Mm sijinasibishi na ccm ata iwe vip mtu yupo tayari kuuwa watu kisa madaraka dunia tu hiiii
@TahirAli-i9o3 күн бұрын
Maalim jussa allah akuhifadh na wauwaji
@نوفل-س5ر3 күн бұрын
CCM iondoke Tena iondoke ,hatuitaki hata kuisikia hapa Zanzibar
@ibrahimsabri94373 күн бұрын
Sana lakinihawaamini
@TahirAli-i9o3 күн бұрын
Maalim jussa wasomeshe babaaa
@SalumNassor-dd1cb3 күн бұрын
Inshallah
@JumaDoce3 күн бұрын
Katika chama dhaifu kisichojiami katika ushindani wa siasa hapa tz ni CCM ama ubabe wizi dhulma na nguvu za kutumia vyombo vya dola kwa kuuwa watu wasio na hatia Kwa kisingizio cha kulinda amani
@AbdulMajidi-i9m2 күн бұрын
Jussa mtu sijaona kiongezi yyte wa ccm Tanzania anekuweza upo juu
@RamadhaniMussa-xs5uk3 күн бұрын
Mpk ikulu
@KudraWanguvu-em1xw2 күн бұрын
hawa ndio hawajielewi
@zarihaSalum3 күн бұрын
🎉🎉🎉
@khalidbelhasa21373 күн бұрын
UONGO WENU NDIO UNAO TUFELISHA ,MJNASEMA UONGO BASIPO SABABU
@ashahamad-mq3iz3 күн бұрын
Wewe wacha ujinga nani wamewapata ridhaa kuongoza nchi labda Kwa ubabe udhuluma ufisadi muongo na wizi wa kura hata kiziwi najuwa hilo kwamba CCM haishindi inapewa kuonggoza na Tume ya uchaguzi na Vyombo vya Dola
@IddiKhamis-u6c3 күн бұрын
😄 😄
@JumaDoce3 күн бұрын
Jamani vipi mbona mke wa mzee machano mbona hatumuoni kujumuika na wazee wezake au ndio walihama ACT na kurudi CUF
@MohdIkra-d7s3 күн бұрын
@@JumaDoce ndiiio tena ndo utakua ujasiri au kukata tamaa
@MohdIkra-d7s3 күн бұрын
@@JumaDoce lile konganano liilikua la mwanamke jasiri yeye alirud nyuma akaifuata ccm B
@MohdIkra-d7s3 күн бұрын
@@JumaDoce Qur'aani imeelezea watu waliorudi nyuma na kukengeuka nini kiliwakuta kasome kisa cha nabii nuhu kumhusu mkewe na mwanawe
@MohdIkra-d7s3 күн бұрын
@@JumaDoce tumeshapanda basi na mwendo ni wa mteremko ki tuo chetu cha kwanza ni, MAMLAKA KAMILI
@bongo393 күн бұрын
Wewe huna la kusema kiboko yako alikuwa magu tandika mbio souzi
@Sheba46513 күн бұрын
Yupo Jehanam muda huu, yupo kwenye adhabu ya moto milele
@HumudNassor-pg6lq3 күн бұрын
Yeye kapata wanaume wenzake wamempeleka jahannam mbwa ww
@kassim12623 күн бұрын
Saiv yuko wp huyo hodari wako aliua akapiga saiv yuko wp 😅😅😅dunia ilimshinda firauni aliejiita mungu ataiweza magu nawadhulumuji wengine
@radaonlinetv19223 күн бұрын
Huwezi kuchukia CCM katika Nchi hii... Maana ndio Chama kilichopewa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania.
@MohdIkra-d7s3 күн бұрын
Nenda ukaamuulize BW ALI KARUME jee itaondooka ccm am laa
@ommymehmed88803 күн бұрын
Ridhaa ya nanii??
@OmarMbarouk-n4s3 күн бұрын
Ridhaa ya jeshi😂😂
@MohamedAbdalla-tq8qo3 күн бұрын
Rabda ridhaa na jeshi la police lkn sio wananchi
@kassim12623 күн бұрын
Ali karume alisema wzi wzi ccm haijawahi kushinda znzbr kikwete aliwmbia ccm waache kutegemea dola nape alisema wzi wtashinda japo kwakuiba hlfu wtatubia tu ss hao niviongozi wcc co ww bendera mfata upepo hujuilikani ata tawini😂😂😂😂
@HanifaUrassa3 күн бұрын
Hakuna zaidi ya CCM unajidanganya
@MohdIkra-d7s3 күн бұрын
@@HanifaUrassa nayanga wenzenu walifikia hatua wakataraddadi wakapatilizwa kwa kauli yao "mungu atulete malaika tuchezenao"
@kassim12623 күн бұрын
Na ccm wao najua bila dola hkuna madaraka ccm lkn co ww mfata upepo unaeletewa flana na keram pamoja na tv maskani
@sospeterodhiambo68692 сағат бұрын
Kumbe tuko wengi humu Bado hatujielewi Hadi ikukute ndo utaijua CCM inawekwa na Dola na Kikeete aliwahi kuwaambia wasitegemee Dola