Tmk Wanaume -Umri

  Рет қаралды 1,431,039

Mziiki

Mziiki

Күн бұрын

Buy it from iTunes: geo.itunes.app...
Tmk Wanaume is a Bongo Flava artist from Tanzania
Digital promotion by Ziiki Media!!
Subscribe us for unlimited entertainment
/ mziikitube
Like us on Facebook
/ mziiki
Follow us on Twitter
/ mziiki
Follow us on Instagram
/ mziiki

Пікірлер: 576
@espoirpaul376
@espoirpaul376 10 ай бұрын
Hata mwaka huu tungali tunawapenda tmk mkono juu💪💪💪💪🤝💓💓💓💓 2024 hata 2025 nitarudi kwenye coment😀
@nelsonbaya3083
@nelsonbaya3083 Ай бұрын
Nimekumbuka majukumu na umri wangu nikakumbuka hii nyimbo
@bashirmkambala2407
@bashirmkambala2407 4 жыл бұрын
Kiukweli hii nyimbo imebeba ujumbe wa maisha halisi ya watu ktk swala zima la maendeleo na mafanikio kama unakubaliana na hilo..nipe like yako 2020
@shukranchitema4836
@shukranchitema4836 4 жыл бұрын
Hujakosea,yaani inaujumbe mwingi sana
@victornjwango9683
@victornjwango9683 2 жыл бұрын
Hujakosea mzazi
@mamuteclaris1703
@mamuteclaris1703 2 жыл бұрын
True kbsa
@MwaijobelaTyson
@MwaijobelaTyson 2 ай бұрын
Nyimbo za zaman zinaujumbe nzuri
@AntonyKasendamila
@AntonyKasendamila Ай бұрын
Ya ukwer mzee maendeleo 🎉🎉🎉🎉😂
@nobartalbert4055
@nobartalbert4055 26 күн бұрын
Tunaoskiliza hii Ngoma 2025 tujuane hapa
@musatainada635
@musatainada635 Жыл бұрын
2023 ,ndo Naona kama hii Ngoma waliniimbia mm ,31 but still have nothing to show to my family but am still fighting for better living
@franciskalu9466
@franciskalu9466 Жыл бұрын
Continue fighting hard,your effort will not go unpaid siku iko bro utamake it wewe pia...mungu tu
@TheHamisi
@TheHamisi Жыл бұрын
Me too 35 and ain't shit
@baltazarmfokya7218
@baltazarmfokya7218 Жыл бұрын
​@@TheHamisithe same to Me
@ChomaaJR4994
@ChomaaJR4994 Жыл бұрын
😂😂😂😂kimekuramba
@jescaisrael7338
@jescaisrael7338 Жыл бұрын
Same 😢
@heritiervagheni
@heritiervagheni Ай бұрын
Mwaka ina isha na sija fanya kitu ya maana na umri una kwenda
@David-p9c1e
@David-p9c1e 26 күн бұрын
Tunaosikiliza 2025 January tujuane apa.
@martinmoogi
@martinmoogi Жыл бұрын
Wakati m3iki ilikua na thamana,hawa mabwana walikua tishio afrika mashariki 🙌🙌🙌🙌🙌miondoko ilikua tishio 👊👊👊
@mariamathuman2639
@mariamathuman2639 4 жыл бұрын
Ninyimbo yenye ujumbe si kama Amaboko..🇰🇪
@salimjuma8877
@salimjuma8877 2 жыл бұрын
2023 this shit still bangs my head! Umri na majukumu mwanangu!! 🇰🇪
@habimanafabien7669
@habimanafabien7669 Жыл бұрын
Hi
@athumanfuko199
@athumanfuko199 Жыл бұрын
umri haumsubiri mtu ha ha ha
@KalamuYaGalana
@KalamuYaGalana Жыл бұрын
October 2023 niko hapa pia. Malindi Kenya
@MahmoudMuhammed-z5w
@MahmoudMuhammed-z5w Жыл бұрын
Hii Ngoma ni nzur sana inatupa masimamo juu ya kuyapambania maisha yetu watoto wa kimaskini
@antoinebakevya8911
@antoinebakevya8911 6 жыл бұрын
Nikikumbuka myaka hi I hua machozi yanatiririka kwa kuwa ilikuwa ni furaha nyingi sana. TMK ilikuwa juu sana. Iyi ngoma nikiskiza nakumbuka mengi sana
@zambonie86
@zambonie86 9 ай бұрын
East African hip hop peaked here. This guys were so talented and relatable. They represented the average guy in the street that's why tuliwakubali. This days all they do is show off bling bling, cars and money.
@NClaude-qk3gb
@NClaude-qk3gb 6 ай бұрын
Hawaimbi tena? Hapa ndo walikua vizuli,tukiwaona wanafanana na sisi mjini!
@ramadhanimostoni8273
@ramadhanimostoni8273 5 жыл бұрын
Haitajirudia na haitatokea tena,vipaji kama vyote.
@carloskitheka5401
@carloskitheka5401 5 жыл бұрын
Kweli Watanzania Mungu aliwapa kibali cha kufanya mziki....kwenu mziki si kubahatisha ama kulazimisha..
@Eternal_Lyrics.
@Eternal_Lyrics. Жыл бұрын
2023, Ndio nawaelewa vizuri. Big up TMK family.
@evansgeryon420
@evansgeryon420 2 жыл бұрын
Nimetazama huu wimbo leo Feb 16/2023 wimbo bado wa moto
@Gititu254
@Gititu254 6 жыл бұрын
Old is gold. Watching from Nairobi. 19th September 2019
@franciskavyega280
@franciskavyega280 5 жыл бұрын
Is this September of 20119?
@jassonkahuta2784
@jassonkahuta2784 3 жыл бұрын
Big up TMK, still listening 2022, Good Content to youth
@tobay7308
@tobay7308 4 жыл бұрын
Nachunga heshima yangu zaidi ya mboni ya jicho
@AllDayRodgers
@AllDayRodgers 2 жыл бұрын
Temba's verse is pure gems, relevant to date 2023
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 2 жыл бұрын
Temba's verse is just great 👍 I mastered all of it
@ayanmilitiatmk146
@ayanmilitiatmk146 6 жыл бұрын
Members wa TMK WANAUME FAMILY Mh Temba(Dracula mmea),chege(mtoto wa mama Saida), the late YP(Chronic finger)KR Mulla( Jibaba), Y-DASH,Zozo,Omy kichwa,Sticko,Triple Na Askar Like kama sijakosea. 2019🔝🔝🔝💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 5 жыл бұрын
Brian Onyango waahh kudos bro we ni fan kweli 👏🏾
@ayanmilitiatmk146
@ayanmilitiatmk146 5 жыл бұрын
Shabby theezaddy TMK4LIFE
@lameckkoikai1864
@lameckkoikai1864 4 жыл бұрын
tishaaaaa
@sumadashsumadash7342
@sumadashsumadash7342 4 жыл бұрын
Umetishaaass
@salumdimoso8153
@salumdimoso8153 4 жыл бұрын
umepatia bt kuna vichwa muhimu kiuvitaja hata km walikuwa wametengana
@esieferdinandwks5405
@esieferdinandwks5405 8 жыл бұрын
shindana na matatizo..sio starehe....kali wanaume asantaa sana kwa mawaidtha..mimi ni fan wenu namba moja
@DonKhalifah
@DonKhalifah 4 жыл бұрын
Nimekua sina baba mzazi na kwa mawaidha mazuri amabayo yamenikuza ni kutoka kwa Quran na mawaidha ya TMK na Fid Q. I am forever grateful kwa malezi mazuri
@jacksaid
@jacksaid 4 жыл бұрын
Ngoma kali, vina viko juu, hakuna matusi.
@albertlilechi4906
@albertlilechi4906 2 жыл бұрын
Jack missing this era
@isaacokasiba2518
@isaacokasiba2518 6 жыл бұрын
True hip hop,chakula cha ubongo,kenyan hip hop ni kujisifu in the whole song,long live tmk the best hip hop group
@yobrake5856
@yobrake5856 Жыл бұрын
Ni ksma hukuskiza kaa la moto, kala mashaka na ukoo flani
@michaelbumbuu
@michaelbumbuu 3 ай бұрын
Daaa😂😂😂 tumezakiwa nasisi tuzae 🙌🙌🙌🙌
@ngachamatimu6916
@ngachamatimu6916 6 күн бұрын
Weeh 'mzee' wa meru wachana na Mimi nko na majukumu imenizidi kibao....Mimi ni mkikuyu si myahudi nani au mwarabu Wacha kunisumbua.....' samson option' you can't fight time let it be mzee mimi si rafiki yako nko pekee yangu....nyonga na Mimi basi
@mbaroukadam6240
@mbaroukadam6240 Жыл бұрын
Moja kati ya nyimbo inayo nipa nguvu za kupambana na SI kukata tamaa💪💪💪
@komboomar8275
@komboomar8275 6 жыл бұрын
Zilikuwa zikifurahisha na kuelimisha pia but sasa aaaaa uchafu mtupu utaskia eti jibebe mara utaskia mvumo wa radi nyimbo hazielimishi chochote zaidi ya kupotosha jamii
@shedracnyigo7749
@shedracnyigo7749 6 жыл бұрын
nakubaki xana masela
@renildevenerand8256
@renildevenerand8256 6 жыл бұрын
Eti kamatia chini 🙊🙊
@laurentimiasi6077
@laurentimiasi6077 5 жыл бұрын
Kombo Omar kweli kabisaaa
@mustaphamsumary2303
@mustaphamsumary2303 5 жыл бұрын
Hahahah nimecheka sana het mvumo wa radi
@georgewambura7135
@georgewambura7135 4 жыл бұрын
fact broo
@briankiboi983
@briankiboi983 5 жыл бұрын
One of my favorite.i love old schoo music ..achana na hizi aty nyege nyegee.upuziii mtupu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 5 жыл бұрын
🎶🎶🎤Ukitegemea sana wazazi utajutia watakapo kufa🎶🎶 💀
@fredmbossa
@fredmbossa 2 жыл бұрын
Hawa ndo walikuwaka Wana muziki na Wana fasihi waliotukuka ,,,sio wanamuziki wa sikuizi kila nyimbo wao ni kuimba mapenzi tu
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 3 жыл бұрын
Mamb mazri ya miaka 2000 ,enz za mabraza zetu, no internet, no Facebook,no insta, no tweeter, ila ilkuwa raha sanaaa
@khalidbonke1527
@khalidbonke1527 7 жыл бұрын
Ustoe macho kwa mwenzio, ka hustle akapata. Napenda hapo
@edwinnyabikwi44
@edwinnyabikwi44 6 жыл бұрын
nakumbuka 2008 nikiwa inchugu secondary
@khayraa7374
@khayraa7374 2 жыл бұрын
Temba’s verses 👏🏽🔥
@PabloDecosta-o6p
@PabloDecosta-o6p 3 ай бұрын
Watching from Dubai.. Old is gold 2024
@Blaq-i
@Blaq-i 10 ай бұрын
Ule wakati nikiwa mashambani sikuuelewa.. Baada ya miaka kadhaa kupita nahisi wananiimbia mimi😂😂😂. Utunzi wa hali ya juu, salute tmk🎉🎉🎉🎉
@frumencekaigai4030
@frumencekaigai4030 Жыл бұрын
Informative song love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 vijana muache ku procrastinating
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 ай бұрын
Kila nikikaribia mwishoooni kabisa mwa kila mwaka wowote huwa napata feeling ya kuzirudia hizi ngoma...😩 Leo tena 24/11/2024 nipo hapa.💥🥵🔥 Wahenga tujuane✋🏻😂
@emmanuelkilolonyembo692
@emmanuelkilolonyembo692 3 жыл бұрын
Incomparable team. Na penda sana wa tanzania
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
Hivi kwa nini wasani huwa wanatowa ushauri ambao ni tofauti na maisha yao? Hiyi nyimbo mie kila nikisikia hua napata nguvu Ya kwenda kazini. Ujumbe mzuri kweli.
@chrisroby1953
@chrisroby1953 6 жыл бұрын
Kam unaangalia 2019 niachie like zang hap
@sidemavoco9163
@sidemavoco9163 4 жыл бұрын
Nakubali ngoma hii
@amiekingili4766
@amiekingili4766 4 ай бұрын
Io>>
@ombeniambrosykalenga811
@ombeniambrosykalenga811 3 ай бұрын
Nilikua mtera iringa wakati ule mnatoa hizi ngoma niliiba Kanda kwa boss wangu....japo sikua na radio😢nivile nilioenda nyimbo zenu
@cheche419
@cheche419 3 жыл бұрын
It's 12/02/2022 and still got much respect for TMK
@badenneyz9056
@badenneyz9056 9 ай бұрын
Saivi ndio naielewa hii nyimbo zamani nilikua nazani wanaimba tu saivi ndio nimejua walimaanisha nini mwaka huu2024 umri umeenda🥺
@beeniebvegasboi254
@beeniebvegasboi254 6 жыл бұрын
mandugu digital i still cant believe kenya tulikua tumeweza ivi alafu leo bado tunajikokota sana na chuki nyingi kwenye mziki isiyo saidia...hii nyimbo ina elimu bab kubwa aisee
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 жыл бұрын
Yp bora angeenda solo tu...most talented in the group..R.i.p
@salumjumanne2800
@salumjumanne2800 5 жыл бұрын
Usione wanajirusha walijituma kiuwakika leo wapo AFRICA kesho wapo ASIAAAAA... sept 2019 old iz Gold
@sizaanselim1642
@sizaanselim1642 6 жыл бұрын
mziki mzuri wenye ujumbe mzito na ukweli ndani yake. siza anselim msemo from north korea.
@joshuamarwawerema7045
@joshuamarwawerema7045 4 жыл бұрын
Unaomuhusu huu wimbo kama unavyonihusu naomba gonga like yako hapo kisha sema tutashinda kwa pamoja 2020.
@kusekwapeter9921
@kusekwapeter9921 3 жыл бұрын
2 0 2 1 Kama umri umeenda hakuna ulichofanya gonga like tu
@ericgetuno2357
@ericgetuno2357 5 жыл бұрын
Omg. ..What a complete song! Educative from the very first verse to the last one
@musachales
@musachales Жыл бұрын
Hiyigoma kari sana inanikumbusha kigoma nasoma latano
@yusuphabdi3777
@yusuphabdi3777 4 жыл бұрын
I miss home Temeke🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@scanciannyabayo4561
@scanciannyabayo4561 4 жыл бұрын
2020 8th September ....ngoma bado ya remain kuwa classic na timeless Wasanii wa kizazi kipya mnaskia
@benjamintheone
@benjamintheone 2 жыл бұрын
Kusema ukweil watu wajuzi hawakupinga mziki kaa watu wa kale. Nani kama mimi bado hanaipenda imbo hii
@bernardmuhia2930
@bernardmuhia2930 4 жыл бұрын
Mda uleta dhiki maskini usichezee wakati 🥰🥰zama izo
@shaomilari2033
@shaomilari2033 4 жыл бұрын
Wanaume kazini salute kwenu 👊
@raydiesel424
@raydiesel424 3 ай бұрын
Verse ya KR imejaa hekima na mafunzo sana, ni verse bora kwenye huu wimbo.
@vitussimon9696
@vitussimon9696 2 жыл бұрын
Jamani wasanii Hawa wapewe heshima kwa nyimbo Bora sana
@josephmarigi6374
@josephmarigi6374 5 жыл бұрын
Watching frm emali makueni countie. Tmk wanaume...temba ndio kaua kwa mistari yake...hahaha.
@JosephJohn-px1fv
@JosephJohn-px1fv 8 ай бұрын
Duuh 2024 naisikiliza siku yaijuma watoto wawili nisha zalisha halafu sielew
@mathiasbuyobe3512
@mathiasbuyobe3512 5 жыл бұрын
Nilichojifunza zaidi mbali na mashairi mazuri kingine ni umoja ni nguvu.
@abeidmdee9472
@abeidmdee9472 6 жыл бұрын
Wimbo Mkali Sana Huu Hasa kwa Sisi Wenye Majukumu
@stephenziro8530
@stephenziro8530 6 жыл бұрын
I feel like this to drop tomorrow... Ever and forever flavour.... Yp may your soul rest in peace
@perisnyambu2588
@perisnyambu2588 6 жыл бұрын
Still watching from Beirut Lebanon....old is gold good job TMK
@kaczkapojebana854
@kaczkapojebana854 6 жыл бұрын
niaje mbeba mabox?
@NyumbaniBackyardFarm
@NyumbaniBackyardFarm Жыл бұрын
pampana kijana.... where are these legends
@ObedMose-k1l
@ObedMose-k1l Жыл бұрын
Kwa hakika unachokipanda ndicho unavuna. Kujituma lazima umri hausbiri, tujijenge.
@jackmwenda9223
@jackmwenda9223 10 ай бұрын
Listening 2024....hawa ni wahenga si wanamziki..🇰🇪🇰🇪
@walteremelin6741
@walteremelin6741 6 жыл бұрын
Kweli majukumu yakizidi utaona umri nao unakwenda kasi balaaa. TMK sijui mmefia wapi
@amanicharles7860
@amanicharles7860 3 жыл бұрын
Hizi ndio ngoma za maana✊✊🙏🙏🙏🤷
@ibrahassani6515
@ibrahassani6515 4 жыл бұрын
Ngoma za zamani kali sana, naangalia nikiwa 2020 and naenjoy
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 Жыл бұрын
Umri motivates me everyday..2023 here we go 🔥🔥
@KalamuYaGalana
@KalamuYaGalana Жыл бұрын
same here
@dancanalfredmwandagha7036
@dancanalfredmwandagha7036 Жыл бұрын
nzuri Hadi Leo 💯👊🏿💪🏿
@johnsonmgaya707
@johnsonmgaya707 7 ай бұрын
timeless hit song 💯...2024 bado inahit
@claudianusmulokozi2374
@claudianusmulokozi2374 6 жыл бұрын
ongera rafiki ulie tafuta ukapata na wala ukunata, tembele ulinikisha kinoma
@yazidijumanne5195
@yazidijumanne5195 4 ай бұрын
Hii ngoma leo ndo naelewa sasa😂
@djkullkid
@djkullkid 15 күн бұрын
Hands up on 2025
@alsiddique365
@alsiddique365 5 жыл бұрын
Ngoma noma sana na nusu . inabeba ujumbe mzito
@HusseinbashiruMselem
@HusseinbashiruMselem 6 ай бұрын
Duh hii Ngoma Ngoma nangwa kinoma watu walituliza mafuvu
@theribman5153
@theribman5153 8 жыл бұрын
iko na ujumbe wa kutosha. mwenye masikiuo na asikie/.
@mlongekasanga9791
@mlongekasanga9791 8 жыл бұрын
kwel
@ernestjoachim1305
@ernestjoachim1305 7 жыл бұрын
Touching music, schoki kusikiliza, Big up wanaume Family
@kevinevans9923
@kevinevans9923 5 ай бұрын
hii ngoma huni hit sana 😂😂😂 majukumu everyday na age inaenda
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 Жыл бұрын
oyaa jamaa umri unakwendaa 🔥🔥
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 5 жыл бұрын
Ngoma Bado Ina quality big up kwenu mliowafungulia vijana waleo njia
@gerald5456
@gerald5456 Жыл бұрын
2023 much love from Kenya 🇰🇪
@hanningtonemwadah
@hanningtonemwadah Жыл бұрын
one love from kenyaaa,tbt wazimuu
@victorabiero2433
@victorabiero2433 5 жыл бұрын
nishavuka nayo juu kwa juu 2020....tmk for life
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 2 жыл бұрын
This takes me down to my primary school days 🤣 we used to sing it in front of the class back in Kenya 🇰🇪🇰🇪
@medymmanda4912
@medymmanda4912 6 жыл бұрын
huu ndio mziki wetu
@yusufjuma264
@yusufjuma264 7 жыл бұрын
KR mullah jibaba verse imeweza iyo big up
@muhigi1372
@muhigi1372 6 жыл бұрын
We really miss these kind of songs
@LucassoPL
@LucassoPL 8 жыл бұрын
Amazing :) !!! Bless from Poland ;)
@Mziikiapp
@Mziikiapp 8 жыл бұрын
Thanks for naming it as Amzaing. #ListenLoveShare
@LucassoPL
@LucassoPL 8 жыл бұрын
Bless for You :) !
@gloxglox4604
@gloxglox4604 6 жыл бұрын
uu ujumbe ni mzito saana safi sana wanaume fmly natamani mungeungana kama zamani
@mckennedykyalo4243
@mckennedykyalo4243 2 жыл бұрын
2023 Mpo? Oya Oya Oya Cmon T.M.K Yeah Nikicheki majukumu yana niandama Oya jamaa umri una kwenda Wakati mimi sijafanya kitu cha maana Ukizubaa hujui unapo kwenda Nikicheki majukumu yana niandama Oya jamaa umri una kwenda Wakati mimi sijafanya kitu cha maana Ukizubaa hujui unapo kwenda Siku zina kucha' umri unakwenda ( Huh ) Kila unacho kipanda ndicho utacho kivuna Aliye beba kuokoa muhanga alijitoa Mafanikio ya kesho yanahitaji maamuzi ya leo Maisha ya baadae hayaandaliwi badae Usione wanajirusha walijituma ki uhakika Leo wako Afrika' Kesho wako Asia... Jitume onyesha udume muda huleta dhiki maskini usichezee wakati Mikosi, kisirani, jeuri, kiburi, umri hausubiri unapokwenda haurudi ( Yeah ) Hiphop Superstar Kua fasta kama Defender' sikilizia tenda Na maanisha umri una kwenda, kijana kujijenga Pasua mbizi mchizi, pasua mbizi mchizi Usipo nielewa utakuwa chizi, unielewe ikibidi Iwe ki wema au ki gaidi Usibaki tu kutoa macho kwa mwenzako' mshkaji ana (?) Si lake? Tazama kapata Ni mjeshi huyo, (...Aah!) Watakutia ma mbata na ulikuwa na hela utitiri watu walitaka kukupa akili ukajifanya una akili Unashtuka ndevu utitiri (?) Iyo eeh Washkaji tusishangae tumezaliwa na sisi tuzae Ki-born town au kigumu, umri una kwenda, No baadae Maneno yenye kubamba yanachoma mfano wa miba bamba Ambi >>Enhee Ambi' Kujishughulisha' ukitegemea sana wazazi utajutia watakapo kufa ah Nikicheki majukumu yana niandama Oya jamaa umri una kwenda Wakati mimi sijafanya kitu cha maana Ukizubaa hujui unapo kwenda Nikicheki majukumu yana niandama Oya jamaa umri una kwenda Wakati mimi sijafanya kitu cha maana Ukizubaa hujui unapo kwenda Ninapo pata najua, ninapo kosa najua Na takh-takh-tambua! Maisha mchaka mchaka kutafuta utapata na ukikosa endelea kuzisaka Umri unasonga daima nyuma haurudi Unapofika wakati wa kujitegemea huna budi Kikubwa' labda uvumilivu, usikivu' ili baadae uweze kuzila mbivu Na ukipata tu kumbuka pia na kesho' na si kuchanganyikiwa mithili ya mental Biashara asubuhi jioni huwa ni mahesabu, na si kila hela tu unayopata iishie kwenye ulabu Mtaji wa maskini basi huwa ni nguvu zake, wanaojua kusoma ila lazima uzisake Shindana na matatizo usishindane na starehe Koma kichwa' elimu ulionayo isipotee Ukipata matatizo basi ndio ukubwa huo *Inaudible* Nikicheki majukumu yana niandama Oya jamaa umri una kwenda Wakati mimi sijafanya kitu cha maana Ukizubaa hujui unapo kwenda Nikicheki majukumu yana niandama Oya jamaa umri una kwenda Wakati mimi sijafanya kitu cha maana Ukizubaa hujui unapo kwenda Tumetumwa kusema haya tufanye mema tuache mabaya Times zinakwenda, age inakwenda Wake up, stand up ( Huh ) Maisha ni kama vita' nani atakuokoa kijana? Endelea kupigana, iwe usiku au mchana Kijana pambana! Kama ujanani hukujituma uzeeni utabaki umenuna Maisha hayataniwi' sikio halizidi kichwa, utajiri hauzikwi nao Hongera rafiki ulitafuta ukapata wala hukunata Time is money' time is money, jibane bane ujichane Hakuna kitu mi naogopa kama kuzeeka na kufa Chagua moja ( Enh ) Chagua moja' umri una kwenda starehe unapenda Utamu wa leo ni uchungu wa kesho Mtoto wako ndio mtoto wa mwenzio' mkubwa mwenzie Huu ndio uhondo kamili Huu ndio uhondo kamili' mpaka nashindwa kujisitiri Hii ni beat ya Dunga Nikicheki majukumu yana niandama ( Hii ni beat ya Dunga ) Wakati mimi sijafanya kitu cha maana Ukizubaa hujui unapo kwenda Nikicheki majukumu yana niandama Oya jamaa umri una kwenda Wakati mimi sijafanya kitu cha maana Ukizubaa hujui unapo kwenda Nikiche-che-che- Nikiche- Oya jamaa Nikiche-che-che- Oya Nik- nik- Oya... Nikiche- Nikicheki majukumu yana niandama Oya jamaa umri una kwenda Wakati mimi sijafanya kitu cha maana Ukizubaa hujui unapo kwenda Nikicheki majukumu yana niandama Oya jamaa umri una kwenda Wakati mimi sijafanya kitu cha maana Ukizubaa hujui unapo kwenda Cmon Cmon Oya Tmk Oya Cmon T.M.K Yeah
@kingarthur6683
@kingarthur6683 2 жыл бұрын
Asanta.
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 2 жыл бұрын
Great lyrics 😊 umri unaenda
@KARUDALACHADIDO
@KARUDALACHADIDO 6 ай бұрын
2024 marsabit inasikiza . priceless track ,big up TMk family
@jumasaidi5760
@jumasaidi5760 5 жыл бұрын
Mziki ulikua zamani kwa sasa ni matusi matupu wana wapa tunzo zabure nyimbo zao azina mana
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
K R kanipa ujumbe mzito
@collinsmakoko
@collinsmakoko Жыл бұрын
This stays fresh even in 2023, I love TMK mpaka Leo🔥🔥🔥
@skybluejamie6
@skybluejamie6 7 жыл бұрын
Nice stuff! Greetings from Germany
@mwanachuoemanuel3769
@mwanachuoemanuel3769 7 жыл бұрын
xhindana na matatizo usixhindane xitareheeee ngonge 1 ujumbe
Wanaume Tmk - Kichwa Kinauma
4:40
Mziiki
Рет қаралды 678 М.
Mandojo na Domokaya - Nikupe Nini (Official Video)
5:05
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 594 М.
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
Je Utanipenda? Mike Tee feat Mad Ice
4:30
Mike Tee
Рет қаралды 126 М.
Dar mpaka  moro (wanaume family
4:18
mpangala
Рет қаралды 696 М.
Jahafarai - Niko Bize
3:55
Anton B
Рет қаралды 558 М.
Pisha Njia (Official Video) - TMK Wanaume Family
4:15
Chege & Temba
Рет қаралды 270 М.
Juma Nature - Mtoto Iddi (Visualizer)
5:00
Bongo Records Ltd
Рет қаралды 286 М.
Afande Sele feat Ditto - Darubini kali
5:19
Ami de jeune
Рет қаралды 323 М.
Professor Jay feat Ferooz - Nikusaidiaje (Official Video)
4:57
ProfessorJay
Рет қаралды 8 МЛН
Inaniuma sana - Juma nature (HQ audio)
8:02
Mellody
Рет қаралды 42 М.
Ferooz ft. Juma Nature - Bosi  (Official Video)
5:26
Bongo Records Ltd
Рет қаралды 1 МЛН