Mashallah mashallah tabarakarahman nafarajika Kwa mawaidha yako Allah akujaze kheir na baada ya kheir jannatul firdaus ameen Allah humaa Ameen Kwa sote jamii islam
@missmoona44975 жыл бұрын
Maaashallah shekhe Izudin napendaga saaaana mawaidha yako,yaan wanigusa hasaaa kwenye moyo ww ni lol modo wangu haswaa yaaan time Izudin. Nitakualika kwenye harus yangu uwafikishie mawaidha haya siku hiyo itakuwa ndio mada kuu bb harus ajifunze pia na waalikwa wote maana wanaume ni mtihan kweli kweli wachache sana wafanyayo hayo ni 10 kwa moja umpate mwenye sifa kama hizo usemazo.
@fatmahkhamis1135 жыл бұрын
Masha Allah sheikh nakupenda bure kwa ajili ya Allah una mawaidha madhur Sana
@zahrarashid91425 жыл бұрын
Masha Allah mbona wanielimisha yaa usthadi mungu akupe mwisho mwema
@hawahrayhan53916 жыл бұрын
Assalaam aleikum sheikh, shukran sana wambie ,wengine wake zao hawajui hata yanayo endelea maishani mwawo
Mawaidha mazuri sanaaa..pia nafurahi Sana na kiswahili chake kizuriii🤲
@muhammaddaud90765 жыл бұрын
Miskini ndo maskini, nnde ndo nje 😆 very entertaining to lisn
@zahraalbaloochi28415 жыл бұрын
Mashaallah Mungu ampe ujuzi zaid
@zahraalbaloochi28415 жыл бұрын
@@muhammaddaud9076 hicho ni kiswahili kizuri tu' lkn inategemea waatokea upande gani wa east Africa
@muhammaddaud90765 жыл бұрын
@@zahraalbaloochi2841 me natokea znz
@faizaummumohamed53633 жыл бұрын
👍👌👌👌👌👌👌👌👍👍👍👍👍barakallah fiik mashallah mashallah help. ..ni kweli kabisa kabisa. .ni dio mume wagu ana tabia hiu
@afric013 жыл бұрын
Aslm alkm wtw... pole Sheikh wetu muumin hasemi uongo, lakini english yako safi na umesema hukusoma shule, sema kweli. Ama wanaume wangekua kama wewe jinsi unavyo ongea Ma Sha Allah 🤣 sisemi kitu. Lakini nasikirika Sheikh, hatuna maana wanawake, tumepitia mengi Sheikh wetu. Allah akulipe Jannah firdaus kwa mada hii. Akupe umri wenye afya furaha na mafanikio. Shukran sanaaa Sheikh.
@aliilocksian38276 жыл бұрын
Masha Allah Sheickh. Mungu akuifadhi
@awashilwavu55136 жыл бұрын
Maashaallah,Allah akuzidishie kheri
@faridabakari85116 жыл бұрын
Nakupenda sana shekh langu wallah ako vzuri kutuelewesha kwa mawaidha👏👏👏👏👏😍😍😍ALLAH akuhifadh inshallah
@salamakhamis80924 жыл бұрын
Baarakallahu fiiqu
@salmaalkyumi22705 жыл бұрын
Jazaka llahu lkhair 💕
@khadijaomar75296 жыл бұрын
Masha Allah Shaikh kwa mawaidha yako nayapenda sana Lakini shida na ila ni kitwa cha mada huenda ikawa ni nyingine kisha hubadilika kikawa kingine kisha hukosa mwelekeo na ladha pia hupotea
@ayeshadada38505 жыл бұрын
Mashallah alhamdulillah
@muh42253 жыл бұрын
Sawa sawa sheikh
@abdulrahmanmohamedaboud7355 жыл бұрын
Jazakallahu khyr
@faizabaishe51726 жыл бұрын
Ameen Yarabi sote InshAllah mungu akupe kila la Heri,
@ebrahimhajeeebrahim73815 жыл бұрын
Faiza baishe hujambo nduyangu
@paulonkwabi87484 жыл бұрын
Mashaallah ostazi mwenyezi mungu akuongezee elimu uzidi kutujuza na sisi mwenyezi mungu atuongeze tuweze kuyafanyia kazi inshaallah
@ashurachongoe65312 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuweke ili uzidi kutuelimisha shekhe
@wlkms13935 жыл бұрын
Napendezewa na mawaidha mazuri sanaa nataka useme mada ya je yaruhusiwa kunyonya uchi mke au mume
@mayramali2505 жыл бұрын
MashaAllah shekh uyu Mungu amjaze kheri
@missmoona44976 жыл бұрын
Jazakaullahu kheir maashallahu shekh wanifurahusha wanikunahasaaa maana kama umeingia ndan kwangu ukayaona hayo uyasemayo.Subuhannallah Allah asinionyeshe tena hayo khaaa.
@hamissabra19975 жыл бұрын
Mashallah
@swabriali45836 жыл бұрын
MashaAllah Mola akuhifadhi
@rahmasalmu88726 жыл бұрын
Huyu sheikh Masha Allah nampenda akisema na mawaidha yake mszuuur
@jacintawangecimwangi56236 жыл бұрын
Napenda mafunzo yako sana. Keep up
@athmanbakari59326 жыл бұрын
Thank you ustadh following from Jeddah
@newasddong58656 жыл бұрын
Athman Bakari mm pia
@lutfiamuhammed2 ай бұрын
Hasbunaal waaneemaliwakil
@amnajugbar7394 жыл бұрын
MAA SHAA ALLAH
@asmamusa1966 жыл бұрын
ma Sha allwah
@halimasaid49776 жыл бұрын
Hahahahaha walah nafaidika
@salmaalkyumi22705 жыл бұрын
Salallahu alaihi wasalam 💘
@abullahkabaka87745 жыл бұрын
MASHALLAH ALEIK
@najjanaj77866 жыл бұрын
mashaAllah tabaraka Allah
@jidalddl87876 жыл бұрын
Masha Allaah
@jamilamunisi14805 жыл бұрын
Mashallah
@omararshraf42427 жыл бұрын
Ma sha Allah
@babreroala5287 жыл бұрын
Masha Allah
@mwan2mwaziry4554 жыл бұрын
Manshaallah
@ilhamprecious88167 жыл бұрын
Allah akulinde na akuepushe na shari za kidunia
@salehelmazrouy90897 жыл бұрын
Mashallah.......
@shamsaadan61646 жыл бұрын
MashAllah
@samiraalikiba18526 жыл бұрын
Maa shaa Allah wailimishe wanaume sheikh
@siwemaking83216 жыл бұрын
Mashaallah
@rayaabdallah79466 жыл бұрын
Mamy Rashry mashaaalah
@noohnkangaa15756 жыл бұрын
Mamy Rashry ml
@noohnkangaa15756 жыл бұрын
Ahsante
@iddysudy59106 жыл бұрын
Mamy Rashry na nyie pia wanawake
@faizunmohd98396 жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah
@jijabadi26096 жыл бұрын
Mashallh
@aseelaaseela49135 жыл бұрын
Amiin yarrab 🤲
@sanurahamad45786 жыл бұрын
Amiyn allahumma amiyn Shukrani
@halimasaid49776 жыл бұрын
Nitamleta mchumba umfundishe nini maana ya ndoa sitaki matatizo mie kwenye ndoa thank you
@zahraalbaloochi28415 жыл бұрын
Hahahaaa👍
@ashahaji49367 жыл бұрын
Jaazakaallahu kheiry
@fatumayunus45377 жыл бұрын
mashaallaaah
@hussenadam51436 жыл бұрын
fatuma yunus ukowap
@hadijamsangi55106 жыл бұрын
mashallhaa
@zubedanuru27377 жыл бұрын
mashaa Allah
@halimasaid49776 жыл бұрын
Mashaallah
@hfhffg78196 жыл бұрын
MashaAllah
@munaseif97696 жыл бұрын
asante sana
@DhudhulaDhudhula6 жыл бұрын
Masha Allah
@FatimaFatima-zz9zq6 жыл бұрын
MashaaAllah
@ashamohd16875 жыл бұрын
MashaAllah naelimika sana kupitia mawaidha yako Allah akuzidishie siha njema
@mbundason5 жыл бұрын
🙏🙏
@habibumabina1137 жыл бұрын
Takbir
@nyakalealfan58126 жыл бұрын
mashallah
@salmaissa6464 Жыл бұрын
3
@abughatimsalim70476 жыл бұрын
mash
@shammoha52975 жыл бұрын
Ameen yaa Rabb 🤲🏼
@IshiKistaa5 жыл бұрын
TEMBELEA UKURASA WETU KUJUA NYOTA YAKO ZAIDI KILA SIKU kzbin.info/door/xBrgr6eSdKzbt1PUSZ9dWQ?view_as=subscriber
@leilahassan67315 жыл бұрын
Hii ni shirki
@عليالندابي6 жыл бұрын
mashaallah
@shabanmbwera43366 жыл бұрын
Aquraani karim, tafsiiri .
@maase20236 жыл бұрын
ustaaz pumua kidogo watu wanachoshwa
@newasddong58656 жыл бұрын
Arqam Munir subhana ALLAH WAchoshwa na mawaidha msiba mkubwa huu 😱
@newasddong58656 жыл бұрын
Arqam Munir video yenyewe niyamwaka mzima hii soma coment zajuu watu walicoment mwaka mzima eti umechoshwa
@omarkhamis95146 жыл бұрын
Ingekua ni movie au video za series, hata masaa kila siku ungekaa ukafuatilia, lakini dini unaona uzito. Lakini Inshaa’Allah M/Mungu akupe subra. Shekhe Baarakal-Laahu Fiik.
@twahamohamed6 жыл бұрын
Munir. Sema unachoshwa wewe. Mawidha ya Sheikh nakesha nasikiliza kwa utamu wake.