USIOMBE BILA MAARIFA // UNAJICHOSHA BURE
9:16
SIRI YA NYOKA NDOTONI //
3:07
21 күн бұрын
JIFUNZE KUJISAMEHE MWENYEWE
8:24
KUHUSU UKRISTO NA WOKOVU
6:54
Ай бұрын
SADAKA YA KUKUVUSHA ULIPO
10:03
Пікірлер
@atuganilemwakasangam2018
@atuganilemwakasangam2018 35 минут бұрын
Ni Mimi natakiwa kusaidiwa nimekaa hapo kwa muda mrefu.
@MarthaPeter-z9b
@MarthaPeter-z9b 2 сағат бұрын
Barikiwa mtumishi kwa fundisho hili
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 2 сағат бұрын
Ee mungu misaidie mm Kila nifungapo nienende sawasawa na mapenzi yako baba tafadhari baba nilehemu mm miliye mzambi baba please 😢😢😢😢 misaidie , nijibu Kila niombapo , nisamehe mm miliye mzambi baba tafadhari sana nijibu hata ombi moja 2 😢😢😢😢 ninahuzuni sana na hata sura yangua naichukia mm mwenyew tafadhari🎉😢
@RehemaRaphael-d3b
@RehemaRaphael-d3b 3 сағат бұрын
Nicole mara nakusikiliza mtumishi
@harunithabiti9572
@harunithabiti9572 4 сағат бұрын
Halellujah
@harunithabiti9572
@harunithabiti9572 4 сағат бұрын
Amin, God help us
@NannyNanny-fo9yh
@NannyNanny-fo9yh 5 сағат бұрын
Amen 🙏🙏🙏, Asante kwa neno la unabii kwa ajili y maisha yangu n familia yangu,be blessed,nko Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BenedictNgenzi
@BenedictNgenzi 5 сағат бұрын
Amen
@estermkoma4246
@estermkoma4246 6 сағат бұрын
Kweli Mungu nihurumie
@juliusfelister894
@juliusfelister894 6 сағат бұрын
Nashukuru Mungu maana naamini unaenda kunipa kazi serikalini
@Victoria-bv6xu
@Victoria-bv6xu 6 сағат бұрын
Nimepokea msimu mpya wa kucheko kipya tena Amina💞😘👏 God bless prophet 😘
@SekelaCholela
@SekelaCholela 6 сағат бұрын
Ee Mungu naomba nisamehe dhambi zangu 🙏🙏
@denisedward2983
@denisedward2983 6 сағат бұрын
Asante Yesu
@MwajabuHamis-s6x
@MwajabuHamis-s6x 7 сағат бұрын
Asante Mungu Kwa siku hii ya Leo roho mtakatifu naomba unisimamie Kwa Kila jambo ili niweze kutenda mema
@AdepaNicholaus
@AdepaNicholaus 7 сағат бұрын
Iwe kwetu hata sasa amina
@rachaelmkacharomwaisabu293
@rachaelmkacharomwaisabu293 8 сағат бұрын
Amen thank u God
@BimaBoy-ev5nv
@BimaBoy-ev5nv 8 сағат бұрын
Amina🙏
@LucienneBalume
@LucienneBalume 9 сағат бұрын
Nashukuru MUNGU ananipenda kwa kunipatanisha na hi mazabau ya dieu za biblia Mungu akuwezeshe kwa ufunuo kubwà unanisaindia sana Mungu akubariki
@roseboamo5777
@roseboamo5777 9 сағат бұрын
Bwana yesu asante kwa kunipa kibali cha uzima, asante kwasbb umenisaidia nimemaliza kz ya shamba kirahisi asante kwa kunipa msichana wa kz, asante kwa neema unayo endelea kunijalia, asante kwanuru yako bwana, asante pia kwa amani unayo nipa bwana.
@user-fk9rs6om4o
@user-fk9rs6om4o 9 сағат бұрын
EEE MWENYEZI MUNGU naomba umzidishe mtumishi wako innocent mashauri,kwakweli ananivusha sana Kwa mafundisho na ukweli ni kwamba anasema KWELI na amesimamia KWELI,, iyo kweli mimi Neema inaniweka huruma na KUCHUKUA hatua ya kuvitendea kazi MUNGU akulinde sana na kukuhifadhi chini ya uvuli kwake,KITABU CHA mwanzo 12,1,,3,,inakuhusu MTUMISHI WA MUNGU,na zekaria ,2,5,,mwenyezi MUNGU afanyike nguzo ya Moto maishani mwako
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h 9 сағат бұрын
Adui anaereta mikoc namfunga kwa dam ya yesu
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h 9 сағат бұрын
Adui alie shikilia ufaham wangu na ndugu zangu nafungua kwa dm ya yesu kristo
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h 9 сағат бұрын
Adui alie shikilia uchumi wangu na kureta chuma ulete na kumifata kwa njia ya ndoto nawafunga kwa dam ya yesu
@Victoria-bv6xu
@Victoria-bv6xu 10 сағат бұрын
God bless you 😘👏
@user-wj3zl3dj9h
@user-wj3zl3dj9h 10 сағат бұрын
Bwana naomba uwakumbuke familia yangu waokolewe wote. Naomba Bwana KAZI zao zote wanayofanya iponye bwana
@user-wj3zl3dj9h
@user-wj3zl3dj9h 10 сағат бұрын
Bwana Yesu naomba uniponye ugonjwa wa mifupa ya uti wa mgongo mifupa imesagika ponya naugonjwa wa moyo na figo
@IreneMonyo-vl2ii
@IreneMonyo-vl2ii 11 сағат бұрын
MUNGU akanikumbuke Mimi na familia yangu
@janetymatola6639
@janetymatola6639 11 сағат бұрын
Naonba nipew mkopo
@IreneMonyo-vl2ii
@IreneMonyo-vl2ii 11 сағат бұрын
Ni Mimi irene wa goba kupitia maombi haya MUNGU akajibu maombi yangu
@johnnyika9949
@johnnyika9949 12 сағат бұрын
Nakupata clear kabisa mungu anisaidie katika mazito yangu
@agnessmwasumbi4965
@agnessmwasumbi4965 12 сағат бұрын
Asubuh ya uzao wangu ikawe ya baraka
@agnessmwasumbi4965
@agnessmwasumbi4965 12 сағат бұрын
Asubh yangu naikabidhi kwako Mungu wangu tembea nami
@agnessmwasumbi4965
@agnessmwasumbi4965 12 сағат бұрын
Nifungue toka katika mitegl ya adui uniongoze katika Njia zangu nikatende yale yanayokupendeza
@NaymaShany
@NaymaShany 12 сағат бұрын
Ee mungu ninae kuabudu na ninae kuamini nakuomba unisaidie kunisimamia kwenye biashara zangu idumu na nione mafanikio
@DorisJustice-lm5hz
@DorisJustice-lm5hz 12 сағат бұрын
Ee Mungu naomba kufauru masomo yangu na mithan yangu naomba kupata GPA kubwa itayoniwezesha kusoma piah Bwana yewu badrisha historia ya maisha yangu🙏🙏 ingia kati shugulika n maish yngu
@rhodagollani1667
@rhodagollani1667 13 сағат бұрын
Ukajitwalie UTUKUFU kwa kufunguliwa kwangu EEE BWANA 🙏🙏🙏🙏🙏
@rhodagollani1667
@rhodagollani1667 13 сағат бұрын
Nizidishie kitu ya kuutafuta uso wako EEE BWANA 🙏🙏🙏🙏
@DorisJustice-lm5hz
@DorisJustice-lm5hz 13 сағат бұрын
Dorice nipo mwanza
@rhodagollani1667
@rhodagollani1667 13 сағат бұрын
Nina cancel ndoto zote za kurudishwa nyuma Ee MUNGU. Ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili nina zi cancel zote Kwa mamlaka ya JINA LA YESU 🙏🙏🙏🙏
@rhodagollani1667
@rhodagollani1667 13 сағат бұрын
Sambaratisha vikao vyote vya maadui zangu EEE BWANA. Sambaratisha vikao vyote vya watesi EE BWANA
@rhodagollani1667
@rhodagollani1667 13 сағат бұрын
Ponya moyo wangu dhidi ya uchungu EEE BWANA
@rhodagollani1667
@rhodagollani1667 13 сағат бұрын
Wakumbuke marafiki zangu kwa habari ya ndoa EE BWANA
@WinnyMmbaga
@WinnyMmbaga 13 сағат бұрын
Baba warehema hitaji langu kwako ni mzaliwa wangu wakwanza anateswa na ulevi ulio mpelekea Hadi kufukuzwa kazi Hana makazi anaishi kama ndege mungu umsaidieAmeeni
@rhodagollani1667
@rhodagollani1667 13 сағат бұрын
Gusa ndoa yangu Ee MUNGU. Gusa familia yangu Ee MUNGU. Gusa afya yangu Ee MUNGU.
@rhodagollani1667
@rhodagollani1667 13 сағат бұрын
Naomba BWANA UNIKUMBUKE KWA HABARI YA UZAO EE BWANA. FUNGUA TUMBO LANGU EEE BWANA.
@user-zr6rs6dk6b
@user-zr6rs6dk6b 13 сағат бұрын
Nisamehe Zambi zangu ee Mungu nipiganie
@WinnyMmbaga
@WinnyMmbaga 13 сағат бұрын
YESU kirto naomba uyasikie maombi yangu unisaidie niyashinde majaribu yadunia nilnde mm nafamilia yangu yoyote ana niwazia mabaya ane nisingizia kuwa Mimi nimchawi mungu vikamgeukie mwenyewe wewe wanijua jinalako liinuliwe Ameen
@trizashanelly
@trizashanelly 13 сағат бұрын
Kumbuka my family God
@user-zr6rs6dk6b
@user-zr6rs6dk6b 13 сағат бұрын
Mungu waondoshee wanangu kila aina na magonjwa kila adui anapambana na familia yangu aangushwe chini ee yesu
@user-ij1ho4ks2y
@user-ij1ho4ks2y 13 сағат бұрын
Naitwa Edina naomba kufunguriwa katika maisha yangu, nimepitia mahum mengi sana Kuna jambo rinakuja mbere yangu nategemea rini fanye kuwa mpya katika maisha yangu na muombea mwanangu anjera akiwa katika mitihani ya fom4 ana sumbuka sana na somo Ra mathe namuomba mungu amjarie ufaham aweze kushinda somo Hiro rimekuwa jaribu kwake. Nawadogo zake wate mungu awafanyie wepesi wamshike sana erim