Naomba kujua kurekebisha taiming ya chelehan na kurekebisha majembe au sindano ya ndani nikizungusha lingi mwichi haushuki😢
@MtambalaTv3 ай бұрын
@@zulfabupale485 Kuna video nilotuma yanmarekebisho ya cherehani ambayo haishiki Uzi wa chini,. Je, cherehani yako Ina changamoto kutokushika Uzi wa chini kuuleta juu unapoendesha? Au Ni shida tofauti? Kama Ni shida tofauti, nionyeshe kutumia WhatsApp changamoto yake0684594816
@MtambalaTv2 ай бұрын
0684594816, WhatsApp,,,nipigie real nikuelekeze
@HurumaBonifaceАй бұрын
Je km hilo gurudumu dogo linarud nyuma badala ya kwenda mbele shida inakuwa nn sir?
@MtambalaTvАй бұрын
@@HurumaBoniface kwa maana kuwa linarudi nyuma unapoendesha cherehani kwenda mbele? Au
@elizatbesichilima-f4w2 ай бұрын
Chelehan kupiga kelel xhida nn
@MtambalaTv2 ай бұрын
@@elizatbesichilima-f4w Mara nyingi huwa Ni kutokupata au kuwekewa mafuta, lakini pia zipo cherehani zingine hata ukiweka mafuta inapiga kelele, nitawatumia tutorial ya kunifanya isipige kelel au ipunguze kelele