Hey sis I really love the topic. Thank you for sharing ☺
@rebekadorothy66254 жыл бұрын
Hi Babe sis. Thank you so much my. God bless you
@berthatomas71252 жыл бұрын
Nisaidie Namba yako
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
Bertha Tomas nitafute Facebook.
@berthatomas71252 жыл бұрын
Et naomba unishauli mi naishi na mwanaume ila wazazi wake wanamkataza kutoa Mahari mpaka wamruhusu naye nae anasema mpaka wazazi wake wamwambie na nina ishi nae hu mwaka 3 Sasa dada nisaidie nakuomba Ushauli nifanyeje
@berthatomas71252 жыл бұрын
Kuna sku wazazi wake walikuja wote. Wakakaa sku 2 kesho yake wakaondoka bila kunipa tariifa naamka nakuta wameondoka nisaidie au hawanitaki dada
@berthatomas71252 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 nina mtoto 1 tayari nimezaa nae ila Ndo Ivo KILA nikikwambia kutoa mahali anakua mgumu et ye awezi kufanya bila wazazi wake
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
@@berthatomas7125 pole kwa unayokutana nayo. Kwanza kabisa napenda nikwambiye kwenye maisha wa kwanza ni Mwenyezi Mungu halafu wanafata Wazazi. So wazazi ni Mungu wa pili. Sasa basi hakuna maisha mazuri au ndoa nzuri kama kupata baraka kutoka kwa Mungu na wazazi. Kwa nini unalazimisha kutolewa mahali? Jamani mwanaume kama anakupenda na anataka kuishi na wewe kiuhalali basi yeye mwanaume ndiyo anatakiwa kuamuwa kwenda kukutolea mahali ila hutakiwi kumlazimisha. Maana unapomlazimisha wakati yeye bado hayupo tayari utakuja kunyanyasika sana hapo baadaye. Maana kila mtakapokuwa mmekosana lazima atakukumbusha kuwa ulimlazimisha kwenda kutoa mahari kwenu. Wewe angalia ukiona hakuna muelekeo wowote basi inabidi ufanye maamuzi yako wewe mwenyewe. Kama unampenda na yeye anakupenda basi endeleeni kuishi hivyo mpk pale atakapoamuwa kukutolea mahali ila kama huwezi itabidi ufanya maamuzi mengine. Hapo siwezi kukushauri maana ni wewe inabidi uangaliye umuhimu wa maisha yako na nini unataka kwenye maisha yako.