Huyu jamaa mimi namfahamu tokea anasoma sekondari.. Kwanza alikuwa jirani yangu Mtwara, jamaa mpira alikuwa anaujua shida kipindi chake kilikuwa na mastaa wengi.. Jiulize jambo moja, anaitwa timu ya taifa ya Tanzania lakini timu hiyohiyo ina watu kama lunyamila,masha,saidi mwamba,mteze john n.k Waulizeni wakina julio au matola wanamjua Tatizo lake tokea udogo wake ambalo wengi linawasumbua ni Kwanza ana misimamo ya kimakonde iliyochanganyika na ubishi ambao umechanganyika na ufahamu wake wa vitu vingi vya mpira,elimu aliyonayo Sasa watu wengi huwa wanapenda kubishana bila kufanya utafiti matokeo yake wakimsikia wanamuona mjuaji
@allyrembo67144 ай бұрын
Huyu ni mchambuzi matako hao wamaomuunga mkono ni genge la wahuni wanao shindwa kulisha familia zao sasa wanataka Mo aondoke ili watawale wao
@abbasisudi68994 ай бұрын
Jemedar ndo mchambuz bora kuliko wote nchi ,toa hoja hana upande km wengine badala ya mpira wanaongelea mapenz ya tim zao
@LinusKyando4 ай бұрын
HUYU NI MCHAMBUZI KENGE KULIKO WOTE,FIKIRIA UBORA WA KUONGOZA YANGA WA KINA HERS NA WENZIE ALIWAITA WAHUNI
@kedmonmpangala22944 ай бұрын
Hili chambuzi jinga tu
@FahadAbubakari4 ай бұрын
Huyu mjamaa mkweli na anamsimamo shida sasa kwakua washabiki wengi wa mpira ni wameingia kushangilia mpira ghafla ndo Hua hawamuelewi akiwasema yanga mishabiki inasema huyu mamluki haya Leo anawachana simba Kuna mijitu nayo italaumu shida tz watu kuambiwa ukweli Hua hawataki kuanzia kwenye mipira hadi siasa.
@ursulinenyandindi30514 ай бұрын
Amna anaisemaga sana yanga peke yake na sio kosa. Content ya soka bongo ni lazma ulalie upande mmoja ili watu wakasirike waje kwenye coments upate kijiji chako. Hiyo ni mbinu ya wengi, ukibalance unaonekana huna jipya. Ukishaelewa hawa jamaa wala hutaabiki.
@yussufritzy76844 ай бұрын
Huyu hajawahi kuongea ukweli,,, ni chuki tu imemjaa.. Na leo unavoona ivi anaiponda simba.. Ni kwa sababu hana cha kuisifia,,, ameanguka chali
@MeksonyJoseph4 ай бұрын
Alisema yanga ita chezea kichaapo kwa mamelodi ..tena kwa uhakika
@FahadAbubakari4 ай бұрын
@@ursulinenyandindi3051 ndo mana tujuane mpira mean mmeanza fatilia Jana au juzi manara akiwa msemaji wa simba akiwahi Sema huyo anaisakama sana simba na washabiki wasimba wamchukulie huyo ni adui wa simba, na akawaaminisha watu kuwa huyo ni yanga na anachuki na simba .sasa hiyo sjui ikoje kinachomponza huyo ni kuwa huru komkosoa yoyote kitu ambacho kwetu Hua hatukubali.
@FahadAbubakari4 ай бұрын
@@MeksonyJoseph yanga ilimfunga mamelodi sasa
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm4 ай бұрын
Sio kizazi hichi cha karibuni ni kizazi chote tangu mpira uundwe Tanzania
@LinusKyando4 ай бұрын
JEMEDARI SAIDI NI SIMBA BAADALA YA KUSAIDIA SIMBA IFANYE VIZURI KWA KUIKOSOA NAMNA HII UNATUMIA MUDA MWINGI KUIPONDA YANGA YENYE MAFANIKIO HUKO NI KUFERI SANA,NA KINACHOENDELEA SIMBA NI SABABU YAKO PIA
@mubaraalichiku60894 ай бұрын
Mchambuaji mchongo pumbavu nilishasema huyo Jem ni msenge 😂😂
@warrenkilimber40134 ай бұрын
Kabisa jitu la hovyo sana hili
@collinndabi19144 ай бұрын
Muongo sana uyu jamaa we kila kitu umefanya duuh
@godfrey39264 ай бұрын
Watu kama wewe unayejiita Jemadari ulikuwa wapi miaka yoooote mpaka sasa ndio unajali..Mo Dewji na familia wana moyo wa kweli Simba na wametumia pesa ambazo hatuwezi kama kuanza kuzihesabu..Wewe hapo una uwezo gani wa kuwalipa wachezaji.Simba kama timu tunahitaji wawekezaji kama Dewji na watu kama wewe Jemadari mnatafuta kiki za nini.Walioharibu timu ni hawa viongozi waliomfukuza Barbara ili waendelee kuiba pesa za usajili.Hawa ndio unatakiwa kuwaongelea, sio Dewji..Wajinga sana nyie