Allah amuongoze Dr. Gerishon katika UISLAMU in sha Allah Amin
@ahlanwasahlan3734 жыл бұрын
Ameen
@hassanrangambo80074 жыл бұрын
maashaalla masheikh mulianza kwa kuwapa uji sasa wanakula ugali wenyewe wanafundishana wenyewe kwetu inamaanisha washaelewa TZ tunafuatilia sana
@maruboy53 жыл бұрын
MashaaAllah without DR Gerishon there's no taste of debate without him....
@absameosman91133 жыл бұрын
Bwana Gerisson ht kama sio muislamu lkn anaaemanga ukwli... Hhhhhhhh ManshaAllah masheikh wetu wapendwa ustadh Yahya na ustadh yussuf.... Masheikh wangu nawapenda kwa ajili y mwnyezi mungu
@rbagha52802 жыл бұрын
From Canada. Christians please read! Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
@janawchannel37974 жыл бұрын
Manshallah shiekh yahya mungu akupariki mahali pazuri peponi na hata pastor ndacha ungeweka box kama gerishon
@jangombeboys45364 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@latifamkulazi83784 жыл бұрын
Mwenyekiti mchokozi 😃😃et. Anawezakutumia hii biblia ya kiafrika
@ahlanwasahlan3733 жыл бұрын
MAA SHA ALLAH
@muslihmohd94204 жыл бұрын
Hii nzr sana imekuwa ndefu kiasi
@uwesusaid97643 жыл бұрын
Mashaallah 🇹🇿
@mariamali18874 жыл бұрын
MashaAllah mashaAllah Allah barik
@mwanamwinyibmwakinalo40944 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃,Subhanallah, sasa wakaushana mate wenyewe 😃😃😃😃😃
@hillaryarande7452 жыл бұрын
Hawa wachungaji wa kikristo hawana elimu,lazima wasome Quran,hadidhi za mtume,kitabu Cha maisha ya mutume ukiwa na iyo elimu waislamu wakikuona watakimbia
@sulehassanshall61404 жыл бұрын
Melekaulam. Mr jrison hiko nikihindi.sikiyahudi..
@sarifimikidad39944 жыл бұрын
Mashaallah Allah(s.w)awalipe mashekhe kwa kazi njema
Kumbe watu wote hao wa kuingia kanisani wamepotezwa? Duh! Msiba huu
@faridsaid91804 жыл бұрын
Bwana waziri yuko?
@shifaazawadi44384 жыл бұрын
Hii mada nimecheka 😂😂 wallah Allah awaoneshe njia iliyo nyooka kwani huu ni msiba mzito sana
@ahmednoor95464 жыл бұрын
Heeeehe wameanza kubishana wao kwa wao nabado kitaeleweka tu
@jumakoga21794 жыл бұрын
Hamtapata ukweli wa bibilia , ambao ni taurati , zaburi, na injili kwa sababu waliochakachua au kuviharibu ni haohao wanazuoni wa kiizraili na kazi yao ilikuwa ni kuwakataa mitume wao sasa nyinyi ukweli mutaupata wapi!!!! Silimuni nyinyi muje musome kitabu kisicho na shaka ndani yake,
@rukiamatano77644 жыл бұрын
""Maashaallah😄😄 kitaeleweka tu,
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Sana
@sulehassanshall61404 жыл бұрын
Jrison wayahudi wenu huko Ezrael wao pia wamepotea waabudu ukuta wa hekalu na nabii suleiman..pia wao wniwapoetvu hawa njia .kisha wamelaaniwa namungu..jrison wacha uyahudi wao pia ni wapotevu hawana njia...jrison fuata Dini ya yanabii isa yakweli. Acha uyahudi wao pia huko hawaelewani kwenye hizo dn zaukrsto.
@hillaryarande7452 жыл бұрын
Utangundua wakienda kuiji uenda kusujudia jiwe jeusi ,ni mungu anasema usishudie kitu chocolate ila yeye
@abdallahdoka91734 ай бұрын
Badala ujibu aligation za bible fake we unaleta mada nyingine😂😂😂 ama huna jibu
@hillaryarande7452 жыл бұрын
Quran yenye we inasema Quran nimukusanyiko wa mambo ya uongo
@vivawizzy25363 жыл бұрын
Mwenye kiti mbona aumupi mtu muda wakujielezea bana
@stoispapi23802 жыл бұрын
Hakuna muda wa kudanganyana.
@hillaryarande7452 жыл бұрын
Ikiwa Quran inasema wakristo ni watu wa injili, torato, na zaburi nyinyi ni nani Muna kataa
@Footballer-19924 жыл бұрын
Yani nyinyi, kitu ya kitambo mnapost Jana?!!!!! Waah, nowadays hamna hoja.
@ahmadakishingo19354 жыл бұрын
Iwe ya jana juzi au siku yoyote tunachotakiwa kutizama dhamira na ujumbe ww wawapi nenda kwenye hoja za msingi
@nooor11204 жыл бұрын
Haijalishi ya lini ukiona haki ifuate au utajidhulumu nafsi yako
@hillaryarande7452 жыл бұрын
Unaposoma Hadith za mtume utagudua aliowa mtoto wa miaka 6 kukua mke wake ,pia utangundua alirongwa ,nakwambia uislamu auna lolote
@sulehassanshall61404 жыл бұрын
Mashe nawaomba mumtafute ndacha Apambane na jerison..Ampe ukweli wake maana kiburi chake kimezidi.?
@siamabakwe42744 жыл бұрын
Wacha unafiki banaaaaa we ni tiyitus hata wutembeye ulimwengu mzima we vp
@muslihmohd94204 жыл бұрын
Yani uyu Gerison amejuwa baadhi ya maneno ya kiibrania imekuwa balaa anawaona wakristo wote wamepotea ila yeye tu hajuwa kuwa na yeye ndio kapotea zaidi maana ata kitabu hana afadhali hao wengine wanazo izo za uongo,tunamwombea kwa allah ampe hidaya aijue haki inshallah
@kenyadawahtv904 жыл бұрын
Allahuma Amin
@aaibrahim44874 жыл бұрын
Okoth😂😂😂😂
@siamabakwe42744 жыл бұрын
Sasa among all christianity religion's who is the owner of the bible
@stoispapi23802 жыл бұрын
Bible ni nini? Jina ya wazungu tu.
@alimasigasaleh86593 жыл бұрын
(BLOGGING THEOLOGY) Hii channel Christian theologians wanafafanua ukiristo ,biblia na ujajanja mwingi uliyotumika na kuteka wakiristo akili kwa kubadilisha ,kuongeza na kutoa baadhi za aya za biblia.