JELA YA MAPENZI - PART 02

  Рет қаралды 18,620

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

21 күн бұрын

Kweli majira ya saa kumi alasiri tulifika nyumbani tukaingia ndani ambapo tuliwakuta wameketi sebuleni huku wakiwa
wanazungumza mada zao binafsi. Tuliwasalimia na kwa bahati nzuri walipokea vizuri tu salamu yangu jambo ambalo sikutegemea kama lingewezekana

Пікірлер: 164
@FarhatyHaty
@FarhatyHaty 18 күн бұрын
Wallah nimewai leo na mm 😂😂😂 mkiamka like zenu jaman watt wa anko jay😂😂❤🎉
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 18 күн бұрын
Ongera👏👏👏
@MuzneyHamdu
@MuzneyHamdu 9 күн бұрын
​mmh
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 18 күн бұрын
🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao ankojy
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 18 күн бұрын
Kwani huo binti yao ni mwali kama hawataki awe namwanaume siwange mfungia ndani. Mwanamke mwenyewe nimkongwe kwenye mambo yawakubwa 😊
@aumuelly2909
@aumuelly2909 18 күн бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤tupo nawe pamoja❤❤❤
@DeodathaMasoud-uo9jf
@DeodathaMasoud-uo9jf 18 күн бұрын
♥♥♥ anko j nasubiria milele sehem ya 4 kwa ham
@fatumakama8760
@fatumakama8760 18 күн бұрын
Jaman anko jay mbona unaichelewexha milele tena mpenz yan mpaka nimekata tamaa
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 18 күн бұрын
Nildhan kua kutoka ulipo naumli ya1000 kufika ofis ya ankojy upeleke maombi yetu kuhusu milele 🙏
@DamariJohn
@DamariJohn 18 күн бұрын
wa 45 jamani naombeni like zenu
@victoriangasa
@victoriangasa 18 күн бұрын
Tunaisubir AnkonJ❤❤🎉🎉
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 17 күн бұрын
Mhh mtihan sana huu Kwa zainabu
@FatmaHassankhamisi
@FatmaHassankhamisi 18 күн бұрын
Asante anko jey 🪑🪑🪑🪑🎧🎧🎧🎧🇴🇲🎧🎧🎧🎉🎉
@anawiliam-eb4kb
@anawiliam-eb4kb 18 күн бұрын
Mi watatu leo 🎉🎉🎉🎉🎉😅
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 17 күн бұрын
Milele anko
@omanoman8700
@omanoman8700 18 күн бұрын
Yaan nilikuwa naisubiria kwa hamu hii simulizi hii simulizi ninzuri sana
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 18 күн бұрын
Oooh hatimae leo jela Tena anko mapesa unatujali Asante Sana naubalkiwe tuliimiss Sana store tam inamfunzo ndani yake megit🌹🌹🌹🙏🏃
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 18 күн бұрын
❤❤
@user-cw4mv3kw7y
@user-cw4mv3kw7y 18 күн бұрын
Familia ya ankojay huwa mnalala humu au❤❤❤❤❤❤❤
@FattyHaki
@FattyHaki 18 күн бұрын
Milele tunaisubiri ❤
@MishyYusuph
@MishyYusuph 18 күн бұрын
Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa simulizi, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.
@user-vj1tf6kg5i
@user-vj1tf6kg5i 18 күн бұрын
Weee anko Jay umepigaje apo😅 ety unaishije na mke wangu kama mke wako😂😂😂
@samychance
@samychance 18 күн бұрын
Naombeni like nimuwahi boss🎉😂😂,, Maan nimeamkia Kwa anko 😂😊
@asharonga6660
@asharonga6660 18 күн бұрын
Jamani anko tuachilie MILELE mwisho
@espererancesudi7600
@espererancesudi7600 18 күн бұрын
To be continued
@user-cl9dz6kk7u
@user-cl9dz6kk7u 18 күн бұрын
Daah Yani sie tulioishi na mama zetu wakambo tunapitia mambo mengi kisa mali🇴🇲🇴🇲🥰
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 18 күн бұрын
Wow,from Kenya Eldoret much love.
@stacyjames6676
@stacyjames6676 18 күн бұрын
milele Anko Jay 😢😊
@GraceDavid-nq4zc
@GraceDavid-nq4zc 17 күн бұрын
Milele anko j tuletee wenzio 2meimis 🎉🎉🎉🎉🎉
@SHAMIMNABENIERE-th8vk
@SHAMIMNABENIERE-th8vk 18 күн бұрын
Anko milele😥😥😥
@user-mx8dr6zt2g
@user-mx8dr6zt2g 18 күн бұрын
Milele mwisho vipi ankoj malizia
@EmmeMrrras
@EmmeMrrras 18 күн бұрын
Kazi kazi anko ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@leenasserhamoudy1974
@leenasserhamoudy1974 18 күн бұрын
Alhamdulillah 🎉🎉
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 18 күн бұрын
Just waiting from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤ Asante Ankojay 🙏
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 18 күн бұрын
Wanaume ipuuu! Haswa uyo Rama anasahau mviyo!¡!
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 18 күн бұрын
Wanaumeeee shukurani Yao niyapundaaaa! Maisha yakubeba mzigo akikalia kti Cha ofis upwiruu huo unawaka kma upupuu
@user-oj3sw2cz3x
@user-oj3sw2cz3x 18 күн бұрын
Ankoj milele nimeiss
@janethsambu1723
@janethsambu1723 18 күн бұрын
Yaaan acha tuu😢😢😢😢😢 toka nilivyo anza kuitafuta kila nikija hola
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq 18 күн бұрын
Haya hongeren mliolala ankojay chanel 😅😅😊
@MishyYusuph
@MishyYusuph 18 күн бұрын
Daah!kweli watu wakesha humu kuchungulia,ila anyway sijachelewa vile.
@elizabethmalakasiki4855
@elizabethmalakasiki4855 18 күн бұрын
Mubasharaa🎉
@binthassan9191
@binthassan9191 18 күн бұрын
Hii simu yangu inazingua kwa kweli 😂😂sijui sababu bado ni mpya,,ilikua imenigomea mm kucomment kwenye uhondo wa JELA YA MAPENZI 😂😂AHSANTE ANKO JAY KWA MUENDELEZO WA SIMULIZI YETU NZURI 🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 18 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣PIA YANGU IKO HIVO INAGOMA KUCOMMET AISEE NAFEEL KULIA
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 18 күн бұрын
🤣🤣🤣 poleni wapenz
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 18 күн бұрын
@@user-rc3om5hs9i 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ama ni mungu amejibu maombi yachumba wanguu juu nilimuibia doo nikabuy 🤣
@ivymuna553
@ivymuna553 18 күн бұрын
Waiting
@user-ts9jo1ok7x
@user-ts9jo1ok7x 18 күн бұрын
Jaman Milele
@matronapuka
@matronapuka 18 күн бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤❤ like zenu jamn wapendwa wangu wa Ankojay
@user-yg9et7mp7i
@user-yg9et7mp7i 18 күн бұрын
Anko jay nice one shukran sana ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🙏
@heriethmozes8151
@heriethmozes8151 18 күн бұрын
❤❤❤anko j mapesa yaan niraha
@janetkazungu7795
@janetkazungu7795 18 күн бұрын
Naisubiri kwa hamu na gam ❤
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 18 күн бұрын
Waiting❤❤❤❤❤❤❤❤
@AishaAljadidi
@AishaAljadidi 18 күн бұрын
Woyooioi♥️♥️♥️♥️
@aminah9557
@aminah9557 18 күн бұрын
Mkiamka mtanikuta mbele ya safari 😂😂
@mariam-yw3nn
@mariam-yw3nn 18 күн бұрын
Nin maana ya like
@shazimna
@shazimna 18 күн бұрын
asatee anjo
@wertqwe8326
@wertqwe8326 18 күн бұрын
Duuuuuh 6min nanimekuwa wa 27 kunawatu wanalla hapa jamani❤❤🇰🇪🇰🇪
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 18 күн бұрын
Hamna lolote,hapo alishafanya yake kwa mganga mafanikio hayakutokea ndiyo maana kamleta hapo kumkonoa😂😂😂😂
@user-vr5bu5pn5x
@user-vr5bu5pn5x 18 күн бұрын
Kama uko kwenye akili angu
@paulsadick-wt9rx
@paulsadick-wt9rx 18 күн бұрын
N fire
@samiahsalum3464
@samiahsalum3464 16 күн бұрын
jaman anko jay JELA YA MAPENZI Tunaitaka dear
@JozeFeeen
@JozeFeeen 18 күн бұрын
Anko j vip mzm binti mlele
@Mupawarda-gj9qo
@Mupawarda-gj9qo 18 күн бұрын
Nice ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Zarebby
@Zarebby 18 күн бұрын
Leo ndo watukumbuka hata sivizur lakin watu wa lisa wawakumbuka kila siku mmmmh😢😢😢😢😢niacheni nilie mm mwenye sikuanza binti lisa😢😢😢😢
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 18 күн бұрын
Wadau Niko hewani💃💃
@user-vj1tf6kg5i
@user-vj1tf6kg5i 18 күн бұрын
Anko Jay we love ❤️ you ❤️
@RahmaNiyonkuru
@RahmaNiyonkuru 18 күн бұрын
Wallah uyo rama kwli hana utu kwa ngisi uyo zai amemsaidia bado tu ame cheat😢
@anunalamin6472
@anunalamin6472 18 күн бұрын
Wanaume mabwa dada
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y 18 күн бұрын
Wanaume hawa wema dear
@user-be2nx5ks2l
@user-be2nx5ks2l 18 күн бұрын
Ninaisubiri sana
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 18 күн бұрын
Wakwanza mim leo
@adellaakupenguvumtumishika9217
@adellaakupenguvumtumishika9217 18 күн бұрын
Safi
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty 18 күн бұрын
Nipo pia namie
@user-fz3xs3ug1f
@user-fz3xs3ug1f 18 күн бұрын
Kwani mnalala hapa😂😂😂mè nasubiri milele😂😂
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 18 күн бұрын
Aliamua kulala na wewe au mliamua wote,na kama hukutaka kulala nae ingewezekanaje?malimwengu haya jamani😂😂
@FdcJbg
@FdcJbg 18 күн бұрын
Shukran sn Anko Jey ❤❤
@user-zp3fs9qt7k
@user-zp3fs9qt7k 18 күн бұрын
Hello ankojay natumai uko salama simulizi mzuri hio sana ya jela ya mapenzi natumai tutapata sehemu ya 3 soon as possible thanks
@AbdoulSlimane
@AbdoulSlimane 16 күн бұрын
Napenda sana simulizi zako ankojey ❤❤❤unanipa faraja sana
@angelinamwakadi5226
@angelinamwakadi5226 18 күн бұрын
Huenda ika hata mimba yenyewe ya step brother wa zainab, ni mchongo tu umechongwa
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 18 күн бұрын
Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 18 күн бұрын
Nimefika mjengoni☺️☺️
@RakaPk
@RakaPk 18 күн бұрын
Asante anko jay wetu ❤🎉
@Martha-uu9mb
@Martha-uu9mb 18 күн бұрын
Hi Anko ❤❤❤🇰🇪
@roselambert6700
@roselambert6700 18 күн бұрын
Tunangoa 😂
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 18 күн бұрын
Mh,bega kwa bega au anakusogeza karibu ili akuchome kwa urahisi,uwe makini unafanyiwa mikakati hapo,huyo secretary ni sehemu ya mkakati wa huyo mama mkwe,ni bomu lililotegwa hilo
@user-mx8dr6zt2g
@user-mx8dr6zt2g 18 күн бұрын
Milele pls ankoj
@CatherineBade-ry1jj
@CatherineBade-ry1jj 18 күн бұрын
Milele
@user-fu6ew1jb6e
@user-fu6ew1jb6e 18 күн бұрын
Hamlali humu ndan jmn 😅😅😅😅😅
@agessayou962
@agessayou962 18 күн бұрын
Tutalala saa ngapi na tunasubiri ankoj na alete simulizi
@user-fu6ew1jb6e
@user-fu6ew1jb6e 18 күн бұрын
@@agessayou962 mupo vzr 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 18 күн бұрын
Anko akituita lazima kufika kwa wakat🤝
@rahmaomary-pl6im
@rahmaomary-pl6im 18 күн бұрын
Wakat muafak 🎉🎉
@user-yi1hb1hb2p
@user-yi1hb1hb2p 18 күн бұрын
Rama kaingia kwenye mtengo wa mama mkwe mazima mazima
@user-ip6hb1nq2u
@user-ip6hb1nq2u 17 күн бұрын
Jamani huyu mwanaume Ana sate haya nimalipo ya muke wake huyu muwanaume mjingar sana usaliti utamukoma part 3 plzzzzzz ankojoy mapesa simulizi hii tamu sana ongeza na usisahau Lisa plzzzzzz
@florenceakoth8700
@florenceakoth8700 18 күн бұрын
Hamlali nyinyi😢😢😢
@user-nc6fm6nw9z
@user-nc6fm6nw9z 15 күн бұрын
Kutoka Mombasani likes wajameni 💃🏽💃🏽🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey 14 күн бұрын
❤❤❤❤❤ love you voice anko jey
@bijouxbigaya2116
@bijouxbigaya2116 18 күн бұрын
Wa mwisho nibeni mauwa
@user-vl1ts1eh8s
@user-vl1ts1eh8s 18 күн бұрын
Jamn anko milele iko wapi?❤
@BethMdoe
@BethMdoe 18 күн бұрын
Haya kuheabu namba sasa mimi wa20 zawad napata au nimechelewa kuamka😅
@fatumahaji-ei5hk
@fatumahaji-ei5hk 18 күн бұрын
Watu amlali
@AnastasiaKilonzi
@AnastasiaKilonzi 18 күн бұрын
Kabisaa umeogea Mzee
@user-wc7md9nu4v
@user-wc7md9nu4v 18 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 18 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 18 күн бұрын
❤❤
@user-tv6ii7pc4z
@user-tv6ii7pc4z 7 күн бұрын
Ramadan ungekumbuka penye Zainab alipo kutoa wanadamu hujisahau😢😢
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 18 күн бұрын
mmmmmmh hello hello wadau
@nuriatqueen5575
@nuriatqueen5575 18 күн бұрын
🪑💚💚🤗🤗🇬🇧🇬🇧
@angelinamwakadi5226
@angelinamwakadi5226 18 күн бұрын
Wamoja ni wa moja tu
@anunalamin6472
@anunalamin6472 18 күн бұрын
Katu havai mbili mwaya
@user-nk6my9zk1q
@user-nk6my9zk1q 18 күн бұрын
Huyu jamaa kasetiwa na mama mkwe 😂😂 huyo mrembo aliletewa kama secretary ulikuwa ni mtego nae kaingia kichwa kichwa, subiri tuone, hata huo uja uzito siwa kwake, hapo bado bb ashutikie mchezo,baada ya hapo talaka,
@lucyjohn1342
@lucyjohn1342 18 күн бұрын
Asantee
@user-qp6tf6sb7o
@user-qp6tf6sb7o 18 күн бұрын
Oooooo❤❤❤
@user-lq4gz1yd7g
@user-lq4gz1yd7g 14 күн бұрын
Halafu mkifa sana wanaume mnasingizia wake na wanawake wakati mnayatafuta wenyewe na maisha magum mnajipa wenyewe kwa upwiru mwingi hamvumilii
@user-fu6ew1jb6e
@user-fu6ew1jb6e 18 күн бұрын
Yote mipngo ya mama mkwe iyo na ww umeingy kweny mtego wke pole rama mkeo ndo kashashtuk ivo na uyo zamra kaulidha maksud ili akuharbie
@judikadzo8712
@judikadzo8712 18 күн бұрын
Than you ankojay 🥰
@user-fv5se6iu9r
@user-fv5se6iu9r 17 күн бұрын
Cio mama mkwe kamtegea kijana kamletea secretary iliampoteze
@user-ox7np8hf5y
@user-ox7np8hf5y 18 күн бұрын
Nipo pamoja na wewe sambamba
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 18 күн бұрын
ANKOJAY LETE MILELE PLZ 😢😢😢😢
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 18 күн бұрын
Eti njamani kporo hcho ankojy ktavunda
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 18 күн бұрын
​@@user-rc3om5hs9i😂😂😂😂😂😂walai milele nitamu xn but itashinda binti Lisa
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 18 күн бұрын
Ilipasa Lisa mwala aande part 8 zamilele🔥
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 18 күн бұрын
@@user-rc3om5hs9i kbx
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 18 күн бұрын
❤❤❤
JELA YA MAPENZI - PART 03
2:11:57
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 15 М.
BIG SUPRISE: SIMULIZI MPYA, By Ankojay
2:00:47
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 22 М.
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 3,6 МЛН
Balloon Stepping Challenge: Barry Policeman Vs  Herobrine and His Friends
00:28
Can teeth really be exchanged for gifts#joker #shorts
00:45
Untitled Joker
Рет қаралды 12 МЛН
REFRESHMENT CONFERENCE|| REV.  JOSEPH WACHIRA || CFF KIMBO CHURCH
1:34:43
CHRISTIAN FOUNDATION FELLOWSHIP - KIMBO
Рет қаралды 43
JELA YA MAPENZI - SIMULIZI MPYA YA MAISHA
2:30:00
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 30 М.
Yeriko,
12:03
The Outburst Band
Рет қаралды 10 М.
PENZI LA MTUHUMIWA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
50:21
Simulizi Mix
Рет қаралды 305 М.
BOSS LADY - SIMULIZI MPYA
3:00:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 49 М.
SIMULIZI MPYA: MY SUGAR, By Ankojay
3:08:04
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 56 М.
MSELA - SIMULIZI YA MAPENZI
2:04:52
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 24 М.
Popular Kids at Lunch Be Like 😒
0:46
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 11 МЛН
Children deceived dad #comedy
0:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 3,3 МЛН
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
0:27
GiGaZoom
Рет қаралды 8 МЛН
Прости пап 🤣🤣❤️
0:16
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 989 М.