Assalaamu a'laykum!WALLAAHI ningekua na nafasi,ningeenda Amu kwa hawa masharifu.Naomba muniombee MUNGU anijaalie kufika huko!
@rahmahsaidomar911110 ай бұрын
Musofunza watu haki mwataja wengine tu. Kama muko katika haki funzeni na mubainishe hiyo banzanji muwache kuingiza asiokuwemo katika mazungumzo wenu. Allah awaongoze sana mashekhe munaojua ukweli ndani ya mioyo yenu kisha mukapotosha watu. Allah atawalipeni kwa kila mitakaopotosha.
@AbdallahSalim-tf1ee10 ай бұрын
Mashallah twahitaji muendelezo mana ilikua twaelekea kuiponda barzanji ila sasa twaona ukweli
@MkindiRama-lp6hy11 ай бұрын
Maashaallah tunafuatilia Kwa makini msichoke masheikh wa twariqa ndio mmebeba hii elimu ya dini mkiacha dini inakorogwa sana
@saidisaidi231011 ай бұрын
Shekh said kuna mzee anachafua mazingira sana wamekuja na style mpya sasa kwa maulid ya Alhabshy
@saidisaidi231011 ай бұрын
Tukiwaacha hawa watu watapoteza ummah nakuwafanya wanazuoni hawana maana katika mujtamai
@zamdinikilala545411 ай бұрын
Mashaallah bismillahi mola awalinde awape kheri duniani na akhera awajaliie katika waja wake wachache hawa akina ukurumbunjii lolote liwakute
@balkisamisi213110 ай бұрын
Barakallahufikum
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh11 ай бұрын
Mumeni furahisha sanaa kwa kubainisha haki musikae kimya bainisheni haki wakati tulonao si wakuka kimya mukinyamaza wezenu hawanyamazi wata potosha uma
@hythamhashiem445811 ай бұрын
Mashallah maustadhi wetu mungu awahifadhi na awazidishie elimu
@salimobeid147011 ай бұрын
Jamani twende mbele turudi nyuma hawa watu wamewiva mno kielimu bachu huwawezi hawa jamaa hata uzikiri uchi
@omarymakange844911 ай бұрын
Alieanzisha uwahabi hakika ana swala la kujibu kwa Allah, Uwahabi ni kitu kilicjolenga kuiharibu dini tukufu ya Allah.. Allah atuepushe na Uwahabi na awape Insaf walouingia kutoka huko..
@bagalucha11 ай бұрын
Bismillah Rahman Rahim Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili. KWA WALE WAABUDU MAKABURI Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki

@abubakaromar610111 ай бұрын
bagalucha ukikata au usikatae wewe ni ktk kundi la kiwahabi. Alafu naona umeandika mambo mengi bila kujikiria na haya yote ulosema masikini kwa elimu ndogo na kutojifahamu nikuulize swali dogo? Kwani huko kwenu kwa uwahabi hamuna Bida'a mumezizuwa? ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم au Mashindano ( Musabaka ) wa Quran au Ramadhan Taraweh kila siku kusomwa Juzi moja na baya la zaidi AstaghfiruAllah mpaka Mwenye Ezi Mungu kumpa sifa ya jinsia kama kiumbe. Sasa wewe mwanzo ziangalie za kwenu uzikague uzitafutie ukweli wake kabla za huku. Kisha Twariqa na Mashia ni baina ya Mbingu na Ardhi licha ya mtu wa Twariqa kutukana au kuwakufurisha Maswahaba hata Wanazuoni hatuwakatukani au kuwakufurisha labda nyinyi mawahabi muna tabia ya kuwatukana Wanazuoni na kuwaita watu wengine mushrik na wengine watiya motoni nyinyi mawahabi ndio muko sawa na Mashia
@shabansaid232311 ай бұрын
@@bagaluchalakini unafahamu kama abdulwahabu ni moja ya walioshiriki kuingusha dola ya kiislamu ottoman?
@bagalucha11 ай бұрын
@@abubakaromar6101 Tatizo kusikiliza maneno ya barazani ,haya ndio yanayokupotosha,na kukosa kuijua haki,nakushauri kasome ki ujumla
@omarulfarouq357811 ай бұрын
Masha allah
@OmarShela-p2z11 ай бұрын
Sheikh Saidi Kwanza Allah akubaarik ila tunahitaji number yako ya simu
@hadiabdallah156711 ай бұрын
Shukran sana ndugu zetu❤️❤️❤️
@JinaHadad11 ай бұрын
Shekhe tumefahamu vizuri sana ramda mtu amchukiye mtumet ila tume elewa sana
@abdallahhalifa586011 ай бұрын
W slm warahamatullahi wabarakatuh Ustadh Said plz ukiona comment hii naomba uni Inbox nataka kuongea na wwe Tafadhali Shukran Akhy
@FadyaMansoor11 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الله 💫💫💫
@Mariam99-ld4gw11 ай бұрын
Mashall ah ❤❤❤❤❤❤❤❤😂
@qassimjahadhmy711011 ай бұрын
jazaakumullahu khayr
@rushu123211 ай бұрын
Kama mwataka ilmu sikilizeni kwa makini na moyo mkunjufu mutafaidika kama unachuki sikilizeni masheikh zenu.
@abiabi935311 ай бұрын
Tatizo kubwa la mawahabi ni mahodari sana wakutoa fatwa lkn niwavivu sana wakusoma elimu ambazo nimuhimu katika kutoa fatwa.mawahabi hudhani elimu ya kiislam ina short cut. Ndo maana wanakwepa elimu muhimu kama balagha na mantiki. Ukichunguza utakutawahabi wengi hurukia kutoa fatwa yakitu hata kabla ya kutoa taarifu ya hicho kitu.sasa hiyo ni elimu gani
@saidmwakulika70611 ай бұрын
Mashaallah
@mgazamhina84010 ай бұрын
Sasa hiki kipindi anaekiongoza ni nani na anaesomesha ni nani,au wote ni walimu na wote na wanaongoza kipindi wenyewe,kama wao ni walimu ilitakiwa awepo wa kukiongoza kipindi kwa maswali na wao waelezee na mwisho watuwekee namba ya kupiga ili tuulize maswali yanayotutatiza.
@Mariam99-ld4gw11 ай бұрын
Mawahabi kuweni wa pole mwaka wenu huu 😂😂😂😂😂😂mpaka museme sijui
@OmarShela-p2z11 ай бұрын
Sheikh Said tunahitaji kupata number yako ya simu
@abuurayaan390211 ай бұрын
حقا من قال قلة العلم تقلقل صاحبه Mahajil wawili wakiliwazana Yani mwatia juhudi kubwa kuketea uwongo na Shirki ila kaeni mkijua الحق يعلى ولا يعلى عليه
@abubakaromar610111 ай бұрын
abuurayaan3902 wewe waijua Shirki ni ipi? Kasome hichi kitabu kisha ujue Shirki ipo wapi sio ujiropoke Kitabu cha Mawahabi كتاب مجموعةرسائل التوالتوجيماالإسلامية لإصلاح الفردوالمجتمع ( للشيخ محمد جميل زينو )
@abubakaromar610111 ай бұрын
كتاب مجموعةرسائل التوجيماالإسلامية لإصلاح الفردوالمجتمع ( للشيخ محمد جميل زينو )
@abuurayaan390211 ай бұрын
@@abubakaromar6101 hicho kitabu ninacho mijeledi miwili na hicho kitabu kinawaraddi nyinyi wenyewe munafanya juhudi kubwa kutetea yaliyomo Ndani kitabu Cha Barzanji na Kitabu Cha Barzanji Ndani yake Kuna uwongo na abyat za shirki hilo lipo wazi na Wanachuoni wame kiraddi Kitabu Cha Barzanji na kubainisha uwongo na Shirki Ndani yake Akiwemo Sheikh Abdhallah farsi RahimahuAllahu na wengine Wengi wa Africa Mashariki na njee
@shazyahya412110 ай бұрын
Hakuna sheikh hapo sijasikia hoja hata moja inayotetea barzanji ila ni porojo tu Ansaar wametoa hoja mzito kutoka kwenye barzanji ni bi'dah kwa nn akitajwa mfuga mbwa munamswalia mtume ( S.A.W ) yaani kwa hoja hii kama we ni muislam una akili timamu huwezi kua twarika ni sawa na kesi ya bange umpe pusha aukumu, Maimamu wote wanne wakubwa hawajawai fanya maulidi eti nyingi leo mnafanya bi'dah kwa mgongo wa fani ili kuwatoa waislam kwenye reli ila mi naamini haki na batri havikai sehemu moja Allah atawaokoa waja wake na bi'dah mtabaki peke yenu mliokunywa maji ya bi'dah mujibu maswali siku ya kiama kupotosha waislam yaani watu wa makkah na madina wawe hawajui lugha ya kiarabu eti nyie mburu kenge muwe mnajua lugha kuliko maimamu wakubwa kweli hizi zama kuna waislam akili ni maji ya kunde ushauri wangu waislam tusome vinginevyo watu wa bi'dah watapotosha family nyingi kwa mgongo wa fani kuna khurafi mmoja nilimsikia akisema kuomba dua kwa jina Yesu sasa ipo siku atakuja kutetea hii hoja kwa mgongo wa fani kwenye lugha.
@AbdallahGandi11 ай бұрын
Bado hujasema....mpaka useme.
@OsmanAli-zb3tu11 ай бұрын
Munalazima gani kuitumia hadith dhwaifu na maudhui na munkar
@taurehassan739911 ай бұрын
Unauliza hukmu y sheria ktk uislam ulivykuwa mbumbumbu kwhyo watk sheria ifnyeje kw matako yko?kuhusu hzo hdth dhaifu na munkar
@abubakaromar610111 ай бұрын
OsmanAli-zb3tu mwanzo jibu swali nilokuuliza siku tano zilizopita nini maana ya Maulid?
@shilingi-Ahmadi11 ай бұрын
Wapi umesikia hadithi maudhuui yatumika??
@abubakaromar610111 ай бұрын
shillingi-Ahmadi nyinyi kaeni na maneno ya vichani nenda katafute kitabu chaitwa كتاب مجموعةرسائل التوجيها التوجيماالإسلامية لإصلاح الفردوالمجتمع ( للشيخ محمد جميل زينو ) nyinyi musisome lkni sisi twavisoma vitabu vyenu hivi kumeja uzushi na kutumia Hadithi Maudhuii. Ukitaka kitabu chengine pia nitakupa lkni kisome hicho kama kweli wajua kusoma

Wiri tajeni mashekhe waliokubali hadith munkar kwenye sera
@abubakaromar610111 ай бұрын
OsmanAli-zb3tu wewe ni mzuka huna ujuwalo vitabu vyenu vya kiwahabi licha ya kuwa kumeja Hadithi Dwaifu vitabu vyenu mpaka Hadithi Maudhuii zimeja. Kwa vile wewe ni zuzu kwa taarifa yako Imam Ahmad Ibu Hambal ktk kitabu chake ametumia Hadithi Dwaifu
@mohagurey221411 ай бұрын
@@abubakaromar6101jibu swali ama nyamaza
@OsmanAli-zb3tu11 ай бұрын
Leo mbona hamukuweza kutafsiri barzanji
@abubakaromar610111 ай бұрын
OsmanAli-zb3tu wewe huna ujuwalo ni ushabiki tu nilikuuliza swali siku tano zilizopita hukujibu. Nini maana ya Maulid?
@mohagurey221411 ай бұрын
Tunagoja tafsiri ya barzanji pia
@MuhidiniNassor10 ай бұрын
@@mohagurey2214Mwenzio bachu alitoka mikojo
@ismailmsangule138011 ай бұрын
Wenye kutaka ilmu wameelewa kilichosomeshwa wajinga wataona kama masheikh hawajasema kitu Ila tu maneno kama hayo angeyasema sheikh wao ingekuwa ilmu Mawahabi hawana elimu wala insaaf
@OsmanAli-zb3tu11 ай бұрын
Hadith munkar haitumiki hata kwenye Sera wacheni porojo zenu
@RayRey-ji1em11 ай бұрын
KWENI MAANA YA MUNKAR NINI SHEKHE LETU HEBU TUFAFANULIE MUNGU ATAKUJAZI KHERI EHE...... TUPE TUELEWE
@omarymakange844911 ай бұрын
Allah akuondoshee uwahabi kifuani kwako In Shaa Allah..
@abubakarymaulidy568111 ай бұрын
Ndgu una maneno mazuri sana afu umesoma sana naomba uwe mke wangu plees unakauli nzur sana
@omarymakange844911 ай бұрын
@@abubakarymaulidy5681 Ety na wewe ni muislamu, Innalillahi wainnaillaihi rajiuun.. Kwetu hatukufundishwa matusi.. Allah akusamehe..
@abubakaromar610111 ай бұрын
OsmanAli-zb3tu wewe uko nao Hadithi Swahih utupe na sisi. Nini maana ya Maulid mwanzo?
@iddijumaali719211 ай бұрын
Jibuni hoja musipige mbwembwe nyingi
@hilalkhalfan145211 ай бұрын
Darsa zinaendelea mpaka utafika kwa lile ulitakalo. Elimu hujui kwa siku moja. Acha tuendelee kufatilia kwanza.
@hamisisekidende536510 ай бұрын
Hapa ni elimu tunafaidishwa siyo mambo ya ushabiki
@OsmanAli-zb3tu11 ай бұрын
Hakuna kitu hapa ni potojo tu
@abubakarymaulidy568111 ай бұрын
Haya tupe elim ngdgu wewe umesoma sana nimekupenda naomba nikuoe
@abubakaromar610111 ай бұрын
OsmanAli-zb3tu haya wewe ambazo si porojo, nini maana ya Maulid?
@OsmanAli-zb3tu11 ай бұрын
Maana yake NI birthday
@abubakaromar610111 ай бұрын
OsmanAli-zb3tu birthday ndio nini alafu hapo juu umeandika sera hii haitamkwi Sera ni Sira au Sierah. Kasome bado uko nyuma sana
@ashachitemo781610 ай бұрын
Nimepata faida na kuongeza Maarifa yangu...!!jifunze Kunyamaza kama jambo hujui au piga goti ukasome Kwa wanaojua.
@Mariam99-ld4gw11 ай бұрын
Kwanza nyie mawahabi hamuelewi kwa sababu gani 😂😂😂mmekula vichwa vya samaki anaitwa tasi😂
@abubakaromar610111 ай бұрын
Dadangu licha wamekula vichwa vya samaki task, hawa mibichwa yao ni mfano kuna lile Dafu ukilikata ndani wapata maji na rambe rambe lkni hawa ni lile Dafu ndani hupati maji wala rambe rambe mibichwa koko wana macho na mashikio lkni kuona hayaoni na kusikiya hayasiki yamo yamo tu
@abuumayunga334911 ай бұрын
MMMH MCHENI MOLA WENU HEBU TAJENI HUYO MWANACHUONI ALIESEMA KUA HADITHI MUNKAR YAFAA KUTUMIKA KATIKA SERA NA MANAAQIB??? WAAMBIENI WENZENU UKWELI.
@ibnhussein971211 ай бұрын
Kwani alive soma ni nini
@taurehassan739911 ай бұрын
Ww kaa na ujinga wko hta uwambiee nn hamutakubl,
@bagalucha11 ай бұрын
@@taurehassan7399 Bismillah Rahman Rahim Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili. KWA WALE WAABUDU MAKABURI Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@abubakaromar610111 ай бұрын
abuumayunga3349 mwanachuoni alotumia Hadithi Dwaifu ni Imam Ahmad Ibnu Hambal na nyinyi mawahabi vitabu vyenu kumeja licha ya Hadith dhwaif mpaka Hadithi Maudhuii zipo kwani ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم kigawanyo cha Tauhid AL-ULUHIYYAH, AL-RUBUBIYYAH, AL-ASMA ' WA SWIFAT si mwatumia Hadithi Maudhuii tena si Dwaifu
@bagalucha11 ай бұрын
@@abubakaromar6101 Bismillah Rahman Rahim Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili. KWA WALE WAABUDU MAKABURI Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
iddimohamed254 nyinyi nmawahabi ndio kuangamiza umma na ulimwengu kwa Bida'a uzushi wenu wa kumgawanya Mwenye Ezi Mungu ktk Tauhid ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم au AstaghfiruAllah kumfanya Mwenye Ezi Mungu kama mfano wa viumbe ziangalie sana hizo Bida'a zenu pia mujihadhari na mashekhe wenu wanapeleka pabaya