Safi sana mheshimiwa Deus Sangu Mbunge wa jimbo la Kwela kwa ufafanuzi wako uliotukuka.Mungu Aendelee kukujalia afya tele na wepesi katika maisha na katika kuyatekeleza hayo yote unayoendelea kupambana nayo.Unaongea ukiwa mtu unayelijua jimbo lako siyo kama yule anayebahatisha