JAY MOE NA INSPECTOR HAROUN WAZUNGUMZIANA, KILA MMOJA AMPA MAUA MWENZAKE!

  Рет қаралды 16,295

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@yvesyveldinhomzee.5682
@yvesyveldinhomzee.5682 Жыл бұрын
Legends, inspector haroun & jay moe, mwana fa, Kr
@CoachHafidh
@CoachHafidh Жыл бұрын
Jay mo full energy mpka kwenye interview ..😂🙌🏾
@akidaramso7135
@akidaramso7135 Жыл бұрын
Inspector Haroun....King of Rap katuni
@Chemba67
@Chemba67 Жыл бұрын
Dah fan with sense......kitambo......Jose Mtambo .....
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 Жыл бұрын
❤💋wahuni sio wat wazur ❤❤❤❤💯👍
@blackblue9729
@blackblue9729 Жыл бұрын
Super man himself 🔥🔥🔥
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 8 ай бұрын
🔥🔥🔥💪💪
@husseinmasangya1272
@husseinmasangya1272 Жыл бұрын
Noumer sanaaa
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 Жыл бұрын
Baba towanyimbo mpya
@ombenmichael3473
@ombenmichael3473 Жыл бұрын
Inspector Aroun
@mwlpierre
@mwlpierre Жыл бұрын
Inspector Haroun anafanana na Suleiman Kova
@Michoarbah
@Michoarbah Жыл бұрын
Hahahah kwel
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Weee jamaa noma sana....
@jacksonkalinga7148
@jacksonkalinga7148 9 ай бұрын
Sio Shetta?😂😂
@Chemba67
@Chemba67 Жыл бұрын
MTOTO MTANGAZAJI ETI ANAMPITA LEGEND DJ MAARUFU JOHN DILINGA ANAKWENDA KWA YOUNG KILLER DAH ....AISEEE..HAWA WATOTO WEUPE KWELI HAWANA HATA WANALOLIJUA.........
@daudimwidimakihanda5386
@daudimwidimakihanda5386 Жыл бұрын
Hata mi nimeshangaa ila nimegundua alikua analinda content ya kipindi chake, content inalenga wanamuziki na sio ma DJ kama angemuhoji DJ JOHN DILINGA content nzima ingebadilka sababu DILINGA ni mkubwa pia tena inaweza ikawa zaidi hata ya hao wasanii.
@Chemba67
@Chemba67 Жыл бұрын
@@daudimwidimakihanda5386 Inategemea na umahili wake ktk kuuliza au kuyatafuta maneno toka kwa anayemuhoji, angeweza muhoji DJ Dilinga kwa kumuuliza maswali ambayo yasiyo muhusu Dj bali tukio lililopo mbona simple....... tena nadhani ndio angeisherehesha vizuri kwakua ni mkongwe mwenye kujua mengi.Binafsi nadhani dogo mweupe tu hana analolijua zaidi ya hawa wanyoa viduku na wavaa nguo za kubana
@issachina9443
@issachina9443 Жыл бұрын
Kampita dj jd inamana hamjui au jeuri
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Жыл бұрын
Wanamjuwa basi ndugu wao msanii ni daimond
@chizashungu1236
@chizashungu1236 Жыл бұрын
NDIYO HIVYO KWANI LAZIMA KUMHOJI DILINGA.ANAWEZA AKAMHOJI YOYOTE KWA MUDA ULIOPO.HUMU NDANI KUNA WATU MUHIMU NA MAARUFU WENGI SANA.DIAMOND PLATNUMZ HONGERA KWA KUTOA USHIRIKIANO WAKO.JAY MO GOOD JOB.
@albertmbise2670
@albertmbise2670 Жыл бұрын
Nouma sana aiseee watoto wa juzi hawa awawezi mjua!
@rasvegas8991
@rasvegas8991 Жыл бұрын
Jay moo anatoa jchoo
@angeldejoice3202
@angeldejoice3202 Жыл бұрын
Babuu ,j moe ,kr
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Mwandishi ameachama mdomo wazi tu
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 Жыл бұрын
yuko tenki balaaaa
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Mkasi | S13E06 with Jay Mo Extended version
1:03:37
MkasiTV
Рет қаралды 71 М.
SIKIA TAMBO za SUGU - "HII CHENI NILIYOVAA NI SAWA NA MAGARI 4"
4:29