Masha Allah Sheikh wetu, Mwenyezi MUNGU akulinde akupe siha na akujaalie kila la kheri IN SHA ALLAH
@omarally6819 Жыл бұрын
Maashaa Allaah, haya ndio ambayo Waislamu wanapaswa kufahamishwa, kuhusu uchafu wa masufi na mashekhe zao wenye fahamuza mbovu tena fahamu zao za ovyo kweli yani, na malengo maovu.
@sheikhabuusakakin3243 Жыл бұрын
صح
@YusuphHabibu-hy9mj7 ай бұрын
Mashaallah
@AbuldrhamNdongaIbrahim Жыл бұрын
Asante shekhe na kupenda kwa ajili ya Allah akuhifadhi na atujaalie sisi tunaokusikiliza na Hao watu wa bidaa waelewe na warudi njia iliyonyooka
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
Kwanza kabisa namuomba ALLAAH سبحانه وتعالى ampe pepo ya Firdaws Al marhum Sheikh Nassor Bachu kwa hii elimu yenye manufaa alioicha kwa huyu kijana, Napia ALLAAH سبحانه وتعالى amlinde huyu kijana na amuhifadhi dhidi ya maadui na ampe mwisho mwema yeye na sisi, kiukweli masufi wametuharibia sana dini na wamepotezea babu zetu na wazazi wetu linauma sana hili jambo kwa mwenye akili lakini, hii ni vita nzito ameitangaza mtoto wa bachu na baadhi ya masheikh ila chakunishangaza jambo hili halizungumzwi sana na baadhi ya masheikh wanaojinasibisha na Sunna na matokeo yake tunaona namna wanavuoambatana nao hawa watu sijui kielimu hili jambo limekaaje
@mussaabdalla760 Жыл бұрын
Mashaallah shekh mungu akutie nguv daw yko tangu nianze kuskiliza kwa sas nimeacha usufi nilikuwa mjinga sana niliacha haki haki salafi ni njia sahihi
@mohammedjumakhamis8151 Жыл бұрын
Allah azid kutupa hidaya ya kuona haqqi
@mbjunior166 Жыл бұрын
Allah akuongoze ww na mm ktk kuiona haqqi na kuifuata al akhy!
@isihakaabdul1134 Жыл бұрын
Sh. Muhammad sisi hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea dua kwa faida tunayopata. Wasichojua ni kwamba sisi tulikuwa huko kwenye usufi baada ya haqq kubainika tukaacha majafafa.
@omarally6819 Жыл бұрын
Hivi ndivyo anavyotakiwa kua mtu mwenye akili timam. Maashaa Allaah Baaraka Allaahu fiik
@saadasaleh317710 ай бұрын
Maashaa Allah
@pablooo4197 Жыл бұрын
Ahsantum sheikh wetu, tunakuelewa vizur sana 💯
@jumajuma3337 Жыл бұрын
ALLAH akubariki. bwana muuza dawa za ngvu za kiume sikiliza vizuri hizo kauli
@yushalforever7216 Жыл бұрын
Muhammad bachu upo sawa na upo sahihi. Lkn punguza hasira, fanya kama unatuelimisha sote sio yussuf diwani. Kuna darsa yako ya swala za usiku, umeifundisha vizuri na kwa hekma sana. Allah akulipe kila la kher
@sheikhabuusakakin3243 Жыл бұрын
جزاك الله خير ا حفظك الله
@allythabiti8150 Жыл бұрын
Mtu mwenye Nia ya kupata ilimu safi wallah amfate huyu sheikh Muhammad bachu, kwasababu mfano wa mambo ya upande wapili an (waikristo) had kupotea yalianza hivi Kwa baadhi ya walimu kuwapoteza waislam had kufikia vizaz vyao vilivofata ndo kuanza kuabud asiekuwa Allah, Mim nampenda Mtume saana na nazifata Sunna zake lakn baadhi ya mambo wanayoyazusha watu akil yangu haiwez fata. Jazzakallah kheir sheikh Muhammad bachu
@أمجادالناشري-ن9غ Жыл бұрын
Mungu awaongoze mazindiq kama alivyotuongoza sis ahlussunnah wajamaa
@Athmani-hk1bq Жыл бұрын
Mungu Akuhifadhi na Akulinde sheikh uendelee kutupa vitu
@silajimtema9891 Жыл бұрын
Subhanallah,kumbe ndio maana wengi wao wapo kama mazuzu, يا مقلب القلوب ثبت قلوبنا على دينك.
@ashahassan1877 Жыл бұрын
😘😄😄😄🍉
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Maashaallah baarakallah mungu akujaze kheri akupe umri mrefu na akupe mwisho mwema shekh
@abdulmwakubambanya9091 Жыл бұрын
Barakh Allah fikh,nimasikitiko sana kwa walimu wenye kupotesha uma
@saidmohammed2830 Жыл бұрын
Mashallah shekh wetu mungu atuongeze sote na atupe misimamo ya sunna
@muhaproduction3325 Жыл бұрын
mashallah mungu akulinde shekh
@kavumohemedi871 Жыл бұрын
Tauhid na Sunna 👍🤝
@ikabako2454 Жыл бұрын
Masha Allah ! Shukrani sana kwa darsa Sheikh. Piga hivyo hivyo
@luqmankhalid2219 Жыл бұрын
والله لقد أنصحت وبلغت النصيحة Wallahi sidhani kama hyu Jahil Yusuf Diwani atapata la kujitetea juuu ya haqqi hii uloiongeya Sheikh Muhammad. Allah akuhifadhi kutoka na kila balaaa na akupe thabat ya imani
Assalaam aleikum warahmatullah wabarakaatuh ustadh Muhammad Bhachu naomba tafsiri ya shirki kwa ahlu sunna na tafsir ya shirki kwa masufi nadhani hawajui tafsiri yake
@mohammedhassan8922 Жыл бұрын
ما شاء الله بارك الله فيك يا شيخ اخوك في الله من ممباسا كينيا
@harunashemsa1459 Жыл бұрын
كيف حال شيخنا الجليل دكتور محمد إسلام؟
@RamadhaniShembillu Жыл бұрын
Mashallaah allaah akulipe shekhe
@RamadhaniShembillu Жыл бұрын
Ivi nikweli akhy kwamba hakuna dililiyoyote juu ya vigawanyovya tauhid kama anavodai yusuf diwani?
Assalaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh,jamn sheikh wetu nyote twawapenda sana na twawategemea katka hii dini yetu kutuelimsha lakn kna kitu mm nashanga kiasi mtaniwia radhi ikiwa ntakua nmewakwaza lakn mbna kla siku iwe ni kugombana masheikh kwa masheikh Nasi jamn wengi wetu hatujasoma dini vilivyo na twatarajia nyie mtufundshe ssa kma kla siku mada niza kugombana huyu amepatia hyu hajapatia mwataka sisi tumfuate yupi Mm naona kwa mtazamo wangu yafaa hizi vtu mfanye discussion baina ya nyie kwa nyie masheikh ili mkija hapa ukumbini muwe tayr mmejadili huko kando na kupata jibu sahihi mkija hapa iwe ni kutufunza tuu Ili hata wasiokua waislam wasione nyie mwachanganya watu na dini..... samahani sana kma ntakua nmemkwaza mtu ila nahisi hata kulia nkiona masheikh kla kikucha wazozana 😢
@kavumohemedi871 Жыл бұрын
Kwa Hali hii masufi Allah awaongoze na waliofariki Allah awasamehe
@idrissashabani-gx2vb Жыл бұрын
بارك الله فيك
@rashidkhalid5645 Жыл бұрын
MaashaAllah tunakupenda kwa kupambania dini ya haki Allah akulinde kwa rehma zake
@Arafati-t4y Жыл бұрын
أسأل الله لمدة شهر على الأقل ليقول لهذا الأستاذ أن يعلمني التوحيد ، أنوي ذلك.
@abdulrahmanmussa4479 Жыл бұрын
Shukran sana sheikh letu mimi naona hawa munakasha ni bure hamna watu elmu yao ndogo mtasumbuana
@shamsuddin4582 Жыл бұрын
Jazakallahu khayran
@nizigiyimanamasoud5923 Жыл бұрын
ALLAH sw akuhifadhi mwalimu wetu
@nizigiyimanamasoud5923 Жыл бұрын
Yussuf diwani amche ALLAH tuna jua sana kuna watu wanamtuma ila akumbuke mauti na aandae majibu kwa ALLAH
@sheikhabuusakakin3243 Жыл бұрын
ربنا يسعدك و يحفظك من كل شر
@MohammedHabeeb-r6i Жыл бұрын
Mohammed bachu Allah akusaidie hawa hawajasoma niwashee wa michongo tu ya Hela wataka kukupotezea mda wako
@SwalehbakarkMuhammed-sw7iz Жыл бұрын
Shukran wajazaakaallhu khayra.
@slimanshaz7311 Жыл бұрын
JazakaLLAHU Kheri
@zaydamos874 Жыл бұрын
Mash Allah mash Allah mash Allah safi sana Muhammad bachu mwalimu wangu
@yasinkassim7131 Жыл бұрын
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakaatuh, Kauli hii ya imamu mbona imeshafafanuliwa na imam bayhaqiy
@swalehjamal4867 Жыл бұрын
Yusuf diwani amezoea movie za kibongo Kina kingwendu 😂😂😂
@saadasaleh317710 ай бұрын
Maashaa Allah
@JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc Жыл бұрын
Masha Allah
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
Hiyo ndiyo tasnia ya Ahlul-Bidaa wal-hawaa. Tunakuomba Shkh wetu uendelee kuyaweka hadharani maigizo yao.
@muhamadyabubakary6750 Жыл бұрын
Mashaah baralau fika
@ismailmakame7183 Жыл бұрын
Jazaakallahu khairan
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
Hakikisha uambiwalo, kabla uamini. Ndio ilimu ni msingi wa kwanza kwa maisha ya binadamu.
@hiki242 Жыл бұрын
Allah atuongoze waja wake
@monicamtui2596 Жыл бұрын
Shekh Diwani mche Allah
@lillaahilhamdutv5383 Жыл бұрын
Masuufi ni summu ya umma huu katika ahlu sunna wal-jama'a
@ismailyussuf1805 Жыл бұрын
Asc.Mimi niko Hargeisa,Somaliland.Mbona nyinyi MASHEKHE WA TZ mnakanyagana wenywe kw wenye.Hebu jamani suluhisheni na mkae mkijiuliza matusi nmayo tukanana.Wenzenu wanawacheka.
@MusaYusuphu-y2l Жыл бұрын
Wamepotea hawa masufi maskini na hawajui , Allah awaongoze
@sheikhabuusakakin3243 Жыл бұрын
ماشاءالله
@omarally6819 Жыл бұрын
Abuu Sakakina siku nyingi sio coment zako, umepotelea wapi ndugu yangu?
@sheikhabuusakakin3243 Жыл бұрын
@@omarally6819 nipo mwalimu wangu vipi Hali lkn
@faridsaid60 Жыл бұрын
Asalam alekum warahmatullah wabarakatu hao jamaa kuna namna husaidiwa kwa pesa njaa zawasumbua
@issaChiristian-zb3jr Жыл бұрын
استقم كما امرت شيخنا .ويا صوف يوسف دوان اتق الله
@omarally6819 Жыл бұрын
الحمد لله الذي جعل فينا من يعرف الحق من الباطل بعد البيان الصحيح الواضح المقنع
Ww Mohd bachu acha kujifanya, hio kofia yako kabla ya kurikodi cujiweke vzr kabla sasa unajiweka kofia sw ili iwe vp? Tn video zako zote
@aliomarali8890 Жыл бұрын
Mm kwa upande wangu sioni sioni sahihi kwa namna ya pande zote mbili jinsi wanavyojibizana kwa dhihaka na kupigana vijembe jambo ambalo sio katika sunna ni vyema mashekh zetu mkakaa wote chini na mkafahamishana mm cjawahi kumuona Dr Islam akifanya hivi kwa sababu hutumia hekma kubwa Sana katika kufikisha na wapo Dr Jamil na wengine hawafanyi haya
@khamisali5942 Жыл бұрын
Me mara nyingi nacoment kua huyu mtoto hata kama mdogo hamumuwezi kimaarifa mpeni heshma yake kina diwan mumechokonoa jambo jipya na atawanyoosha wapumbavo masufi
@omarally6819 Жыл бұрын
Umesema kweli akhy baaraka Allaahu fiik
@khamismaggy6484 Жыл бұрын
Kinachowasumbua hawa jamaa ni kwamba Bachoo ni kijana mdogo na katokana na Bachoo na Bachoo alikua adui yao mkubwa watu wa bidaa.
@HassanAli-eq8ko Жыл бұрын
Mashaallah jazakumllah kheir amiin
@issaChiristian-zb3jr Жыл бұрын
ويا يوسف ديوان اني لا اكول انك جاهلت ولاكن اقول باب توبة مفتوحة وناس ينظرونك اتق الله مادم انت الان حي
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
hilo hawezi kujaribu na sio kwamba hajui anajua vizuri tu kua Hakki ipo wap
@khamisali5942 Жыл бұрын
Hawa ni wasanii wamezoea kucheza movie kwaiy na dini wanaipeleka vile km wanacheza movie wanyooshe mrithi wa bachu
@thedon8467 Жыл бұрын
KWANN HAWA MASHEIKH WETU WASIKAE MEZA MOJA WAKAMALIZA TOFAUTI ZAO MAANA HAILETI PICHA NZURI KWASABUBU SISI WAISLAMU SOTE NJIA YETU NI MOJA
@saidmadizi9152 Жыл бұрын
Hii haiwezi Isha sheikh sababu ndio Dini mtu akikosea arekebishwe na kukosea mwanadamu n kawaida shda tu ni pale aliekosea akakumbushwa hpa sivyo usawa ni huu akabishana
@swalehjamal4867 Жыл бұрын
Hao masheikh wa bid3ah hawaezi kukaa chini Sababu wanajua uongo waliouzusha katika dini utawaletea aibu
@bahatijsaha7298 Жыл бұрын
Kweli mm naumia kuona kla siku wanazozana na dini ya Mungu kaeni mjadili mkija hadharan muwe mshamalza mkija hapa mtufunzee plz twawaombaa
@thedon8467 Жыл бұрын
DAA MTIHANI HUU MASHEIKH WA SASA
@saidsobongo912 Жыл бұрын
Meza moja sio tatzo tatzo nikuafqiana Haq na baatwil hv kaipamoja
@babatidaawa6550 Жыл бұрын
ماشاء الله
@mahfoudhally2879 Жыл бұрын
Waislamu wa kweli ni wale wanaotafuta njia ya kuwaunganisha waislamu na sio jitihada za kuwagawa
@hamzangunga1578 Жыл бұрын
lakini jua ukweli na uongo haviwezi kuwa pamoja! katika ya makundi mawili mmoja liko sawa moja haliko sawa! lakini kilicho bora kufuata kitabu na sunah
@nasirabdullah6227 Жыл бұрын
Hawagawi bali anawapa ukweli watu wanaopotosha umma
@umhusnurah5651 Жыл бұрын
Wazidi kuonesha upumbavu na ujinga wako katika ilimu bora unyamaze
@fatibra7768 Жыл бұрын
Ww ndo unyamaze
@AbuSahilHafidh Жыл бұрын
Wewe taar umepanga MATOKEO yako cc tunataka elimu na dalili ya hiyo elimu...... Wewe acha ujinga pambanunwa kipi kizurna kipi kibaya hapa tunaelimishwa..
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
bahati mbaya hii sio sehemu ya mipasho
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Subhaanallah . Pole kwa kukosa akili ya upambanuzi wa mambo mpaka imefika hatua ya kumtukana anae kuonyesha njia upite. Pole sana Pole sana Pole sana
@FatmaRasheed-l6y15 күн бұрын
Muogopeni Allah acheni kuropoka bila kuwana uhakika
@adilihassan8455 Жыл бұрын
Subuhanallah venye wanacheza kw hio video ni maajabu eti uko ndo kumpenda mtume
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
hilo wanalolifanya watakupa na hoja kabisa kwamba linafaa, miongoni mwa vituko vyao
@MohdMaulid-u7v Жыл бұрын
allah akupe taufiki ktk daawa hii ya haki
@أمجادالناشري-ن9غ Жыл бұрын
Sis tulikuw kw uwahabi ila mungu akatuongoza na kutuokoa kutokamana na shirki ya kiwahabi
Ooohhh kumbe shekhe wenu ufahamu wake ni mkubwa sana mpaka atoa darasa za uongo ili Afurahishe watu tuuu na kuonekana anajua sana. Kumbe ni Upumbavu ukiwa na itikadi ya kisufi. Sasa sijui na wewe ni mmoja wao au sio........??????
@issaChiristian-zb3jr Жыл бұрын
Tulikua tunakusubiria mwamba uyu Sufi alikua anasmbua sana akili zawatu
@amerwelder7786 Жыл бұрын
Shekh muhammadi bachu itaq allah
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Kivipi soma uijue hakki sio kwa ushabik
@alhamdulillahalhamdulillah7529 Жыл бұрын
Mimi nnatabia moja ndugu zangu Naweza nikamfikiria mtu au nikatamani nikamuone Wallahi yule mtu akatokea siku hile au siku ya pili naamimi hili liko kwakila mtu Jee Kama nitajishuhulisha na Mtume SAW muda wangu wote Mimi naamini Allah anaweza kuniruzuku kumuona kwanjia ambayo anaijua mwenyewe Msibishe Ndugu zangu
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Mtu akishakufa hata baba yako au mama yako ukiwa wasema waweza kumuona akiwa kafa na wakat yupo kwa Allah jua shetan anakuchezea maana alokwisha toka ulimwenguni huwezi kumuona macho kwa uso au live hata iweje kama wewe ambavyo huwezi ukawa dunian ukaonwa na watu walioko akhera.
Unamfanya Mungu ni shemeg yako wewe nyenje! Pumbavu zako. Ngoja munyooshwe watovu wa nidhamu nyie vichwa vibovu
@saidmadizi9152 Жыл бұрын
We huoni elima hpo waona vita!! Ama kweli we kipofu wa moyo
@Saeedqaseem-ri9eg Жыл бұрын
Kwa ninavyowajua masufi wasithubutu kufanya munaqasha wanakwenda kuadhirika mchana kweupe.......uongo unewatawala sana na hiii imesababishwa na kujiweka karibu na mashia ambao kwao uongo ni nguzo yao kuuu.... Allah subhana atuongoze sote amin
@SugowFarah-up3db Жыл бұрын
Masufi walinichekesha sana 😂😂😂😂😂😂 Mmmh yani sheikh hadi anapiga pendu 😂😂😂😂😂 astaghfirullah🤲 Wallaah sheikh zetu mko na kibarua kigumu sana. Lini mtawautoa huu ugonjwa wa masufi. Allaah atawapa quwwah amin na Qiyaama haitosimama hadi khurafiyyun warudi kwa manhaj sahihi kwanzia wao hadi makafiri amin 🤲🤲🤲 Tunawaombea sana
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Hata mimi nataka kuwa sahaba😅😅😅
@KuwaitMimi Жыл бұрын
من راني في المنام فسيراني يقظة ولا يتمثل الشيطان بي حديث متفق عليه. Amesema mtume SAW "atakae kuniona kwenye ndoto basi ataniona wazi wazi, sababu sheitwani hawezi kujifananisha kwangu" Kama tutatafsiri hii Hadeeth kuwa mtume alimaanisha ataonekana siku ya kiama itakua ni makosa kwa sababu ya nukta mbili muhimu 1- Siku ya kiama watu wote watamuona mtume kwa dalili ya hadeeth ya "shafaa" watu wataenda kwa mtume SAW kutaka awashufaie na watamuona. Kama mtume alimaanisha wale waliemuota ndio watakao muona siku ya kiyama ina maana watu wengi wale hawakupata bahati ya kumuona Mtume SAW kwenye ndoto hawatomuona siku ya kiama? 2- Mtume ametumia nenoفسيراني يقظة na hakutumia neno فسيراني يوم القيامة
@LadenMoses-fk9jj Жыл бұрын
Aaaah wwe shekheee achaa uongooo
@jumanjenga7682 Жыл бұрын
Masheikh tuacheni maneno ya kukejeli na kuitana majina.
@oxygrp7393 Жыл бұрын
Kila mnyoa naye hunyolewa jee n ww utataka kunyolewaa?
@yahyasuleiman3599 Жыл бұрын
Mimi nashindwa kukusikilizeni maana sioni cha kusikiliza nikafaidika ikiwa shekh anamponda shekh mwenziwe kisa dhehebu huo ni ujinga. Kaeni chini muelimishe jamii kwa ujumla na sio kuzozana kwenye mitandao huo ni ulimbukeni wa elimu mnajishushia hadhi na heshima
@zeitunMohammed Жыл бұрын
Wallah Muhammad bhachu Sasa unazidi kupoteza umaarifa,kwani Kila kukicha ni kufanya raddi?huoni makafiri wanatucheka?
@ibrahimjumaa538 Жыл бұрын
So Radd ni Kharam?
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Sasa aache kuzuia upotovu wa masufi
@RamadhaniShembillu Жыл бұрын
Kwaio wataka asibainishe uongo wa masufi
@omarally6819 Жыл бұрын
Mulio macho tupate witri kwanza, tutarejea badae
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
ngoja nisikilize ile waliomzuria Sheikh Abdulqadir Jailan kwamba alijigeuza mdudu akaingia kwenye jicho la mtu
@ankaldally2734 Жыл бұрын
Watu wa bida'h hawana akili wallah dah Allah mtukufu aliejuu awaongoze
@AbdallahMnyiwe-he2zu5 ай бұрын
Bachu hanatafauti na Abuu Jahali alimpinga Mtume
@twahamkasi-gn1lo Жыл бұрын
MWAMBA HUYO HAPO SASA NA BADO TUNAWASUBILI KWENYE MNAKASHA MTAJUTA KUA MASUFI
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Huyu Diwan anasikitisha sana kwa elimu yake ndogo sana na anamuona kama sheikh Ibni Taymiya yupo kama sheikh wake wa Kisufi na hao anaowataja ni watu wa ilmu wanaoheshimika kwa watu wa hedithi na watuwa dini kwaujumla kwa ilmu sahihi na uchamungu wao
@yahyasuleiman3599 Жыл бұрын
Mbona Mashekh mnasuguana nyinyi kwa nyinyi sisi tusiojua mnatuweka katika fungu gani. Na kwanini msikae chini kwa pamoja na kuelimishana? Hapa uislamu mnautia doa kwa hali ya namna hii
@AbdallahMnyiwe-he2zu5 ай бұрын
Wewe ni mudogo katika elimu
@mtumwasamaki Жыл бұрын
Sifikirii kama inamaanisha hivyo ila ni tafasiri mbovu tu, ekeni debate Kwa hoja zenu kama kina Skh Mazinge na Wakristo
@abubakaribashiru9454 Жыл бұрын
Sijakukubali kabisa
@cityhuntermkali2468 Жыл бұрын
Bidaa ina mengi jamn 😅😅😅
@zanzibarspice8686 Жыл бұрын
Nakumbuka Katika Hukmu Ya Talaka Tatu ni Moja na Talaka Tatu ni Tatu Hata Sayyidna Omar alikuwa tafauti na mtume.... Je Hapa Ni kuwa tafauti au kuwepo rai mpya ya Hukmu Fulani Kutokana na dhama Fulani....? Kama sipo Sahihi Allah anisamehe