Yaani wanafunzi wa madrasa mmekuja kama wote na walimu wenu na mashekhe wote mnapokezana mic lakini Bado amfui dafu, kweli injili imesimama, GOD keep your servant NDACHA and Bless his life.
@edwinnyapara64825 жыл бұрын
Kwa Yesu hatubanduki;Yeye ndiye mwokozi wa ulimwengu
@sarahwanjala66015 жыл бұрын
Mimi sibanduki kwa Yesu ngoo hatakama munamwita majina yote
@edwinnyapara64825 жыл бұрын
@@sarahwanjala6601 Waambie ukweli #Sarah hizi no siku za mwisho
@sarahwanjala66015 жыл бұрын
@@edwinnyapara6482 kweli kabisa kwani niwambishi naukweli uko wazi Nitacheka siku hiyo nikiwaona wakitupwa jehanami kwa kumkana Yesu hadharani nae Yesu atawakataa mbele za Baba yetu wa mbinguni
@kijanahodari20805 жыл бұрын
Yesu hautambui ukiristo na ibada zenu wala ilo jina la Yesu sio lake mulimpa nyinyi munao ongea Kiswahili
@monicabh16683 жыл бұрын
🤣🤣🤣hatubanduki ng’ooooo hawa waislamu ni kuni za jehanamu tuu.
@jamilshisia59295 жыл бұрын
Ustadhi Mohammed Mungu akujalie elimu unayo ya kutosha, umenyorosha huyo ndacha proper
@margaretmargaret57443 жыл бұрын
Mr Ndacha my role model # Hate him at your own risk
@maxjofrey702 жыл бұрын
Mwalimu ndacha nakukubali sana mana unajua kuwa nyoosha yani kwayesu sitoki
@mariamnamwa1884 жыл бұрын
Mwalimu Ndacha please tupangie mada part 1,2,3 barikiwa sana
@kazirijohn5 жыл бұрын
Ndacha hao majamaa wanyoshe katita jina la Yesu kristo.
@yousuflugodisha47915 жыл бұрын
Yesu in Mungu
@kijanahodari20805 жыл бұрын
Ila alikuwa akimsujudia Mungu wa waislamu
@monicabh16683 жыл бұрын
Ushindwe katika jina la Yesu,Na mjue Allah sio Mungu ni jiwe
@kiragufrankjoram40603 жыл бұрын
Ndasha is on fire
@masongatz5 жыл бұрын
NDASHA jeshi la mtu mmoja
@ritanget91743 жыл бұрын
Yesu ndie mwokozi wa ulimwengu hiyo haipingiki
@raphaelkimaro17535 жыл бұрын
mashekh nawasifu kwa kuzuga. mada imewachoma wanajichekesha kama watekenywa ili kuwatia moyo waumini.
@bensonkuria32935 жыл бұрын
Kwa yesu si hami
@leadyl57573 жыл бұрын
Achen kumkataa yesu
@financialloan98185 жыл бұрын
Waislam poleni sana mpaka naona aibu Mimi uku
@vincentmokua59273 жыл бұрын
Msikize uyu ustadh vizuri sana anavyopinda ulimi......"nasi tumekufanya kuwa ntume" ..... Nasi ni hakina nani
@carolinendasala9355 жыл бұрын
Wape dose pastor wakilala wasiamke
@financialloan98185 жыл бұрын
Ndasha ungekuja tz kaka yan ww ni kibokooooo unawanyoosha waislam daah
@carolinendasala9355 жыл бұрын
Kwa Yesu kuna raha
@nelimajotham16985 жыл бұрын
Kweli sindano uchungu, lakini yaponyesha. Waislamu wakadungwe na wamukubali Yesu kuwa ni Mwana wa Mungu na ni Mkombozi wa ulimwengu. Amen!
@leonardabrahamh69065 жыл бұрын
Waislam ni vipofu.wamerogwa
@kijanahodari20805 жыл бұрын
Soma Bibilia utambue Yesu alikuwa muislamu hakuingia kanisani,hakufundisha ibada za misalaba wala hakuabudu sanamu za wazungu walio igiza filamu zake
@shadrackoberi87735 жыл бұрын
Hamjambo mwalimu Mafundisho yenu yamekuwa ya manufaa kwa wengi Mungu awabariki, Uokofu jambo la busara
@alexandermulilison58445 жыл бұрын
Leo dasha umepata mteremko Leo....hahaha fanyeni muhadhara na Yusuf
@charlesmashaur44874 жыл бұрын
Huyu jamaa ndacha mmoja wote wanamchangia lakini hawamuwezi
@janenjenga56395 жыл бұрын
Haina haja kusoma mstari moja tu.kwa Yesu sitoki ng'o. Nikipata andika yesu alioa
@leadyl57573 жыл бұрын
Ndacha nakuombea xana
@charlesmakuri7923 жыл бұрын
Ndacha your a Hilo of Jesus ,naamini wanapata kinnacho staili Ila wanajidai tu kupapambana
@martinmkoba3615 жыл бұрын
Waislamu ukiwapatia wanatia uruma kweli
@geoffreyjipe32815 жыл бұрын
Waislamu hanajipya
@stephenodhiambo00072 жыл бұрын
Romans 11:17 And if some of the branches were broken off, and you,being a wild olive tree,were grafted in among them, and with them partake of the root and fatness of the olive tree;
@ramazecha28773 жыл бұрын
Mashalah mashekh wetu mungu akupe nguvu
@saadiamaalimhyhg36905 жыл бұрын
Yesu Mungu, yesu nabii, yesu sheitani, yesu Amesulubiwa, yesu amesulubiwa, yesu mwana Mungu, yesu amesulubiwa. Wachristo wamechanganyikiwa kabisa.
@samutykuntathebantu84023 жыл бұрын
Waislamu wako jehanamu
@monicabh16683 жыл бұрын
Hawa waislamu ni kuni za jehanamu
@saadiamaalimhyhg36905 жыл бұрын
Dini ya wakizungu.
@جانيتكينيا5 жыл бұрын
Amen
@carolinendasala9355 жыл бұрын
Aki hii debate inanibamba sana!
@enockkibona75222 жыл бұрын
Nimeona walimu wengi ila NDACHA is Best...labda kama umeamua kuwa mgumu tu ndio huwesi kuelewa
@janekwahada5805 жыл бұрын
Kutoka 35:10-11 Yakobo ndiyo Israel.
@jeanpaulkwizera3216 Жыл бұрын
wapi kwenye Yesu amesema, soma iyo Korohani Yesu kasema mimi Yesu Na sema Ka mihamad we njo utakuja bada
@jamilaomari24445 жыл бұрын
Kijana wetu Ibrahim hapa ametosha pekeyake kudunga Ndacha shindano😂😂😂
@omarmukhutar68475 жыл бұрын
@jamila omari # Ibrahim ametosha kwa hoja gani ya msingi?
@jamilaomari24445 жыл бұрын
@@omarmukhutar6847 ninyi hamna lolote.mlango wa wislamu ungali wazi.karibu tena.
@omarmukhutar68475 жыл бұрын
@@jamilaomari2444 nioneshe mna nn kihoja na kimaandiko sio mdomo
@janekwahada5805 жыл бұрын
Mwanzo 35:10. lsraeli ni Yakobo ndiyo inayo semwa kama ni kondoo waliyepotea ni nyumba ya lsemahili. Hamutajuwa Bible kwa sababu mumejazwa making kwa kili zanu ni lazima mutubu ndiyo mujuwe Bible. Bible haisomwi Kama Bible
@monicabh16683 жыл бұрын
Bila kuwa na roho mtakatifu hauwezi ielewa bibilia kabisaa ,muache roho ngumu waislamu okokeni msije mkafanywa kuni za jehanamu.
@enockkibona75222 жыл бұрын
Sema kumfyata mtu asiyejua kusoma ni kazi na inahitaji moyo sana,yaani akisomewa asubuhi anawasimulia wengine
@yesunialamayakiama.90133 жыл бұрын
Quran 52:31 nimeipenda ! 😁
@hamastien54395 жыл бұрын
Sawa kabisa shekhe muhammad wanasom aya kinyume nyume hao naam kwel haw.hawan la saw wallah yarab tunusur umma wako man tuna
@eliassemanuel44614 жыл бұрын
Habalinni wapendwa naomba mnisaidie namba za mwalimu Francis Ndacha.. Namba yangu 0658040054 wasap
@kazirijohn5 жыл бұрын
muhammad hata saa hii ni Marehemu amsubili Yesu kristo tu aje kumhukumu. Waisilam wote hapo chali.
@janenjenga56395 жыл бұрын
Ndacha kuweni na part 1,2,3.tunabaki kushangaa ujumbe huo mwingine uko wapi
@babieslullabynurserysongs74485 жыл бұрын
🤣🤣 hawezi subutu sisi ndio kizazi kipya cha kufunga makanisa al maarufu silimisha huyo.....he can't dare tulimfudisha bibilia
@janenjenga56395 жыл бұрын
Nyinyi mkiwa na nani.nakila goti litapigwa na kukiri Yesu ni Bwana
@saitotisapiyo71675 жыл бұрын
Jane Njenga nunua DVD.
@omarmukhutar68475 жыл бұрын
Muhammad hawezi kutegemewa na ulimwengu akiwa alilala na mtoto wa miaka 9, na akaowa bibi wa kijana wake,haiwezekani wala siwezi kumfuata tena.
@hajimousa58325 жыл бұрын
Were kijana unaonekana ni mmisheni wala si muislam,kwa kukusaidia ninangekushauri uusome uislam vizuri mpaka uelewe kusha maamuzi ni ya kwako binafsi.dini si ushabiki ila dini ni lman ilioambatana na hoja na dalili.mfano kwanini ninaoa ?kwa sababu dini yangu imeniamrisha jambo hilo tena kwa ushahidi wa maandiko.nakuatakia mazingatio mema
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Sijutii kuwa mkristo maana jamaa wamefingwa
@evalineakuku5905 жыл бұрын
Hawa ndo wagalatia waliologwa hata wakiambiwa ukweli hawaelewi ukweli ni asieamin yesu na kubatizwa kwa maji mengi hana uzima wa milele
@kenambitho12395 жыл бұрын
Wapi Yesu alibatiza watu na maji?
@kijanahodari20805 жыл бұрын
Yesu alipokuja Yohana mbatizaji alikuwa gerezani na hawakuonana ibada hiyo ni ya uongo
@hamastien54395 жыл бұрын
Wallah cheken kidod san namulie san man huu msiba mkubwa wallah munapotoshwa na hao wachungaj wen hamjui 2
@omarmukhutar68475 жыл бұрын
Msiba kabisa kwawaislamu wote coz ata mtume wenu hajui kule anapelekwa,so mnamfuata on ur own risk.
@paulndegwa94525 жыл бұрын
Ndacha 1 man army lol
@carolinendasala9355 жыл бұрын
Abubakri ata ajui anasoma nini sijashika chenye anaubiria watu hahaha
@patrickbahatias2385 жыл бұрын
Yesu ni kwa waisraeli na Muhammad nikwa watu wote ulimwenguni
@arikuibrahim66695 жыл бұрын
tumegundua ujanja wenu waisilamu...hamjui mohammed ni mfuasi wa kwanza wa YESU KRISTO???
@leonardabrahamh69065 жыл бұрын
Hivi mmepewa nini kufuata kiumbe alie kaburini ya marehem.tena alie rogwa.
@omarmukhutar68475 жыл бұрын
Tena alie lala na mtoto wa miaka 9
@kijanahodari20805 жыл бұрын
Wayahudi nao wanamfuata Musa aliye kufa Nyinyi nabii aliyetumwa kwenu mufuate ibada za kanisani ni Paulo sio Yesu
@cynthianawambugha76633 жыл бұрын
Kwawaida barua yenye haikuhusu huwezi ielewa 🙄🙄
@janekwahada5805 жыл бұрын
Tupe andiko MUNGU amesema Muhammad ni mutume ama MUNGU kamuchanguwa Muhammad kuwa mutume. Sikuje semea mimi ni metumwa. Hata mimi niwesa sema nimetumwa si neno mbali NENO KUU NI MUNGU KUSEMA AMA KUCHANGUWA
@jeanpaulkwizera3216 Жыл бұрын
uyu kijana mwarimu mudogo kabisa haujapata elim lakotosha aelewe Bible
@jamilaomari24445 жыл бұрын
Vitimbi vya Ndacha😂
@francinensavyimana56014 жыл бұрын
Hawana andiko la MUNGU ao yesu la ahadi wako na andiko la popo MUTUME wa bibilia waraka njo unaambiya watu izo bahasha za paulo unafundisha MANENO ya yesu 🤣🤣😂😂🤣🤣😂😂 wazungu wameshawatupa katika miba yesu atawafukuza wamoja mutakua mumeshakufa wangine watakua wangali duniyani watajuwa kweli akikana ucristo sijaaca wakristo hakili hawana
@kijanahodari20805 жыл бұрын
Maneno ya Yesu (Amos 50: 6) Watu wangu wamekuwa kondoo walio potea wachungaji wao wamewapoteza Ndacha amekarangwa na mafuta yeke
@thomasibishary73544 жыл бұрын
Eti amosi 50:6 labda kwenye Quran lakini kwenye bibilia aipo iyo. Amosi mwisho 9 sasijui iyo 50:6 sijui umetoa wapi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@moshantoj4 жыл бұрын
Wachungaji wasiojua neno
@omarmukhutar68475 жыл бұрын
Kawaida ya waislamu kusoma mandiko kimskiti yani upside down
@chenzhenlee76335 жыл бұрын
Kwani wa Islam hamusomi maandiko yote ?nyie hamjui kusoma Biblia