Jimmy Manzaka-Chozi Langu(Official Music Video.

  Рет қаралды 69,563

Jimmy Manzaka

Jimmy Manzaka

Күн бұрын

Пікірлер: 84
@merymo7102
@merymo7102 5 жыл бұрын
Mfaml warumba kitu kali sana kweli ongera sana manzaka uko juu sana tu nakupenda sana sijuwe ndakupataje
@BahatiKajobile
@BahatiKajobile Жыл бұрын
Mama petit Jesus na mbeya nakupa pongezi ❤❤❤ kazi nzuri sana
@nicholauskadala5537
@nicholauskadala5537 2 жыл бұрын
Kitu kizuri kipo kwa king wa Rhumba 🎶🎧🎤 Jimmy Manzaka kazi safi sana hii
@geremyshadrack9170
@geremyshadrack9170 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 ... Hatariii tupu, rhumba definition
@monikamlacha2309
@monikamlacha2309 5 жыл бұрын
ila ume wanyoosha sana wanao jidai eti ma king wa ovio tu toweni sasa tuone jimmy baba wanyoooshe
@josephbwire
@josephbwire 5 жыл бұрын
Mfalm wa rhumba tz tume kukubali mwenywe wa bango una weza kk chapa kz una weza sana tu tuna kusubiri sana iringa kk mimi mshabiki wako number moja chozi langu nikama ume nihimbia mm mfalm wa rhumba
@diopcala
@diopcala 4 жыл бұрын
Boulon kitoko,, courage mon frére,, son kitoko , bien habille, clip kitoko, arrangement kitoko, voie malacolique naleli
@josephmayunga8212
@josephmayunga8212 5 жыл бұрын
Bana congo kazi nzuri sana cheza rumba mzuri
@ellyskuka7904
@ellyskuka7904 4 жыл бұрын
Niatari
@georgeseremba6359
@georgeseremba6359 5 жыл бұрын
Rhumba la eshima ongera sana mfam wa Rhumba jimmy manzaka kaza buti tanzania tayari umesha tushika siyo siri kk
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 3 жыл бұрын
Mwananchi mwenzangu uyu Kazi anaijua kweli kweli Yangu juu!! Merci Mon frère ,,
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 3 жыл бұрын
Daah! Huyu jamaa analitiririsha rhumba kwa ustadi mkubwa.
@OnlineTvGoshen
@OnlineTvGoshen 2 жыл бұрын
Nouma sana mwananchiii @yanga
@VerysonMbui
@VerysonMbui 5 ай бұрын
Vrai boulot masta felicitation
@PeterJohn-hn4is
@PeterJohn-hn4is 5 жыл бұрын
Mfalm wa rhumba Jimmy manzaka chozi langu balaaaa ongera sana kk
@sheygon
@sheygon 5 жыл бұрын
Mfalm wa rumba song Kali Sana balaaaaa
@amanikissio1238
@amanikissio1238 4 жыл бұрын
Ndiyo tabia mbaya marafiki na sana tu ni wivu!
@mcpambe8063
@mcpambe8063 5 жыл бұрын
"Huwezi lazimisha kitamu kiwe kichungu, hata ukikiwekea kwinini nyingi kupitiliza, bado utamu utabakia tu!" Muziki mzuri siku zote ni mzuri tu. Muziki wa kudumu milele hujulikana toka upandapo hewani kwa mara ya kwanza. Jimmy Manzaka Mtu Rouge umetulia sana katika tungo makini na za uhakika. "Chozi Langu" naona tayari imeshagongwa muhuri wa kudumu kama ilivyokuwa kwa Coco Channel, kazi yako pia; "Vita Imana" yake Ferre; "Fieux de L'amour" yake JB Mpiana. Brother Mtu Rouge kwa kete hii "Chozi Langu" tayari umetoa changamoto kubwa sana kwa wengine kuiomba "Sight" ili wapite. Sisiti kusema kuwa Chozi Langu imekuja kuchuana na Coco Channel, Masaji ya Roho iliyoshindikana kabisa kuondolewa kileleni mawinguni juu kwa miaka kipindi cha kirefu sana hadi sasa. Mwenyezi akuangalie zaidi - Melodi safi, vina safi,...kila kitu kimetulia safi...kideo cha PhDs nyingi sana - God with you always - Hongera sana!
@ibrahlissu2710
@ibrahlissu2710 3 жыл бұрын
Wapi massage ya roho💖💝
@khadijanyoni2457
@khadijanyoni2457 5 жыл бұрын
Mkali wa rumba. Umetisha
@fascolbisidi
@fascolbisidi 5 жыл бұрын
Eza degat Jimmy Manzaka chozi langu nde makambu
@dinnahkimario4587
@dinnahkimario4587 5 жыл бұрын
III songe Kweli Ume nibamba Sana tu Jimmy umesha wachapa ao tayari safi Sana mfam warumba tz
@rosesalvatory5308
@rosesalvatory5308 5 жыл бұрын
Balaaaa iii rumba
@zuhuramwinyi8527
@zuhuramwinyi8527 5 жыл бұрын
Hongera sana Manzaka Mtu Rouge Mfalme wa Rhumba🔥🔥🔥🔥
@elitwazajonathan4283
@elitwazajonathan4283 5 жыл бұрын
Mfalm WA rumba ili kitu balaa kali Sana Keli mashairi Mazuri Melodie tam video quality ongera Sana Jimmy manzaka
@andrickifrenki8842
@andrickifrenki8842 5 жыл бұрын
muziki wa kweli unapakana kwa mfalume manzaka
@ramsosyco6475
@ramsosyco6475 5 жыл бұрын
Umetisha mbaya mzazi
@shakirabeda7232
@shakirabeda7232 5 жыл бұрын
ATALI SANA III WIMBO UJEMBE KALI SANA UUUUUUU
@ramaibazu7049
@ramaibazu7049 5 жыл бұрын
I really appreciate jimmy, kaz nzur
@rwezaulakachuma6551
@rwezaulakachuma6551 4 жыл бұрын
Unaweza mkubwa.
@nicholauskadala5537
@nicholauskadala5537 2 жыл бұрын
Iko pw mno
@francesexavel9518
@francesexavel9518 3 жыл бұрын
Bonge kazi brother 💪💪💪🙏
@mundelemuzuri9623
@mundelemuzuri9623 3 жыл бұрын
kazi zuri sn
@abdulnasor5082
@abdulnasor5082 5 жыл бұрын
nice song jimmy kanzaka mfalm wa rhumba ndani ya tz akuna ubishi nimekukubali sana kk ongera zako wimbo Kali sana uuu atali sana
@annamndeme1116
@annamndeme1116 5 жыл бұрын
Mfalm wa rhumba Jimmy manzaka
@dicksonjackson9947
@dicksonjackson9947 2 жыл бұрын
Noma san
@williamalphonce2320
@williamalphonce2320 4 жыл бұрын
Bonge la Rhumba hongera sana Jimmy
@khatibucarroll5339
@khatibucarroll5339 5 жыл бұрын
Video nzuri sana hongera zako
@juliethberno2303
@juliethberno2303 5 жыл бұрын
Jimmy manzaka mfalm warumba kweli kweli unatakiwa sifa izo nice song nice video cool cool bro
@yanickakilisolo5542
@yanickakilisolo5542 5 жыл бұрын
kazi nzuri kinomA
@tambwetwapanze3136
@tambwetwapanze3136 5 жыл бұрын
Ongera Sana, uongeze bidii
@abuumikazo192
@abuumikazo192 3 жыл бұрын
Naaaaaaaaam
@yusconasser9494
@yusconasser9494 5 жыл бұрын
atari sana jimmy manzaka
@suezanna2690
@suezanna2690 5 жыл бұрын
Walahi hii imepasua mbarika nice vocals muziki taratibu 💕💕👏👏👏
@dinnahkimario4587
@dinnahkimario4587 5 жыл бұрын
Atari Sana hiii ngoma
@zuwainaalmusalami4291
@zuwainaalmusalami4291 5 жыл бұрын
Nice song mtu Rouge
@kjntv153
@kjntv153 5 жыл бұрын
Vrai boulot félicitations DJIMMY Manzaka
@naomiemankuamu4315
@naomiemankuamu4315 5 жыл бұрын
jimmy manzaka uko juu utabaki kua kileleni mambo ni moto
@mansalu112
@mansalu112 5 жыл бұрын
Safi sana imekaa vizul
@iddihashim6724
@iddihashim6724 5 жыл бұрын
Mfalm wa rhumba nice song
@monikamlacha2309
@monikamlacha2309 5 жыл бұрын
jimmy manzaka nice song mfalm wa rhumba
@iddmaduka8986
@iddmaduka8986 5 жыл бұрын
kazi nzur usilewe masifa kinacho takiwa nikuongeza bidii kuvuka malengo hayo ndio yatakuwa mafanikio
@mkomatembo
@mkomatembo 5 жыл бұрын
Maashaallah. Jimmy Manzakka Mtu Rouge Upo Juu mwanangu. Unatisha.
@urasamirisho2651
@urasamirisho2651 5 жыл бұрын
Nakukubali mno jimmy
@debbymwaka4048
@debbymwaka4048 5 жыл бұрын
Kitoko makasi vraiment
@rockyomario9713
@rockyomario9713 5 жыл бұрын
Nice song rhumba Kali sana
@frankemmanuel5643
@frankemmanuel5643 5 жыл бұрын
Aje Fedee umeichek hiyo ngoma kali
@amosmwanga4027
@amosmwanga4027 3 жыл бұрын
Nimeanza kukusikia kupitia nyimbo za dadaang 👉Isha mashauzi👈 anakutaja sana kwenye ngoma zake
@frankemmanuel5643
@frankemmanuel5643 5 жыл бұрын
Dude la kimataifa hongera
@birdmobile3064
@birdmobile3064 5 жыл бұрын
Rhumba kali sana atali sana
@IndexTechnology
@IndexTechnology 3 жыл бұрын
Hii mgoma ungeipa kama dakika 10 hivi rhumba tupuuu
@sedricksonga6003
@sedricksonga6003 5 жыл бұрын
très bien toton
@mendeclassic525
@mendeclassic525 5 жыл бұрын
Bonge la nyimbo
@ahimidiwembise8515
@ahimidiwembise8515 5 жыл бұрын
Safi sana
@yusuphubalali9212
@yusuphubalali9212 4 жыл бұрын
Tupo pamoja.
@leriq1
@leriq1 5 жыл бұрын
Ure killin it mtu rouge 💪🏽💪🏽
@charlesbernard5787
@charlesbernard5787 5 жыл бұрын
hivi kwanini mapenzi unaua, hivi kwanini mapenzi unatesa watu KWANI WEWE NI NANI..... hatari wapi Pambeee
@carolmagessa7596
@carolmagessa7596 5 жыл бұрын
Hongera sana Manzaka wimbo mzuri!sauti na video quality iko vizuri mnoo👏👏👏👏
@selemanimtunguja5080
@selemanimtunguja5080 4 жыл бұрын
Manzaka nouma sana
@boscojames3957
@boscojames3957 4 жыл бұрын
Babu mape tajir nyeupe) manzaka roho yak ni nyeupe km yang pita km treni ya umeme nyota imewaka Wa kuzima ni mungu peke yake sio wanadamu (massage ya rhumba hatar ni balaa
@passypatchico1237
@passypatchico1237 5 жыл бұрын
Mfalme wa roumba mtu rouge Jimmy Manzako's Manzaka
@rhobichacha8584
@rhobichacha8584 5 жыл бұрын
Safii sana,hongera Manzaka🔥🔥🔥
@fadhilimohamedifadhili7505
@fadhilimohamedifadhili7505 5 жыл бұрын
hii kitu atali sana
@mapoziOfGod
@mapoziOfGod 4 жыл бұрын
Keep it up bro, I really love this dude 💯 let your dreams be come right don’t give up
@dinnahkimario4587
@dinnahkimario4587 5 жыл бұрын
Ongera Sana mfalm wa rumba
@khatibucarroll5339
@khatibucarroll5339 5 жыл бұрын
Mimi kinanda tu
@godfreymapesa194
@godfreymapesa194 4 жыл бұрын
Mzee wa white inn,Jimmy mazaka uko vizuri mfalme wa rumba nakupa bgp,wako mzee wa daradara saido camp
@fascolbisidi
@fascolbisidi 4 жыл бұрын
Kitoko trop
@erkenzo5029
@erkenzo5029 2 жыл бұрын
💪💪💪💪💪💪
@richonetv7022
@richonetv7022 5 жыл бұрын
auna mpinzani
@iqramawadh80
@iqramawadh80 Жыл бұрын
1:04 Jimmy manzaka mwananchi
@asiamsangi6270
@asiamsangi6270 2 жыл бұрын
Are
@georgeotete8970
@georgeotete8970 7 ай бұрын
Good rhumba hii imeenda
Jimmy Manzaka - COCO Chanel (Official Music Video)
5:00
Jimmy Manzaka
Рет қаралды 125 М.
Jimmy Golla..Mazoea
4:42
Director B mussa
Рет қаралды 10 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Christian Bella & Malaika Band  - Nakuhitaji
7:07
atalaku
Рет қаралды 99 М.
MJENGONI CLASSIC BAND   MAPENZI YANAUMA OFFICIAL MUSIC VIDEO
4:59
MJENGONI CLASSIC BAND
Рет қаралды 173 М.
Melody Mbassa  - Upepo Featuring Papii Kocha [ Music Video ]
4:53
Melody Mbassa
Рет қаралды 179 М.
Christian Bella - Binadamu ( Lengos V.I.P ) -  [ PARIS ]
3:59
Christian Bella
Рет қаралды 140 М.
FERRE GOLA 3EME DOIGT VIDEO HD EXCLUSIF
7:27
SOUL SQUAD MUSIC
Рет қаралды 16 МЛН
Jimmy Manzaka _Peninah Penzi la Baba DRN ( official Music Video)
4:58
Dully Sykes - Hunifahamu (Official Music Video)
5:19
Dully Sykes
Рет қаралды 259 М.
Makumbele
6:14
Djembe - Topic
Рет қаралды 61 М.
Kabose Bulembi - Elaka (Clip officiel)
7:29
Kabose BulembiOfficiel
Рет қаралды 48 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН