alhamdulillah wilaya yangu masheikh zake sasa wameamka allah awahifadhi
@JumaRajabu-bx2hu11 ай бұрын
Jazakallah kheir nimefaidika sana na mawaidha haya.
@sarmbadmkali615011 ай бұрын
Ya saalaaam Umemalizaaaa @ustadh jumaa parungu
@Abuuhurayrahsaalim11 ай бұрын
Ahsante Allaah akulipe Sasa ktk umma huu unahitajia mashekh Kama wewe Shekh JUMAA na siyo mafutaa.
@jamalishoo380211 ай бұрын
Maa shaa Allah
@AbeidHassan-wu4lu10 ай бұрын
Sisi tumemuelewa shekh qassim,wew ndo hujaelewa na unapoteza mda wako
@Ahmed-l7k7k11 ай бұрын
Ahsanta wafudisheni hawo wanafuzi wawo, lakini wawo ni ngumu kwa sababu ya mahlasa.
@muqadam-mk5st11 ай бұрын
Mafuta yanaelekea kue EXPER DATE MUDA SI MREFU
@sheheshehe113811 ай бұрын
YAANI HUMU KUNA MAJITU KAMA MANG'OMBE YANAFUATA MKUMBO TU HUYO QASSIM MAFUTA HUJIONA BORA KULIKO MWINGINE HIVI TOFAUTI YAKE NA IBILISI IKO WAPI KWA RIA ANAYOFANYA KWANI UKIITWA MUHABI NDIYO DINI AU INAKUAJE
@jamalishoo380211 ай бұрын
Huyu kasimu ni jinga sana
@abuukauthar52511 ай бұрын
Yan kupambana kote kisa ubwabwa masufi bwana
@salimmgwira717911 ай бұрын
Shkh parangu unaonekana unampiga raddi shkh Muhammad bakari bila kujua kwasababu shk kasim alipo soma ibara ambayo iko kwenye kitabu cha shkh ndo akasema shk ametaja mas aala ya tarki bila upambanuzi na sio sawa mambo haya yana upambanuzi sasa wewe unakuja juu na mambo ya tarki na kuswma shk qassim amekosea itakua alo kosea kwanza ni shk Muhammad bakari kwasababu amekata moja kwa moja bila kufanya upambanuzi
@AbuuAbdillah-hb8li11 ай бұрын
Yaani nyie wazushi hua akili zenu zinachanganyikiwa ikiwa bidaa na uzushi unapingwa dini yenu nyinyi ni nikufuata uvundo na visivyofaa siku zote mnasimama kutetea uzushi na bidaa sijaona mtu wa bidaa akitetea suna sijaona siku zote mkitokwa na mate basi nikutetea uzushi na bidaa Uzushi ndio dini yenu Lau kama sio ALLAH kisha watu wasuna nyinyi wazushi watu wabidaa mngeifanya hii dini kama ya wakiristo lkn alhamdu lillah ALLAH hii dini imeiweka mikononi mwa watetezi wa suna sio nyinyi mliolelewa katika UZUSHI hamjui dini ila katika uzushi na bidaa
@sarmbadmkali615011 ай бұрын
Mkataaeeni na ibn taimiaaa masalafi kalalenii 😂😂😂
@saidimatezo627311 ай бұрын
Ana nini huyu....?....Sasa siyamefafanuliwa haya na sheikh Mafuta....Ama hii miwani yake imefinika mpaka akili yake.....yaaani anaupofu kasababu ya taasubi hata haki hailewi kwa sababu yamezungumzwa na Mafuta...
@saidimatezo627311 ай бұрын
Soma na ufe na hizo talakini zenu na arobaini, mulikuwa mkiwakogesha wanawake nifas, sasa haya yamewatoka....dalili za maulidi hamna....
@adinanimzimbiry11 ай бұрын
Tuonyeshe ushahid wa wazi wa shekh aliye mkogesha mwanamke nifasi acha hivo ndugu yangu kama huna hakika ya jambo utakufa na comment yako itaendelea kuish . Usifanye hivo kwa sababu bila shaka huna uthibitisho wa wazi kulithibitisha hilo
@MuhidiniNassor11 ай бұрын
Hapa miwajabi haitofahamu
@huseynmaitaya900211 ай бұрын
Sindio sasa muache si mtume kakukatazeni bid’aa mbona hamuachi
@taurehassan739911 ай бұрын
Kwni Nini maana ya bid'aa?npe elimu plz
@huseynmaitaya900211 ай бұрын
Ni jambo lolote lenye kufanywa kwa kuitikadiwa kua ni katika dini na haina ushahidi wa kimatamko ya kisheria , hii ndio kwa ufupi ndugu
@jujanreeves692511 ай бұрын
Jibu maswali uliyoulizwa acha porojo toa aya na Hadith’s km Qaasim Mafuta Asssunatul Tarkiya ipo ww Sufi
@abuuabdirrahmaan413211 ай бұрын
WEWE MZEE NI TAPELI SANA KATIKA DINI SHEIKH QASSIM MAFUTA AMEFAFANUA MASAAILI NA AKASEMA SIO KILA ALICHOKIACHA MTUME NI HARAMU KUKIFANYA NA WALA SIO KILA ALICHO KIACHA NI HALALI KUKIFANYA NA AKAELEZA KWAMBA IKIWA MTUME AMEACHA MASAAILI YAKIIBADA AMBAYO PALIKUWA NA SABABU YA KUFANYWA ILIKUWEPO LAKINI AKAIWACHA HAPO KUIWACHA IBADA HIO NI SUNNA NA KUIFANYA NI BID'AH MFANO ADHANA KWENYE SWALA YA EIDI HIVYO NDIVYO TULIVYO MUELEWA SHEIKH KASSIM NA KILA MWENYE AKILI TIMAMU KAMUELEWA AMA HUYU KINYAMKERA MUONGO HAPA NI MJINGA TAAPELI U HANA MAANA JE HAPA NDIO MUMEJIBU MASWALI MULIYO ULIZWA NYIE MATAPELI WAONGO.?????!