Sophia kassim Amen Amen Amen. Asante sana na karibu tujifunze.🙏🙏🙏
@DrRonnie0393 жыл бұрын
Asante sana Rebeka dorothy
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Karibu sana my Dear.
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante sana.
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
Mwanatz Karibu sana tujifunze.
@happygw69303 жыл бұрын
Point mkwe
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Asante sana mkwe wangu.
@joycewaja324 Жыл бұрын
Mum mtu akitaka mzungu utamutafutia wewe ama wewe umenimbaliki sana Mum mungu akueke siku nyingi sana
@rebekadorothy6625 Жыл бұрын
@joycewaja324 Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 Mimi nimekupa mchongo na nimekuelekeza na kufundisha. Mzungu unatafuta mwenyewe mamie. Siwezi kumtafuta mtu
@mariamwakabuta10342 жыл бұрын
Namba zako dear
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
Maria Meakabuta nitafute Facebook. Number yangu ya simu ni personal.
@mariamwakabuta10342 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 ok dear
@AffectionateBeach-rf1xy2 ай бұрын
Umenielewa
@huzaimamikidadi1223 жыл бұрын
my rebeca mi nimempata rafiki ila yeye anaishi london sasa ameniambia january anakuja ! sasa naomba ushauri wako ?akija nafanyaje na yy anakuja kwa ajili yangu
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Huzaima Mikidadi mpk amesema anakuja January inamaana mmeshaongea vitu vingi sana. Unajuwa ni vitu gani anapenda. Basi inategemea na yeye kama kapanga kufikia hotelini basi utakwenda mpokea umpeleke hotelini na uanze kumpeleka sehemu mbalimbali anazopenda na nyingine ni wewe unamuonyesha utamaduni wenu. Ila kama kwako kuna nafasi pia unaweza kumtayarishia chumba chake peke yake cha kulala halafu unamukarimu kama mgeni.
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Dada minataka mchumba wa kizungu.nitampataje
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Thumna Thumna Kuna video nimeelezea angalia kwenye video zangu za nyuma.ila week hii nitaweka video nyingine ya kuelezea vizuri ni mahali gani unaweza kukutana na mzungu.
@thumnathumna59463 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 mimi ni mgeni wako.kwaiyo nspitia kila video zako pale ninspopata nafasi ya utulivu. Sijamaliza ideo zote
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
@@thumnathumna5946 karibu sana tujifunze
@leahmabiki3501 Жыл бұрын
Samahani dada Rebeka naomba 5uonane inbox
@rebekadorothy6625 Жыл бұрын
Leah Mabiki nitafute Facebook
@huzaimamikidadi1223 жыл бұрын
naomba inbox yako ili unisaidie
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
Huzaima Mikidadi nitafute instagram au Facebook kwa jina hili hili la Rebeka Dorothy utanipata.
@huzaimamikidadi1223 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 nimekuja sijui niyenyewe?
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
@@huzaimamikidadi122 wapi ulipokuja instagram au Facebook
@huzaimamikidadi1223 жыл бұрын
nimeona una follower 112 au siyo hiyo
@rebekadorothy66253 жыл бұрын
@@huzaimamikidadi122 siyo mimi
@NuruAmonАй бұрын
Izo umenielewa zinauzi punguza
@rebekadorothy6625Ай бұрын
@NuruAmon kuna aliyekuita kuja kuangalia au kusikiliza mnapendaga kurekebisha uumbaji wa mungu utasema unaweza kuumba kajambe mbele uko mfyuuuuu
@Happiness.132 жыл бұрын
Je kama hajakutongoza na mkikutana hiyo first date akakutongoza unatakiwa kukubali siku hiyo hiyo?
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
@happinesseliudidaniel2022. Swali lako halieleweki. Unasema hajakutongoza sasa unakwendaje kwenye 1st date?
@Happiness.132 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 tupo kama marafiki2 na ameomba kuonana na mimi anamazungumzo na mimi, pia anadalili zote za kunitaka mimi pia nahis kumpenda, so nawaza nitamjibu nini akifunguka kwangu
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
@@Happiness.13 hapo sasa umefunguka. Mara nyingi sana wazungu huwa wanaanza kwa kusema I like you. Sasa kama na wewe umevutiwa naye basi jibu unalo mwenyewe. Maana siku ya kuona ndiyo utajuwa mwenyewe nini umjibu. Na kama mlikuwa marafiki wa muda mrefu mkikutana lazima utajuwa mwenyewe nini unataka kutoka kwake so jibu utakuwa nalo mwenyewe.
@Happiness.132 жыл бұрын
@@rebekadorothy6625 Asante mamy but sio mzungu
@rebekadorothy66252 жыл бұрын
@@Happiness.13 nimekujibu kwa kuandika mzungu maana sikujuwa unaniongelea mwanaume wa Aina gani. Huo ushauri nimemtoa no kwa mzungu. Sasa kwa mweusi kidogo tumetofautiana kwenye mapenzi nadhani na wewe unajuwa. Mweusi akikutongoza anategemea siku hiyo hiyo unakwenda kulalia naye so akili ni nywele kila mtu ana zake.