JIFUNZE KUWA MTU WA MAOMBI WAKATI WOTE // KUOMBA KWAKO KUONGEZEKE

  Рет қаралды 4,638

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@CholelaRobert-lm7ro
@CholelaRobert-lm7ro 5 ай бұрын
Asante yesu kwa yote nisaidie nikawe MTU WA maombi kwa kila Jambo
@SYDEYLINET
@SYDEYLINET 5 ай бұрын
HALLELUJAH ROHO MTAKATIFU nisaidie nakataa unyonge,uchovu,udhaifu katika maombi,BABA NIPE neema na nguvu ya kuomba🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️PRAYER IS MY KEY be blessed pastor 🙏🙏🙌🙌
@fatumamaila6233
@fatumamaila6233 4 ай бұрын
MUNGU naomba unipekibali cha kuomba kwa kila jambo,Amina❤
@evalynependo3824
@evalynependo3824 5 ай бұрын
Mungu nisaidie niwe mtu wa maombi kila wakati nipe mm nguvu za maombi kwa jina la yesu kristo amen and Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@SandraSoso-ih2qq
@SandraSoso-ih2qq 5 ай бұрын
Mungu naomba nguvu za maombi maishani mwangu amen
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 5 ай бұрын
Amen 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼, Yesu na hitaji awe Kila kitu 🙏🏼
@user-lb6gr7ed2g
@user-lb6gr7ed2g 11 күн бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏
@Marianamariana181
@Marianamariana181 5 ай бұрын
Amen Amen Ahsante sana mungu nitangulie natka kukujua wew zaidi unipe kibali cha kuomba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏nitangulie wew uongezeke mm nipungue👏👏👏
@janeobure3006
@janeobure3006 5 ай бұрын
AMEN,NAKUOMBA MUNGU NIWE MTU WA MAOMBI.
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani 2 ай бұрын
pekee yangu sitaweza mungu
@user-wn9ol5zj7w
@user-wn9ol5zj7w 5 ай бұрын
Mungu anipiganie vita nisaidie Babayangu
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 5 ай бұрын
Mungu wangu nisadie nikujue wwe zaidi katika maomb nisichoke kukutafuta Yesu wangu😢
@user-hw7ce8gf6v
@user-hw7ce8gf6v 4 ай бұрын
Mungu hawabariki sana Mtumishi Tunaspendi ma saa kutumia sim zetu But tunashindwa kuspendi mda wetu na Mungu wetu Eee Bwana tunakuomba utusaidie katika dhaifu wetu
@nonveroniquejohn
@nonveroniquejohn 5 ай бұрын
Asante mungu kwaku nitia nguvu za maombi na mifungo asante mungu kwakuniwezesha nmna hii si kwanguvu zangu bali zako
@pacificshuli5415
@pacificshuli5415 5 ай бұрын
Asante Mungu kwa kunipa kibali kuwa hayi leo ❤❤❤
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 5 ай бұрын
Nisaidie Mungu wangu niwe mtu wa maombi Kila wakati🙏🙏🙏
@florencenshimi9353
@florencenshimi9353 5 ай бұрын
Amen . Roho Mtakatifu niondolee udhaifu , uzito , uvivu wowote unaosababisha nisewe mtu wa Maombi . 🙏 🙏
@user-sp8iz3td3h
@user-sp8iz3td3h 5 ай бұрын
Amen amen
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani 2 ай бұрын
ee Mungu nipe nguvu yakuomba
@Damaalll
@Damaalll 5 ай бұрын
Mungu nisaidiye nipenguvu yakuomba kila wakati🙏🙏🙏🙏🙏prayer is My key be blessed pastor🙌🙌🙏🙏
@user-yt2yj9ye2y
@user-yt2yj9ye2y 5 ай бұрын
Hallelujah hallelujah 🙏🙏
@user-qe6ie8jv5b
@user-qe6ie8jv5b 5 ай бұрын
Mungu baba usinipite msaada nautegemeya kwako
@josephineobure3420
@josephineobure3420 5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙌
@LydiaWangari-lc2tl
@LydiaWangari-lc2tl 5 ай бұрын
Amen
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 4 ай бұрын
AMEN 🙏
@neemajeremiah8669
@neemajeremiah8669 5 ай бұрын
Yesu nisaidie peke yangu siwezi. Natamani sana kuwa mtu wa maombi maana roho i radhi ila mwili ni dhaifu 😢
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 5 ай бұрын
Ameen Yesu nisaidie niwe mtu wa maombi
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 ай бұрын
God bless you the man of God,,,,,,,,,,,Maombi ni Kila kitu
@AmuriEzekiel-bb1kc
@AmuriEzekiel-bb1kc 5 ай бұрын
Amen Asante sana ubarikiwe sana Mtumishi wa YESU KRISTO
@lydianzeyimana2076
@lydianzeyimana2076 5 ай бұрын
Naomba Baba uniongezee Imani
@user-kl3ev9ch3z
@user-kl3ev9ch3z 5 ай бұрын
Mungu nisaidie nikujue kwa viwango vya juu sana
@georgendalawa4510
@georgendalawa4510 5 ай бұрын
Jehovah...niss asnte Kwa neema hii uliyotupatia madhabahu ya siri za biblia...endelea kumlinda kumtunza mtumishi wako...neema yako iongezeke zaid...
@Chizi.mfame.ke-if5t
@Chizi.mfame.ke-if5t 5 ай бұрын
Please am josephine...please pray for me and my family....Amen
@PraygodmsandoKachulu
@PraygodmsandoKachulu 2 ай бұрын
Mungu atusaidie familia yetu
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 5 ай бұрын
Emeeeen
@PeaceSajilo
@PeaceSajilo 5 ай бұрын
Ee Mungu tupe uwezo na nguvu tukutegemee wewe maana adui anazunguka ili atumeze. Tuwe waombaji wazuri.
@user-ku5rh2yg5c
@user-ku5rh2yg5c 5 ай бұрын
Ahsante mtumishi
@MaryGoldence
@MaryGoldence 5 ай бұрын
Eeeh Mungu nisaidie nirudi kwenye nafasi yakuomba mbele zako😢😢
@user-nk3qw1cn2l
@user-nk3qw1cn2l 5 ай бұрын
Amen pastor
@user-nk3qw1cn2l
@user-nk3qw1cn2l 5 ай бұрын
Naoba mungu anisaidie
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 ай бұрын
Nakuelewa mtumishi wa MUNGU
@hildagwamaka2019
@hildagwamaka2019 5 ай бұрын
Amina🙏🏻
@joyceshiyo7257
@joyceshiyo7257 5 ай бұрын
Mungu naomba nisaidie nikutambue wewe
@priscarnelson441
@priscarnelson441 5 ай бұрын
Roho mtakatifu nisaidie natamani sana niweze kuomba niwe mtu wa maombi
@easterfraha5008
@easterfraha5008 5 ай бұрын
Amen mungu nsaidie
@SevAl-p9k
@SevAl-p9k 5 ай бұрын
Sylvia amen asante roho mtakatifu,asante yesu naomboa uachilie roho muombezi ndani yangu anifundishe maombi ya rohoni yasio ya kikomo🙏🙏❤️nitienguvu za maombi yesu nakuhitaji baba🙌🙏
@user-ch3fl4tr9j
@user-ch3fl4tr9j 5 ай бұрын
Mungu unisaidie niweze kukujua zaidi ili nikwitapo unijibu na tusemezane kàma neño linavyo sema niite nami nitakuitikia Mungu sikia kilio changu yatima,wajane sema nao Bàba
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 5 ай бұрын
Ameni
@user-nk3qw1cn2l
@user-nk3qw1cn2l 5 ай бұрын
Mutumishi nikweli na muomba mungu ani jaze nguvu ya maombi wa aduwi ni wengi
@Chuji_tz
@Chuji_tz 5 ай бұрын
Eeee Mungu niondelee loho ya uvivu 𝐧𝐚 usingizi wakati wa maombi
@user-ud4sc9gk1t
@user-ud4sc9gk1t 5 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mungu wabinguni mungu WAYISIRAHERi ni pe mungu wakoze anifundishe guwomba kabisa uniwombeye nawengine nawomba musada wakoze mola 🙏🙏🙏🙏
@NoelaHaule-ug2xy
@NoelaHaule-ug2xy 5 ай бұрын
Kwa AKILI za kibinadamu nimeshindwaa
@evahazole6320
@evahazole6320 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@jameswarburg5051
@jameswarburg5051 5 ай бұрын
Asante
@Veronica-kx1pt
@Veronica-kx1pt 5 ай бұрын
Mungu atuteee jmn
@user-nk3qw1cn2l
@user-nk3qw1cn2l 5 ай бұрын
❤❤❤
@PraygodmsandoKachulu
@PraygodmsandoKachulu 2 ай бұрын
Kweli
@asyangowa9579
@asyangowa9579 5 ай бұрын
Bwana Yesu Christo nisaidie niwe kwako kila siku niombe,kila siku nifunge nisaidie niishi katika mtakatifu wako
@Tinahtinash
@Tinahtinash 5 ай бұрын
AMEN 🙏 🙏 🙏 ASANTE YESU NIFANYE NIWE MTU WA MAOMBI KILA WAKATI😢😢
@NoelaHaule-ug2xy
@NoelaHaule-ug2xy 5 ай бұрын
Mungu usinipite majira haya katika kazi yangu ingilia kati kwa wateja wangu mchana huu
@user-ud4sc9gk1t
@user-ud4sc9gk1t 5 ай бұрын
Mwonyo mutukufu anifundishe kuwomba kweri
@user-vz5eh7rs3m
@user-vz5eh7rs3m 5 ай бұрын
Roho mtakatifu nisaidie nipate nguvu ya maombi
@user-sp8iz3td3h
@user-sp8iz3td3h 5 ай бұрын
Kama Mimi
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 5 ай бұрын
Mungi
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 ай бұрын
Amen amen
@user-vz5eh7rs3m
@user-vz5eh7rs3m 5 ай бұрын
Amen
@salmaprice9100
@salmaprice9100 5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@itsvanessa1267
@itsvanessa1267 5 ай бұрын
Amen ❤
HIZI NI TAARIFA ZA UONGO // USIHUBIRIWE NA SHETANI
15:26
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 1,8 М.
#LIVE: KUOMBA KWA ROHO MTAKATIFU // DAY 10
1:06:31
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,6 М.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 82 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 106 МЛН
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2024 VOL.06
58:53
SADAKA YA ISAKA MTOTO WA IBRAHIM NA SIRI NZITO/MUNGU AZUIA
22:17
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 22 М.
MAOMBI YA ASUBUHI  REV  MUHORO
40:06
THE ALTAR OF GRACE
Рет қаралды 24 М.
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 51 М.
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA NA WAKATI WA MFUNGO WAKO
9:25
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 22 М.
MAOMBI YA KUFUNGUA UFAHAMU  ULIOTEKWA NA AKILI  -  - ROHO YA KUSAHAU, KUKOSA MSIMAMO, KUENDESHWA.
5:32
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 4,8 М.
KUOMBA NA KUTABIRI // EZEKIELI 37:1-15 // MIFUPA MIKAVU
11:39
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,9 М.
LIVE: NDOTO KUBWA KUBWA // TIMIZA MALENGO
19:13
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 1,9 М.
MAOMBI YA UREJESHO WA KILA KILICHOIBIWA NA ADUI -   Pastor Myamba
28:05
Pastor Myamba
Рет қаралды 123 М.
LIVE: MAOMBI YA KUKUMBUKWA NA MUNGU // ASUBUHI YAKO YAJA
53:58
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 24 М.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН