JIFUNZE KUPIKA KASHATA ZA KARANGA: Jinsi ya kutengeneza kashata za njugu/ labania za njugu kirahisi

  Рет қаралды 68,076

Mapishi rahisi

Mapishi rahisi

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@nuruali9608
@nuruali9608 Жыл бұрын
MASHA 'ALLAH...nzuriiiii...
@mimaaabdul1438
@mimaaabdul1438 7 ай бұрын
Mashallah ziko perfect ❤
@habibtysalim2304
@habibtysalim2304 4 жыл бұрын
Mashaallah mara invine ongeza maziwa ya unga nusu' kikombe
@ZuwenaaliTalib
@ZuwenaaliTalib 2 ай бұрын
Nice❤
@swalehalfarsy6121
@swalehalfarsy6121 4 жыл бұрын
ushaolewaa ??? kama bdo me nipo ... maana upo vizuri masha allah
@swabahahmed944
@swabahahmed944 4 жыл бұрын
Shukran mungu akubariki
@aishasaid2294
@aishasaid2294 4 жыл бұрын
Mashllah hbbty nzur sna sna💋💕💕 mmependa km ulivo sema mapishi rahisi rahisi kwely🙏🏻🙏🏻💋💋 sante sana Allah akubarik je naomba na recipe ya balfin
@fatimasaid4855
@fatimasaid4855 3 жыл бұрын
Masha Allah🥰
@arushamix6036
@arushamix6036 4 жыл бұрын
Very nice...nimejifunza.
@lightlight6760
@lightlight6760 5 жыл бұрын
MaShaaAllah...I wish to be like u
@diascookout8270
@diascookout8270 5 жыл бұрын
Napenda saana nita pika In"Sha"ALLAH Shukran
@karakairasa2161
@karakairasa2161 6 ай бұрын
Shukran
@fallymetoo191
@fallymetoo191 4 жыл бұрын
Hongera sana 👌🏼
@salimchipeta
@salimchipeta 11 ай бұрын
Mashallah 🙏
@careenmoshi
@careenmoshi 4 жыл бұрын
😋😋saivi ntaacha kununua kashata za madukani
@HawaMasoud-xw3ii
@HawaMasoud-xw3ii 6 ай бұрын
Gud
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
Jamani na mm nitazijaribu...👌👌👌
@habibtysalim2304
@habibtysalim2304 4 жыл бұрын
Mashaallah
@talibsalala5235
@talibsalala5235 4 жыл бұрын
Mashallah
@wardahseleman3341
@wardahseleman3341 5 жыл бұрын
Looks yummy shukran mamy
@fadumomohamed890
@fadumomohamed890 5 жыл бұрын
Masha Allaah
@nastatu7111
@nastatu7111 4 жыл бұрын
Mashalla
@shemsahumood4262
@shemsahumood4262 5 жыл бұрын
MashaAllah mamy uko vzr
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 5 жыл бұрын
Asante❤
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
MashaAllah. Nice n tamuu 😋 Shukran habibty 👏🏼💐
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 5 жыл бұрын
Afwan❤
@josephinamarijan5567
@josephinamarijan5567 4 жыл бұрын
Asntee mdogo wngu
@rahmajeylani3306
@rahmajeylani3306 5 жыл бұрын
Masha Allah
@swaumuhuseini6302
@swaumuhuseini6302 4 жыл бұрын
Dada hongera sijaonja lakini nahis nitam natamani nami kujua
@mimaaabdhul
@mimaaabdhul 4 ай бұрын
Dada Niko na swali,, je njungu kilo moja kipimo chake Cha sukari ni kiasi gani?
@samiramahmud406
@samiramahmud406 5 жыл бұрын
MashaAllah
@neemamjema1067
@neemamjema1067 4 ай бұрын
😘😘😘
@eugenearplascidor8246
@eugenearplascidor8246 4 жыл бұрын
Hello naweza kutumia peanutbutter instead of njugu za kusaga?
@magrethmushy938
@magrethmushy938 3 жыл бұрын
Unaweza kuweka karanga za kukaanga au mbichi ??
@sabrinahassan2084
@sabrinahassan2084 4 жыл бұрын
Tamu
@halimamohamed2238
@halimamohamed2238 4 жыл бұрын
Naomba kujua jinsi ya kupika kashata ya karanga na ubuyu please
@fattmafat6047
@fattmafat6047 2 жыл бұрын
400 grams = how many cups Please give also in cups Thanks
@halimaahmada5121
@halimaahmada5121 4 жыл бұрын
Hiliki unaitumia muda gan maa sijaiona au unachnagny na unga wa njugu
@carbown6387
@carbown6387 4 жыл бұрын
Kenya zi ja
@carbown6387
@carbown6387 4 жыл бұрын
Kwanz mombasa
@swafiamohammed1708
@swafiamohammed1708 5 жыл бұрын
MashaAllah@ nimependa ntajaribu hiki kipimo yako👌
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 5 жыл бұрын
Asante dear😊
@bintimohammed3233
@bintimohammed3233 5 жыл бұрын
Kenya twaziita labania
@dianasarwati2426
@dianasarwati2426 4 жыл бұрын
Kwani chugu na karanga sipotu sawa jamani
@Kapunyu
@Kapunyu 4 жыл бұрын
Sasa nawexa kutengeza mwenyewe
@pcde4751
@pcde4751 4 жыл бұрын
Nimeipenda ila cjajua labda una sukari nusu na karanga nusu maji unaweka kiasi gani
@sweetymahappiness8776
@sweetymahappiness8776 5 жыл бұрын
Maa shaa Allah👌😋gram 400 ni wawa na cup ngap hbbty?
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 5 жыл бұрын
Sikupima kwa cups dear
@rahimaally6471
@rahimaally6471 4 жыл бұрын
Hapa mie ndio ninashindwa na hizi gram rahisi bora mtu aseme na kwa vikombe vinakua vingapi plz
@ismahanabdi4440
@ismahanabdi4440 4 жыл бұрын
❤😚👌
@rubbytwaha6482
@rubbytwaha6482 3 жыл бұрын
Mimi naomba uliza hiko kikombe chako kina kiasi gan? maana umesema kikombe kimoja na robo ya sukar
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 3 жыл бұрын
Kikombe kimoja ni 250ml. Natumia measuring cups dear
@farhatfarhan7878
@farhatfarhan7878 3 жыл бұрын
Me natka kujua ikiwa unatka upate kashata 70 unapima njugu vp
@cynlym1847
@cynlym1847 5 жыл бұрын
Thanks but ni njugu mawe au karanga!?
@queenandchill91
@queenandchill91 5 жыл бұрын
Karanga ila wengine wanaita njugu
@janegeogre3234
@janegeogre3234 4 жыл бұрын
mpendwa hizo ni njugu ila hata huyo muelimishaji mwenyewe hazijui jina! anapotosha watu!... njugu ni njugu na haichangii jina na kitu kingine! na karanga ni karanga!
@mwanaishasalim8
@mwanaishasalim8 5 жыл бұрын
🤗😋
@deboramushi8471
@deboramushi8471 5 жыл бұрын
njugu mawe au karanga jamanii???
@swafiamohammed1708
@swafiamohammed1708 5 жыл бұрын
Njugu karanga sio mawe
@noelaleah1898
@noelaleah1898 5 жыл бұрын
k
@marygodda6770
@marygodda6770 4 жыл бұрын
Mimi nimejaribu mara 2, lakini hazigandi kama wewe dada
@veronicaotaigo2653
@veronicaotaigo2653 4 жыл бұрын
Hata mimi zinapurutika tu
@janegeogre3234
@janegeogre3234 4 жыл бұрын
wewe mpishi tafadhali usipotoshe watu! kama bado hujajiandaa kutoa somo ni heri ujiandae ndipo ulilete somo hadharani! unasema ni njugu na akat ni karanga! usitake kupotosha watu tafadhali!! hakuna kashata za njugu popote duniani ila zipo za karanga! hizo unazotumia hapo ktk video ni karanga na si njugu!!!.. asiykua makini kitumia njugu si ndo unamporosha kabisaaaa!!!
@marystanley3911
@marystanley3911 4 жыл бұрын
Bora nilitaka kushangaa
@rahimaally6471
@rahimaally6471 4 жыл бұрын
Watu wa Zanzibar tunaita kashata za njugu hatusemi kashata za karanga na nahisi mtoa video anatoka zenji
@sofiasherman2931
@sofiasherman2931 3 жыл бұрын
You said tomatoes I say Tamata same as when I say njugu and she says karanga stop giving this lady disrespect for doing good
@rugeyyemuhammad1549
@rugeyyemuhammad1549 2 жыл бұрын
Mashaallah
@latwifakassim7251
@latwifakassim7251 3 жыл бұрын
Mashallah
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 3 жыл бұрын
MashaAllah
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 жыл бұрын
Masha Allah
@mimaaabdhul
@mimaaabdhul 4 ай бұрын
Mashallah
Mapishi rahisi ya labania za njugu 😋
4:21
farwat's kitchen
Рет қаралды 23 М.
FAGI ZA NJUGU/KARANGA
5:58
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 107 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 10 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 47 МЛН
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 69 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
Jinsi ya kupika Kashata za Karanga.
12:38
Linah's Yummy.....
Рет қаралды 17 М.
Upishi wa kashata za mayai
9:56
Millah kitchen
Рет қаралды 10 М.
pika hivi kashata za karanga  tamu sana utapenda
3:36
Asha Yummy
Рет қаралды 7 М.
kashata za  ufuta zapikwa hivi tamu sana/seseme candy
5:32
Asha Yummy
Рет қаралды 58 М.
Kutengeneza Mikate Laini sana Kirahisi - Mapishi Rahisi
6:41
Mapishi rahisi
Рет қаралды 6 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 10 МЛН