yaweza kuwa kweli maana imani ndiyo hiyo wanayoitumia
@EricaSumary6 ай бұрын
P o P
@noelnashon14077 жыл бұрын
aisee allahu akbar
@utaliiwandani92676 жыл бұрын
nakukubar sana bro uwewasaidia wengi
@sopiaahmad77958 жыл бұрын
fantastic
@yamatabaraka78037 жыл бұрын
Duniani ni duniani na Mbinguni ni Mbinguni, hii ni miji tu ya hapa hapa duniani, mji wa mbinguni hauna jua wala mwezi, bali utukufu wa bwana ndo uangazao, Yerusalemu mpya twaungoja kwa hamu. heri watakao ingia katika mji huo,
@gerrybrowsyoweke40707 жыл бұрын
Yamata Baraka ok
@lovenesreuben61797 жыл бұрын
Yamata Baraka upo rafiki angu
@celinemaiga63797 жыл бұрын
Yamata Baraka amen
@briank8316 жыл бұрын
amen,maranatha
@alhajikasimu46356 жыл бұрын
mambo
@omaryshemdoe14307 жыл бұрын
du noma sana
@justinwakudat67926 жыл бұрын
Dada napenda sana unavyoongea from Tz
@rozeeroz25156 жыл бұрын
Pozuli sana
@jamescornel50706 жыл бұрын
noma sana kweli hii ndo dunia
@morineaj34493 жыл бұрын
Hi sasa imetimia Ile msemo yakuona ya firauni♌
@merryn48916 жыл бұрын
pazur dhana
@allymbebalawama25428 жыл бұрын
Daaah kweli yamungu mengi
@solomonimuhammad9854 жыл бұрын
Mesopotamia is Iraq for now,and we know Iraq is obtained in Arabia peninsula that covered with only a desert, no garden no forest,..its surrounded with thousand of thousands of sand....So how that gardens planted and survived?
@mpendakiswahili30533 жыл бұрын
Your clearly out of touch with history....
@braysanga22123 жыл бұрын
Aixeeeeee
@honzela8 жыл бұрын
maajabu kweli, je mbinguni kitakuwa Kwa namna gani?
@nessaoman7118 жыл бұрын
Dah sisee
@emmanuelcharless1416 жыл бұрын
kwel dunia duuuuh
@calistshirimashirima66746 жыл бұрын
daa hatar xanaa
@marcben22687 жыл бұрын
Jmn duh kwa self huko 😂😂😂
@TRAVELANDTASTETANZANIA5 жыл бұрын
Zamani Wanaume walijua kupenda Haswaa!
@liliansikazwe74445 жыл бұрын
na ndio waliongoza kwa usaliti...soma vizr biblia utajua
@jeremiahmutunga68993 жыл бұрын
Really💋💋💋💋
@patrickmwampamba71778 жыл бұрын
jux
@firstmumz74606 жыл бұрын
Hizo picha tu mwanahistoria kujaribu kujieleza kutumia creation yake its not real kwani 600 years before christ hakukuwa na cameras wala technologia yoyote.
@josephkenned15706 жыл бұрын
Hyo sio video ila fake pics ni za kutengenezwa na kufikirika
@raphaelmganga3746 жыл бұрын
Hahahaha
@liliansikazwe74445 жыл бұрын
n mambo ya kufikilika kutokana na vile biblia inavyosema wenyew wanaijengea picha bro
@mpendakiswahili30533 жыл бұрын
Wewe akili duni....
@merryn48916 жыл бұрын
pazur thani
@adamkindole97347 жыл бұрын
Ila pazuri jamani
@jojo_linkissabiny52385 жыл бұрын
😄
@musagunda32808 жыл бұрын
Daah
@elishabayo55677 жыл бұрын
Musa Gunda DMI M
@michaelezekielroswe95176 жыл бұрын
Ndo maana hakuna Mwanadam wa Zama hizi anaweza kufanya Jambo watu wakashtuka maana yote nk marudio na hatujaweza kuwafikia watu wa kale.... Just imagine mnara wa Babeli mpaka Mungu anaingilia kati
@mpendakiswahili30533 жыл бұрын
Kweli kabisa, hamna kibakisho aina ya kuwastua binadamu...
@merryn48916 жыл бұрын
pazur thana
@kingommy23936 жыл бұрын
babylonia
@michaelcharles89426 жыл бұрын
Wemama ninoma
@innosentmasawemasawe4816 жыл бұрын
mji wa kufkilika n hadth tu izoooo.....!!!!
@shukuruantipas87126 жыл бұрын
Zamani kulikuwa kuzuri mno
@davidmihambo30516 жыл бұрын
mji wa kufikirika tu huo hatuna uwakika kama ulikuwa hivyo ndio maana watafiti wengi wametofautiana
@sahelpascha3268 жыл бұрын
ajabu sana
@robytv4417 жыл бұрын
xxx .
@shamisalmahruqi15276 жыл бұрын
Hii si miujiza .ni maajabu .miujiza ilikuwa inateremshwa kwa manabii na mitume basi. Hakuna binadam anamiujiza .hilo jengo si miujiza ni maajabu tu basi