JEBBY FT AFANDE SELE SWAIBA

  Рет қаралды 811,587

DJ AnnoMaster

DJ AnnoMaster

Күн бұрын

DjAnnoMaster

Пікірлер: 709
@markoneofthebestmutuku6764
@markoneofthebestmutuku6764 7 ай бұрын
Kama unauskiza huu wimbo 2024 tujuane na likes
@leonardmhagama5828
@leonardmhagama5828 6 ай бұрын
Niko hapa naishi nayo "......nenda. Swaiba nenda mi niko kwenye msafaraaa...."
@sekelajackob2905
@sekelajackob2905 5 ай бұрын
Nipo
@ChagaBoy-i5i
@ChagaBoy-i5i 2 ай бұрын
vp
@saidkasimusein1040
@saidkasimusein1040 22 күн бұрын
Tupo uyu jamaa alikuwa kichwa sana
@adnanhussein2101
@adnanhussein2101 6 жыл бұрын
R.I.P Dallas, Aweso, Sadam niliwapenda ila Allah Aliwapenda zaidi kila nikisikiza huu mziki nawakumbuka nyinyi tu. Laleni salama ndugi Zangu.😭😭😭
@hassanabdul6160
@hassanabdul6160 3 жыл бұрын
Poleee nduguuu
@peterathmanmayoka2433
@peterathmanmayoka2433 2 жыл бұрын
Pole Adnan, Njia yetu sote bro
@dalalimpemba
@dalalimpemba 6 ай бұрын
Kama unausikiliza huu Wimbo 2024 Weka like hapa 🔥🔥
@JofuSikanyika-h5b
@JofuSikanyika-h5b 14 күн бұрын
Rip jeb
@omaryshaban8380
@omaryshaban8380 5 жыл бұрын
Dah jaman zamani watu wakiimba nyimbo nzuri sana tena sanaa, 2019
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 9 ай бұрын
Hizi ndo nyimbo mpka tutazeeka na kufa watoto wetu nao watakujazipenda cyo nyimbo za kinazuchu cjui CHAAPATI CHAAPATI ,NYOOOOO
@vasmotz
@vasmotz 6 жыл бұрын
Daaaaaah! Kama masihara Nae rafiki wa Swaida kamfata swaiba wake. daaaah mbele yako nyuma yetu ulale maala pema peponi amina.
@muaribifu_tz6572
@muaribifu_tz6572 5 жыл бұрын
R.I.P swaiba Ayoub 😢😥 Pumzika kw amani kamanda 12.5.2019 😞
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 7 жыл бұрын
hawa ndyo wasanii walio utendea haki mziki wa bongo fleva. big up
@fednandnews2240
@fednandnews2240 6 жыл бұрын
PHILIPO MBOGO kwel
@naymasaid7
@naymasaid7 6 жыл бұрын
R.I.P Jebby
@kaobamaabel5561
@kaobamaabel5561 6 жыл бұрын
+Fednand Mabeyo suree
@innocentkofa7824
@innocentkofa7824 Ай бұрын
Mi ni genZ but hizi ndio ngoma🇰🇪❤️tz classics+kenyan classics(ukoo fulani,kalamashaka,e-sir,k-rupt)
@saidiphily4964
@saidiphily4964 3 жыл бұрын
WALIO KUJA BAHADA YAKUMPOTEZA MH AYAT MAGUFULI GONGENI LIKE TWENDE SAWA
@ramadhaniwilonja3320
@ramadhaniwilonja3320 6 жыл бұрын
Nikisikiliza uyi ngoma namkumbuka sana swahiba Jebby r.i.P
@muaribifu_tz6572
@muaribifu_tz6572 5 жыл бұрын
R.I.P swaiba Ayoub 😢😥 Pumzika kw amani kamanda 12.5.2019 😞
@kabangaonline4523
@kabangaonline4523 6 жыл бұрын
I.R.P. ULIVYOZALIWA ULILIA WAKATI WATU WALIOKUZUNGUKA WANAFURAHI LAKINI LEO TUNALIA WEWE UNATABASAM. PUMNZIKA JEBBY NISIJE NIKASEMA SANA NIKAKUFURU KWA MUNGU
@zaitunintiaz2315
@zaitunintiaz2315 5 жыл бұрын
Duu mdogo wangu jebby nakukumbuka na maneno yako Chini ya mti msanii hata basikeli
@marryjames6379
@marryjames6379 5 жыл бұрын
Yupo swaiba wangu tena R I P MY DADDY 😭😭😭🙏🙏💔💔💔💔🙏🙏
@jaroufsoud1235
@jaroufsoud1235 4 жыл бұрын
polee
@aizackkajika5086
@aizackkajika5086 4 жыл бұрын
Daaa baada ya kusikliza Leo hii ngoma ndio megundua jamaa alikufa ,,pumzika kwa amani JERBY
@jannephermaulaga9838
@jannephermaulaga9838 6 жыл бұрын
R.I.P Jebby hatimaye msg ya wimbo wako imetimia.
@greyibra6892
@greyibra6892 Ай бұрын
Nasikiliza hii ngoma 2024
@emanuelmeshack8133
@emanuelmeshack8133 3 жыл бұрын
Nenda baba Ester!! Nitakuenzi milele. Dahh
@MojhamedTwaha
@MojhamedTwaha 6 ай бұрын
Bonge moja la ngoma hili kipindi hcho nasoma kibasila primary school
@mr.magic771
@mr.magic771 Жыл бұрын
it's almost 2024 and we're still here listen to this song
@KemmyPrince-m6h
@KemmyPrince-m6h Жыл бұрын
😢😢😢 r.ip mungu nijalie mwisho mwema
@benjaminulanga6749
@benjaminulanga6749 6 жыл бұрын
uliimba kwa ajili ya swaiba leo hiyo nyimbo inakurudia wewe ndo umekua swaiba UWEZO ULONAO WALA HAUTOSHI WAKUJIRUDISHA WEWE UJE KUISHI USIJE UKASEMA SANA UKAPATA LAANA KWANI HAYA MENGINE YA MAULANA r.i.p JEBBY
@magereubenmwakyoma7387
@magereubenmwakyoma7387 5 жыл бұрын
Acha tu mungu ampokee jebby🙏
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 жыл бұрын
Binge la song R.I.P Jeby hukumwimbia Rafikiyo Tu Kaka wimbo unatugusa wengi nakumbuka kifo cha rafiki yangu nikiwa sina habari na kifo chake narudi likizo yangu ya Kwanza Moro naenda kwao Kwa matumaini makubwa mama yake analia na ananiambia kwenu hukusikia chochote kuhusu Rafikiyo nilijikuta natoa machozi na niligundua cku zetu hapa Duniani ni chache Sana nenda swahiba nasi tupo kwenye msafara R.I.P my swahiba G tulihaso Sana kipindi tunaosoma mbeya na Tanga
@mtaostephen3660
@mtaostephen3660 2 жыл бұрын
Pole sana brother dah😥
@vichekeshoEzekielyisambi
@vichekeshoEzekielyisambi 8 ай бұрын
Swrhmq
@IreneMerchades
@IreneMerchades Ай бұрын
Daa​@@mtaostephen3660
@mpingashilla9877
@mpingashilla9877 4 ай бұрын
Daa Rip nkisu mwakyoma nakukumbuka swaiba wangu umeondoka na mkeo wa watoto daaa kweli Dunia mapito.
@richmahegah7740
@richmahegah7740 6 жыл бұрын
naikubali xana hii ngoma maana haijawahi kuchuja kabisa, Rip jebby
@abdallahhemed3527
@abdallahhemed3527 5 жыл бұрын
Allah akusamahe mazambi yako
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 жыл бұрын
Vzr havidumu😭😭😭🙏
@kambonamajaliwa4677
@kambonamajaliwa4677 6 жыл бұрын
Hakika huyu jamaa alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wakiimba nyimbo za maadili na si mapenzi kama leo.Ebu kumbuka nyimbo zake ukiwemo huu,MAREHEMU KAACHA ORODHA,KASTORY NK daa R.I.P bro sote njia moja.Mungu akupunguzie adhabu amen!
@raymondamosi3648
@raymondamosi3648 6 жыл бұрын
R.I.P JeBby unamwimbia swahiba wako na we umemfata!!
@fetlisheshenry2510
@fetlisheshenry2510 6 жыл бұрын
😭😭😭😭
@ibrahimmwanaidy9717
@ibrahimmwanaidy9717 5 жыл бұрын
Raymond Amosi Dunia mapito nae kamfuata
@jumabakari1483
@jumabakari1483 6 жыл бұрын
jebby lala kwaamani kamanda tutakukumbuka sana
@simonjoseph602
@simonjoseph602 6 ай бұрын
Huu Wimbo unanikumbusha mengi sana
@mgalulapeter4739
@mgalulapeter4739 5 жыл бұрын
Jebby ulitisha mbaya bro rest in peace my broo ulibamba vilivyo kama uliikubali na unaikubali gonga like yako chini
@gracearon5998
@gracearon5998 4 жыл бұрын
Swaibaaaaa
@stephenmwanisenga7068
@stephenmwanisenga7068 3 жыл бұрын
Pamoja
@salehsaid4559
@salehsaid4559 Жыл бұрын
Kama unauskia huu wimbo mpk saiv 2023 tujuwane kwa like nying ilitisha San
@briantieno9737
@briantieno9737 9 ай бұрын
Noumaa sanaa ngomaa inaishii sanaaa
@JabaliMagona
@JabaliMagona 9 ай бұрын
Miaka mia
@nufailawerevu8890
@nufailawerevu8890 7 ай бұрын
2024
@SebastianDaniel-es4rf
@SebastianDaniel-es4rf 7 ай бұрын
24 Co 23😂
@cardoalbert1366
@cardoalbert1366 5 ай бұрын
2024
@ndegeyae
@ndegeyae 5 жыл бұрын
Remarkable song .RIP Jebby
@mwanaidiomari7941
@mwanaidiomari7941 3 жыл бұрын
Kitambo sanaa Hii ndo miziki
@mussajabili6836
@mussajabili6836 3 жыл бұрын
Kama unaskiliza kwakumpoteza magu gonga like
@chujimustafa7209
@chujimustafa7209 Жыл бұрын
Watu tunawaza ndugu wewe unatambua muongo
@SaluTen-d8s
@SaluTen-d8s Жыл бұрын
Tumepoteza watu wengi tunaowapenda babu sio magu tu
@daudydaud
@daudydaud 6 жыл бұрын
Kwenye kiwanda cha bongo flaver tumempoteza mtu muhimu bro Jebby r.i.p asee
@davidmbuge56
@davidmbuge56 5 жыл бұрын
Sana best r I p zilla
@abeidyakuti3470
@abeidyakuti3470 Жыл бұрын
Sana, mchizi nilikuwa namuelewa
@Bonifacemagus
@Bonifacemagus Жыл бұрын
Rip jebby, ila leo nimepoteza rafiki na hii nyimbo imeleta maana sana. Mpumzike kwa aman sana
@mwajumakamba
@mwajumakamba Жыл бұрын
Dah hiyoo Ngoma inanikumbusha mbali kinoma #HAKUFA KWA NGOMA DO SALALEE SIKU YAKE ILISHAFIKA PEMA ALALEEE
@adammfinanga8233
@adammfinanga8233 4 жыл бұрын
Pumzikeni kwa amani ndugu GODWIN NGOWI n REGAN LYIMO. We shall meet again brothers. 🙏
@kelvinmartin5302
@kelvinmartin5302 2 жыл бұрын
Rip chag
@joycesyoka1461
@joycesyoka1461 3 жыл бұрын
Duuh R.I.P Jebby msalimu swaiba wako ahsante kwa ajili ya maisha yako
@mabenzimabenzi4348
@mabenzimabenzi4348 Жыл бұрын
Hii nyimbo nimeijua leo 7/6/2023 na aloimba ndio namjua leo saut tu nilijua juma necha kumbe sio yote kwa yote hii nyimbo ni hatar na nusu
@Maflocho
@Maflocho 5 ай бұрын
Ata mimi asee
@shamilahkassimu7649
@shamilahkassimu7649 4 жыл бұрын
Mpotezee unayempndaaa ndyo utaonaaa umuhimuuuu waa huu wimbo your the best jebby R. I. P
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 22 күн бұрын
Rest in peace my classmate JUMA aka 2GI😢
@paulkimaro214
@paulkimaro214 4 жыл бұрын
kama bado unaielewa hii nyimbo had shv 2020 gonga like
@kimukakankan.4678
@kimukakankan.4678 6 жыл бұрын
R.I.P SWAHIBA JEBBY KIJUKUU MWANA. ALLAH KAREEM ALWAYS.....
@kalingakalinga8926
@kalingakalinga8926 5 жыл бұрын
Pumzika kwa Aman Jebby.
@shannelika718
@shannelika718 4 жыл бұрын
Jebby jamani, Inna lillah wainna ilaih rajuun!
@felixkashangaki4485
@felixkashangaki4485 6 жыл бұрын
Rest In Peace "swaiba" wetu Jebby Nyuma yako mbele yetu
@jamesmisana1072
@jamesmisana1072 6 жыл бұрын
R.I.P JEBBY... Huu wimbo ni kama ulijiimbia mwenyewe. daaaaah
@InnocentCricketHelmet-iu7oj
@InnocentCricketHelmet-iu7oj 7 күн бұрын
Daa
@ommylee728
@ommylee728 3 жыл бұрын
Daah r.i.p Dullah makabila mzichi we wangu
@jazilhamussa7231
@jazilhamussa7231 6 жыл бұрын
m/mungu Akupe wepesi Katika safarii yako jebby
@gaspermwasa1456
@gaspermwasa1456 Ай бұрын
Best of all time!😢 GOT
@abdultaddy2729
@abdultaddy2729 2 жыл бұрын
R.I.P John Joseph Pombe Magufuli Yesu wa wanyonge Swaiba wetu
@shariffmaulana1128
@shariffmaulana1128 3 жыл бұрын
Rest in peace mjomba Rajabu (ade mabao)Ayuya one day tutaonana nakupenda ila Mungu kakupenda zaidi
@YusuphuKilindu
@YusuphuKilindu 2 ай бұрын
Kabisa bonge moja la nyimbo
@mtikasaidi8580
@mtikasaidi8580 7 жыл бұрын
ngoma inaniumiza sana nikisikiliza
@mohamednassor1891
@mohamednassor1891 4 жыл бұрын
Skia vinanda ivo salute kwako majani🔥🔥🔥
@advelamabuga7936
@advelamabuga7936 4 жыл бұрын
Its 12yrs but am still remembering sz ret in peace dada
@gideonfranael9863
@gideonfranael9863 9 ай бұрын
Rip william swai you are like brother to me ntakukumbukaa sanaa
@mirajihassanisiafu2331
@mirajihassanisiafu2331 3 жыл бұрын
R.i.p magufuli😪😭😭😭
@unicemario7511
@unicemario7511 Жыл бұрын
Pumzika kwa aman Coster wangu, 2023 naiskiliza hii ngoma kwa hisia na uchungu mkubwa sana.nilikupenda sana ktk hii dunia lkn Mungu alikupenda zaid.😭😭😭😭😭😭
@jumannenamwette4041
@jumannenamwette4041 8 ай бұрын
Poleeeeee
@nicholaskobelo8748
@nicholaskobelo8748 Жыл бұрын
This generation was blessed yesterday, today and tomorrow
@laizermaina7201
@laizermaina7201 6 жыл бұрын
We will miss you brother rest in peace😭😭
@ramxomtum2babu414
@ramxomtum2babu414 Жыл бұрын
Michael, Vurdu Sadamb, Daah wanangu 💔
@amandusmark3060
@amandusmark3060 6 жыл бұрын
Swaiba,. Daaaaah japo umeondoka your song will live forever.
@sirsebaonline9106
@sirsebaonline9106 3 жыл бұрын
Jebby tangulia jembe letu wenyewe tu njian hapa tunapita
@iddyismaily1643
@iddyismaily1643 3 жыл бұрын
Rest in easy bro we will still remember u This song is so lit this 2021
@dottokhalifa4503
@dottokhalifa4503 4 жыл бұрын
Ayupo tena dunia swaiba rip mom mungu akupe kauli thabiti 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@eliaseliezer3738
@eliaseliezer3738 4 жыл бұрын
Kweli Dunia tunapita sioni sababu ya kuchukiana
@mrtezura9753
@mrtezura9753 8 ай бұрын
Daa😢😢kiukwelli nimeirudia kuisikia namkumbuka swahiba wangu nlikualandizi nakuja kumchukua moro kihonda nasikia kafa nkiwa ktk bus daa sitosahau hio kitu kwan wimbo huu ndo ulisababisha tukaitana swahiba😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@daudgeorge3681
@daudgeorge3681 6 ай бұрын
2024 daaah!!
@davidymbunda5717
@davidymbunda5717 3 жыл бұрын
Zali la mentali la pro jed
@fabiancharles9043
@fabiancharles9043 5 жыл бұрын
R I P Swaiba 2takukumbuka kwa kazi zako.
@kabwendetvonline3010
@kabwendetvonline3010 6 жыл бұрын
Pumzika kwa amani kaka jebby, nenda swahiba nenda mi nipo kwenye msafara nenda mungu akipenda ntakuona kesho akhera swahiba
@paulchacha6315
@paulchacha6315 9 ай бұрын
Nilipo mpoteza swaiba, baba yangu.. nilimwaga chozi chini.. nilijua me ni gangster Ila that day I weeped… Jebi nasikiliza huu wimbo kila nikimkumbuka
@kaburamelikiadi8281
@kaburamelikiadi8281 7 жыл бұрын
niambie kaka twende tukahani swaiba Bali yuko ndani jeneje swaiba oh my God bless you hommy back to you game bro usijali utawakisha brother remember you R.I.P. boy has gone to me and you bro maby one nday me gone to boy thank you so much Africa is my home address is me Makiadi from Phoenix Arizona USA but burundi is my home address forever African music vary good and very nice ilove jeby back to you game bro ask afande sere her have my number phone if you have call me know for this number
@joycewendelin9858
@joycewendelin9858 6 жыл бұрын
Kabura Melikiadi Jebb is died dah R.I.P Jebb we miss u forever
@barakamwakisale9939
@barakamwakisale9939 6 жыл бұрын
Nenda kaka nenda kaka
@barakajulius1498
@barakajulius1498 5 жыл бұрын
R.I.P swaiba
@mufamozmufash166
@mufamozmufash166 3 жыл бұрын
R.l.P Magufuli swaiba yng na raisi alitenda mengi
@joycepili5064
@joycepili5064 2 жыл бұрын
2021 bado tupo hapa, wangapi wanigongee like hapa..
@josephnyanza468
@josephnyanza468 4 жыл бұрын
Rafiki kipenzi umenitoka umetangulia mbele za aki Juma 28/10/2019
@mgunyaplamber
@mgunyaplamber 11 ай бұрын
Daah hatali sana I RIP swaiba
@robertandrea9257
@robertandrea9257 4 жыл бұрын
rest in peace abel koke dedication kwako brother........tutakutana kaka swaibaaaa 2020
@selemanivanmkungu4637
@selemanivanmkungu4637 4 жыл бұрын
JUMA THEMI MSEMO, JUMA THEMI MSEMO, JUMA THEMI MSEMO. MIAKA MITATU CHUO CHA UHASIBU SINGIDA PROCUREMENT, TAREHE 02-08-2020 SIKU YA IJUMAA HODPITAL YA MKOA SINGIDA SAA 19:30HRS PUMZIKA KWA AMANI JUMA NA SHEMEJI YANGU NAOMI MKE WA MDOGO WANGU DILEMWA 04-08-2020 NA NDUGU YANGU ISSA MCHOROPA AMEFARIKI MWEZI 07 2002. DAAA 2020 JAMANI JAMANI....
@hermanjeremiah8373
@hermanjeremiah8373 Жыл бұрын
Noma sana tusitengane keshoo hatuijui
@shabanilwei8416
@shabanilwei8416 3 жыл бұрын
Inma lillah wa inna illah! Pumzika kwa Amani Jebby😭😭🙏
@oscasanga8997
@oscasanga8997 6 жыл бұрын
zamu yako tupo nyuma yako rip pumzika kwa amani
@zawadicharles4651
@zawadicharles4651 6 жыл бұрын
rip
@shedracnyigo7749
@shedracnyigo7749 5 жыл бұрын
nasikiaga lava saana nikisikilizaga ngoma za zamani zinafundishaga
@goodluckymartin334
@goodluckymartin334 6 жыл бұрын
Cjaonaa msanii kamaa afandee seleee mpkaa leooo mm talented wameishaa kbxaaaaaaaa
@khalidali1130
@khalidali1130 5 жыл бұрын
Hizi ndo nyimbo tunazopenda kuskia sio za wabana pua saiv hazn ujumbe km hz swahiba rip jebby
@babarama6274
@babarama6274 4 жыл бұрын
Namkumbuka mchizi wangu chidi lala Salama rafiki yangu Rashidi tangulia tutakutana uko kaka
@paulprotas7198
@paulprotas7198 2 жыл бұрын
Rest easy bro ur legacy is still hot 2022
@AverinaJoseph
@AverinaJoseph Жыл бұрын
Smplly becouse we are together i appreciate that guy
@happynessswila1783
@happynessswila1783 Ай бұрын
Jebby baba la babaa
@exaudvahaye8873
@exaudvahaye8873 Жыл бұрын
Old is gold
@babyelephant5098
@babyelephant5098 6 жыл бұрын
R.I.P Jebby ....we love you Lil bro
@wisekingtony6370
@wisekingtony6370 6 жыл бұрын
Dah! Siku imefika umemfuata swahiba, R.I.P
@ibracadabra7687
@ibracadabra7687 6 жыл бұрын
Gone too soon bro dah! 😥😥 have fun among the stars
@muaribifu_tz6572
@muaribifu_tz6572 5 жыл бұрын
R.I.P swaiba Ayoub 😢😥 Pumzika kw amani kamanda 12.5.2019 😞
@moseskimaro7183
@moseskimaro7183 3 жыл бұрын
Rip swahiba flaha msongole 17-11-2017
@eliabenjamin5949
@eliabenjamin5949 6 жыл бұрын
Rest in internal peace Jebby
@fraviusmanyika7521
@fraviusmanyika7521 6 жыл бұрын
Rest In Internal Life brother Jebby, hakikatutakukumbuka!
@anowiser9448
@anowiser9448 Жыл бұрын
Huzuni isiyo Kwisha moyoniii, nashikatama sioniii! R.i.p brother
@salehemdim560
@salehemdim560 3 жыл бұрын
Nan 2po wote 2021
@Divathebawse
@Divathebawse 6 жыл бұрын
RIP jebby
@karimunaanjama7806
@karimunaanjama7806 6 жыл бұрын
Diva thebawse de real bongo fleva is died too. R.I.P broe
@jafarikapera5253
@jafarikapera5253 6 жыл бұрын
Diva thebawse What a nice song, dedication to himself.
@karimunaanjama7806
@karimunaanjama7806 6 жыл бұрын
de true definition of artist sings endless song with endless teste .his works 'll live forever
@mosesmsemne8253
@mosesmsemne8253 6 жыл бұрын
diva mambo vipi
DAZ BABA FT AFANDE SELE X FEROOZ -ELIMU DUNIA
5:07
dazbaba
Рет қаралды 562 М.
Jebby ~ Dunia Haina Siri
4:20
adow9 musictz
Рет қаралды 113 М.
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,1 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 140 МЛН
Mkiwa
5:15
FeroozMusic
Рет қаралды 124 М.
JEBBY - Marehemu kaacha Orodha( Swahiba ) Video
4:37
BONGO ZA KITAMBO
Рет қаралды 41 М.
Afande Sele feat Ditto - Darubini kali
5:19
Ami de jeune
Рет қаралды 231 М.
Jebby ft Afande sele_Swaiba lyrics by Terrano_tz
4:49
Terrano Tz
Рет қаралды 69 М.
Madee - Kazi Yake Mola {Official Music Video}
4:59
Madee Seneda
Рет қаралды 149 М.
Wanapagawa   JEBBY
4:12
DJ AnnoMaster
Рет қаралды 112 М.
Tmk Wanaume -Umri
4:43
Mziiki
Рет қаралды 1,3 МЛН
DAZ Nunda   Barua
5:26
JUNIH TZ (GUCCI MONEY Tz)
Рет қаралды 215 М.
Afande sele - Nitarudi vipi/ Nitarudi na roho yangu
5:25
BE BOY TV
Рет қаралды 256 М.
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН