JEMEDARI AMWASHIA MOTO HANS RAFAEL/ YANGA WANASHIDA YA KUFUNGA SIO CHOCHOTE

  Рет қаралды 13,022

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 73
@MichaelKened
@MichaelKened 2 күн бұрын
hans raphael yupo sawa kinachotokea hapo ni kwamba kila mtu anahitaji ufalme ni mwandishi mzuri angekuwa sio mwandishi mzuri asingeweza kufanya kazi na kina ambangile,edo kumwembe ile ni next level
@naseebliumber8576
@naseebliumber8576 2 күн бұрын
Ubarikiweeeeeeeee
@OmaryKiduka
@OmaryKiduka Күн бұрын
Sasa hivo ndo kinampa Hans kibur ww muangalie Hans jins anavyoongea na wenzie anakbr flani hivi
@FadhiliHamza-mz1wu
@FadhiliHamza-mz1wu Күн бұрын
​@@OmaryKiduka daaaaah! Mwanangu ww kumbe unaona kama mm ninachokiona👏👏
@FravianRenatus
@FravianRenatus Күн бұрын
Jemedari Kuna mna naona approve kabisa he is mature enough in football analysis na sio umri tu 🙌
@saxannjo6173
@saxannjo6173 2 күн бұрын
UBISHI WENU UNALETA CHACHU YA KIPINDI.... VERY GOOD
@creativemind7425
@creativemind7425 2 күн бұрын
Jemedari ukimtoa kwenye ushabiki wa soka ni one of the best football pundit
@allysunday8614
@allysunday8614 2 күн бұрын
Jemedari kacheza mpira...kasomea ukocha na kaongoza mpira....ana uzoefu wa kutosha sana ktk mpira....Hans uwe na utulivu ili ujifunze ......baadae utakuwa bora zaidi
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 күн бұрын
Sio justification ya kuongea usawa . Biasnes ipo ndio maana utaona mara nyingi anaongea kwa ushabiki,mapenzi au chuki dhidi ya viongozi au timu fulani
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Күн бұрын
Ila kipara kinasababisha yana evaporate 😂😂😂😂😂😂
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 Күн бұрын
Halafu anakuwa mjinga!! Kucheza au kuwa kocha sio uzoefu wa uchambuzi au kujua tathmini. Kimsingi hajajibu swali la Hans kabaki kutoa maelezo yasiyo na mashiko
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi Күн бұрын
Kama Ally Kamwe anavyoujua mpira ila Ahmed Ally aaah
@stanpeter1076
@stanpeter1076 Күн бұрын
Jemedari hana akili na hajui mpira kama hans. Hans is vry fantastic
@kabazitv4293
@kabazitv4293 2 күн бұрын
Hans hamna kitu anajua kwenye Mpira ni mpiga kelele tu jemadal naongea kicoach zaid cz amesomea Hans yeye anaongea hisia na unazi ila sio kiufundi na Mpira sio hisia
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi Күн бұрын
Kweli asee hata Mimi huwa nasema Ally anaujua mpira ila Ahmed Ally ni mhamasishaji tu
@LifeAndre
@LifeAndre 2 күн бұрын
Hans mwamba the king
@timothyberege2594
@timothyberege2594 2 күн бұрын
Hans asibishane na Jemedari mwenzake kacheza mpira yeye anauchambua mdomoni
@doctormkulima9474
@doctormkulima9474 2 күн бұрын
Hans unatumia madaftar zaidi kuliko field experience
@doctormkulima9474
@doctormkulima9474 2 күн бұрын
Kinachotokea nyiny wachambuzi mnafundishana mpira hapo kweny kipind sio kuchambua mpira
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 2 күн бұрын
Huyu hans anajifanya MJUAJI sana wakati ni UBISHI wa KIHAYA
@FravianRenatus
@FravianRenatus Күн бұрын
Hans acha kujifanya unajua Kila kitu kaka unajishushia heshima mnasikilizwa na watu wengi na wengine na wachambuzi kama nyinyi
@FadhiliHamza-mz1wu
@FadhiliHamza-mz1wu Күн бұрын
Hans mala nyingi anakuwa mbishi sanaaa uku akiforce yy ndokuwa Yuko sahihi
@WashikiMarwa
@WashikiMarwa 2 күн бұрын
Ila mm napenda hawa jamaa wakiwa wanabishana wanifanya nielewe zaidii
@xavioutfit3611
@xavioutfit3611 Күн бұрын
Hans bado mchanga sana kwenye football
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 2 күн бұрын
HENCE RAFAEL bado Ana utoto utoto, Hakubali freedom of OPINIONS, yuko EMOTIONAL na hana utulivu katika MIJADALA. na COMPITENCY yake iko chini, Sijui kwann anaitwa MCHAMBUZI,
@mrzahoro
@mrzahoro 2 күн бұрын
Nimemfatilia sana hans nilichokuja kugundua kwake anarahisisha sana Mpira co mchambuzi wa uhalisia wa Mpira ilivyo
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 2 күн бұрын
@@mrzahoro hajawahi kucheza mpira, mchambuzi mzuri ni yule aliyepitia harakati za mpira. Yeye anajua THEORY ya mpira, field hajakanyaga. Anaboa saana kumsikiliza
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 күн бұрын
Unamchambua mchambuzi sio???
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 2 күн бұрын
​@@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 🤣🤣🤣
@samgaya
@samgaya 2 күн бұрын
Ushauri tu hapo katikati ya hans na jemedari angeekaa mtu mmoja kuwatenganisha ipo siku watakuja pigana vibao hawa
@hemedinabinga3604
@hemedinabinga3604 Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂dah
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani Күн бұрын
Hans anadhani hapo ni wasafi unalooo
@michaelluziga2709
@michaelluziga2709 2 күн бұрын
Siku zote ukiambiwa mapungufu yako ni bora utayafanyia kazi ili kuboresha. Lakini ukisifiwa, jihadhari sana kuna kitu hakiko sawa. Hivyo yanga wasijisikie vibaya kuambiwa ukweli.ubora wa timu ya Yanga aufanani na goli moja dhidi ya timu ndogo za ligi.
@barnabasmalima4823
@barnabasmalima4823 2 күн бұрын
ni kiswahili lakini mara nyingi watu wengi tunaamini cross ni mpira uko juu na si wa kutambaa ndivyo mimi nina elewa
@mrmrsjogo8559
@mrmrsjogo8559 Күн бұрын
Sivyo ilivyo
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 Күн бұрын
Ni mpira unaotoka pembeni mwa uwanja kupelekwa kati kati ya box la mpinzani..uwe juu au chini ni cross
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 2 күн бұрын
Hans umefanya research lini? Acha kutudanganya bana
@otmarykiowi4132
@otmarykiowi4132 2 күн бұрын
Kwa hiyo Hans anataka akisema yeye basi akubaliwe?
@FadhiliHamza-mz1wu
@FadhiliHamza-mz1wu Күн бұрын
Ndoanacho nichoshaga xx kazoea kule wasafi watu huwa hawabishani Yani akiongea mmoja basi kila mtu ndiyoooooooooo atakama anadanganya
@josephmandala2225
@josephmandala2225 2 күн бұрын
Jemedari dogo ameuliza ni lini ? yanga kwenye open play wakafunga goli la kichwa ? Halafu mnaposema Yanga wanafunga magoli machache kwa kufananisha na lini na kwa michezo mingapi msimu uliopita una michezo 30 kwenye msimu na Yanga msimu uliopita walishinda kwa margin ya goli moja michezo 14 sawa na 47%. Yanga wamecheza michezo mitatu tu ni chini ya michezo 14.
@ahmedimakope
@ahmedimakope 2 күн бұрын
Acha ukuma krosi sio LAZIMA izae goli la kichwa
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 күн бұрын
​@@ahmedimakopemakolo mna moto
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 Күн бұрын
​@@ahmedimakopeJina la makope linasadifu ulichoandika
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Күн бұрын
Mmewaleta hao jamaa wa EFM KUHARIBU HII REDIO😂😂😂😂
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 Күн бұрын
Leo wametoka kwenye goli moja sawaivi cross😂😂😂😂😂
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 күн бұрын
Hans shikilia hapo hapo huyo mzee zumaridi /namba A alizoea kupelekesha wale makolo wenzake kule iefwemu. Hans endelea kufundisha mpira
@mchallamchalla5557
@mchallamchalla5557 Күн бұрын
Nyinyi hamna jemedar wala Nan nyinyi muwache ubaguzi Hy redio ynu tutakuwa hatuisikilizi kwa ubaguzi wenu😊
@pinomjata678
@pinomjata678 2 күн бұрын
Uchambuzi sio kukariri na unapochambua ukiwa challenged haihitaji kuwa na hasira kinachohitajika ni kutetea ulichokieleza. Lakini kama ukiwa umekariri matokeo haya ndio haya mtu anapata moto 😂
@advocatepetermbogoro1192
@advocatepetermbogoro1192 2 күн бұрын
Binti kazumari alizoea kuwapelekesha wenzie EFM, lila kitu wanamkubalia... naungana na alichosema kazumuli, hahahaaa sasa hv ikikutana na mjuaji kabisa Hans Rafael. Huyu mzee anapata tabu jmn 😂😂
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 күн бұрын
😂😂...Sasa ujuaji wa Hans ni wa kijinga...nawe pia acha ujuaji Jemedari kacheza mpira kwa mafanikio sana...pia kaongoza mpira...na pia anasoma ualimu wa mpira...Sasa huyo kijana Hans anakudanganya wewe usiyejielewa eti cut back Jemedari akamjibu hiyo cut back zamani ilikuwa inaitwa forty five 😂😂.. sasa kwa wewe usiyejielewa unamuona Dogi Hans anajuuuua kumbe ubishi wa kijinga tu 😂😂😂
@otmarykiowi4132
@otmarykiowi4132 2 күн бұрын
Huyu Konkon kwanza alicheza mechi ngapi?😅😅😅
@JoshuaJezile
@JoshuaJezile 2 күн бұрын
Hao wote wachambuzi wa uongo
@prosperswai490
@prosperswai490 2 күн бұрын
Hans unajichanganya mwnyw ujui unachokitetea alafu unaendeshwa na ushabiki
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Күн бұрын
Da jemedal apo nmkubal Ila naomba Ongele kona mana yang tunapta kona nyingi lkni hatufungi
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 2 күн бұрын
Konkoni alicheza match ngapi?
@IbunDaudi
@IbunDaudi 2 күн бұрын
Broo hansi unachangamoto hapo shda ni uko nawatu wanaochambua matukio na sio mpira Koo huwez kuinjoi mpra Broo Bora ilipokua wasafi
@ahmedimakope
@ahmedimakope 2 күн бұрын
Yanga amefunga goli la kichwa game ya kirafiki dhidi ya Augsburg afrika kusini
@JossephMsumeno
@JossephMsumeno 2 күн бұрын
Jemedari umezidisha ujuaji Kaka lkn huyo dogo Hans mbona Yuko sahihi sema umri tuuu
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 2 күн бұрын
Hans hajui anachokiongea Ana idea Ila haelewi
@markkayuni9775
@markkayuni9775 2 күн бұрын
jemedari kabobea👑
@ShamisBinassaa
@ShamisBinassaa Күн бұрын
Hans wewe unajua boli
@ChandeJunior
@ChandeJunior 2 күн бұрын
Wewe hansi huna lolote
@kefangendwa3336
@kefangendwa3336 2 күн бұрын
Jemedari uk saw🎉🎉
@kingpower8848
@kingpower8848 2 күн бұрын
Jemedar anatakwa aondoke amna k2 anajua
@KherDogo
@KherDogo 2 күн бұрын
Kile anacho ongea ANSI nisawa ilajeme darihilo nilaku Pinga Pinga Kila kitu akuna grosi ya chini
@ahmedimakope
@ahmedimakope 2 күн бұрын
Peleka mkundu Kwa kiba aamue
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 2 күн бұрын
Kaka wwwe ndio huelewi
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 2 күн бұрын
Hakuna mchambuzi yeyote anayomzidi jemedali hapo
@selemanimusa7649
@selemanimusa7649 2 күн бұрын
Hans akatafute kazi uto
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 күн бұрын
Jemedar akatafute kazi kwa makolo
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 күн бұрын
Jemedar akatafute kazi kwa ukoloizdad fc
@kingpower8848
@kingpower8848 2 күн бұрын
Jemedar jau hajui k2 anajua kubisha
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,3 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 28 МЛН
MILLARD AYO NA STEVE NYERERE MSIBANI KWA DIDAH
6:02
Crown Media
Рет қаралды 812
MPOKI KAZINI SIKU YA KWANZA ANAOMBA LIKIZO
8:03
CHEKESHA TV
Рет қаралды 25 М.
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,3 МЛН