daa ila kaka nimechoka unaubunifu adi basi kila nikijalibu kujifunza unaongeza kingine tena ,tena ni bora zaidi ya jana UBAARIKIWE KAKA amana namna ya kushukuru zaidi ya apo
@nk-computertraining Жыл бұрын
Asante sana ndugu na endelea kuimarika Mr. Teddy.
@wilbertmlyuka57239 күн бұрын
Huwa napenda sana sauti yako na mbinu ambazo huwa unatumia kufundishia
@digital-d2t Жыл бұрын
Mungu akubariki Mwalimu wetu
@nk-computertraining Жыл бұрын
Aamiin. Asante ndugu.
@wilbertmlyuka5723Ай бұрын
Upo vizuri sana. Je, kuna uwezekano wa kuongeza muda?
@muhsinmuhsein4484 Жыл бұрын
Bado nipo Mwalimu wangu tunakwenda vizuri sana, unazidi kunimarisha
@nk-computertraining Жыл бұрын
Sawa Mr. Muhsin tupo pamoja.
@wilbertmlyuka5723Ай бұрын
Fundisha jinsi ya kuongeza dakika au jinsi ya kulipia