Hamisi kulola mungu wa mhamadi ni Allah. Mungu wa manabii wa bibilia ni yehova
@moseskayan37056 жыл бұрын
Mafundisho mabaya hulevyà akili waisilamu wamelevya na mafundisho mabaya
@hermanemmanuel19534 жыл бұрын
HALELUYAAAAA SIFA NI ZA BWANA WETU YESU KRISTO HALELUYA AMINA.
@chanokhchannel25903 жыл бұрын
Kazi nzuri wainjilisti,kunielimisha Biblia Sana
@festusgwota29986 жыл бұрын
Huyo mwl wa kiislam Ni pasua kichwa,amezidiwa na hoja,Kama Kuna mwenzake aokoe jahazi.
@abcdg19954 жыл бұрын
Mad respect lov folks watching from Diaspora U.S.
@yusuphjamal68444 жыл бұрын
Nyie wajanja sana mnakata majib wanayowapa ma sheikh
@newlightmoviesproduction35982 жыл бұрын
Weslam mnashangaza kweli mshindwe on might name of Jesus christ.
@thxzbst49cnh805 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi kwa kazi nzuri
@jemimanekesa27822 жыл бұрын
Mungu awapiganie watumishi
@hamisikulola84815 жыл бұрын
John 16:12 John 14:16 ufunuo 19:11 isaya 23:11-13 isaya 29:12 isaya 42:1 song of Solomon 5:16
@t7zkc5tpxgim284 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi
@financialloan98185 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👌👌👌👌👌asanteee waislam ludini kwa yesu tuuuu Ona wanavyo tetemeka
@DavisWangodi5 жыл бұрын
Waislam natarajia mnaona waalimu wenu vile wanahepa maswali...
@janek91036 жыл бұрын
Kumbe vipofu ni wengi.saidiya baba ufunguwe watu wako macho na masikiyo ya kimwili na kiroho
@DavisWangodi5 жыл бұрын
Waislam hawaezi jibu swali... Wapi Muhammed alitairiwa kama vile sheria ?? Hio hawajajibu
@rapafata11086 жыл бұрын
Mashekh si kila kitu mnaweza jibu. Vingine nyie hamjui
@sawdaasawdaa79034 жыл бұрын
Nyuma ya yesu kuna mitume wawili wamevainika kuna wauongo ndio paulo na kuna wakweli ndio MUTUME MUHAMADI S.A.W ndio yesu ameondoka anakusudiya uyo ungine paulo kadomatu sana nakufanya mikusaniko nakubadili maneno ya mungu nakujipa utume nakumufanya nabi isa MUNGU yeye paulo awe MUTUME. Nayeye yeye paulo njo kasema yesu kafa musalabani yesu hakufa musalabani wala hawakumuuwa alikwenda fasi Allah kabadilisha matakwa yawaliyotaka kumuuwa yesu yesu alibakihayi nyumasikutatu kapaishwa watu wameshakufuru someni kitabo kisiokuwa nadhaka ni coroani acana na izo vitabo vya wazungu namikusanyiko yakujipa utakatifu yesu alipaishwa muzimamuzima na atarudiswhwa na Allah ili aje watu awaukumiye kukoseya yesu yupo namamulaka yakuwahukumu watu wazima nawene wameshakufa kwamana nyuma yayesu kilamutu atajuwa kweli na atasali nawaisilamu na badalayahapo njo atakufa namakanisa hayatokuwepo tena na kiyama kitakua kinaanza sasa yesu ni dalili kubwa mudalili kubwa zinazozungumuzwa katika coroan ninyingi kubwa akiwamo yesu sisi waisilamu ndio tunamujuwa yesu nini kwelikweli sio kumuita binadamu ati ni MUNGU mungu niyule aliye muumba yesu na ni yule yesu alikua akiomba kuna MUNGU na kuna yesu yesu Alla alimupa tu uwezo wakufanya miujiza ka yake si Mungu yesu ombeni mungu ambaye yesu na manabi wengine walikuwa wakitegemzya na kuomba sio kudanganya watu na maneno ya paulo maana paulo kiboko yake ni MUTUME MUHAMMADI S.A.W paulo maneno mengi muongo wala hajatumwa na maneno yake mengi hatana mazingatiyo wala akili.kwa hiyo ukiwa unamuamini mungu na ukawa na akili kweli huwezi fundishwa ao kusomewa coroan ukakosa kusilimu ao kuzingatiya.
@mrumbihamadi56012 жыл бұрын
Bibilia huwezi pata jina Muhamad nikitabu kilichoandikwa Kwa utashi angalia dibaji utaona walivyochagua jina gani liandikwe
@DavisWangodi5 жыл бұрын
Hio mathayo 12:7 ati rehema ndo utabiri wa Muhammed?????? Hihihihi am done😂😂😂
@urbanstranger88402 жыл бұрын
Mtume alitabiliwa katika bibilia ila kama false phrophet😂😂😂😂😂
@mohammedzyenhassan14015 жыл бұрын
Potezeni wakristo Kanisani Onyango bado Elimu yko ni chache!!!!
@hamisikulola84815 жыл бұрын
inalillah wainaillah rajiun Quran 3:67 Ibrahim hakuwa myahudi wala mkristo bali alikuwa muislamu tena mnyenyekevu.
@evalineakuku5905 жыл бұрын
hamisi kulola hakuna nabii aliye kuwa muislamu toka mwanzo kuran imekuja nyuma kabla ibrahim kuzaliwaa yesu alikuweko
@Mhandisi20085 жыл бұрын
Muislam wa kwanza ni mohamad
@paulocharo77804 жыл бұрын
Ibrahim si muislamu wala hakukanyaga ndani ya musikitini musikitini.
@DavisWangodi5 жыл бұрын
Muhammad mtume wa yesu Basi😂😂
@slimslim78195 жыл бұрын
Ukweli Hao Wote wawili Niwa Dini Moja Ni Mchezo tu wakupangwa Kuwadanganya Watu
@yohanamwamkili43973 жыл бұрын
Huna akili
@nyerere00565 жыл бұрын
Msomaji mbona unagana gana
@charlesmakuri7923 жыл бұрын
Unajua mi huwa naona jinsi hawa waisilamu wanatoa maandishi nakuyatumia vibaya kupotosha watu kuwatoa ni ngumu maana shetani na majini yamewaingia
@lenjeevara34076 жыл бұрын
pwaaaaaaaaaaaaa
@myself41286 жыл бұрын
Biblia sio kitabu cha kukariri kama quraan! Bila roho wa Mungu huwezi kuilewa na biblia inasema tunaelewa nusu tu!!! Halafu leo unaona hao wahadhiri wa kiislamu wanapayuka utadhani wanaelewa wanachokiongea kisa wamekariri mistari mitatu ya biblia!
@moseskayan37056 жыл бұрын
Huyu muislamu naona atabatiswa baada ya mdahalo
@mohammedzyenhassan14015 жыл бұрын
Pelekeni kelele Kanisani
@savege-zh8yk6 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana ila Quran imekuja myaka +600 nyuma ya Yesu Kristo na myaka +60000 nyuma ya Bible
@yusarjunkhanna41004 жыл бұрын
Letee andikoo, ukitaka kujua chimbuko la ukristo njoo unitafutee nitakufunzaa, Yesu hajui hiyo dinii Inaitwa ukristo
@nancynafula54776 жыл бұрын
hky mimi sijui nifanye nini bcoz I don't want to go hell God help Christian or Muslim
@financialloan98185 жыл бұрын
Only Jesus
@simonmakanjila57005 жыл бұрын
Kupita yesu tu
@richardyomo73075 жыл бұрын
Mjadala Ni mzuri lakini mnaongea bila utaratibu
@bidafumbuka8556 жыл бұрын
Waislam mnafakamia biblia huku kurani yenyewe mnashinda nayo na bado hamjaijua kama kurani yawashinda Biblia mtaiweza wapi??
@DavisWangodi5 жыл бұрын
Sasa Ishmael pia ni Muhammed??? Mmezidi sasa
@halfaniland38504 жыл бұрын
Wakristo Shida
@bikozikomo94963 жыл бұрын
Quran , n ktabu cha kukalili na co kuelewa
@hamisikulola84815 жыл бұрын
sheikh umemjibu vyema hiyo yohana 16:7-14 kwani kiswahili pia hamuelewi? yesu hana uwezo wa kutuma mtume yeyote
@financialloan98185 жыл бұрын
Ila Ana uwez wa kufufua wafu na kusamehe zambi za wanadamu na Ana uwezo wa kufufuka na Ana uwezo wa kuludi duniani apa tena uyo ndo yesu
@hamisikulola84815 жыл бұрын
yani kuna mambo ya kusikitisha kwanza leteni biblia asili sio tafsiri
@hamisikulola84815 жыл бұрын
Galatians 4:21-28 kwani haya maandiko wakristo hamyaoni ama?
@financialloan98185 жыл бұрын
Sasa kama ww unaona mtoto wa ajili ni muislm na mnamkubali.jee dini yenu inakubali mtoto wa nje ya ndoa si mnasema haramu vp uyo mtoto wa ajili sio haramu?waislam nyinyi bhana mnanifurahisha snaa mda mwingine😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@hamisikulola8481 na nakuuliza mnamkubali vp ismail wkt yule kazaliwa nje ya ndoa au yule sio haramu?😂😂😂😂😂😂😂makafiri mnajifunga wenyewe
@nyerere00565 жыл бұрын
Yesu nabii wawayahudi makabila 12 wala hawajui nyie
@masungwasalumu12784 жыл бұрын
Na Muhamad ni mtume Wa waarabu tena Wa koreshi
@masungwasalumu12784 жыл бұрын
Na Muhamad ni mtume Wa waarabu tena Wa koreshi
@yusarjunkhanna41004 жыл бұрын
@@masungwasalumu1278 ulisoma wapii, usiongee kwa maneno utalaaniwa buree, si babako huyo unayeshindana naye
@yohanamwamkili43973 жыл бұрын
@@yusarjunkhanna4100 yan alaaniwe kisa kumtaja yule mwarabu? Ebu kwenda ukoo
@sawdaasawdaa79034 жыл бұрын
Na Allah kashasema kitambo mitume wote wake ni ndugu ata kama hawacangiyi wazazi.munataka nini tena ili muelewe coroan? Sikitabo cakutungwa navinadamu kama ico ca paulo amekuta kitabo kipo sawa akabadili yeye na mayahudi nyinyi ico kitabo cenu ukitowa maneno ya paulo yote nikisafi ila vikicanganya kitawapoteza aca ofisadi na ukafiri huwezi kumuweza muisilamu ambaye yeye yupo na kweli na wewe uko na uongo ata ma pape wanajuwa nakusema hawana kweli na dini ya kikirisu wanasema kilasiku kuwa hawana haki na dini ya kikirisu iyo si dini ya MUNGU kweli wala yesu wala nabi yoyote hakuna aliyesalia izo dini zenu zakisazi.eti yesu MUNGU ??? Nyinyinyi aceni kupenda pesa unapewa pesa ili ubaki unahakikisha uongo? Na kesho akheira utakwenda kuulizwa maneno ya paulo yatakupotezeni nakuwatupeni motoni juweni kutafautisha kitu na kingine haki imeshafika
@yohanamwamkili43973 жыл бұрын
Umesoma kuandika uzeeni ndio maana hujui kuandika kama...... then unaongea utadhan ww msaidizi wa Mungu. Una mambo ya ajabu ww yan mtu akitetea dini yake ni anapenda pesa, ila nyie mkitetea dini yenu si sababu ya pesa? What a selfish mind, hio akhera unavyo iongea utadhan ww utakua kwenye panel ya majaji kumbe nawe moton, mnajifanya kuijua sana jehanam utadhan ulienda ukarudi, mue ja aibu mda mwingine, kazi kujihesabia haki kaz kujifanya watakatifu utadhan hampo dunian. Fanya jitihada kumtafuta Mungu na sio kujufanya jaji wa binadam wenzio
@mbesinghabi19946 жыл бұрын
Mathayo 12:30-31
@thxzbst49cnh805 жыл бұрын
Waislamu bwana!hamjui Biblia wala hamtoijua.Eti Yesu aliongea hivyo kwa ajili ya Mohammed?huo ni ujinga wa hali ya juu
@hamisikulola84815 жыл бұрын
wacha uongo uchawi ulianzia kwa mayahudi wakati wa nabii Suleiman
@janekwahada5805 жыл бұрын
This people they just look book in the Bible that it's the same with Quan but no any answer talking too much but no answer
@sawdaasawdaa79034 жыл бұрын
Uyo kafiri anasumbuwa kweli Allah ameshasema mitume wake wote niwaisilamu na yesu ni MUTUME unangoja nini kuelewa nakuzungushana ivo??? Yesu ni mutume wa MUNGU na wenginewo na mitume wote niwaisilamu Allah kasema sasa wewe towa andiko yesu anasema mimi ni mukiriu wala MUNGU aliyeumba bila kauli ya paulo iseme iyo haya nyinyi niwa kirisu nyinyi vip???? Ata ma pape wanazidi kusema hawana uhakika na dini zakikirisu sasa dini sio kujicaguliya vile kama kwenda sokoni nakuemeya unacokitaka dini nikufata maamurisho ya Allah sio kujipa jipa vile kama vyako dini niya mungu nani moja ya uisilamu tangu Adam mpaka lasta prophet mutume MUHAMADI S.A.W. UYO UNGINE AJULIKANI NANDOMANA KAFA KWA NJIA YA LAANA KAMA GISI VITABO VYAO VYASEMA YEYZ KATUNGIKA NABI WA ALLAH MANENO ATI ALIKUFA KWA KUSULUBIWA NAYEYE YEYE UYO MUSALABA HAUKUMUACA SALAMA KWA HIYO ALLAH KAONESGA MALIPO NI HAPA DUNIYANI IVI NYINYI NIWATU HAINA GANI KUKUFURU KILA MARA ATI YESU NI MUNGU HAMUNA AKILI WAKRISTO WOTE.MUNGU HAJAWAYI ONEKANA YESU KAISHINAWATU NAKUONEKANA YESU MUISILAMU NA AKIJA ATASALI KIISILAMU ACENI KUMUZONGISHIA ATAWASHITAKI KWA ALLAH
@Eeva-q6h25 күн бұрын
Wapi pameandikwa kwamba nitumie wote ni waisilamu na wapi mungu kasema yesu ni mtume usiongee kwa kukalilishwa ongea kwa kuaoma kitabu
@hamisikulola84815 жыл бұрын
wacha kupindua aya wewe kafiri neno "nasi " halimaanishi watu mungu anatumia wingi kujiashiria kasome implementle Bible. hivi ndio mwasema mwajua elimu?