JIKO LA KISASA LA UMEME KIDOGO TANZANIA (INDUCTION COOKER) NA POSITIVE EYE CO.LTD

  Рет қаралды 15,567

SuccessFlix Tv

SuccessFlix Tv

Күн бұрын

HAYA NI MAJIKO YA KISASA YA KUTUMIA UMEME YANAYOTUMIA UMEME KIDOGO SANA YAANI WASTANI WA UNIT MOJA TU (Tsh 355.55) KWA SAA ZIMA KUPIKIA, ITAKUWEZESHA KUPUNGUZA GHARAMA YA NISHATI YA KUPIKIA KWA HADI 90%
Kama ulikuwa unahofia kupika kwa umeme kwa kuhofia gharama ya umeme na usalama wa mtumiaji basi sasa teknolojia ilishatatua changamoto hizo Ishi sasa.
MAWASILIANO: 0745122229, Whatsup: +255788198080

Пікірлер: 73
@hellenamagabe4986
@hellenamagabe4986 16 күн бұрын
Nimeshaskia bei asante
@SophiaBen-qf1rw
@SophiaBen-qf1rw Ай бұрын
Pamoja na jiko
@SophiaBen-qf1rw
@SophiaBen-qf1rw Ай бұрын
Sufulia Bei gani
@hellenamagabe4986
@hellenamagabe4986 16 күн бұрын
Bei gani tafadhari
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 6 ай бұрын
Bei gan
@AbubakariKintu1-wx4rc
@AbubakariKintu1-wx4rc 5 ай бұрын
Nibeigani jiko hili
@neemanuruel3916
@neemanuruel3916 7 ай бұрын
Sufuria naitaji
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 2 ай бұрын
*Kwa wakazi wa Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza ambapo zipo ofisi zetu, delivery za mijini na maeneo ya Jirani kwenye mji husika, mteja utachangia Tsh 5000/= tu. Tunakufikishia ulipo. *Kwa wateja walioko mikoa mingine yote au kijiji chochote Tanzania tutakufikishia hapo ulipo, utachangia usafiri Tsh 10,000/= tu. **Usitume Pesa kwaza, Lipa ukishapokea,hivyo huna chakupoteza kabisa. Tuambie tukuletee lipi? na uko Wapi?
@kimendekimendekimende4626
@kimendekimendekimende4626 3 жыл бұрын
Vip linatumia umeme wasola, wati ngap
@yohanamafuru678
@yohanamafuru678 3 жыл бұрын
Linatumika kwenye umeme wa tanesko au Luna umeme tofauti
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 3 жыл бұрын
wa Tanesco
@alfredi4974
@alfredi4974 Жыл бұрын
Yanapatikana wapi
@halidimo7684
@halidimo7684 4 жыл бұрын
Mkuu umetisha
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
Tuko Arusha na Dar, ila popote unatumiwa kama uko mikoa mingine au nchi nyingine, Bei ya jiko la single plate kama hili ni Tsh 100,000/= kwa sasa na Double plate ni Tsh 220,000/=. na sufuria zake zipo za aina mbili 1) set ya sufuria nzito ziko 5 na Fryingpan 1 Tsh 150,000/= 2)Set ya sufuria nyepesi ziko 5 zenye mifuniko yake Ni Tsh 65,000/=, Nitafute kwenye whatsup namba 0788198080 kwa picha na maelezo zaidi. Kuna mzigo mpya mwezi huu na bei za promotion kwa bidhaa bora, KARIBU RAFIKI.
@dottocharles1636
@dottocharles1636 4 жыл бұрын
Linauzwa sh ngapi

@samwellyimo9278
@samwellyimo9278 4 жыл бұрын
Ni sh ngapi
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 3 жыл бұрын
Kwa maelezo zaidi Tupigie 0745122229 au whatsup 0788198080 Yapo Single plate ni Tsh 99,000/= Double Plate Tsh 250,000/= Jiko sufuria Tsh 80,000/=
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 жыл бұрын
Tupe nmba
@saidsyande3728
@saidsyande3728 4 жыл бұрын
Mnapatikana wapi
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
TUKO Arusha 0745122229/ whatsup 0788198080
@shukranadam1465
@shukranadam1465 3 жыл бұрын
Nitayapatawap
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 3 жыл бұрын
Tupigie 0745122229 au whatsup 0788198080 yapo
@zawadimolell8961
@zawadimolell8961 8 ай бұрын
Bei yake na ninapataje?
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 2 ай бұрын
*Kwa wakazi wa Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza ambapo zipo ofisi zetu, delivery za mijini na maeneo ya Jirani kwenye mji husika, mteja utachangia Tsh 5000/= tu. Tunakufikishia ulipo. *Kwa wateja walioko mikoa mingine yote au kijiji chochote Tanzania tutakufikishia hapo ulipo, utachangia usafiri Tsh 10,000/= tu. **Usitume Pesa kwaza, Lipa ukishapokea,hivyo huna chakupoteza kabisa. Tuambie tukuletee lipi? na uko Wapi?
@charleskimuli8144
@charleskimuli8144 4 жыл бұрын
Gharama zake naombakujua
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 3 жыл бұрын
Kwa maelezo zaidi Tupigie 0745122229 au whatsup 0788198080 Yapo Single plate ni Tsh 99,000/= Double Plate Tsh 250,000/= Jiko sufuria Tsh 80,000/=
@hashirsalumhamisi927
@hashirsalumhamisi927 4 жыл бұрын
Naomba no yako
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
0745122229 au Whatsup 0788198080
@lissahmsigwa5552
@lissahmsigwa5552 4 жыл бұрын
Nahitaji jiko
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 3 жыл бұрын
Tupigie 0745122229 au whatsup 0788198080 Yapo
@queengatabazi1764
@queengatabazi1764 2 жыл бұрын
Tulioko igunga tunapataje lejaleja
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 2 жыл бұрын
Piga ofisi yangu ya Mwanza 0746222923 watakuhudumia rafiki
@mashughulikaguo3790
@mashughulikaguo3790 3 жыл бұрын
Nina furahi sana
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 3 жыл бұрын
Tupigie 0745122229 au whatsup 0788198080
@rehemasalum2531
@rehemasalum2531 4 жыл бұрын
Weeh mbona ni bei rahisi sana
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
karibu rehema upate lako . Tuko Arusha na Dar, ila popote unatumiwa kama uko mikoa mingine au nchi nyingine, Bei ya jiko la single plate kama hili ni Tsh 100,000/= kwa sasa na Double plate ni Tsh 220,000/=. na sufuria zake zipo za aina mbili 1) set ya sufuria nzito ziko 5 na Fryingpan 1 Tsh 150,000/= 2)Set ya sufuria nyepesi ziko 5 zenye mifuniko yake Ni Tsh 65,000/=, Nitafute kwenye whatsup namba 0788198080 kwa picha na maelezo zaidi. Kuna mzigo mpya mwezi huu na bei za promotion kwa bidhaa bora, KARIBU RAFIKI.
@magretyjohn2462
@magretyjohn2462 2 жыл бұрын
@@PositiveeyeColtd ok
@doreennkini3502
@doreennkini3502 4 жыл бұрын
Bei
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
Tuko Arusha na Dar, ila popote unatumiwa kama uko mikoa mingine au nchi nyingine, Bei ya jiko la single plate kama hili ni Tsh 100,000/= kwa sasa na Double plate ni Tsh 220,000/=. na sufuria zake zipo za aina mbili 1) set ya sufuria nzito ziko 5 na Fryingpan 1 Tsh 150,000/= 2)Set ya sufuria nyepesi ziko 5 zenye mifuniko yake Ni Tsh 65,000/=, Nitafute kwenye whatsup namba 0788198080 kwa picha na maelezo zaidi. Kuna mzigo mpya mwezi huu na bei za promotion kwa bidhaa bora, KARIBU RAFIKI.
@charleskimuli8144
@charleskimuli8144 4 жыл бұрын
Beish ngapi?
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 3 жыл бұрын
Kwa maelezo zaidi Tupigie 0745122229 au whatsup 0788198080 Yapo Single plate ni Tsh 99,000/= Double Plate Tsh 250,000/= Jiko sufuria Tsh 80,000/=
@abasijuma6989
@abasijuma6989 Жыл бұрын
Nahitaji jiko napataje
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd Жыл бұрын
Uko mkoa Gani. Tupe namba yako au Piga kwenye Namba hizi hapa chini angalia ofisi iliyo karibu nawe. Dar 0679222923 Arusha 0745122229 Dodoma 0673222923 Mwanza 0746222923 Mbeya 0659122229
@TindaGabriel-yb6wx
@TindaGabriel-yb6wx 11 ай бұрын
Manolo hayo nayapatikana wapi. Na bei gani. .
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 2 ай бұрын
*Kwa wakazi wa Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza ambapo zipo ofisi zetu, delivery za mijini na maeneo ya Jirani kwenye mji husika, mteja utachangia Tsh 5000/= tu. Tunakufikishia ulipo. *Kwa wateja walioko mikoa mingine yote au kijiji chochote Tanzania tutakufikishia hapo ulipo, utachangia usafiri Tsh 10,000/= tu. **Usitume Pesa kwaza, Lipa ukishapokea,hivyo huna chakupoteza kabisa. Tuambie tukuletee lipi? na uko Wapi?
@fatmamgweno72
@fatmamgweno72 3 жыл бұрын
Dar seem gani? Nami naitaji please!
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 3 жыл бұрын
Tupigie 0745122229 au whatsup 0788198080 tupo Dsm pia
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd Жыл бұрын
Tupo MAKUMBUSHO stand pale, utaona pameandikwa JIKO JANJA . Au piga 0679222923
@rukiamusa3242
@rukiamusa3242 Жыл бұрын
Nipo Kenya Nita patavipi jiko?
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd Жыл бұрын
Unawezakutumiwa. Kwa bus za Tahmeed au Dar express. Nitafute kwa whatsupp namba +255788198080
@dottocharles1636
@dottocharles1636 4 жыл бұрын
Jiko pekeake bila sufuria sh ngapi
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
Tuko Arusha na Dar, ila popote unatumiwa kama uko mikoa mingine au nchi nyingine, Bei ya jiko la single plate kama hili ni Tsh 100,000/= kwa sasa na Double plate ni Tsh 220,000/=. na sufuria zake zipo za aina mbili 1) set ya sufuria nzito ziko 5 na Fryingpan 1 Tsh 150,000/= 2)Set ya sufuria nyepesi ziko 5 zenye mifuniko yake Ni Tsh 65,000/=, Nitafute kwenye whatsup namba 0788198080 kwa picha na maelezo zaidi. Kuna mzigo mpya mwezi huu na bei za promotion kwa bidhaa bora, KARIBU RAFIKI.
@chieffmzirai9896
@chieffmzirai9896 Жыл бұрын
​@@PositiveeyeColtdLPO kongowe Wolf 1400lts Bear 1400lts
@floranchembagula9466
@floranchembagula9466 3 жыл бұрын
Nitakutafuta
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 3 жыл бұрын
Tupigie 0745122229 au whatsup 0788198080
@godlivi
@godlivi 5 жыл бұрын
This is good news mkuu je nikitaka la plate Zaidi ya moja naweza kupata?
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
Bado ya more than one plate, but next yr kwenye march hivi tutakuwa nayo mkuu
@joshuakiwelu7306
@joshuakiwelu7306 4 жыл бұрын
Karibu, unaweza pata la plate 2
@francisbusongo3237
@francisbusongo3237 3 жыл бұрын
Mnapatikana wp? Namba ya simu
@charleschaulo2154
@charleschaulo2154 4 жыл бұрын
Shingapi?
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
Tuko Arusha na Dar, ila popote unatumiwa kama uko mikoa mingine au nchi nyingine, Bei ya jiko la single plate kama hili ni Tsh 100,000/= kwa sasa na Double plate ni Tsh 220,000/=. na sufuria zake zipo za aina mbili 1) set ya sufuria nzito ziko 5 na Fryingpan 1 Tsh 150,000/= 2)Set ya sufuria nyepesi ziko 5 zenye mifuniko yake Ni Tsh 65,000/=, Nitafute kwenye whatsup namba 0788198080 kwa picha na maelezo zaidi. Kuna mzigo mpya mwezi huu na bei za promotion kwa bidhaa bora, KARIBU RAFIKI.
@deusmauka9626
@deusmauka9626 4 жыл бұрын
Zinapatikana wapi?
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
Tuko Arusha, japo tunatuma popote ukihitaji, piga 0745122229/ whatsup 0788198080
@faridaalhabooba5431
@faridaalhabooba5431 4 жыл бұрын
@@PositiveeyeColtd unauzaje kama hilo
@faridaalhabooba5431
@faridaalhabooba5431 4 жыл бұрын
@@PositiveeyeColtdunauzaje kaka
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Tengeneza kama hilo liwe linatumia umeme wa sola yani unafunga sola tuu linapiga kazi
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
Ahsante kwa ushauri tutaufanyia kazi rafiki Tuko Arusha na Dar, ila popote unatumiwa kama uko mikoa mingine au nchi nyingine, Bei ya jiko la single plate kama hili ni Tsh 100,000/= kwa sasa na Double plate ni Tsh 220,000/=. na sufuria zake zipo za aina mbili 1) set ya sufuria nzito ziko 5 na Fryingpan 1 Tsh 150,000/= 2)Set ya sufuria nyepesi ziko 5 zenye mifuniko yake Ni Tsh 65,000/=, Nitafute kwenye whatsup namba 0788198080 kwa picha na maelezo zaidi. Kuna mzigo mpya mwezi huu na bei za promotion kwa bidhaa bora, KARIBU RAFIKI.
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
Ahsante kwa ushauri
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
@@PositiveeyeColtd endelea na utafiti wa kutumia sola
@hamisichuo7222
@hamisichuo7222 4 жыл бұрын
No yangu ni 0677 305295 naitaji kununua naomba no yako au unapatikana wapi?
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 4 жыл бұрын
Tuko Arusha na Dar, ila popote unatumiwa kama uko mikoa mingine au nchi nyingine, Bei ya jiko la single plate kama hili ni Tsh 100,000/= kwa sasa na Double plate ni Tsh 220,000/=. na sufuria zake zipo za aina mbili 1) set ya sufuria nzito ziko 5 na Fryingpan 1 Tsh 150,000/= 2)Set ya sufuria nyepesi ziko 5 zenye mifuniko yake Ni Tsh 65,000/=, Nitafute kwenye whatsup namba 0788198080 kwa picha na maelezo zaidi. Kuna mzigo mpya mwezi huu na bei za promotion kwa bidhaa bora, KARIBU RAFIKI.
JINSI YA KUPIKA WALI KWENYE JIKO LA UMEME LENYE PRESHA (JULEP)
17:17
Induction cooker/Jiko la kisasa la umeme Tanzania
6:52
SuccessFlix Tv
Рет қаралды 20 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 13 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
2 Plate Gas Stove Package
5:30
Gas Connect Zambia
Рет қаралды 14 М.
Jinsi Ya Kutumia Oven Ya Umeme
4:42
Vitamu Jikoni
Рет қаралды 3 М.
TAZAMA JIKO LA KISASA LA KUTOUCH - "HALIWAKI KAMA HAKUNA SUFURIA JIKONI"
13:42
Three water heating systems in comparison
7:37
Experiments Robert33
Рет қаралды 815 М.
Namna ya kupangilia  jiko dogo/Small kitchen arrangement
2:37
Kiki Flame
Рет қаралды 20 М.
#Induction cooker v/s #Infared cooker (#JIKO JANJA V/S JIKO BWEGE)
12:57
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 13 МЛН