Cherehan yangu inatatizo la ukishona nguo ina jaza uzi chini nisaidie tatizo nini?
@MwadawaMaziku9 ай бұрын
Mm cherehan yangu inajigongagonga shida ninin
@neemaemanuel24252 жыл бұрын
Samahan jmn cherehani yangu inakata Uzi Sana shida ni Nini?
@furahakimaro39327 ай бұрын
vipi chelehani ikiwa inakaza sana halafu meno yake hayasogezi nguo
@HabibaAbdallah-qh3bd6 ай бұрын
Kaka asant kwa somo nitakupa mlejesho ilo lilikuwa tatizo langu kubwa
@jumaiddi4738 Жыл бұрын
Samahani kaka naomba msaada cherehani yangu unashona taratibu saaaana sababu nn
@ngako50082 жыл бұрын
Je fundi Ni kwa namna gani cherehani inasetiwa ili iweze kushona nguo za mpira?
@shunayraaqamal18542 жыл бұрын
Asante xana nimekuelew
@floridasimkonda17792 жыл бұрын
Samahani mwl cherehani yangu inakata sana sindano Hadi nimeacha kushona Yani kila nikiweka inakatika tu naomba msaada nifanye nini na sababu ni nini 🙏
@sakapallaTV2 жыл бұрын
jaribu kurekebisha pasi yani sindano iwe inagonga kwenye tundu na sio pembeni, Shida inaweza kua za namna 2 1. sindano inakua ndefu zaidi kwaio ikishona inagonga. 2. Rekebisa pass au angalie mwichi wa sindano umekaa vp laba unaweza kua umepinda.
@VictoriaMswetu-d5g2 ай бұрын
Jamani mi cherehani yangu inakata Uzi nisaidie
@FavouryKomba6 ай бұрын
Jamni mm cherehn yangu ring lmgoma na sindano hiashuki yani kushm ukizunguza ring ingota shm hafiki kweny meno
@EstaCheguzwa-lo6dk Жыл бұрын
Naomba kuuliza et tatizo la meno ya chelehan kushyuka na kutokushika nguo husababishwa na nn
@sakapallaTV Жыл бұрын
izo nati zimechea fanya kuzikaza zinakaziwa kwa ndani
@nayfatsalim7828 Жыл бұрын
umenichekesha apo kweny kukunja nyuzi mara 4 hhh..Mm shda iko kujaza uzi chini t ukishona n kwnye nguo unajaa ubale wchni aah
@salamaimma8 ай бұрын
Samahani naomba unisaidie nikiwe mkanda kwenye cherehani peda inakuwa ngumu kuzunguka cherehani haizunguki unazunguka mkanda tu je tatizo nini?
Samahani mimi cherehani yangu uzi wa juu unashona vizuri ila uzi wa chini unavutwa vibaya kama mafungu nguo inakuwa haina muonekano mzuri sijajua tatizo ni nini?
@JacklineCharles-k6j4 ай бұрын
Mimi cherehan yangu inajaza uz chini na haishon
@salamaimma8 ай бұрын
Naomba nifundishe jinsi ya kuweka kamba kwenye cherehani
Sasa mimi naomba kufundicha tena manaa naona tatizo Aluísio inasona ila Bado kidongo ninaweza kusona kama kuminika kwa nguo inaweza kusona urefu Kama minta 1 ikaruka Mara 8 ivi sasanafangiange iri iwe vizori? Naomba sada kutoka kwenu
@JacklineCharles-k6j4 ай бұрын
Mimi cherehan yangu inajaza uz chini na haishon msaada jqmn
@annagidion69802 жыл бұрын
Asant sana fund, samhan fundi kuna aina ngapi za namba ya shindano? Na unajuaj kuw chelehani ina endana na namba Frank?
Mm nataka cherehani mbili Kama una uza nambie used
@merysmisanana99322 жыл бұрын
Shinda ya chelehan yangu pakubadirishia stichi pamerengea san nifanyeje
@ShabaniMndulu4 ай бұрын
Cherehan yangu aina ya jack heavy duty inashona inarudi nyuma tatzo nn
@RaimondaVenance5 ай бұрын
Vp kuhusu inayovuta kitambaa
@HildaMangwela3 ай бұрын
Cherehani yangu ilikua inashona inakata Uzi nikatoa Uzi ulikua umejaa kwenye kichwa nimetoa imekua haishoni tatizo Nini?
@passingneedleseye14933 жыл бұрын
Naomba kuuliza Mashine ukiwa unashona inajaza uzi tatizo inakuwa nn na ina setiwaje?!!
@mamaislah-v5w6 ай бұрын
Namim natatz km lako lkn mbn hajib
@ElizabethJonas-cz1tq6 ай бұрын
Na mimi ninalo hili tatzo
@RUKAIYAMAULIDI3 ай бұрын
@ElimmzabethJonas-cz1tq
@Hamisally-e6j4 ай бұрын
Jamn yakwang inajaz uzi
@RosemaryKyarigaАй бұрын
Yangu haishoni kabisa
@DeeCute-c9b10 ай бұрын
Fundi naomba unisaidie mimi cherehani yangu inasumbua pasi inapanda kwa shida yan inasumbua sana pasi hua inapanda kwa shida sana sijajua tatizo ni nini naomba unisaidie
@sakapallaTV9 ай бұрын
kaa tayari nitafanya ivo
@halimaharuna30993 ай бұрын
Na mimi pasi yangu imegoma kushuka
@NtakirutimanaAbdoulRahman3 күн бұрын
😢😢😢😢
@luthgwenela3684 Жыл бұрын
Naomb unielekeze jinsi ya kufunga sindan za chini
@merysmisanana99322 жыл бұрын
Jaman mnisaidie pakulekebishia stichi pamelenga nisaidien
Mwalim me nataka nikuulize machine yn pasi inalegea kwahy nifanyaje inaxababixha kuvunja sindano
@sakapallaTV2 жыл бұрын
ikaze kwa kutumia dispice au plaiz ikigoma tafuta nyingine
@latifaonesmo76292 жыл бұрын
samahani fundi naomba kujua bei ya cherehani kwasasa
@sakapallaTV2 жыл бұрын
240,000 mpya
@mudrivkmajengo68782 жыл бұрын
Beigani
@sakapallaTV2 жыл бұрын
bei ya kitu gani?
@happymathew74142 жыл бұрын
Naomba msaada bobin case inakuwa ngumu Uzi hauzunguki kwa Uhuru umekaza san
@sakapallaTV2 жыл бұрын
nunua nyingine mpya, pia angalia namna unavyo wekw bobin ndani yake
@Anthonia-u5b3 ай бұрын
Je chelehani ikiwa inashona Kwa juu inakaza lakini chini haikaK tatizo ni nn jamn
@annagidion69802 жыл бұрын
Asant sana fund, samhan fundi kuna aina ngapi za namba ya shindano? Na unajuaj kuw chelehani ina endana na namba Frank?
@sakapallaTV2 жыл бұрын
kuna namba nyingi na aina tofauti tofauti za sindano, kujua chereani yako inatumika na aina na namba ngapi ya shindano ni lazima kujua kwanza aina ya chereani unayo tumia
@fatumasaleh77432 жыл бұрын
Cherehan yangu inatatizo la ukishona nguo ina jaza uzi chini nisaidie tatizo nini?