hata sikumbuki..nasikiliza you tube..kuna hela anapata JAY kweli? Daaaah!
@TinnvibezАй бұрын
Kati ya nyimbo zangu pendwa na hizi ni moja ya Inspiration kubwa sana kipindi nakua kunifanya sasa nimekuwa music producer. Gonga like kama unapenda mziki wa Prof Jizze. Bongeza profile yangu kasikilize mziki mzuri 😊😊 zao la Tz
@mtinangkhalphan2609 Жыл бұрын
khalfan majani on the beat🙌
@ShaibuIssa-g9i5 ай бұрын
Mwezi wa 8 2024 like zitoshe
@patrickmalegesi733 жыл бұрын
Wangapi tunasikiliza hii ngoma 2022 gonga like kama tuko pamoja
@Jason_playz-u4s Жыл бұрын
Lo! Mwanangu twamalizia 2023 kwa hili hit
@josephcleopa465211 ай бұрын
2024
@niyongabofranckraoul45598 ай бұрын
2024
@SlimBunduk11 ай бұрын
2024 from Germany iko sawa
@robertgodfrey34208 ай бұрын
Iko sawa🤞🏽
@daudiedsonrichard509 Жыл бұрын
its 2023 but the song is still hot 🔥
@Minzatz Жыл бұрын
Yeah
@capitalcity66314 жыл бұрын
Some body still watching this video 2020.... gonga like twende pamoja kama kwel unamkubal Prof J ft Jay dee
@bakarimembe74654 жыл бұрын
Nipo ndugu leo tarehe 13th March 2020
@bakarimembe74654 жыл бұрын
Nipo ndugu leo tarehe 13th March 2020 naichek hii ngoma
@nukaimaterial1159 Жыл бұрын
Nimeludia tena kusikiliza ngoma kali tarehe 2/1/2024
@queenmimi324 жыл бұрын
Wangapi tuna sikiliza hii ngoma 2020 tujuane
@yohanayalagwila56494 жыл бұрын
Tuko kibao kwani ngoma haichujiiiiii
@samwelelias51925 жыл бұрын
Wangap tunafunga mwaka na hiz nyimbo dondosha 👍 hapa
@branconotorious1164 Жыл бұрын
Ngoma kali Yan hadi inaboa 2023👍
@rahmurajabu64505 жыл бұрын
Ngoma kali p.funk beat kali sana jamani p. Umetisha
@johnsonkihwili45905 жыл бұрын
u remind me those days at kinondoni studio
@chedichedi29926 жыл бұрын
Uko juu Professor Jay nikiwa machungoni na kijiradio changu kaseti ikiisha naigeuza upande wa pili... Kabuku, Tanga
@priscusaugust72515 ай бұрын
👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊
@chrispingeorge36523 жыл бұрын
Kali sana, nani mwingine anaskiliza 2021?
@jonijokimolo10253 жыл бұрын
Ngoma kubwa sana mzee
@apeterpaulo74366 жыл бұрын
Handeni tanga tunaikubali sana hii ngoma jamaa hadi bungeni sasa ni mh joseph haule
@SamuelMkare-x9w3 ай бұрын
+254 mko wapi 2024
@stangamba90177 ай бұрын
Who else is listening ni June, 2024
@justinmajaliwa23367 ай бұрын
I am. Today, Wednesday, June 5, 2024, 1754h. Something about these past Bongo hits just hits different. Unlike nowadays, watu kuimba matusi na kudhalilisha jinsia ya kike.
@dangerboytz709510 ай бұрын
tunaoisikiliza ii ngoma 2025 like hapa
@michaellimu23326 жыл бұрын
Mheshimiwa prof.jeezy.
@ZawadiKayombo-e5t10 ай бұрын
Day acha tuwape mauwa yai
@mbarakausein65343 жыл бұрын
Mara ya Kwanza naiskia hii ngoma ilikuwa mwaka 2004 Brother alikuwa na hii album Song: Niamini Prof Jay ft Jaydee Album: J.O.S.E.P.H Thank you for good memories today 2022
@DoodfleyBruno9 ай бұрын
Kitambo hicho siku zinaenda et wazee ni hatar 2024😅 pmj
@byamdedelcano6054 Жыл бұрын
My favourite nakumbuka henzi zetu Za Bongo flave
@boscoboy5733 жыл бұрын
Naombeni like like kumi kwa Dada yangu ldy jdy mdada mwenye hekima
@makamefareed90949 күн бұрын
Kama unaisikiliza nyimbo hii 2025 gonga like hapa
@omarymbalala62246 жыл бұрын
Nakubari Sana hakuna shabiki wako Kama Mimi ebu niwekee na ile NAJARIBU KURUKA WATU WANAKATA MBAWA
@jumakakwaya10224 жыл бұрын
Kama unasikiliza 2020 gonga like
@SaidSwalehe-xf1ch2 ай бұрын
Dah zitaish San ngoma izi
@galeisaac34723 жыл бұрын
Golden voice much love from UG 🇺🇬🇺🇬
@juliusndule4016Ай бұрын
Baada ya kufeli darasa la 7,nikaamua kwenda kurudia la 6 kijiji cha jirani,siu moja jumapili nilikua nasikiliza RFA ya sam devis kihama inapigwq hii ngoma,nikaletewa barua kwamba nimechaguliwa second selection dah since the day ikawa ngoma yangu.
@shedrackamani89162 ай бұрын
Watu wenye fitina 🎉
@MakondaJilala4 ай бұрын
Professor hii Ngoma kanikumbusha mbali sana😂😂
@jamesmichael368 Жыл бұрын
Ngoma inaishi mpaka Leo 👍👍
@254Viking_Ke11 ай бұрын
Had forgoten about this great jam❤❤❤❤ ... Muziki asili
@Hyden_tz11 ай бұрын
👍🏼
@tunguizengo59966 жыл бұрын
noma sana
@kapituomary23444 жыл бұрын
mziki mzuri tumekua nawo tunaish nawo daima
@franklintrevor47327 ай бұрын
✌️ old skul bongo Flava mupo ? Who else who's listening this song on repeat 😊 Professor bro Mwenyezi Mungu fanyiy wekey wepes InshAllah 🙏🏼
@vicesebba57086 ай бұрын
Tupo wote
@omarymbalala6224 Жыл бұрын
jay wa mitulinga 2023
@ibrabizness38907 ай бұрын
Daaah Hizi ngoma nataman siku zirud nyuma
@NiverasNdayisabaАй бұрын
Nyimbo kali jay mutumuzima
@salesgreat9250Ай бұрын
Hii nouma sanaa👒
@williamkahindi67589 ай бұрын
Nakuthani chizeee.. Nakupenda jide❤
@larrykafuta5771 Жыл бұрын
Nakuheshimuuuuu 😊
@rahimrajabu51426 жыл бұрын
OK hide noma umetisha dad wewe mkali
@achievefinancetz2 жыл бұрын
Get well soon Professor...... Your songs are superb
@tallman20173 ай бұрын
2004-2024 bado naisikiliza❤
@KarimKikula5 ай бұрын
Profesa kama dady
@athmanijunior40353 жыл бұрын
Tupo hapa hadi hii 2021👏👏
@ciphertz5 ай бұрын
2024 bado sijaichoka.. Big up Prof J, Lady Jay dee
@rutikangaeugene73436 ай бұрын
Naitua eugene professor jay ni musani wangu kbsa
@hamisimkongo15432 ай бұрын
Prof Jay, The heavy Weight MC, Legends of Legends
@JoshuaElias-lr5xj Жыл бұрын
Nimekumbuka mbali sana enzi hizooooooo
@tobitobina46556 жыл бұрын
moore love from Kenya,western province
@moseshandsam18653 жыл бұрын
Ivi Kwann my brother pro kama pro
@makumiwainaina37714 жыл бұрын
Bado Mbunge anapenda mziki bado
@victor901013 жыл бұрын
All the love from Kigali Rwanda ✌
@MzeeKigogo_6 ай бұрын
Majani on the beat
@sallukhan52592 жыл бұрын
Childhood favourite song😭👏
@RidhiwaniShikeli-du6nv Жыл бұрын
Lady sauti balaa inaita
@MohamedHashim-u1n11 ай бұрын
Still banging 2024
@WILSONSAFARI22 күн бұрын
I sei hii Kali.
@paulinekidali9284 Жыл бұрын
Nmeiskia kwa post ya Prof Jay pale insta came to listen to it
@KaristiOtto Жыл бұрын
Jay ma role model
@godfreyvicent53702 жыл бұрын
Wangapi wanasikiliza ngoma hii 2022
@rithanalukuli33675 жыл бұрын
Living in U.S.A I love you jay please keep it up
@gabriellacostar58416 ай бұрын
Back in the days producer's walikua serious 2024 bado moto
@Takulu-yr8ud8 ай бұрын
Wakati huo noma iyongoma
@aishaissa25122 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana enzi hizo 🔥😘
@michaelmallya56226 жыл бұрын
Great Album
@niyongabofranckraoul4559 Жыл бұрын
Tuko pamoja 2024
@innocentking5709 Жыл бұрын
Dude limekaa sawa aise, old is gold
@VictorBugobola Жыл бұрын
Npo 2023 love❤❤❤sana
@jamesgerald24 жыл бұрын
Wanamziki zaman waliimba bana bonge la ujumbee
@frankchamba88943 жыл бұрын
wangapi wengependa jay na jay na baisa wakuwe na collab
@mscribesgona35383 жыл бұрын
Hits za nguvu sana
@killamahtv2483 Жыл бұрын
2024 king prof and queen jide
@abubakarrujugiro44155 жыл бұрын
i liv jay from Rwanda paul kagame loves u
@sundayulomi95478 ай бұрын
May 9,2024 niko hapa, asante joseph
@yusuphmwaliko28572 жыл бұрын
Miaka inapita inaenda inarudi na sichoki kusikiliza huu wimbo na hakika hizi ndo bongo fleva halisi
@queenprocoline26297 ай бұрын
2024 still a hit song✨👌
@mathewjames7088 Жыл бұрын
2023 coming of age😮
@djb2kzer06 жыл бұрын
2k18 I’m still hear dis hit song from Canada 🇨🇦
@beavonmagare6 жыл бұрын
2nd comment. 3rd viewer. Thanks Prof
@filimonmboya204 жыл бұрын
Ngoma kaliii sana professor j na mama LA mama ledy jee
@tumainimallya15002 ай бұрын
Majani alitisha sana wakati uo😂😂
@francismwangi45976 ай бұрын
Ngoma ilitamba sana 2005/2006
@magungahamisi37062 жыл бұрын
Tuna sikiliza wapenda mziki mzuli
@joecoasty3391 Жыл бұрын
hit song🔥
@kambiguy83174 жыл бұрын
Wangp 2naskikiz hili goma 202q
@freedomtz32886 жыл бұрын
dar,old is gold
@tumainimallya15002 ай бұрын
Noma sana
@emmachriss_tv34473 жыл бұрын
This morning mamy babe from clouds fm kanikumbusha ili song on PB #2021