JIFUNZE KUHUSU BIASHARA YA CHAPATI

  Рет қаралды 14,832

TBConline

TBConline

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@selungwieryka449
@selungwieryka449 5 жыл бұрын
Dah imenigusaa.wakaka badala ya isharobalo na kupenda slope. Kaka wa watu anapambana jikkn kuingiz lizki .dah safi sana nimemkubali
@nyanzalakaporo2504
@nyanzalakaporo2504 5 жыл бұрын
Mungu abariki sana Kazi za Mikono yako , na utimize Malengo yako Kaka Yasni.
@emmy85sweetie99
@emmy85sweetie99 3 жыл бұрын
Maashalah maashalah Allah jalia wote wenye kutafuta lizik za.halali wafanikiwe inshaalah
@sarahmse9357
@sarahmse9357 5 жыл бұрын
Nmependa sana ,Mungu aniwezeshe nifanye kwa kiwango kizur
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, laini Rangi Nzuri,Hongera Kaka.
@speciozakaloli
@speciozakaloli 7 ай бұрын
Hongera sana kijana
@fellygal5414
@fellygal5414 4 жыл бұрын
Bomba sana
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 жыл бұрын
😋😋😋 zinaonyesha tamuu asee hongera kaka
@eneamahengeonlinetv9185
@eneamahengeonlinetv9185 5 жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI SANA KWA ELIMU HIII NZURI
@badrahibrahim6867
@badrahibrahim6867 Жыл бұрын
Habari naomba kuuliza swami kaka
@fellygal5414
@fellygal5414 4 жыл бұрын
I like it sana
@gracebenjamin6564
@gracebenjamin6564 11 ай бұрын
Ubarikiwe kaka! Na unga kilo 5 na sukari kiasi gani
@yusramkamiamaji7565
@yusramkamiamaji7565 Жыл бұрын
Unga kiasi gani?huo
@speciozakaloli
@speciozakaloli 7 ай бұрын
Mjanja wakulipe usiwaonyeshe siri zako za biashara
@ummyyusuph9379
@ummyyusuph9379 5 жыл бұрын
YUPO TABATA IPO YASIN
@aminamkumba3549
@aminamkumba3549 3 жыл бұрын
Kilo ngap izo
@annahdemasi1677
@annahdemasi1677 4 жыл бұрын
Hot warm or cold water
@speciozakaloli
@speciozakaloli 7 ай бұрын
Aaa usimchukulie biashara yake
@kpetres2872
@kpetres2872 4 жыл бұрын
Wabongo kwa kunusa nusa kudadeki😂😂😂😂
@khadijampogole4630
@khadijampogole4630 2 жыл бұрын
Naweza kupata mawasiliano yake
@ReveniceLengaram-m2n
@ReveniceLengaram-m2n 2 ай бұрын
Kilo Tatu chapati ngapu
@badrahibrahim6867
@badrahibrahim6867 Жыл бұрын
Chapati angu zinakua ngumu Sana kwanini
@kidotitv5527
@kidotitv5527 4 жыл бұрын
Wanaume tafuten pesa
@magdalenashayo1256
@magdalenashayo1256 4 жыл бұрын
Naomba kuelimishwa kidogo, samli ni blue band?
@fatmamohamed3911
@fatmamohamed3911 4 жыл бұрын
Samli ni mafuta
@zujjhmrombo7861
@zujjhmrombo7861 4 жыл бұрын
Blueband ni siagi sio samli
@josephbashikama7687
@josephbashikama7687 4 жыл бұрын
Niaj kijana mwezangu Mimi naitwa Jose nataka kujuwa ishu ya mgahawa inaripa nipe ripoti buroo 0743694140 nipe ramani kaka angu pamoja
@sophjaphet7286
@sophjaphet7286 4 жыл бұрын
Kaka unatumia maji ya moto au balidi
@eastcuisines124
@eastcuisines124 4 жыл бұрын
hadi mate yananitoka
@reginatsaxara4600
@reginatsaxara4600 4 жыл бұрын
Naomba no zake
@fellygal5414
@fellygal5414 4 жыл бұрын
Usipoweka sukari je
@dazuujuma1211
@dazuujuma1211 3 жыл бұрын
Sukari inanogesha mpnz
@selungwieryka449
@selungwieryka449 5 жыл бұрын
Hii tabata wap jamani kwa mnaojua tukamuungishe kaka yetu
@stormyleysly9823
@stormyleysly9823 5 жыл бұрын
Tabata ya kinyerezi unashuka pale kwetu pazuri
@kpetres2872
@kpetres2872 4 жыл бұрын
Huyu yasin Bado yupo hapo kinyerezi???
@kpetres2872
@kpetres2872 4 жыл бұрын
@@stormyleysly9823 ndugu yangu nielekeze fresh
@agnessnyakali6048
@agnessnyakali6048 2 ай бұрын
Ingependeza kuweka namba zake za simu
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
WEKEZA KWENYE BIASHARA YA CHAKULA UPATE FAIDA/ WANYASA ANAKURAISISHIA KUFANYA KAZI HIYO
9:30
BIASHARA YA CHAPATI LAINI SANAA KILO 2(2KG) #chapati
8:02
Hadija Sheban
Рет қаралды 586 М.
MONEY MATTERS: Undani wa biashara ya chakula
14:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 10 М.
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН