JEMEDARI ACHARUKA KISA SIMBA KUVUNJA VITI/ ATOA KAULI MZITO KWA VIONGOZI

  Рет қаралды 6,101

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 103
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 Сағат бұрын
Jemedari unachemka sana Leo. Cs walianza nadhani haukua uwanjani labda ulikuwa unaangalia Crown TV
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 3 сағат бұрын
You said well jemedar Sema kweli japo kuwa chungu
@Denismayeye18
@Denismayeye18 22 минут бұрын
Safi sana Jemedar umekemea vizur sana
@mwiganiisdory8856
@mwiganiisdory8856 29 минут бұрын
Asante sana Jemadari. Ukweli utatuweka huru!
@drallan6879
@drallan6879 23 минут бұрын
we support you jemedary
@drvaxminja2133
@drvaxminja2133 2 сағат бұрын
Mashabiki wa Simba wa hovyo sana sana
@atupelemsyani7411
@atupelemsyani7411 35 минут бұрын
Kwani nyie utopolo mlivyopewa supu na kuvunja mageti ndiyo wajanja siyo vyura wakubwa nyie.
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 24 минут бұрын
Kushinda wa TP MAZEMBE?
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 2 сағат бұрын
Upande wa jukwaa la Simba liwekwe zege zito
@atupelemsyani7411
@atupelemsyani7411 16 минут бұрын
Na nyie wavunja mageti tuwawekee Nini? manake mlipewa supu bure na ndo mkavunja mageti
@mathewungani9724
@mathewungani9724 47 минут бұрын
Jemedari
@KoreshiRoberth-sx6sk
@KoreshiRoberth-sx6sk 33 минут бұрын
Mturuhusu basi tuanze kwenda na mapanga uwanjani..
@Yomiyomi6897
@Yomiyomi6897 43 минут бұрын
Nashauri: Waziri mwenye dhamana, awasiliane rasmi na Waziri mwenzake wa taifa mbako timu hiyo imetokea, kumaliza hii kadhia. Muhimu sana. Tukumbuke: anayelipiza huwa anapiga mara 2 zaidi, ili kuhakikisha kwamba aliyeanza vita HARUDII tena. Mbaya mno. Waziri aombe radhi. Wachezaji waombwe radhi. Maheruhi waombwe radhi. Serikali ya nchi husika ihakikishe ulinzi unaimarishwa kwa dhati siku hiyo. Tangu wageni, Simba wanapopokelewa, malazini kwao, mazoezini, na hata mechi. Hilo la apology ndilo la kwanza. Ni conditio sine qua non. Someni hii na MUIDHARAU. Kama kawaida yenu. Majuto ni mjukuu. Taifa hili NIDHAMU mbaya mnooo. Hatujitambui.
@OnesmoMlinga
@OnesmoMlinga 36 минут бұрын
We said msenge hujuw chochote
@BabaNasritz
@BabaNasritz Сағат бұрын
Ni heli mgeenda kuchuma fimbo kuliko kulusha viti. Ushabiki mandazi Simba ni team yangu ila mmezengua
@EliaTish
@EliaTish Сағат бұрын
hata kama kuna chanzo walianza wao hatukutakiwa kuvunja viti kabsa mtu anae kubalihili bas hajitambuvi
@elihurumadaniel3421
@elihurumadaniel3421 38 минут бұрын
Jemedari said katika siku umeongea hovyo ni leo unaongea kwa kubwatukia wenzako,chambua mpira achana na viti
@salimsaid2947
@salimsaid2947 21 минут бұрын
simashabiki wa simba walo vunja viti ni mtego umepangwa
@BukuluTheBosscomedy
@BukuluTheBosscomedy 19 минут бұрын
Mbona hamsemi nan alianzisha vulugu kat ya Simba na hao walabu wenuu hebu achen ujinga wenu
@enockmlyuka6475
@enockmlyuka6475 38 минут бұрын
Matendo yasiyo ya kinidhamu hayakubaliki na yanapaswa kukemewa! Ht hivyo, waraka wa Waziri ungepaswa kukemea matukio yote yasiyo ya kimichezo yaliyotokea uwanjani ikiwa ni pamoja na refa kuvamiwa uwanjani na timu ngeni. Taarifa ya awali ya polisi imekinzana na waraka wa Mhe.Waziri kuhusu kung'ol Kwa viti. Namna waraka ulivyoandikwa, waraka umeichongea Simba SC CAF. Suala la refa kuvamiwa uwanjani linapaswa lizugumzwe kwa uzito unaostahili km suala la kung'olewa viti linavyozungumzwa!
@Mohammed-m9f
@Mohammed-m9f 50 минут бұрын
Simba wamezoea kuvunja viti wapewe adhabu kali vibaraka hao !!!!
@RamadhaniKishatu
@RamadhaniKishatu 13 минут бұрын
Mashabiki Simba wanahusikaje we chapombe?? Yani wachambuzi wakibongo mazwazwa wengi..
@EmanuelLazaro-k7g
@EmanuelLazaro-k7g 2 сағат бұрын
Mnaongea pumba2 hapo kama mmeona muongee Ivo ili Simba iogope mmefer Sana tunaenda kukibiga kama kawaida yetu wakileta ubaya tunamaliza na ubwela
@alexjovin2981
@alexjovin2981 Сағат бұрын
Swali la msingi sababu ipi iliyo wafanya simba wang'oe viti na wakati wamashinda kuna chanzo inawezekana.
@JoyceKapaga-mb8tz
@JoyceKapaga-mb8tz 35 минут бұрын
kwao tunaenda atuogopi mtu yoyote itajulikana ukouko vita mbele
@bakarimbelwa2398
@bakarimbelwa2398 36 минут бұрын
Ifikie kipindi lazima tuache unyonge, dunia inaona tuwaache wapige watu akifa mtuu? Kuna kipindi lazima heshima iwepo!! Km kupewa faini ndio tiba mbona warabu hiyo tabia haikomi
@abdullysaid2584
@abdullysaid2584 47 минут бұрын
JEMADARI ACHA CHUKI ZAKO KWA SIMBA.POLICE WANASEMA WEWE IUNAPINGA
@MboneaKidee
@MboneaKidee 4 минут бұрын
Ujue Simba inapigwa vita Kila Mahali,Huyu jemedari kama SI kuandaliwa kuongea upuuzi, bas hii midia wote, Waliong'oa Viti nani anauhakika kama c mashabiki Wa yanga? Walioandaliwa kuwachafulia Simba?
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 42 минут бұрын
Nyie wachambuzi ni wachochezi wakubwa sana mnachambua kishabiki wakorofi wanajukana walioazisha fujo nakuvunja viti ni waarabu matokeo wachambuzi ni mashabiki wa yanga wanakua upande wa wageni nakuiponda simba kua ndoo walioleta fujo nakuvunja viti
@AjidaYahya
@AjidaYahya Сағат бұрын
Jemedari kumbe wew hujui chchote niwanayanga waliyofanya fujo
@AllyGolota
@AllyGolota 19 минут бұрын
Jemedari ww mwehu unatetea ujinga viti vya orenji 100 vimevunjwa bruruu 150 bruruu warikaa simba ww mwehu unasema simba warikuwa wanarudisha viti simba
@muhidiniwadhifa3600
@muhidiniwadhifa3600 Сағат бұрын
Nyinyi mnaochambua mnamhemko has mashabiki watakua na nini
@wasemavyotv7736
@wasemavyotv7736 Сағат бұрын
Jemedali anasema ukweli ila habalance story kama mwandishi Ila kama ameamua kukemea watanzazia aseme na atakuwa sahihi ila uoande mwingine yeye nimwandishi pia abalance
@deusgervas4676
@deusgervas4676 2 сағат бұрын
Jemedar unazinguaa sanaaa utokeee crawn Jeshi la police ndiyo walikuwepo kweny tukiooo siyooo TFF
@issasauga1456
@issasauga1456 2 сағат бұрын
MAKOLOO WAVUNJA VITI WANANCHI TUKIKUTANA TUTAWANYOOSHA
@BetraminoKayage
@BetraminoKayage 18 минут бұрын
Duuuh sikutegemea kama jemedal atakuwa mpumbavu kiasi hiki et mashabiki wa Simba ndio walianza kuwarushia mashabiki wa Tunisia huu ni ujinga wa hali ya juu na chuki za wazi wazi Nb hakuna mmakonde asiye na roho ya husda
@ShabrinSshemoka
@ShabrinSshemoka Сағат бұрын
Jemedari mpuuzi sana ww
@ernestkamata2555
@ernestkamata2555 50 минут бұрын
Huyu jemedali ni mpuuzi mmoja tu
@JoyceKapaga-mb8tz
@JoyceKapaga-mb8tz 42 минут бұрын
kwani wao nani tuwaogope
@JamesMaduka-z4y
@JamesMaduka-z4y 2 сағат бұрын
Hivi wewe jemedari unaelewa unachoongea? Mtu anakuja nymbn kwako kukupiga halafu unataka Sheria ikuokoe, kwahiyo ingetokea mtu akauliwa na mashabiki wa waarabu kwahiyo napo tungekuwa waungwana . Acheni pumba hamjui lolote
@danielshumbusho5491
@danielshumbusho5491 Сағат бұрын
Ela za mama za jana tutawalipa ila wameanza kutuchokoza wenyewe
@federick2803
@federick2803 3 сағат бұрын
Wanatetea ugali wao wote niwaogatu mbona cc tukienda kwao wanatu nyanyasa had kwenye vyumba mpaka uwanjani
@johansenbashange2628
@johansenbashange2628 2 сағат бұрын
Vyovyote itakavyosemwa! Sisi Simba ndio wenyemakosa! Mashabiki walioingia uwanjani waliingizwa kwenye mtego kidogo tu watu wakalipuka Kulikuwa hakuna sababu
@stanleymwaselela1849
@stanleymwaselela1849 2 сағат бұрын
Umeongea jambo muhimu mm mwenye Simba mnyama nilisema tumeingizwa chaka na wageni na sisi tukaingia kichwakichwa
@KhalidMohd-n4q
@KhalidMohd-n4q 14 минут бұрын
Viti hakuving,is wageni ni mashabiki wa simba ndio waliong,oa viti kwa ujinga tu wandishi hakuliona hilo au
@Mohammed-m9f
@Mohammed-m9f 49 минут бұрын
Makolo fc mmezoea kusifiwa ujinga na jemedari Saidi lakini leo amewakamata pabaya tulieni dawa iwaingie vibaraka wa mkoloni nyie !!!!
@SimonJeshi-nq1hs
@SimonJeshi-nq1hs 2 сағат бұрын
Kwa Mara ya kwanza Jemedari kaongea ukweli
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 Сағат бұрын
kweli tuliona simba ndie aliyengoa na wakawa wanazirusha
@felixluguga645
@felixluguga645 2 сағат бұрын
Jemedari umesema kwa ukweli kabisa na very open.Lazima tuwe wakweli wakati mwingine.
@JoyceKapaga-mb8tz
@JoyceKapaga-mb8tz 33 минут бұрын
na tutafunga
@EliaTish
@EliaTish Сағат бұрын
jemedari yuko sahihi kabsa ushabiki wa kishamba unavunja viti alafu Tim yako ndo inakuja kuwajibika n upumbavu mtupu nikama hatujitambuwi kabsa kwanza tumejitengenezea bomu tumewafanyia Hawa ivi nasi tuta enda kwao pia ili jambo Lina kwanza Sana
@Oman-q6l
@Oman-q6l 2 сағат бұрын
Saidi kuwa na akili sawa kwayo ushaidi polisi unakatavi kauli ya polisi
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 сағат бұрын
😂😂wacha ujinga kwa hivyo viti vilijirusha vyenyewe kutoka jukwaani??acha ushabiki maandazi hatukupaswa kuharibu viti ni kodi yetu au kwa kuwa wewe hulipi kodi??
@JoyceKapaga-mb8tz
@JoyceKapaga-mb8tz 45 минут бұрын
acheni ujinga mna kutetea mtu mweupe mnaundugu naye wakati tukienda kwao wanatufanyia vituko vingi tuna nyamaza
@CharlesFadelis-te5fp
@CharlesFadelis-te5fp 2 сағат бұрын
Mbona ya yamefanyiwa ushezi na CONGo awajasema chochote wivu mlibeti tu Simba afungwe
@emmanuelkirumi7534
@emmanuelkirumi7534 Сағат бұрын
Tangu lini kitu kolo kikawa nafikra ama akili, kolo ni kolo tu
@CharlesKabuje
@CharlesKabuje Сағат бұрын
Wewe jemadar ongela kama mwanishi osiongee kishabk walioazisha fujo Niao wegen bechi lao la ufundi ndo lililo ingia uwanjan ndo palipo aizia usiongee kishibik uwandish wako wamashaka sana
@AjidaYahya
@AjidaYahya Сағат бұрын
Hakuna mshabiki wasimba aliengowa viti hao niwanayanga wanataka kuichafua simba
@aliponaimu
@aliponaimu 26 минут бұрын
Sasa simba mmeshinda yanini kung'oa na kuharibu viti jee simba ingelishindwa mgeli fanya nn?
@AdbulKhamis-wi1cu
@AdbulKhamis-wi1cu Сағат бұрын
Sasa mtu mmefinga utafanya fujo ya nini acha kuchenka jemedar
@CharlesFadelis-te5fp
@CharlesFadelis-te5fp 2 сағат бұрын
Msenge tu uyo kwani kamera zipo kwa ww yanga tunakujuwa
@ramadhanichubi9139
@ramadhanichubi9139 2 сағат бұрын
Jemedari kuwa na mjadala wa kitafiti,Nadhani unachemkaleo
@directormadosa950
@directormadosa950 Сағат бұрын
Jemedal lbda jana hukwenda uwanjani kaka
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 Сағат бұрын
na polisi walichelewa kufika
@CharlesFadelis-te5fp
@CharlesFadelis-te5fp 2 сағат бұрын
Inakuuma Simba kushida we jemeladi acha uoga wuvi
@AmonBalegele
@AmonBalegele Сағат бұрын
Ongoleaukweli achakutoleamaxho simba unaumiarohoni walioanzafujowageni unachemkavibaya achaushabiki nawewe hama uarabuni
@marthapaulofaida2785
@marthapaulofaida2785 3 сағат бұрын
Nyie wachambuzi acheni kulea ujinga msifumbie macho hili Simba kahalibu viti na wageni wameharibu viti Iko hivo
@SaidMkome-p6s
@SaidMkome-p6s 2 сағат бұрын
Uto bwana Awana hoja Tena team lao bovu saizi wamekuwa watunzaji uwanja sawa tutalipa sawa ila 3 muhimi😂😂
@BashiruHamza-k1q
@BashiruHamza-k1q 2 сағат бұрын
Ww jemedali mbona mpumbavu mishipa inakutoka kwan unaidai simba
@directormadosa950
@directormadosa950 Сағат бұрын
Mimi nulikuwa karibu nao sana waling`oa vitu
@saidseleman2973
@saidseleman2973 Сағат бұрын
Jemedari usitoe ukumu timu ishinde alafu ifanye fujo Acha ujuaji
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 2 сағат бұрын
Leo umeongea sahihi sn
@samwelimakenge7245
@samwelimakenge7245 Сағат бұрын
Jemedari unakaaga VIP ndo maana kule orange viti vingi ni vibovu vimeengeshwa tu hakuna shabiki mwny ubavu wa kung'oa kita pale uwanjani
@mpeligwamoyo4254
@mpeligwamoyo4254 2 сағат бұрын
Hapo ndipo unapoweza kuona na kutofautisha kati ya akili ya mtu mweusi na mweupe haingii akilini unang'oa fenicha za nyumbani mwako Kwa kisingizio Cha mgeni kaleta vurugu
@kinqzillahmalaza5846
@kinqzillahmalaza5846 Сағат бұрын
Mabango je nayoo tumebomoa sisi
@hemmyissambo6792
@hemmyissambo6792 2 сағат бұрын
Acha upumbavuu, kwani Simba ilikuwa peke yao, huna point
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 Сағат бұрын
Hiyo ya almelek naikumbuka nilikuwa uwanjani siku hiyo 😂 shabiki wenyewe tulinyanganywa maji ya kunywa
@KassimCodema
@KassimCodema 2 сағат бұрын
Huna roho kwa simba hil ni jambo la kawaid tutalipa hakun kit cha hovy
@rashidikisumba5450
@rashidikisumba5450 Сағат бұрын
Hamjui uchambuzi kalaleni huko hamuwez hata kuongea ongea ukweli kwasbabu umeona kaonagea wazir weny dhamnani faata upepo nyie.
@pasua15
@pasua15 Сағат бұрын
Wana tafuta Kiki tu awo
@MariamMkumbo-e5o
@MariamMkumbo-e5o Сағат бұрын
9
@HumphreyMapunda
@HumphreyMapunda Сағат бұрын
Leo ni uchambuzi wa viti au?
@rogerkemibala4328
@rogerkemibala4328 2 сағат бұрын
Acha woga
@SarahSanga-p6d
@SarahSanga-p6d Сағат бұрын
😂😂😂
@RazackKhan-e4s
@RazackKhan-e4s 2 сағат бұрын
Acha usenge ww umeon wap Simba ameanz kuruxha viti na walio vunja mabango uwanjan pia simba
@meshackmwalongo9798
@meshackmwalongo9798 2 сағат бұрын
Wewe kipara utakuwashahidi namba moja kama kweli Simba aling'owa Simba.
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 сағат бұрын
,😂.. Ngedere kasorobo kwani viti vilijirusha vyenyewe kutoka jukwaani
@directormadosa950
@directormadosa950 Сағат бұрын
Mimi ni yanga ila jana
@biggievandar254
@biggievandar254 Сағат бұрын
Saxfien walipe kivpy fala wewe
@HildaJoseph-m3y
@HildaJoseph-m3y 2 сағат бұрын
Sema jemedari mda mwingine unazingua Yani unawakandamiza simbaa, wewe ulikuepo??? Ulishuhudia kwa ukaribu?? au unaongelea ushabiki? Kitu usichokua na uhakika nacho usikisemee unajivunjia heshima Yako mzee
@Mbagosalumu-c9k
@Mbagosalumu-c9k 2 сағат бұрын
Simba hela ipo italipwa ila watu wakianzisha fujo tutawakanda hata kwa kamera za azam ikiwa viti vitakua vigumu haiwezekan upgwe nyumbani
@EriyaRichard
@EriyaRichard 3 сағат бұрын
Uyo kipara ana point lakini mpuuzi unapo ikandia Simba wewe uwanja unao kuku wewe 😢
@NurdinRamadhan-u7k
@NurdinRamadhan-u7k 2 сағат бұрын
Jemedari unauhakika gani kwamba washabiki wa Simba ndio waling'oa viri?
@TriciaSambo
@TriciaSambo 2 сағат бұрын
huyo jief na kofia yake hata haelewi anachoongea😂😂😂😂😂
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 51 минут бұрын
Huyo hana analojua...hapo crown imepata hasara kumuajili
@mathayoMathias-k2d
@mathayoMathias-k2d Сағат бұрын
Kwa ushauli wako ulitaka tufanyiwe vurugu tukae kimy tuu watupige kwetu au unamana gani
@oskamsafiri2814
@oskamsafiri2814 10 минут бұрын
Simba wanakosea sans
@AjidaYahya
@AjidaYahya Сағат бұрын
Kiukwer mnaongea upuzi mtup kumbe crown haifai maana inawachambuzi wajinga wasiyojua kuangalia kwajicho la 3
@CarmeryKivunjabei
@CarmeryKivunjabei 2 сағат бұрын
Jemedali wewe msege kumbe
@LinusKyando
@LinusKyando 2 сағат бұрын
Simba wafungiwe kutumia uwanja wa TAIFA KWA MWAKA MMOJA NA WAPEWE UWANJA WA UHURU
@NeymaTarimo-uk1zw
@NeymaTarimo-uk1zw 2 сағат бұрын
Mmesahau kwamba mlivunja viti na ageti lakini hakuna adhabu yoyote iliyotolewa
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS Сағат бұрын
Uttooolo wanaongoza kundi lao😂
@drallan6879
@drallan6879 23 минут бұрын
we support you jemedary
Новости дня | 16 декабря - утренний выпуск
4:42
Euronews по-русски
Рет қаралды 15 М.
#TBC: KUNA WACHEZAJI HAWASTAHILI KUWEPO SIMBA SC
3:38
TBConline
Рет қаралды 948
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 25 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 58 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 33 МЛН
Every secret CIA prison, mapped
22:15
Johnny Harris
Рет қаралды 1,2 МЛН
Après la chute d'Assad : quel Moyen-Orient ? | Une leçon de géopolitique | ARTE
15:06
Le Dessous des Cartes - ARTE
Рет қаралды 124 М.
#EXCLUSIVE: DIAMOND AFUNGUKA UKWELI WOTE RAYVANNY KUONDOKA WCB...
9:18
شهادات مفزعة.. معتقل سابق بسجن صيدنايا يروي ما عاناه من تعذيب
24:30
Al Jazeera Mubasher قناة الجزيرة مباشر
Рет қаралды 401 М.
Ceramah Penuh - Perjuangan Umat Islam Membebaskan Syria | Ustaz Wadi Annuar
50:30
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 25 МЛН