JE, DUA YA IMAAM BAADA YA SWALA MAAMUMA YAFAA KUINUA MIKONO? SHEIKH KISHK.

  Рет қаралды 7,941

Kishki Online TV

Kishki Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@salimobeid1470
@salimobeid1470 Жыл бұрын
Sh kishki mashallah umejibu kwa hishma na nidhamu na Amana ya kielimu na wala hujajibu kwa kufuata misimamo yako hivi ndivo wanazuoni wakubwa walivo hata imamu ibn thaimia alikua akijibu pande zote mbili wakati wamasuala alikua mwisho husema mie raí yangu nihivi lkn husema kwamba kuna kauli nyengine zipo hivi sasa watu wa leo wanavuruga kwa kulazimisha watu wawe kwenye misimamo yao mashallah
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 8 күн бұрын
Alie na ufahamu kafahamu vzr Mashallah kwa jibu zuri na ulipo mtaja Mtume kua hajawahi kuomba dua ya pamoja baada ya swala pia tumekufahamu Sheikh na tukeshajua ukweli juu ya hilo dua ya pamoja pamoja na ikhtilafu iliopo ila kauli yenye nguvu km mtu amekusikiliza vzr bila ya ubishi basi ameshaelewa
@mohamedsalimaljahdhamy1436
@mohamedsalimaljahdhamy1436 Жыл бұрын
Maa shaa Allah shekh amejibu swali kana alivyoulizwa tu. Hao wengine waliocoment walitaka aende kule ktk ikhtilafu ya kuleta dua ya pamoja na si amesema kuwa lile suala lina ikhtilafu baina ya wanawachuoni. Lkn yeye amejibu kama alivyoulizwa na maashaa Allah amekuwa wazi na jibu zuri maa shaa Allah. Kuinua mikono ni suna wakati wa kuomba dua na Mtume s.a.w alinyanyua mikono na hadithi zinazozungumzia hivyo hazina idadi. Imam Suyutwi ametunga kitabu hasa kinaitwa "Fadhu wi'aa 'an Ahaadith raf'a l yadaini". Ktk kitabu hicho ametaja hadithi hazipungui 50 zinazothibitisha kucaa kuinua mikono wakati wa kuomba dua. Allah akubarik Shekh wetu na akupe hekima na busara ktk kulingania. Amin Ga Rab
@ahmedbaamironlinetv4753
@ahmedbaamironlinetv4753 6 ай бұрын
MASHALLAH
@boraihano2612
@boraihano2612 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki Sheikh
@churchmouse7131
@churchmouse7131 3 жыл бұрын
MashaAllah brief and precisely putted
@cassimoa9217
@cassimoa9217 3 жыл бұрын
Jazzakallah kheir, umejibu vzr sn
@farisytanzania6566
@farisytanzania6566 3 жыл бұрын
Masha,Allah kwa majibu yako mazuri. Allah akuongoze Shekhe.
@shabaniswedi1970
@shabaniswedi1970 3 жыл бұрын
Naam shukran Shehk.
@faustinealoyce3046
@faustinealoyce3046 3 жыл бұрын
Jazaq Allah kherii..
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 жыл бұрын
Shukran sana ustadhi
@aishakinia4957
@aishakinia4957 3 жыл бұрын
Shukran sheikh
@saidmuhibu1306
@saidmuhibu1306 3 жыл бұрын
Jazakallahu khairan
@زينببنتسعيد-د9ح
@زينببنتسعيد-د9ح 3 жыл бұрын
Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu shukraan jazzakah Allahu kheir kwa jibu hili
@faizanassor6336
@faizanassor6336 3 жыл бұрын
Shukrain allah barqi
@maryuabdallah7345
@maryuabdallah7345 3 жыл бұрын
👍
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam
@manhajnnubuwahtz3632
@manhajnnubuwahtz3632 2 жыл бұрын
kuwaridhisha watu ni kilele kisichofikiwa muogope Allah usichanganye haqq na batwil . utaenda kuulizwa juu ya maelezo yako hayo .
@Abuu_Asfiya-Salafy
@Abuu_Asfiya-Salafy 2 жыл бұрын
Wallah yani umeona kama mimi tu.. shekhe anajaribu kuwaridhisha watu walakin jibu liko straight foward.. na yeye anafahamu hilo..
@rajabumpangalala2968
@rajabumpangalala2968 11 ай бұрын
Anajua Akisema ni bid'a watu ataudhi wafuatiliaji wa channel yake, Allah amuongoze huyu Shekh wa Tv na showoff.
@hawamatuta1905
@hawamatuta1905 3 жыл бұрын
Shukuran
@manhajnnubuwahtz3632
@manhajnnubuwahtz3632 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/d3fFdWOcfLF3ps0 JAWABU SAHIHI NI HILI .
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
M naomba lile swali na majibu nn maana ya sunna kisheria na kilugha
@khalfanikishki4687
@khalfanikishki4687 3 жыл бұрын
Sheikh wangu Kishki. Kaa mbali na Ahlul-Bid'aah. Hao wanakutia woga husibainishe kabisaa. Dua baada ya Swala ni uzushi na uzushi utampelekea Muislamu motoni. Huko ni kumuharifu mtume.
@Abuu_Asfiya-Salafy
@Abuu_Asfiya-Salafy 2 жыл бұрын
Shekhe majibu yake yana talbiss nyingii sana .. anaona akijibu jibu la sawa sawa kulingana na sunna kama vile ataleta far'qa baina yake na watu wa bida'aa..
@saidihaji3739
@saidihaji3739 Жыл бұрын
@@Abuu_Asfiya-Salafy Acha ushabiki wee talbiss iko wapi ?? Hayo mas-ala ni kweli yanakhilafu baina ya maulamaa . Ama dua baada ya swala ni jambo lililothibiti kwa quran na sunna za mtume ﷺ ۔ Angalia tafrisi za qur ani kwe aya ya mbili za mwisho za suratu (( الشرح/ الإنشراح ))
@salafyhlmanhaj5179
@salafyhlmanhaj5179 Жыл бұрын
@@saidihaji3739 sheik dalili zipo ktk surat gni nami nikajifunze
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 9 ай бұрын
​@@salafyhlmanhaj5179ukipata jobu nambie namie nkatafute
@wakwetu2444
@wakwetu2444 5 ай бұрын
MwenyeziMungu Alipotuamrisha kumuomba hakutupangia wakati.
KUOMBA DUA BAADA YA SWALA INAFAA AU HAIFAI......? JIBU HILI HAPA
6:41
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 3,1 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 829 М.
SHEIKH KISHK-ATOA SOMO SWALA YA SAFAR
7:18
Kishki Online TV
Рет қаралды 555
KWANIINI SWALA ZINGINE TUNASWALI KWA SAUTI NA ZINGINE HATUTOI SAUTI
4:22
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 9 М.
JE, DUA BAADA YA SWALA INAFAA?-SHEIKH MBARAK AHMED AWES
1:05:47
Sheikh Mbarak Ahmed Awes
Рет қаралды 9 М.
HUKMU YA KUNYANYUA MIKONO WAKATI WA KUOMBA DUA
5:15
SHEIKH MUNAAWIY ABDUL-RAUF KAGIMBO
Рет қаралды 48
#LIVE: DUA HIZI TATU HAZINA KIZUIZI - KHUTBA YA IJUMAA
41:38
Kishki Online TV
Рет қаралды 2,9 М.