Рет қаралды 84,870
Naitwa Hassan na nimekuwa nikifundisha kiingereza (English) kwa zaidi ya mwaka,
Hadi sasa nimefundisha watu wengi kiingereza kupitia darasa zangu za mtandaoni kupitia zoom na whatsapp.
kama unapenda kujifunza, tuma ujumbe whatsapp kwa +255686768181.
karibu ujifunze nami kiingereza, unaweza kunifollow pia instagram kama Easy.English.tz, Pia madarasa yetu yapo Dar-es-salaam. karibu sana.