Je, kitambi ni dhambi kwa mwanaume?

  Рет қаралды 12,364

NTV Kenya

NTV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@canesoul5916
@canesoul5916 2 ай бұрын
Wale wenye kitambi kama mimi pigeni tu likes ❤❤
@isaacchumba
@isaacchumba 2 ай бұрын
Focus yangu kwa mtangazaji wa ishara😂😂😂😂😂
@dohaqatr8461
@dohaqatr8461 2 ай бұрын
Hii nimecheka kama fala😂😂 wanaume wenye kitambi leo mumefikiwa...mm pia sitaki mwenye kitambi nataka mrefu hata kama hana pesa nko sawa😂😂😂
@Achievable2610
@Achievable2610 2 ай бұрын
Mbavu zinauma jamani 🤣🤣🤣
@salimbilali5174
@salimbilali5174 2 ай бұрын
Hii ya Leo sio habari ni comedy 😂😂😂😂😂
@benjaminosura7665
@benjaminosura7665 2 ай бұрын
Kama kitambi ni pesa na mali ,mr zakayo the ruto angekua nacho 😂
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro 2 ай бұрын
Kitambi ya atwoli ni minyooo
@Agronomy123
@Agronomy123 2 ай бұрын
😂😂NTV seriously 😂😂
@sufuriamakima5538
@sufuriamakima5538 2 ай бұрын
Huyo ni ugonjwa
@abdimajidmohamed1463
@abdimajidmohamed1463 2 ай бұрын
Hakuna mwenye amezungumzia mambo ya afya. Kitambo yaleta magonjwa ya kisukari na pressure
@gerezakatembo
@gerezakatembo 2 ай бұрын
😂😂 whatever!
@ToM-ht9oq
@ToM-ht9oq 2 ай бұрын
Ndio ni Thambi Mr. Atwoli yuko na thambi .
@elishajoshua7056
@elishajoshua7056 2 ай бұрын
There is a saying in my local dialect which says, kama huna gari unafaa kuwa na kitambi.(Yo Khan garaa basanii, yo khan gari basanii)😂
@paullubanga6135
@paullubanga6135 2 ай бұрын
Heeeeh 😂 kisum ciity
@phosteneeugene7627
@phosteneeugene7627 2 ай бұрын
Mtetesi kubwa ya kitambi
@happytimes9747
@happytimes9747 2 ай бұрын
A man is to be strong sio kitambi sasa anaoneneka mwenye mali na hana, kwani minyoo ni mali. Medium size ndio iko sawa kwa both gender si mnono ya kiboo na si mkondo wa kuhurumiwa
@MuthamaSabastian
@MuthamaSabastian 2 ай бұрын
Mwanamke anafaa kufurahia mwenye Ako na kitambi cos hiyo tumbo haiezi kuwa na mtu hana bidii ya kutafuta pesa ......hiyo tumbo ni ya food buana lakini sometimes unapata performance sio poa but inatemgemea msee huwa anafanya kazi Gani cos job zingine hujenga kiungo😂😂😂
@Fvhffhjifjkztkzmg
@Fvhffhjifjkztkzmg 2 ай бұрын
Ni rahisi ku kata kitambi kuna dawa za herbs ya ku kata na kusa fisha blood
@ancientpathssauciety1892
@ancientpathssauciety1892 2 ай бұрын
Prediabetes then diabetes
@JumanneHunda
@JumanneHunda 2 ай бұрын
😂😂😂😂 harooooo inategemea
@mercynyaga1887
@mercynyaga1887 2 ай бұрын
Hata mi mwanaume ako na kitambi hukaa na shape mbaya ju hata kuvaa ni shida JU the body is unproportional
@Wisedonn
@Wisedonn 2 ай бұрын
Wanawake maskini wanachukia kitambi
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 2 ай бұрын
Kitambi si dhambi, lakini wkati mwingine kinaweza kuwa kizuizi ama kikwazo kwasababu ni kama kubeba mzigo mkubwa ambao umeanika kibindoni 🙂
@HK-wx4fy
@HK-wx4fy 2 ай бұрын
Ntv don't promote kitambi😢😢😢 Ni MAGONJWA TUPU!!!!
@rosalinekemboi5815
@rosalinekemboi5815 2 ай бұрын
Not health.Sitambi.
@daniells71
@daniells71 2 ай бұрын
Kitambi ni ishara ya ugonjwa ambayo unao au unaowadia
@lawrencelawrence3305
@lawrencelawrence3305 2 ай бұрын
What do people think iko kwa Tumbo kubwa?its just excess fat and shit, not muscle,noooooo!!
@juliakanyoro5964
@juliakanyoro5964 2 ай бұрын
NTV sharing nonsense we have more serious issues than men with big tummies
@hewardthegreat
@hewardthegreat 2 ай бұрын
I support
@PatienceJuliet-o5i
@PatienceJuliet-o5i 2 ай бұрын
Wewe ukona kitambi
Sababu ni Mapenzi : Mzungu akabiliwa na umaskini Malava
4:08
KTN News Kenya
Рет қаралды 254 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 19 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,1 МЛН
Jicho Pevu yaangazia saa kumi na mbili za mwisho za mwendazake Jacob Juma
36:26
10 FUNNIEST AUDITIONS EVER ON BRITAIN'S GOT TALENT!
22:48
Freakin' Famous Talent
Рет қаралды 53 МЛН
Vioja Mahakamani I Kudanganya Exhauster Imejaa
23:58
KBC Channel 1 TV Shows
Рет қаралды 77 М.
Masimulizi ya Birdman
14:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 401 М.
Polisi wanachunguza tukio la kushambuliwa kwa mwaniaji ubunge
8:03
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 94 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН