Moja ya kwaya natamani siku moja kuimba nao ni pamoja na hii nabarikiwa sana na Mungu azidi kuwabariki
@HellenMolongwe-dn2gq Жыл бұрын
Jaman Kwa style hii ya uimbaji mbinguni mahala petu 🙏🙏 kama unabarikiwa na hawa watu sema amen ♥️ mfike mbali kirumba SDA choir msije tanga mbali
@abedmutethiaАй бұрын
Amen
@lordorcas9344Ай бұрын
Nzambe na Lola a Mona bino bayembi na Nkolo ❤
@sinzasoundbandtanzania620011 ай бұрын
All Hail the Power of Jesus' Name (DIADEM), nice one from Kirumba Adventist Choir done in Kiswahili language
@mussakolle39529 ай бұрын
barikiweni sana kama makanisa yetu yote tungekuwa hivi tungeongoa sana nyimbo nzuri zinaleta utukufu Bwana awabariki sana
@neemaherman583411 ай бұрын
Kirumba SDA choir your the best❤
@NeemaNdago-cb9er Жыл бұрын
Jaman karibuni Tena season 3 Iko karibu mwez huu wa 12 tarehe 30 hupaswi kukosa Iko moto sana tunalitukuza jina la mungu Kwa utukufu mkubwa karibuni sana kirumba SDA church 🙏🙏🙏
@sunrisetv6110 Жыл бұрын
JINA LA Mungu, zingatia kanuni za uandishi huanza na herufi kubwa .
@salomemaria598810 ай бұрын
Linda música que toca profundamente as nossas emoções. Lembranças de tempos idos. A benção do Pai pra vocês. Nos conhecemos pela fé em Deus m
@beatricemarwa67312 ай бұрын
Amina , hakika temperature Bwana wetu engine yake❤
@LeonardSwai-o9d3 ай бұрын
Leonard swai anabarikiwa sana na uimbaji huuu wa kirumba sda japo me ni mlutheri
@mongetantale71452 ай бұрын
Barikiwa sana Leonard, karibu kwa season 4 december 28
@FloraRingo-xy4qr2 ай бұрын
Karibu sana hata mimi nilikua mlutheri.
@benmwita5555Ай бұрын
Mungu awafikishe mbali
@AndersonMichael-nf6vh8 ай бұрын
Hakika mnauburudisha motor wangu. Mungu azidi kuwabariki . Haha mnooo
@vickylayda6336Ай бұрын
Nimekumbuka zamani miaka ya 7o
@michaelmutiso8936 ай бұрын
Wee very nice song.... Keep up seventh day Adventist choirs wherever you are......" Catholics lets also immitate
@jercilsilva58779 ай бұрын
Amem irmãos comoveu o meu coração de alegria espiritual ai e catico de lovor a Deus Glória a Deus ❤❤
@christinemurunga6696 ай бұрын
Awesome..... I loooove this old time hymn every time I sing it it brings hope to me Indeed to God be the glory
@evarestathumani6 ай бұрын
Tunabarikiwa sana na nyimbo hizi.......gBarikiweni Amina😅😅😅😅😅😅
@YasintaMbwambo Жыл бұрын
Mnanibark sana muende mbal kwa Kaz ya mungu
@DamaliMichael4 ай бұрын
Nabarikiw na huu wimbo ❤❤
@ScarionRupia9 ай бұрын
Hii ndiyo Ibada SASA siyo vurugu vurugu, hapa lazima ujihisi uko umekaa na baba wa Mbinguni mnapiga story.
@aaronbenito414410 ай бұрын
Impresionante y pacificador y aumento de la fe con naturalidad
@yusuphshauri8534 Жыл бұрын
Amina mbarikiwe kwa kubariki wengine kwa nyimbo zenu