BAADA YA GESI KUPANDA BEI WATANZANIA WASHAURIWA KUHAMIA HUKU ''Ni nafuu Haraka Zaidi Ya Gesi''

  Рет қаралды 12,090

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

BAADA YA GESI YA KUPIKIA KUPANDA WATANZANIA WASHAURIWA KUHAMIA HUKU''Ni nafuu Haraka Zaidi Ya Gesi''
Kutokana na Changamoto za kupanda mara kwa mara kwa gharama za nishati ya kupikia ikiwemo gesi Teknolojia ya Jiko la Postve Cooker kwa sasa ndilo jiko la Gharama nafuu zaidi hivyo watanzania washauriwa kuhamia huku ili kupunguza gharama za maisha.
⚫️Jicho Chanya Company,Wauzaji na wasambazaji wakuu wa majiko janja yafaamikayo kama Positive Cooker,
tupo Arusha mjini, Dar es Salaam na Dodoma kwa sasa, ila mikoani tunatuma pia
Kwa MAWASILIANO PIGA:
0745122229 HQ Arusha.
0679222923 DSM
0673222923 Dodoma
WhatsApp 0788198080
INST: @PositiveCooker

Пікірлер: 44
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 2 жыл бұрын
Tukiamia huku nako utaskia umeme juu jamani mbona tutakoma kwani mbona wakati ule hayakuwepo haya ila tumeelewa wakati huu walalahoi atusaminiki mtanzania shtuka 2025
@wachapakazimedia4353
@wachapakazimedia4353 2 жыл бұрын
Nikose kula Mimi naumeme wenu wamgao huo bola niludi kwenye kuni alafu ilo jiko kuota huwezi achana nalo akili mtu wangu
@aminasuleiman8120
@aminasuleiman8120 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣👐👐👐💃💃💃
@joyce55727
@joyce55727 Жыл бұрын
😁😁😁
@twalibmwanavita7852
@twalibmwanavita7852 Жыл бұрын
Nipo zanzibar
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 2 жыл бұрын
Msidanganye watu kwanza wape watu kuwa ni jiko kama Ziada sasa km mnapinga bwawa la Nyerere kujenga nyie pigeni pesa km Tanesko sk zote na hilo kampuni ni la mkuu wenu wa wizara ya nishati ambae kasema hawana uwezo wa kujaza bwawa haaaa kuiga kunya kwa Tembo mtapasuka mshamba watanzania fungueni macho Msidanganye hiyo ni biashara nunua km ni akiba lkn sio la sifa kma wasema yo kwa umeme wa mgawo
@sabatoalmas9426
@sabatoalmas9426 2 жыл бұрын
Inapatikana wapi
@danieltungira3837
@danieltungira3837 2 жыл бұрын
Sh ngap sasa
@bwxmedia5465
@bwxmedia5465 2 жыл бұрын
Mawasiliano
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Kwa umeme huu wa mgao unaeza shinda njaa
@deohaule8161
@deohaule8161 2 жыл бұрын
Wapigaji wameingia mjini kama ishu zile za kukata umeme na majenereta.
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 2 жыл бұрын
Bei ya jiko ni nafuu kiasi gani
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 2 жыл бұрын
Bei gani
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 2 жыл бұрын
Jamani hiyo sio induction cooker.....manake induction inashurt zake.
@highvoltages4169
@highvoltages4169 2 жыл бұрын
Jiko Tsh.laki mbili na elfu hamsini
@emmadeprincetv6133
@emmadeprincetv6133 2 жыл бұрын
Hiyo migao unaikwepaje??
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Yani nchi hii bwana wana pandisha bei kila kitu saahiv
@nurdinikisoma5452
@nurdinikisoma5452 2 жыл бұрын
Bei yajiko ngap?
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Semeni tu mnauza majiko ya umeme bc
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 2 жыл бұрын
Na ambao majumba yetu hayana umeme?
@bwxmedia5465
@bwxmedia5465 2 жыл бұрын
Tunawapataje
@vedastokeya3344
@vedastokeya3344 9 ай бұрын
Umeme ukikata umelala njaaa
@jaquubjummah7538
@jaquubjummah7538 2 жыл бұрын
Ata kenya gasi imepanda sana
@psj1564
@psj1564 2 жыл бұрын
Yahani wenzetu walisha hahanza diku nyingi nyinyi ndio muna hamka poleni
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 2 жыл бұрын
Ma house girl shule
@felisterjames5859
@felisterjames5859 2 жыл бұрын
Yanauzwa wapi haya ma jiko jmni
@Ujenzionline
@Ujenzionline Жыл бұрын
yanapatikana Dar es Salaam Makumbusho.
@pancrasmasesa4248
@pancrasmasesa4248 2 жыл бұрын
Dsm mpo wp weka no ya simu
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 2 жыл бұрын
Umeme rahisi duniani ni wa maji na sola nguvu ya jua sio Jiko waongo nyinyi ni luxaly lkn yanapasuka, pili lazima huwe na sufuria special kwa hicho kikalio na masufuria yake matkoma bei hayo pia dawa special ya kulisafishia na kifaa maalumu cha kulikwangulia kama likidondokewa na tui na nazi au makande kusema kweli nunua km Ziada sio kuwa ni kupunguza bei waongo wakubwa
@fadhilarashidi5184
@fadhilarashidi5184 2 жыл бұрын
Kupasuka hiyo sawa lakini linapika haraka zaidi kuliko gas
@Ujenzionline
@Ujenzionline Жыл бұрын
@@fadhilarashidi5184 nimelitumia kutoka kwa hao JIKO JANJA sijajuta sijawahi kupata shida na ni mwaka sasa
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
Sasa kwa umeme upi 🤣🤣maharage yatavia hapo hapo huku umeme umekatwa ni shida bado tunayo sana tu
@burudaninamatukio5389
@burudaninamatukio5389 2 жыл бұрын
Wekeni Bei sasa
@fadhilamsagati1337
@fadhilamsagati1337 2 жыл бұрын
Laki 3
@zeyzey5439
@zeyzey5439 2 жыл бұрын
Mawa siliano
@mariamkupasya2346
@mariamkupasya2346 2 жыл бұрын
Bei sasa hilo jiko
@hamisimarijebi7913
@hamisimarijebi7913 2 жыл бұрын
Jikojanja liposawa tunakakujua bei
@happyboniphas6186
@happyboniphas6186 2 жыл бұрын
Na je kama umeme ukikatika nisile
@agnestweve7218
@agnestweve7218 2 жыл бұрын
Kama ujasoma Kaka unaweza kutumia?
@PositiveeyeColtd
@PositiveeyeColtd 2 жыл бұрын
Wote wanatumia
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
Nalinunua hukuhuku ughaibuni hilo jiko nakuja nalo 😄ikibidi nanunua na luku hukuhuku nakuja nayo 😂
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g 2 жыл бұрын
Waheedah wapi my wewe upo ?!
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
@@user-sq7pz9ex5g Nipo Afghanistan Najma😄
@zamdahassan2760
@zamdahassan2760 2 жыл бұрын
Bei gani
SHUHUDA WATEJA JIKO JANJA (POSITIVE COOKER) INDUCTION COOKERS TZ)
18:24
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 10 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 78 МЛН
MIKOA HII KUUNGANISHWA GESI YA KUPIKIA MAJUMBANI
4:37
Daily News Digital
Рет қаралды 223
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Mbeyainfo TV
Рет қаралды 8 М.
HILI NDIO JIKO JANJA LINALO PIKA MARA MBILI ZAIDI YA GESI, KUPIKA KWA UNIT "1"
3:50
Odessa Electrical Technology
Рет қаралды 207
Mbinu za uzalishaji Biogas nyumbani. Sehemu ya kwanza
12:35
Jiko Point
Рет қаралды 6 М.
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 01 Julai 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,3 М.
Jiko Janja Single plate kubwa (Full Demo) Positive Cooker
11:30
SuccessFlix Tv
Рет қаралды 3,5 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27