Hili ni bonge la jembe mzee, nimemfuatialia vizuri sana huyu jamaa. Ni hatar
@godfreykate8645 жыл бұрын
Watapigwa nyingi mpaka wapoteabe...wanadhani kila Brazil anajua mpira si kweli....hata wachina,wakorea na wajapani wapo wasijua kung fuu!
@vivanyboy97437 ай бұрын
anaitwa nan? Na anatoka taifa gan? na Tim gan?
@gaykazimoto14195 жыл бұрын
Silaaaaaa imeingia
@mudytelela21625 жыл бұрын
Karibu jembe letu
@virussella99795 жыл бұрын
Mm naipenda Simba ila huyu Jamaa hatr sana anajua kama hamniamin subirin maajabu
@mohammedgulamali88494 жыл бұрын
Viongozi wa yanga naomba pessa kusajili je wataweza kumlipa mchezaji.
@allec29055 жыл бұрын
Kelvin Yondani, Andrew Vincent Dante, Juma Abdul, na Farouk Shikalo bado hawajaripoti kambini....tatizo ni nini? Je program yao ya mazoezi itakuwa tofauti? Je wataripoti lini ukizingatia kuwa Timu ya Taifa itaingia kambini wiki ijayo kwa hiyo Kelvin atalazimika kurudi kambini timu ya Taifa mapema. Je kuna anayefahamu kwanini hao niliowataja hapo juu kwanini hawajaripoti na sababu?
@michaelmerick90625 жыл бұрын
Noma ju yanoma
@gracemartin9945 жыл бұрын
Etii timu haina pesa mwaka huu mtaaibika kunguni nyie tatizo simba midomo sana kazi hamjui
@florencekabado89314 жыл бұрын
Wambiye Grace,wanaumia ila wanajikaza tu,diyo maana muda wote wanaifatilia yanga,walipo tu amani hawana,wanajikaza tu.
@jumaomary56575 жыл бұрын
Simba mlipeni Juuko hela arudi kucheza acheni dhuluma
@mohammedgulamali88494 жыл бұрын
Wengi wamekuja wame sema hivyo mwisho wame fukuzwa.
@farajaluvanda12425 жыл бұрын
Sio muanze kuwazingua watu muwalipe mishahara yao kwa wakati mambo ya kuwaambia wachezaji wacheze kwa kujitolea ili waipiganie timu ya wananchi wakati wanachama wanachanga pesa hayo mambo hatutaki. Walipeni vizuri hawa vijana wametoka mbali kuja kusaka tonge. Staki povu nilikuwa nawakumbusha tu ndugu zangu gongowazi fc.
@edgarndoleki76395 жыл бұрын
Mbona huwa unawalipaga wew
@farajaluvanda12425 жыл бұрын
@@edgarndoleki7639 subiri kwanza ndugu yangu namalizia k--vant yangu hapa nitakuchek baadae kidogo...... Gonga meza gonga mezaaaaaaaaaa
@abdalahabdul21545 жыл бұрын
Alio.kwambia.kwa sasa.yanqa inanjaa.nan sio.tim yamtu mmoja.kama mikia.baba yenu mo
@farajaluvanda12425 жыл бұрын
@@abdalahabdul2154 mo sio kama manji wewe hebu kuwa mwelewa mo ni mwekezaji bab yeye anakula %49 na klabu inakula %51. Mtatembeza mabakuli mpaka lini sasa mwisho watu watachoka jamani. Tafuteni wawekezaji hapo ili klabu iweze kujiendesha yenyewe bila bakuli. Hebu ona sasa mpaka akina Gadiel Michael wanakimbia njaa halafu unasema eti sasa hivi hakuna njaa. Kungekuwa hakuna njaa gadiel asingesema ni maslahi ndio yamemleta simba ina nyinyi mlishindwa kumpa alichotaka matokeo yake mnaenda kuzoa makapi yaliyo kuja kufanya majaribio simba halafu mnadanganywa na viongozi wenu kama watoto eti wanafanya usajili wa kishindo. Nyie tulieni hivyo hivyo ngoja ligi ianze kama hatuja anza kukimbiana vijiweni hii sio ile simba ya akina aveva na kilomoni hii ni simba mpya inayotaka transformation yaani mabadiliko kwa vitendo come on unaongea nini wewe.....