Je Kusherehekea Maulidi ni Kheri? - Dr Muhammad Islam Salim

  Рет қаралды 27,339

Abduraheem Ouna

Abduraheem Ouna

Күн бұрын

Majibu kwa wale wanaodai kusherehekea kuzaliwa kwa mtume ni Kheri, je wako kwa kheri au upotofu?

Пікірлер: 245
@abdulmalikngunje402
@abdulmalikngunje402 2 жыл бұрын
islam nakuombea kwa allah akuhifadhi nakupenda sana kwa ajili ya allah
@abuusuhaibmchumi4825
@abuusuhaibmchumi4825 2 жыл бұрын
Sheikh nakupenda san kwa ajili ya Allah unasifa nyingi sana za kuwa ww up kweny haki Allah akuwafikishe huko pamoja na ss "AMIN"
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 Жыл бұрын
بارك الله فيك يا شيخ
@AishaMtapa
@AishaMtapa Жыл бұрын
Mashallah sh islam ujumbe umefika anaetaka atayafanyia kazi na asiyetaka atayaacha kama yalivyo ila wenye akili wameelewa. Hakuna kulazimishana katika dini. Waache wanawake wao wasivae stara za kueeleweka na wajipure kisha wajiposti mtandaoni eti wanamsifu mtume s.a.w. kesho kiama kuna mizani yote yanaandikwa musigombane kila mtu ataulizwa kwa kile alichokichuma kwa mikono yake.
@alikhamis6326
@alikhamis6326 3 жыл бұрын
Shukran sheikh islam umefikisha uislamu wa mtume muhammad na maswahaba zake anaekuping ni mtu wa matamanio Allahulmustaan
@assanimoshi2721
@assanimoshi2721 Жыл бұрын
Jazakallahu khayra
@mussamohamedmohamed9629
@mussamohamedmohamed9629 3 жыл бұрын
Wallah haqi iko wazi na baatwil iko wazi
@abdurahmanomer6636
@abdurahmanomer6636 5 жыл бұрын
Mashallah mwalimu
@omarijawadu4047
@omarijawadu4047 3 жыл бұрын
بارك الله فيك
@abuhsanono4392
@abuhsanono4392 3 жыл бұрын
Wa sheikh wa kusoma vitabo vyewupe wana ilimu ya kinadjidi tunaelewa mfumo wawo basi ukimupenda nabi Muhammad s.a.a.w Hawuezi ukahuzunik akitajwa
@mariyamahmed9136
@mariyamahmed9136 3 жыл бұрын
Huyu hajasoma
@mariyamahmed9136
@mariyamahmed9136 3 жыл бұрын
Ongelea dhehebu lako naikitaka kueleza mawlidi basi soma Kwanza
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 3 жыл бұрын
@@mariyamahmed9136 umeona eh ? Hapo ni kutaka kuonekana Kama kasoma na kutafta kick
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc Жыл бұрын
Kwani kipindi cha mtume hapakuwa na washairii ambao walikuwa wakimsifu mtume s.a.wa !
@dullahshaaban728
@dullahshaaban728 2 жыл бұрын
Ukitaka kujua bidaa ni mbaya humo humo kwenye maulidi ushenzi ufanyika mabinti wanapewa mimba ....✍️✍️✍️
@mohammedali1645
@mohammedali1645 Жыл бұрын
A.a ustadh wataka munakasha na sheikh Fadhil wa mambrui ?.Toa date tuwaeke live wacha mupambane mupimane tujuwe ukweli uko wapi?
@ounaogot
@ounaogot Жыл бұрын
Kupimana kwa ajili gani? Na itakua na faida gani? Tusoneni did I tuwache ukaraa
@milanizuberikasimu1859
@milanizuberikasimu1859 Жыл бұрын
Wengine wanajiita watu wasunna kumbe hata hadithi za mtume hawajui fasri zao mtume amesema jambo linalokutia shaka usilifanye fanya nisilokutia shaka maulid kwa kuwa wanaosoma ni mashekh na wanaokosoa ni mashekh tumieni hadithi hiyo acheni porojo kisha wengne mnajipa kiburi
@abubakaralimohammed3388
@abubakaralimohammed3388 3 жыл бұрын
Jibu sahihi hakuna kheri yoyote katika maulid wanavyodai
@alisalim2384
@alisalim2384 3 жыл бұрын
Mauliidi ni bidaa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
@@alisalim2384 hakuna kheri yoyote tunaposoma quran kwenye maulid. Subiri kiama umwambie Allah sw hio kauli
@abii-nurayn
@abii-nurayn 3 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 mnamsingizia mtume mana kaacha mazuri ya kumuabudu Allah Kwa kupitia maulid Kama we ulitumwa kufundisha dini kuliko mtume endelea kutetea Bida na uzushi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
@@abii-nurayn ndugu yangu maulid inakusudia kuzaliwa kwa Mtume saw. Hilo la kuzaliwa yeye lilitokea kabla hajafa. Kitu ili kiwe bidaa maana yake kitokee baada ya kufa kama hio simu unayoitumia ni bidaa. Kueka feni msikitini ni bidaa. Sjui unafahamu?. Kama kafa kwanza Kisha kazaliwa basi hio mazazi (maulid) itaitwa bidaa😂. Kuna watu vichizi duniani vina fuata mikumbo tu hamna wajualo🤣🤣🤣
@abdallaali7450
@abdallaali7450 3 жыл бұрын
Kuanzia leo musipike pilau na biriyani kwenye maulidi alafu tuone kama watu watakuja kusoma maulidi.Ibada sio lazima ya chakula ndio maana watu wanajaa kwenye maulidi na wakati wa sala safu moja.Hizo pilau na biriyani ni zakuvutia watu.Hizo pesa wasaidieni maskini kuliko kuzipoteza bure.Allah atuongoze sote ummah wa mtume wetu Muhammad rehma na amani zimshukie kwenye njia iliyonyooka.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
Kumbe huna akili eeeh😂😂😂. Sasa kama watu wananjaa ndio wanaokuja maulidini basi yawastahikia kulishwa walio na njaa. Au vibaya kumlisha anonjaa akija maulidini?. Huyo ni bora zaidi kulishwa kwakuwa amehudhuria kikao cha kheri tokea asubuhi mpaka mchana. Waonaje ualikwe Kuna mkutano wa dini Kisha asubuhi mpaka jioni na URUDI kwenu hukulaa?. Kwahakika utasema wale watu ni wabaya. Sasa watu wanaoandaa maulid ni wakarimu mnoo
@abdallaali7450
@abdallaali7450 3 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 kila wakati wa sala pikeni pia mulishe watu maana wanaosali wanastahili kulishwa kama wanataka kulisha walio na njaa waende vijijini wee vp?uhurafi unakusumbua maulidi hayana dalili we danganywa na ma shia ole wenu daulatul islamiya isimame muone. Ww unaijua dini kuliko walioko miji mitukufu ya makka na madinah.kama ingekua dini maulidi tungeona yakifanywa katika miskiti mikubwa ya kiislamu duniani.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
@@abdallaali7450 kumbe mwenzangu dalili zako ni misikiti na sio quran na hadithi😂😂😂. Umepotezwa kabisaa. Makafiri washakuweza. Halafu tu kwa choyo zako unabagua waislamu flani walishwe na wengine waachiwe na njaa au vipi? Kama rizki unapanga weye basi watu wangekufa njaa. Halafu dola ya kiislamu mumeiua nyie Sasa isimame vipi wakati nyie kwa fitna zenu mumeiua mashekhe na mumeuza palestina na mumevunja umoja wa kiislamu kwa kudidai hamtaki arajwe Mtume saw siku ya kuzaliwa na mumevunja mpaka nyumba ya Mtume saw na maswahaba zake fitna wakubwa mbwa WA motoni
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
@@abdallaali7450 Tena nakupa taarifa. Kabla kusimama Tena dola ya kiislamu basi yatarudi upya mambo yalioachwa kama dhikri, maulid na mfano huo. Tena Allah sw kishasema kumuahidi Mtume wake ya kuwa. WARAFAANA LAKADHIKRAKA. Yaani TUTAUNYANYUA UTAJO WAKO (MUHAMMAD SAW). Kwaio Allah sw ananyanyua utajo wa Mtume saw kwa Makundi ardhini na mbinguni ila nyie vikaragosi mnauzuia utajo wa Mtume saw 😂😂😂. Sasa sijui Nani atashinda hapo ama nyie au Allah sw. Mechi hio mmeanzisha mtaiwezaaaa?. LA ajabu maulid yanazidi kushamiri kila siku zikienda mbele Sasa hamuoni kuwa Allah sw ndio mwenye ushindi dhidi yenu?!. Ndio tunamtaja na siku ya kuzaliwa anatajwa kila kona Mtume saw, mwenye wivu na anywe sumu ajinyoonge😂😂😂. Lakini hili halirudi nyumaa kwa ahadi ya Allah sw
@albaharyhaji8231
@albaharyhaji8231 3 жыл бұрын
Hivi wapi mtume alisema bidaa ni maulid tuu lakini mashindano ya Qur-an mnayoyafanya na mazawadi ya mamilion hilo mumelitolea wapi makongamano mnayoyafanya kwenye maskuli yenu na mahafali na visomo vya Qur-an hilo pia mumelitowa wapi hasa mbona hamuyskatazi hayo au kwa kuwa mnayapenda kwenu si bidaa..nataka nikulize swali..Hivi ni nani hasa aliyeanzisha mfumo wa kutia iraab kwenye Qur-an...
@alisalim2384
@alisalim2384 3 жыл бұрын
Swadaqta
@ushindiushindi5749
@ushindiushindi5749 2 жыл бұрын
Yuko sahihi kabs
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 жыл бұрын
Fact mashaallah
@rashidomar2771
@rashidomar2771 3 жыл бұрын
Nyinyi wenyewe mnapenda kujulikana,,halafu mnataka waislam wasimsome na kumjua nakumpenda mtume wao ,,hilo halitowezekana kabisa milele
@solohunt3r588
@solohunt3r588 3 жыл бұрын
Toa dalili
@solohunt3r588
@solohunt3r588 3 жыл бұрын
Wewe Muslims MashaAllah basi toa dalili
@medimisi6930
@medimisi6930 3 жыл бұрын
Mtume mwenyewe kasema ukimsulia umejiandalia makaazi motoni sasa ww ndo unampenda au unadhulia kwani yy j3 alio zaliwa alikua akifanya nn
@rashidomar2771
@rashidomar2771 3 жыл бұрын
Nyinyi wengine vichwa vyenu inaulemavu tu wa kufahamu mambo
@medimisi6930
@medimisi6930 3 жыл бұрын
@@rashidomar2771 ukikutana na mtu hataki aya ya Qur'an Wala hadithi inakua ni shida sn maana anakua mgumu kuelewa mm nimekuambia hapo ukipata aya yyte au hadithi yyte ninakupa zawadi,maana QUR-AN ilishuka kwa mtume yy hakuyatambua kabisa Wala maswaha Wala maimamu wanne hawakutambua kua kuna Jambo linaitwa mauli yy mtu ataenda kushangaa ck ya kiama kwa yaliotokea baada yake.achana na BIDAA zitakuletea shida mbele ya Allah.
@ummuabdsheikh9581
@ummuabdsheikh9581 3 жыл бұрын
Tuwate kugongana kuna mengine mengi ya kujadiliwa
@shedrackhusseni8005
@shedrackhusseni8005 3 жыл бұрын
Uwezo wake ni mdogo tena sana.
@nassorozubery7394
@nassorozubery7394 3 жыл бұрын
Huyu ni doctor ktk elmu ya dini
@omarsaid4702
@omarsaid4702 2 жыл бұрын
Dr jina amehifadhi hadithi ngapi za mtumi ikiwa hio khutba yenyewe yuangalia kartasi
@abdulkarimmohamed5494
@abdulkarimmohamed5494 3 жыл бұрын
Doctor Islam . nakuomba kuwa na kitu kinacho itwa musamaha.hii ninasaha yng .wwe elewa upande wko na hawo waoelewa vingine wape hishima yao .Quran Iko na maana Pana .ww ni doktor hebu jihishimu .daraja yko ibakie . nyamaza ktk mambo ikhtilafi .Ila usinyamAze ktk usuli
@mabrukjuma3878
@mabrukjuma3878 3 жыл бұрын
Wacha mchezo wakatazwa bidaa sio mambo yakunyamaziwa munkar huu umeenea sana lazima watoto watahadharishwe
@shadyaaboud2405
@shadyaaboud2405 2 жыл бұрын
Mbona ukiongea wafumba macho Islam,au nikutafuta la kutukenga
@selemaniselemani7014
@selemaniselemani7014 2 жыл бұрын
Wanakataaga maulidi nibidaa swali je hizo nasheed mnazozisoma mbele za wanawake wamejipamba na wanaume wamejipamba alaf mwanaume unaimba kwa sauti nzuri kabisa hiyo nayo ilikuwepo? Au mashindano ya quran mwanamke anaenda mbele za wanaume anasoma quran kwasauti nzuri kabisa sauti ambayo huenda ikatikisa moyo wa rijali , hiyo nayo imekaaje mbona hamuisemi? Basi bidaa zipo nyingi sana tuacheni na maulidi nanyie mbaki na nasheed zenu!
@mnyamamkalitv6575
@mnyamamkalitv6575 Жыл бұрын
Huna hoja
@salehekazungu1725
@salehekazungu1725 3 жыл бұрын
Mnajitahidi kuzungumzia maulidi mbona hamzungumzii aqsamu ttawhid vipi hapo maswahaba hawakuona kheri wakaigawanya
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
acha ujinga ww aqsam tawhid sio ibada
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
nyie mmefanya maulid ni ibada mmepata wapi
@abdallahkabuto8392
@abdallahkabuto8392 3 жыл бұрын
Kila Mahali, mkiingia mnawa piga na kuwakufuriha wenye miskiti nakupokonya mapato Yao bila wao kujua .mnadhaniwa ndugu katika dini kumbe agenda tofauti. Vita mmeanzisha miskitini msioijenga.. jengeni yenu msisome maulid humo.
@medimisi6930
@medimisi6930 3 жыл бұрын
Ndo nn hadith au aya umetumia
@ammoahmed2561
@ammoahmed2561 2 жыл бұрын
Hata taraweh pia Rasul hakuswali jamaa wala msikitini. But munavyoitiya nguvu ni kama ni faradhi. Allah ayadumishe maulidi ili kila generation imjue Mtume s.a.w
@abuusuhaibmchumi4825
@abuusuhaibmchumi4825 2 жыл бұрын
Mtume hakuswali tataweh jamaa wala msikitin sio lakin waloanzisha hayo ni maswhaba hoja nikwamb hata maswahab hawakufanya hem tufanyen ayo walofanya ao maswahab tuone km tutaambiw wazushi lakin km tutakuwa na yetu ambao hata hao maswahab hawakufanya ndo mtihan unaanzia hapo hiv Huyo Jaafar mtuz wa kitabu cha Maulid akitajwa na swahaba akitajwa nani anatukuzwa? Ujue wakitajwa maswahab tunasem radhiya llah anhu Allah amewarixia kawarixia kwasababu gani wamepatia kwakile walichokisimamia hawa maulamaa wetu tunamuomb Allah awerehem hakuma cha ziada sasa ujue tofaut kubwa ipo hapo.
@isihakambalawa8088
@isihakambalawa8088 Жыл бұрын
Kwani mtume anajulikana sababu ya maulidi?
@milanizuberikasimu1859
@milanizuberikasimu1859 Жыл бұрын
Tunawaita mashekh wa kutafta views walipwe youtube hamjajua ndg zng nilijua bhn mko siriaz na dini kumbe mnakimbia maulid mnaingia kwenye unafiki kumbukeni ndug zangu dini siyo maneno tu dini ni vitendo kuna uchamungu wa kukosoa tu kila siku unawakosoa wenzako tena mitandaoni
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 Жыл бұрын
Huyu ni jahil mpotofu
@yusuffaki8841
@yusuffaki8841 3 жыл бұрын
Huna mpngo hujui kit fanya upumbav wako ukalale
@samirybinaliy2564
@samirybinaliy2564 3 жыл бұрын
halamu bana
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Hivi Masheikh mnakusudia kukuza au kuuwa dini? Kila amali itahukumiwa kwa nia. Clips za Mtume Muhammad SAW ziko wapi? Maulid, Mashindano ya Qur'an nk acha tunaokusudia kheir Mungu atuhukumu kwa nia zetu. Hata huyo Sahaba aliyewakataza tawasul hakuwa sahihi na kukosea kuhukumu hata Mtume Muhammad SAW mwenyewe ilimtokea (asali). Kila amali itahukumiwa kwa nia, kumsifu au kumtukana Mtume nia yako Mungu anaijuwa!
@ahmadnassor683
@ahmadnassor683 3 жыл бұрын
Hukuelewa kilichosemewa ??
@abdab8466
@abdab8466 3 жыл бұрын
Sasa jamaa kusema subhanallah unapata madhambi
@abdab8466
@abdab8466 3 жыл бұрын
Ustaadh Hawa wanazungumza zero, ye hapo anatumia mic na speaker mtume hakutumia, we fikiria watu wanaleta tasbeeh unasema ni makosa
@alikhamis6326
@alikhamis6326 3 жыл бұрын
Nan amekuambia kutumia mic na speaker ni bidaa kuwa makini kaka bidaa iko kilugha na kisheria bidaa iliyokusudiwa ni bidaa katika dini si vitu vilivyokuja vya kidunia
@abdab8466
@abdab8466 3 жыл бұрын
@@alikhamis6326 Sasa mtume alitumia mic na speaker tutumieni busara waislamu haitokwenda mkashkilia hatua Kwa hatua mtamueza mtume
@saidikipoto1090
@saidikipoto1090 Жыл бұрын
😂😂😂😂mawahabi pigeni keleleeeee hamuwezi vunja maulidi eenyi vibaraka wamayahudi.subirini mfingo sita ufike muone
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
Mayahudi???? Hio ni dhana mbaya na haifai kumtuhumu muslim kua ni myahudi Adui mkubwa. و عند الله تجتمع الخصوم
@salumasaa7933
@salumasaa7933 Жыл бұрын
Kama pepon kutakuwa na kusomea maulid mm nitasoma ukimaliza KUSEMA nenda ukapumzike
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 3 жыл бұрын
Huyu mji g mwengn tukaache kumft barzanji tukakufat ww ht karatas moj huwez kutung kasom tn ww mjibg
@abaafarhat9191
@abaafarhat9191 3 жыл бұрын
Kama unamtukana huyu shekh wewe ndo mjinga kabisa
@muhidinally3753
@muhidinally3753 3 жыл бұрын
Duuuu Barazanje ni nani jamani mbona ametunga kitabu chenye uwongo mwingi sana???
@mariamshaban9128
@mariamshaban9128 3 жыл бұрын
Maulid haifai khitima haifai Waislam tuzinduke hawa Masheikh wanatuzindua
@zuberyally9911
@zuberyally9911 3 жыл бұрын
Ww huna jamb ongea ueleweke
@hutisaleh2320
@hutisaleh2320 4 жыл бұрын
Hamna kitu humuu kla unavyjtahd kuyapinga huwez na hutoweza SHEKH wng unajpa taabu bure
@abdulraimoaliabduly5563
@abdulraimoaliabduly5563 4 жыл бұрын
قال الله، في قلوبهم مرض فزاد الله مرضا ......
@mohdmohd4853
@mohdmohd4853 3 жыл бұрын
Mm siswmi kua ni haram au siharamu alla ndie hakim
@FaaidaTVtz
@FaaidaTVtz 3 жыл бұрын
Hapo huoni kuwa kashapinga..?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
@@abdulraimoaliabduly5563 mioyo Yao Ina maradhi Wana macho kuwa swahaba bin thabit alimsomea mashairi ya maulid mbele ya mtume mwenyewe na Mtume saw kafurahi 🤣. Wana masikio ila hawasikii kuwa swahaba huyo alimsomea maulid Mtume saw mbele yake na hakukatazwa. 🤣 Wanamidomo ila mabubu hawasemi Yale ya kweli Bali wanapotosha tu waislamu sijui wanataka nini🤔
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
Yaan hawa watu wanatabu wanaharamisha kitu kwa jina lake tu wala hawaangalii yanayofanyika ndani yake
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
Yatasomwa maulid hata ukikasirika vumilia tu.
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 3 жыл бұрын
Kwani wahisi wamkomoa naani ndugu yngu?kwani hujui kama halali iko waazi na haraamu iko waazi?Allah akuongoze Aamin
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
@@khalfanikimanta6663 leta uharamu wa maulid kwa ushahid
@ummua5006
@ummua5006 3 жыл бұрын
Wewe ndio vumilia maulid ni bidaa ukikubali ukibisha.
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
@@ummua5006 dalili
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 3 жыл бұрын
@@adamhashim3352 mskilize sheikh apo
115 Aina yaTiba Iliokosa Kufahamika na Madaktari Wengi (Khutba) 25/02/2022
26:45
Duruus za Dkt. Islam Muhammad Salim-Mombasa, Kenya
Рет қаралды 19 М.
Dr. Islam Muhammad ||  MAJIBU YA KIELIM JUU YA MANHAJ SALAFI
22:42
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 115 МЛН
Uzushi wa Maulidi 🎙Sheikh: Nassor Bachu {Rahimahullāh}]
31:18
Abu Tafawa Twariq said
Рет қаралды 27 М.
Je Mashindano ya Quran ni bidah - Dr Islam Mohammed Salim
5:14
Abduraheem Ouna
Рет қаралды 11 М.
23 Istighfar Ya Mtume(ﷺ)
1:04:42
Duruus za Dkt. Islam Muhammad Salim-Mombasa, Kenya
Рет қаралды 12 М.
HIZI ndio Sifa sita za Baba bora kwenye familia||DR Islam Muhammad
39:50
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 32 М.
Dr Islam Muhammad JE KILA ANAEPINGA MAULIDI NI WAHABI??
8:49
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 4,1 М.
TUTAKAYOJUTIA KATIKA MAISHA YA KABURI  SHEIKH   HAMZA MANSOOR
48:43
ZAINAB ONLINE TV
Рет қаралды 82 М.
87 Fitna ya Dunia na Wanawake
1:16:33
Duruus za Dkt. Islam Muhammad Salim-Mombasa, Kenya
Рет қаралды 22 М.
Ni Lipi La Kufanya Kwa Mwenye Kutamani Watoto - Dr Islam Muhammad Salim
7:50
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 7 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН