JELA YA MAPENZI - PART 03

  Рет қаралды 18,378

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Maneno ya Zainab yalinishtua sana ni kama kuna jambo alikuwa anahisi lipo ila hana uhakika. Kwahiyo alikuwa anataka kuthibitisha kutoka kwangu. Hata hivyo sikuwa tayari kumuambia ukweli. Pale pale nilipata uongo wa kumuambia

Пікірлер: 206
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 3 ай бұрын
Woyooo kama ww familia ya Anko jay like na comment yko hp chini ❤❤🇴🇲🇴🇲
@mariam-yw3nn
@mariam-yw3nn 3 ай бұрын
Mtaninyima like ni mewahi
@ngashsam7586
@ngashsam7586 7 күн бұрын
Chukua iyo like now inafanyia nini😂😂
@yalalakashindi4594
@yalalakashindi4594 3 ай бұрын
Leo nimewahiwa niko wa kwanza naomba like wanafamilia wa Anko jay 😢😢😂
@victoriangasa
@victoriangasa 3 ай бұрын
Wanaume wanaume shikamoo 😂😂😂
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
❤❤ leo namimi nimejitosa Asante ankojy mapesa nazani milele haitupasi kukuliza il mda ukifika tutaiona Asante naomba lak ote tunaisubili milele🌹🌹🌹🏃
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 3 ай бұрын
⚘⚘🌷🌷
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 3 ай бұрын
🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao ankojy
@HafashimanaDorine
@HafashimanaDorine 3 ай бұрын
Ila anko umetufanyia roho mbaya mbon hutupi mwedererezo wa milele au nikwasababu hatuna pesa 😊
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 3 ай бұрын
Ataileta tuu tuko hapa hapa twamngoja🤣🤣🤣ata alete mwakani
@LispaKadzoKalu
@LispaKadzoKalu 3 ай бұрын
​@@UmayyaNkya-ze3rikabsa mwaya tukae kwa kutulia tu😅😅😅
@Madameochu
@Madameochu 3 ай бұрын
Anko jay asante ilatunaomba na milele jamn
@Lucy-vp8pm
@Lucy-vp8pm 3 ай бұрын
Wana ume wana ume kueni na huruma basi wana wake munatudhulumu kikweli akoj wambie waache tuna kupenda sana akoj kutupa simulizi nzuri pokea ❤❤❤❤❤nkiwa gulf
@MishyYusuph
@MishyYusuph 3 ай бұрын
Japo sijachelewa vile ila nimo, Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa simulizi yetu, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.
@emathumani2901
@emathumani2901 3 ай бұрын
Vipenzi vya anko jay tupooo❤❤
@zaliafakilavire5689
@zaliafakilavire5689 3 ай бұрын
Anko j naomba utuletee simulizi ya milele sehem ya nne
@AngellaNdambuki
@AngellaNdambuki 3 ай бұрын
Wakwanza mie❤❤❤❤❤
@aumuelly2909
@aumuelly2909 3 ай бұрын
Sina lakusema kwa uzuri wa usimulizi ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤❤
@Martha-uu9mb
@Martha-uu9mb 3 ай бұрын
Hatimae nimechukua 🎧🪑🛖najienjoy mdogomdogo❤❤ 🇰🇪
@tumainikweka1959
@tumainikweka1959 3 ай бұрын
Dah! Anko j uko vizuri sana kaka mimi ni mshabiki wako sana haswa similizi ya binti lisa 💪💪💯💯
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 3 ай бұрын
Kazi nzuri kaka,from Kenya much love.
@NeemaJoseph-q7d
@NeemaJoseph-q7d 3 ай бұрын
Jaman ank 2malizie Milele please
@matronapuka
@matronapuka 3 ай бұрын
Ayaaaaa 💃💃💃💃💃 kwa simulizi taam na sauti nzuri sanaaa❤❤❤❤ like zenu wapendwa msipite hivihivi tungaliane
@shazimna
@shazimna 3 ай бұрын
lak zenu niwahi
@Shadia544
@Shadia544 3 ай бұрын
Nilikuwa naisubili hapa kila muda nachungulia haya hiyo JELA YA MAPENZI ILI TUJUWE ITAKUWAJE ✌️✌️✌️
@roserosef1261
@roserosef1261 3 ай бұрын
Nami nmekua wa kwanza leo jamani likes
@WardatAbubakar
@WardatAbubakar 3 ай бұрын
Nice one story ❤
@salmadavid-e2j
@salmadavid-e2j 3 ай бұрын
Yan ktkt suna zote wanaume wameona ni suna ya kuongeza mke tu hakika.mungu anawaona😢😢😢
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy 3 ай бұрын
Kutusaidia kazi za ndani ubwege na kati pia sunaa nzur pia
@godsfavour5665
@godsfavour5665 3 ай бұрын
Mwanaume kama hana hela ni muaminifu sana ngoja apate hiyo hela wueeee atahanya hadi ushangae
@FatmaHassankhamisi
@FatmaHassankhamisi 3 ай бұрын
Asante anko jey 🪑🪑🪑🎧🎧🎧 tulisubiri Kwa hamu ❤❤❤
@AishaAljadidi
@AishaAljadidi 3 ай бұрын
Hatimae anko jy umetuleteya❤❤❤❤🇴🇲🇴🇲
@CeciliaChuwa-q2k
@CeciliaChuwa-q2k 3 ай бұрын
Jamani mnawahi jelaaa
@annociatenyandwi6251
@annociatenyandwi6251 3 ай бұрын
Jela ya mapenzi tunasonganayo❤❤
@LyidiaSilayo
@LyidiaSilayo 3 ай бұрын
NAMI nimewahi kiasi 🎉🎉🎉🎉❤❤
@binthassan9191
@binthassan9191 3 ай бұрын
Nimechelewa lakini nimefika ❤❤😅😅
@GharshanLila
@GharshanLila 3 ай бұрын
Wooyoooooo kitu roho inapenda
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
😂😂 ukweli ni kwamba,penzi haligawanyiki jamani piga, ua, galagaza😂😂
@MelisaSelena
@MelisaSelena 3 ай бұрын
Na huo ndooo ukweri mtupu
@KhadijaKassim-k8d
@KhadijaKassim-k8d 3 ай бұрын
Nimewahi like zenu tafadhali. Asante sana ankojay Allah akulipe kheri Inshaallah ❤❤❤❤
@nuriatqueen5575
@nuriatqueen5575 3 ай бұрын
jamani simulizi mzuri ankojay asante kwa muendelezo wa simulizi ya Jela ya mapenzi 🤗🧡🎉🎉
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 3 ай бұрын
Kukosa heshima kwa wazizi utabarikiwa asente anko jay
@alicesidi9574
@alicesidi9574 3 ай бұрын
❤️❤️❤️ anko jay
@RehemasiryaKabahasha
@RehemasiryaKabahasha 3 ай бұрын
Hio ni kazi ya yule mama wa kambo alijua akileta huyo mwanamke mrembo kwa ofisi rama ataingia kwa mtego ili ndoa yake iharibike😢😢
@Sumaiya-h7m1p
@Sumaiya-h7m1p 3 ай бұрын
Kabisa 💯
@MelisaSelena
@MelisaSelena 3 ай бұрын
Upo makini xana.
@NancyMmbone-gh9kg
@NancyMmbone-gh9kg 3 ай бұрын
Ni maoni2 hatumaa Nishi,,hatuna ubaya 💖💖🇰🇪🇰🇪
@MerryBenth
@MerryBenth 3 ай бұрын
🤔 hakik mungu ndie aliwaogoza 🌹❤️❤️
@christinemwendejuma4401
@christinemwendejuma4401 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@GoodluckMchome-e6n
@GoodluckMchome-e6n 3 ай бұрын
Tupo pamojaa
@doreenkhendi
@doreenkhendi 3 ай бұрын
Hawa viumbe wanaitwa wanaume aisee si wakuaminiwa
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 3 ай бұрын
Kabisa simwamini mwanaume hata nishikiwe mtutu wa bunduki
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 3 ай бұрын
Sitakaa nifanye kitu Kwaajili ya faida ya mwanaume maana siku akikupiga matukio utaumia utatamani siku zirudi nyuma
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 3 ай бұрын
Labda nimsaidie kama mtu yeyote kwenye shida
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 3 ай бұрын
NDO MAANA NAWACHUKIA WANAUME AISEE 😢😢😢😢 NIKIKUMBUKA M2 WANGU ALIKUA NA MANENO MATAMU KUMBE ANATEMBEA SIZ ANGU BILA KUJUA☹☹☹ HERI SINGLE AISE😂😂😂
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
Inauma Sana Yani rama kasaindiwa maisha lakni anaripa hayo
@TabuKirumbi
@TabuKirumbi 3 ай бұрын
Hao ndio wanaumee kikubwa kuwa na msimamo na kufanya maamuzi magumu ili heshima yako idumu
@Kellyperry947
@Kellyperry947 3 ай бұрын
ᴾᵒˡᵉ ᵐᵃᵃ ᵏᵃʳⁱᵇᵘ ᵏʷᵃ ᵍʳᵒᵘᵖ ˡᵃ ˢⁱⁿᵍˡᵉ😢😢😢
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 3 ай бұрын
​@@TeklaNdekejamalipo yote nihapa hapa duniani
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 3 ай бұрын
Nikweli bora kuwa single kuliko kuishi na mume mnafiki asiye kuwa nashukrani Tena msaliti
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Ай бұрын
Good job ubarikiwe sana kaka yetu ankooooo Jay,ila wanaume khaaa!
@bijouxbigaya2116
@bijouxbigaya2116 3 ай бұрын
Sawa
@WinniePretty-t1v
@WinniePretty-t1v 3 ай бұрын
Ramadan hakujua kama mama mkwe wa kambo alimutega loooh akaingia mtegoni pasipo jua wanaume hawaminiki
@doreenkhendi
@doreenkhendi 3 ай бұрын
Jameni Ako tumalisie milele part 4
@RahimaHamisi-z3i
@RahimaHamisi-z3i 3 ай бұрын
❤❤❤ Mvumilivu hula mbivu asante ankojay
@rayfasaid7873
@rayfasaid7873 3 ай бұрын
Wanaume waudhi sana ase
@JulianaYusto
@JulianaYusto 3 ай бұрын
Jaman wakwanza nipen maua yangu
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 3 ай бұрын
Thanks Ankojay wetu ❤️
@EvaemmanuelMondea
@EvaemmanuelMondea 3 ай бұрын
Bona milele humalizii jaman au tunaipataje
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey 3 ай бұрын
Pole sana zainabu ndio mitihani ya ndoa na majaribu
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
Hee,we mama,huyo anaishi kwa akili zake siyo hisani bibi wewe😂😂😂
@Mupawarda-gj9qo
@Mupawarda-gj9qo 3 ай бұрын
Nice❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@akothsewe734
@akothsewe734 3 ай бұрын
Haki naskia raha kuskia vile ma injinia wanapewa sifa kwa sababu bwanangu pia ni injinia hodari huku ujerumani❤😂 Asante sana Anko J... Sasa hivi namtranslatia unasema nini kuhusu migodini😅😅😅 lots of love from Germany❤❤❤
@puritykananu9920
@puritykananu9920 3 ай бұрын
Hebu sikizeni nyie wanawake akuna mwanaume wa mke mmoja awe mukiristo au muislam nakama yupo anajifanya tu,,jipeni moyo mjue unashare na mwingine ivo tu.
@zawadiseif
@zawadiseif 3 ай бұрын
Kweli kabsa
@najatakajumulo9292
@najatakajumulo9292 3 ай бұрын
True
@alineumutoniwase9667
@alineumutoniwase9667 3 ай бұрын
Hello anko jay mimi penda sana sa wutiyako sana
@Kellyperry947
@Kellyperry947 3 ай бұрын
ᵂᵃᵏᵘᵘ ʷᵃᵐʷᵉˢʰᵒ ᵗᵘᵏᵃᵉ ʷᵃᵖⁱ😊😊
@jokhajj
@jokhajj 3 ай бұрын
Wanaume so watu wakuwaamin aise😂
@MelisaSelena
@MelisaSelena 3 ай бұрын
Wale hawanaga shukukulani mbn.
@jokhajj
@jokhajj 3 ай бұрын
Kwakwel
@mariamjumbe8627
@mariamjumbe8627 3 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉
@honestywaukweli1639
@honestywaukweli1639 3 ай бұрын
Simulizi nzuri sana
@FatumaHamisi-sr6yj
@FatumaHamisi-sr6yj 3 ай бұрын
🪑🎧👏👏👏👏 nzuri sana
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
Mh,mtoto mchanga hivyo utajuaje kama anafanana na nani?ni wachache sana wanaoonekana kufanana na wazazi wao
@ThurayaAlsuwedi
@ThurayaAlsuwedi 3 ай бұрын
Plz ankojay natumai uko salama simulizi mzuri hio sana ya jela ya mapenzi natumai tutapata sehemu ya 4 Kwa ham kubwa asanti
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu 3 ай бұрын
Wanaume njovyawo utazani ukonamwenzio kumbe mufica malazi kifi kumuumbuwa uuuuiiiii shukran Mutafusili wetu usikutani mimba sio Rama ntaceka Nife njodawayenu we Rama Rama utauzia mbuzi kwegunia uuuuuuuiiiii naona mamukwe arigutengenezeya mutego juwanaume mukowathayifu hadi nakuoneya uruma
@FurahaFrancine-e2x
@FurahaFrancine-e2x 3 ай бұрын
Wanaume nyinyi mungu anawaona🙋🙋🙋🙋🙋🙋
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 3 ай бұрын
Jmn mumecomment but hakuna views 🤣🤣nyie nomaa haya bwana
@JamilahDilunga
@JamilahDilunga 3 ай бұрын
Nikiisikiriza hii simulizi nasikia hasira wanaume uwa awanaga shukurani simpendi rama
@FadhilunMohamed-je8en
@FadhilunMohamed-je8en 3 ай бұрын
Mbona hii haiuzwi? Sio sawa wote ni wako unatukosea sana kutubania simulizi za Dada Lisa sio vzr
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART 3 ай бұрын
Utasema sana hio itauzwa mpaka the end au sio,wacha atubanie itaisha tu,wacha tuipe mda 😂😂😂😂
@judikadzo8712
@judikadzo8712 3 ай бұрын
Thanks ankojay mapesa 🥰🥰
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 3 ай бұрын
Wanaume jmniii nyoko hivi mnatakaga nn surely 😢
@nuriatqueen5575
@nuriatqueen5575 3 ай бұрын
Next episode please 🤗🎉🇬🇧🇬🇧
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 3 ай бұрын
Kwa kweli wanaume wanamapungu nguvu
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 3 ай бұрын
Kweli haita pungua takwim ya singo mama kila itapo leo
@hdhjdh775
@hdhjdh775 3 ай бұрын
​@@TeklaNdekeja😂😂😂Pamela Pamela kakomet hala 😂😂😂😂
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 3 ай бұрын
​@@hdhjdh775Ee huyo timu pamela😂
@FadhilaJumanne-l8k
@FadhilaJumanne-l8k 3 ай бұрын
Kuna mkasa nilisikiliza unasema wanaume mammbwa nimetambua maana yake
@Sumaiya-h7m1p
@Sumaiya-h7m1p 3 ай бұрын
I seeeeee wanaume mnamoto wenu tena wa pekeeeeee 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@HopefulGuitarAmp-si9gi
@HopefulGuitarAmp-si9gi 3 ай бұрын
Nakubari kaka Rama❤❤❤
@winnygilbert6318
@winnygilbert6318 3 ай бұрын
Nimewahi leo😂
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
Mhmm,huyo Zamra aliyeletwa na mamamkwe wake huyo kisirani kabisa,hilo ni pandikizi la balaa lililoletwa ndani ya familia hiyo,ngoja tuone itakuwaje
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 3 ай бұрын
Kabisaaaa
@PendoRite
@PendoRite 3 ай бұрын
Yaani wanaume Aliokotwa hana ata chupi ya pili leo anasaliti Nikumuacha kama kama ulivyomta tuu
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 3 ай бұрын
RAMA pamoja na hayo hauna shukrani.
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 3 ай бұрын
Hawa wanaume ukiwasaidia ndio wanakuwa mbwa hawa bora usimsaidie wala usitoe chako kumpa labda awe anatoa yeye ukimpa kidogo sana ili akibadilika kuwa mnyama usiumie siwapendi hawa wanaoitwa wanaume
@FaithPeter-j4w
@FaithPeter-j4w 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aminanimbona1861
@aminanimbona1861 3 ай бұрын
Wew mwanaume hufadhiliki kwa kweli
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg Ай бұрын
Ila mbona kika mmoja analaani Rama kisa kusaidiwa na zeinab ...kumbukeni pia yye kuwekwa kwenye mtego bila kujuwa kanasa.na sheria inamruhusu kubwa wake 2 .kikubwa maelewano tu hapo
@ZaiZainabu-o4p
@ZaiZainabu-o4p 3 ай бұрын
Mi wakwanza kwakuwacukia wanaume 😂napenda simulizi za Ancojey kuliko wanaume😂Ancojey mung akupe maisha malefu
@syliviamurondoro4690
@syliviamurondoro4690 3 ай бұрын
Ankoni simulizi hii ni tamu ukisikiliza duuuh nilitamani iendeleee.
@AnastasiaKilonzi
@AnastasiaKilonzi 3 ай бұрын
Mzee unalasimisha kweli
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 3 ай бұрын
Wadau nimefika hewani like nitapata ataa tano Tu,❤🎉
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y 3 ай бұрын
Asosikia la mkuu huvunjika guu ndo ramlaa sas
@lucyjohn1342
@lucyjohn1342 3 ай бұрын
🤗
@GraceDavid-nq4zc
@GraceDavid-nq4zc 3 ай бұрын
ila anko j unatufanyia makusud kutuletea simuliz ya milele
@NeemaKwayu-g5m
@NeemaKwayu-g5m 2 ай бұрын
Yan hawa ndomana wanapewaga limbwata na hata kulogwa fyuuu😏
@DamariJohn
@DamariJohn 3 ай бұрын
Leo wa 40 naombeni like zenu ❤❤
@periswairimu2545
@periswairimu2545 3 ай бұрын
Mkaka ovyo maneno matamu ila daah yani wanaume dada zangu msiwekee moyoni ikiwezekana wawekwe makwapani
@MelisaSelena
@MelisaSelena 3 ай бұрын
Nalo neno.
@RahabuKal
@RahabuKal 3 ай бұрын
NIU seni uyo😮
@bahatimwachepha9902
@bahatimwachepha9902 3 ай бұрын
Aky kuwa singular
@paulsadick-wt9rx
@paulsadick-wt9rx 3 ай бұрын
Atariiiiiiii
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 3 ай бұрын
Rama,si angeacha fedha za kutosha kwa mchepuko na aende kupeleka mgonjwa tu,shida ni nini?
@ChristineOresha
@ChristineOresha 3 ай бұрын
Imagine kumbuka wewe bwana wee mke wako wa kwanza mahali amekutoa haijalishi eti wewe ni mwislamu eti lazima uoe bibi mwingine wajameni 😢
JELA YA MAPENZI - PART 04 [ MWISHO ]
2:30:43
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 19 М.
JELA YA MAPENZI - PART 02
2:15:10
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 21 М.
Expected Ending?
00:45
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 11 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 1,8 МЛН
Ничего не делаю всё видео 😴
00:33
Miracle
Рет қаралды 744 М.
JELA YA MAPENZI - SIMULIZI MPYA YA MAISHA
2:30:00
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 37 М.
KIJANA AZAMA KIMAPENZI KWA JIMAMA |FULL MOVIE | CHAPA MOVIES RECAP
53:05
NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
1:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 199 М.
BINTI KIZIWI | SIMULIZI MPYA
2:02:56
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 29 М.
SIMULIZI FUPI: DAWA YA MAPENZI, By Ankojay
3:25:23
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 58 М.
SUUU |  SIMULIZI TAMU YA SAUTI
2:35:15
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 11 М.
MSELA - SIMULIZI YA MAPENZI
2:04:52
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 53 М.
DEBORA | SIMULIZI FUPI
2:42:16
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 24 М.
SIMULIZI MPYA - BINTI MOZA
2:40:49
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 50 М.
ONE MISTAKE - SIMULIZI MPYA - PART 01
2:00:00
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 21 М.
Expected Ending?
00:45
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 11 МЛН