#TBC:TANZANIA KIJANI- TFS NA JAMII
24:16
Пікірлер
@bakaribakari8972
@bakaribakari8972 13 сағат бұрын
Kwa hiyo mmeona mkiweka mawasiliano Yao tutafaidi au matangazaji mengine bana wekeni namba tuwatafute
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 11 сағат бұрын
Namba nimeona juu zinapita
@danielisack1356
@danielisack1356 14 сағат бұрын
Vipi kuhusu joto kwenye hizo Kontena
@ngwinamilakasongi3359
@ngwinamilakasongi3359 14 сағат бұрын
Naomba mawasiliano
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 11 сағат бұрын
Namba zinapit juu
@ngwinamilakasongi3359
@ngwinamilakasongi3359 14 сағат бұрын
Safi sana.
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 15 сағат бұрын
Mwanza ni jiji kubwa ukanda wa ziwa. Pia na barabara ya kuingia na kutoka airport ni ndogo, angalau ingekuwa double lane. Kama vile hatuna planners. Miaka si mingi mtatuambia mnataka kuanza kujenga jengo jingine
@zahraharby-uc9tk
@zahraharby-uc9tk Күн бұрын
Ma sha Allah Rais Wetu Mpendwa Mungu Akubariki Sana Kwa Kazi nzuri unayoifanya kwenye Hili Taifa, Hakika Elimu inahitajika sana juu ya Umuhimu wa Nishati Safi
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Күн бұрын
jmni mama yetu mzuri Samia wake Suluhu, wapendeza mno ukiwa jikoni..tuko njian mama usituamlizie 😄
@KhalifaMponda
@KhalifaMponda Күн бұрын
Prof wangu nakukubali sana kiongoz...wewe ni hazina ktk nchi yetu
@mathiaschoma9527
@mathiaschoma9527 Күн бұрын
Hizo 28bn kwa jengo tu au vipi, naona vyuma na vioo
@FestoMbawala-t6e
@FestoMbawala-t6e Күн бұрын
Kutoka seed farm songea mjini naitakia ushindi wa goli 1 Kwa bila team ya mashujaa
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Күн бұрын
Ugali wa Dona na Samaki wa Nazi.
@GodbblessMasebo
@GodbblessMasebo Күн бұрын
Piteni makumbusho sted Kuna dabo lipo machoni mwa watu nikelo kwa wanaichi
@GodbblessMasebo
@GodbblessMasebo Күн бұрын
Piteni makumbusho sted Kuna dabo lipo machoni mwa watu nikelo kwa wanaichi
@GodbblessMasebo
@GodbblessMasebo Күн бұрын
Piteni makumbusho sted Kuna dabo lipo machoni mwa watu nikelo kwa wanaichi
@JosephJoines-q7f
@JosephJoines-q7f Күн бұрын
Hegmann Bridge
@Tanzaniayangu1
@Tanzaniayangu1 2 күн бұрын
Nachoweza ni kunyamaza tu😂
@jacksonerasto3696
@jacksonerasto3696 2 күн бұрын
Miaka ya 2005 kurudi nyuma kiwanja hicho kilikuwa kikipokea ndege kubwa za mizigo ambazo zilichochea maendeleo na kukuza uchumi wa jiji la mwanza na taifa kwa ujumla pia fursa za ajira zilikuwepo kutokana na ubize wa uwanja huo likina kwa sasa hakuna hata ndege za kubeba samaki hazitui hapo badala yake ndege hizo zimehamia Nairobi ni jambo la kusikitisha sana kuona samaki zinavuliwa na kusindikwa katika viwanda vya Tanzania na kupelekwa Kenya kwa ajili ya usafirishaji kiasi ambacho ni fetheha na maumivu kwa watanzania kana kwamba wizara husika hazioni kwamba hili ni tatizo na linazorotesha uchumi wa taifa letu.
@shedrackzuberi8942
@shedrackzuberi8942 2 күн бұрын
piga hao
@hurumasika6729
@hurumasika6729 2 күн бұрын
R. I . P JPM
@allykhalfankingwana5272
@allykhalfankingwana5272 2 күн бұрын
Watanzania sisi wajuaji kinoma. Watu wanakosoa mwanzo mwisho, kisingi jengwa kwelele kimejengwa kelele😂😂😂
@MubarakaCloud
@MubarakaCloud Күн бұрын
Hao ndo watanzania kama unakumbuka ujenzi wa terminal 3 ya Dar waliiponda sana mara Banda la kuku angalia sasa hvi kila mtu akija anasifia yaani watanzania Sisi sijui tulirogwa na nani kila kitu ni kuponda
@section8ight174
@section8ight174 Күн бұрын
@@MubarakaCloudThere’s nothing wrong with wanting bigger & better but also unique!
@EsheRama
@EsheRama 2 күн бұрын
Dah napataje namba ya huyu afisa
@JumannejumaMabwindi
@JumannejumaMabwindi 2 күн бұрын
Kwenye hili mzee nakuunga mkono shida ya Tanzania yaan wabunge mnajitahid kuongea mambo Mazur lakn CCM Ila mambo Yao ya kimkakati na Malengo ya toka nyerere yaan wanafuata maelekezo ya watu wa kale
@charleschavala434
@charleschavala434 3 күн бұрын
Safi sana hiyoo
@stephenletta8985
@stephenletta8985 3 күн бұрын
Wazee wanaozeeka vibaya.
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 3 күн бұрын
Wasira ukweli tunakushangaa Imani yako iwapo ni kweli, wewe ni Msabato, dhehebu kubwa la Mungu, aliyehai. Wewe mwongo, umnafiki mno wewe ni lichawa la hali ya juu. Muda umefika mjomba Rudi nyumbani n'gatukaaa!
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 3 күн бұрын
Maelezo yako niyakipuuzi Wala sura yako hatuitaki kuiona mtandaoni, inanichafua roho. Hapakuwepo na uvunjifu wa amani huo ni uwongo mweusi kabisa.
@EvanceBrasio
@EvanceBrasio 3 күн бұрын
Wakamatwe hao awafany kazi
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 3 күн бұрын
Hawa wazee wa Marra Mimi huwanawafatilia ni wazee wanaupendo sana na falisafa ya Rais wetu wa kwanza wanakatakata uvinjfu wowote wa vitu vinavyoashiria kuvunja Amani akina Mzee Msuya Malchela,wanakuwa kimya sana wazee wanchi wapo vizuri Tuwasikilize Maoni Yao,nchi itaendeshwa kwa siasa safi na uongozi Bora tuwaskilize natuendelee kiwamini
@DonaldHogan-e5g
@DonaldHogan-e5g 3 күн бұрын
Ottis Hill
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 3 күн бұрын
Ni jambo gumu kueleza hoja za uhaini bila ushaidi wa kulithibisha hayo yaliyosemwa, na taifa tulitegemea hoja kupata ufumbuzi wa matukio ya utekaji na mauaji na jambo hilo halikupashwa kuingizwa katika misingi ya kisiasa na mivutano wa kivyama bila kuzingatia haki ya wasiyo na vyama
@hamisdello2571
@hamisdello2571 3 күн бұрын
Duuuuuu!! Hamna uwanja wa ndege hapo.. Yaani mpka leo kiwanja cha ndege inaudumia et watu 400 kwa siku.. Kwann msiwe kam nchi za nje!! Kwamaan watu wanajenga VIWANJA VYA NDEGE NA VIWANJA VINGINE VIKUBWA SANA KUTOKANA NA UKUWAJI NA ONGEZEKO LA WATU SEHEM TOFAUT.. AY ONA HIV MMEJENGA HIVYO NA MWANZA NI LATIKA MIKO INAYOKUA KWA KASI.. LAU KAM MNGEJENGAA KIWANJA HCHO KIKAWA KIKUBWA KINGEKUWA AFADHAR ZAID KWA MIAKA YA BAADAE
@charlesbarongo2778
@charlesbarongo2778 3 күн бұрын
Hapa ni siasa tu,ukweli unawekwa pembeni.
@ManaseNassary
@ManaseNassary 3 күн бұрын
Wanaosinzia bungeni wanasemaje?
@KalinjunaVedasto
@KalinjunaVedasto 3 күн бұрын
Point
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 3 күн бұрын
Huyu Bwana mkubwa ana silka ya tamaa ya madaraka kwa mlango wa siasa akiamini kuwa anacho kiamini ndio sahihi na anajitahidi asi sahaulike kweli hakosei anapotoa mawazo ila anakose kutaka watu wakubali na lake lisipo kubalika ana kuwa na jazba, huyu mzee ndiye aliyepigwa chini jimboni kwake na Esther Bulaya baada ya kuchokwa lakini hakukubali kirahisi angepumzika tu sasa na mradi wake wa pale msasani.
@NdekejaGibuyi
@NdekejaGibuyi 3 күн бұрын
Hiyo mbengu gani
@KevinMcCulloch-x3e
@KevinMcCulloch-x3e 3 күн бұрын
Bernier Port
@AlanPryor-v1q
@AlanPryor-v1q 3 күн бұрын
Jakubowski Ports
@SelemanAlly-lz4sb
@SelemanAlly-lz4sb 3 күн бұрын
Mzee wasira oyeee safi sana
@worldtechlab
@worldtechlab 4 күн бұрын
Hiko kiwanja Kibaya kama pagale
@amilyimo2823
@amilyimo2823 4 күн бұрын
kama mweshimiwa Raisi alipewa taarifa ya kwamba kuna baadhi ya watu wamekaa vikao, vya uvunjifu wa amani, kwanini hawakukamatwa?
@isayaWaziriisayawazir
@isayaWaziriisayawazir 4 күн бұрын
Mzee umri wako niwakuongea ukweli kama warioba watu wasio nasilaha wanaivunja amani muogope mungu niwakat wako wakutubu
@JohnMdindo
@JohnMdindo 4 күн бұрын
Hawa waandishi ni chawa wakubwa ktk hili.wana maswali ya utata.ila wameshindwa kumuingiza mzee ktk lengo lao tata.Hii Nchi ijianvalie sana na waandishi wa aina hii.
@AnnaMtui-c2h
@AnnaMtui-c2h 4 күн бұрын
Doctor naomba no yako tafadhali.
@MkingaJulius
@MkingaJulius 4 күн бұрын
Huyu ni mzee haelewi chochote kwanza hata hapa nyumbani bunda tulisha sema kwamba Alisha kufa nashasngaa hata kumuona leo
@barnaba3037
@barnaba3037 4 күн бұрын
Hatuwez kuamini hiyo habari ya kusema maandamano hayana amani sababu ya intelegensia wakati walisema intelegensia imeona mkutano wa zoom lkn wameshindwa kuthibitisha lkn pia miaka mingi wasiojulikana wako mpaka leo hiyo intelensia inatuletea maswali yasiyonamajib
@SaidSaid-l8x4d
@SaidSaid-l8x4d 4 күн бұрын
Waandishi wa habari mumeshindwa kuuliza maswali ya msingi
@bensonkaduvage9549
@bensonkaduvage9549 4 күн бұрын
This guy is"Property of that National Museum" or better still should be "Archived" in the Mara Region home of Historical records.
@BarnetLaston
@BarnetLaston 4 күн бұрын
Maandamano yaliyofanyika ni ya polisi ha ha ha ya chadema hayakuwepo.
@WilbertManjonda
@WilbertManjonda 4 күн бұрын
Kuwaheshimu watu waliotuangusha kama hawa ni ujinga na ujuha
@FathiaMzee
@FathiaMzee 4 күн бұрын
Hiyo mbegu nitaipata wapi mm