No video

JINSI CHOPA LA LISU LILIVO TUA KARATU HAIJAWAI TOKEA

  Рет қаралды 83,812

SIMAMIA TV

SIMAMIA TV

3 жыл бұрын

Пікірлер: 100
@johnmatete3726
@johnmatete3726 3 жыл бұрын
Pa1 na risasi 16, Kichwa kiko smart!!!!!! Kwl vivi lisu👏✌️✌️✌️
@yusuphuabdallah6651
@yusuphuabdallah6651 3 жыл бұрын
Embu Fikil Akili Za KawaiDa Zilimpata lisas Zote 16?
@dicksonteto4495
@dicksonteto4495 3 жыл бұрын
Mungu akulinde kila uendapo lissu pamoja natimu yako
@simonfundi3609
@simonfundi3609 3 жыл бұрын
Mataira ya ccm mwaka huu mtajinyea
@danielernest8588
@danielernest8588 3 жыл бұрын
hahahahahhahaahaaaaaaaaa kweli kabisa aisee
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 жыл бұрын
Popote ulipo tupo Lissu MUNGU akulinde utuvushe mkombozi wetu 🇹🇿☑️
@amiryhemed9029
@amiryhemed9029 3 жыл бұрын
Lisu nidume ameisambaratisha ccm
@sebastiankessy1015
@sebastiankessy1015 3 жыл бұрын
Karatuu mpooooooooooo
@mrbweichum
@mrbweichum 3 жыл бұрын
*KAMA UNAMPENDA LISSU ACHIA LIKE YAKO*
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 3 жыл бұрын
👍
@danielernest8588
@danielernest8588 3 жыл бұрын
Huyu ndio jembee
@mrbweichum
@mrbweichum 3 жыл бұрын
@@danielernest8588 *kabisa*
@mrbweichum
@mrbweichum 3 жыл бұрын
@@khamisjuma5046 *Safi*
@joshuasamson4174
@joshuasamson4174 3 жыл бұрын
Karatu watu ni wengi watu Hawalali yaani
@Lord-Kipsang
@Lord-Kipsang 3 жыл бұрын
Mungu ibariki CDM na Tundu lissu.
@edsonmbilinyi8551
@edsonmbilinyi8551 3 жыл бұрын
So great 😍
@omaryndali6238
@omaryndali6238 3 жыл бұрын
Yan ukiwa unapendwa, unapendwa tu!✌✌🚨
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 3 жыл бұрын
Tundu lisu zamu yako kuongoza Tanzania.
@ramadhanimputa4034
@ramadhanimputa4034 3 жыл бұрын
yani. mpaka nalia. kwa. furaha niliokuwa nayo
@kobelomengi3501
@kobelomengi3501 3 жыл бұрын
Ni yeye mbeba maono 🇹🇿✌️❤️🙏
@marryjohn5509
@marryjohn5509 3 жыл бұрын
Karatu itapata upendeleo mkubwa sana pindi lissu atakapoapishwa kutokana na mapenzi yao kwa upinzani since uchaguzi wa vyama vingi ulivyoanza nchi hii, hawajawahi kufeli ni waelewa afu wanakiu kubwa ya mabadiliko. Tunu yenu iko njiani msipozimia mioyo mtavuna kwa Furaha.
@denisedwardshirimashirima7834
@denisedwardshirimashirima7834 3 жыл бұрын
mungu mwema
@amiryhemed9029
@amiryhemed9029 3 жыл бұрын
Tunafunika inch nzima ccm kwaher
@jeremiahmathayo7984
@jeremiahmathayo7984 3 жыл бұрын
Love you lissu
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 3 жыл бұрын
CCM HOIIIIII, HATA USIKU TUNAPIGA SHOW, FARA ANAEBISHA ASEME.
@abdallahmaurid776
@abdallahmaurid776 3 жыл бұрын
Rais mpya toka chama mpya
@amanafi1288
@amanafi1288 3 жыл бұрын
Kuhusu Ushoga je!?
@geitaamb4152
@geitaamb4152 3 жыл бұрын
Duah!!!!Rais lisu wananchi tunakutegemea sana Ila kwa usafiri huu Si salama kwako maana hawa ccm mmmh!! Mungu ndye Ajuaye.
@shadagadagga9922
@shadagadagga9922 3 жыл бұрын
DJ nmekukubali na nyimbo hizo za mbele!!
@eliasjillanga3158
@eliasjillanga3158 3 жыл бұрын
Watu wa karatu mtamuua Awakii Awakii hasipoangalia atajikuta ameenda chadema kabla ya kura kupgwa
@bonifasjohn6167
@bonifasjohn6167 3 жыл бұрын
Noma
@stanleyshoo3543
@stanleyshoo3543 3 жыл бұрын
Ahsante sana lissu
@salvatorysimkoko7427
@salvatorysimkoko7427 3 жыл бұрын
Tundu lisu mungu akuongozeee mwaka huu zamu yako baba tumeteseka vya kutoshA
@barbranabakooza9589
@barbranabakooza9589 3 жыл бұрын
Jmn mmeichanganya ccm hivi mboni htr hivi karatu hhhhhhhhh
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 3 жыл бұрын
MUNGU NI MWEMA SANA
@violethbasil6854
@violethbasil6854 3 жыл бұрын
Nikiangalia kampen za huyu baba machozi yananitoka ya furaha.. Kama ni Mungu amepanga kuwa wewe uwe Rais wa Tanzania 2020 basi na iwe hivyo
@ezekielerick4729
@ezekielerick4729 3 жыл бұрын
Ww ndo rais mm ndo nikuona kuwa ww ndo taifa letu
@hurumawendo8626
@hurumawendo8626 3 жыл бұрын
Oyooooooo oyoooo
@amiryhemed9029
@amiryhemed9029 3 жыл бұрын
Hili nitatizo kwa ccm
@danielernest8588
@danielernest8588 3 жыл бұрын
@@amiryhemed9029 tena tatizo kubwa sana yaani
@nimahnoizy8068
@nimahnoizy8068 3 жыл бұрын
Raisi raisi raisi
@reginadaudimoshi903
@reginadaudimoshi903 3 жыл бұрын
Ni yeye
@gersonkisamfu7177
@gersonkisamfu7177 3 жыл бұрын
Leo tundu lieu
@abubakaryomary3985
@abubakaryomary3985 3 жыл бұрын
Hadi raha siyo pw
@emmatv1778
@emmatv1778 3 жыл бұрын
This is wonderful
@mudhihirumikidadi6066
@mudhihirumikidadi6066 3 жыл бұрын
Unabusara
@abdullahsultani4377
@abdullahsultani4377 3 жыл бұрын
Tusitegemee kuona watu wengi mtu ukaona hakuna haja yakwenda kupiga kura kumbuka kura yako nimuhimu sana tusidharau nawapenda sana
@yusuphyusuph5048
@yusuphyusuph5048 3 жыл бұрын
Nchi hii kiasi kikubwa kwa serikali iliyo tawala miaka mitano iliyo isha imefanya maendeleo ya vitu ila watu wake tumekuwa na hali ngumu ya kimaisha huku Ajira na hata Vibarua ni shida, sie tunahitaji mabadiliko, peoples 👊✌
@neemambowe2151
@neemambowe2151 3 жыл бұрын
Pambana baba
@emmanuelsawasaw5459
@emmanuelsawasaw5459 3 жыл бұрын
Michezo
@bakarimajombi937
@bakarimajombi937 3 жыл бұрын
Rais wa wachaga nasi tanzania
@msemakwelimdhalendo7782
@msemakwelimdhalendo7782 3 жыл бұрын
HEBU TUAMBIANE SS WASHAMBA HV HILO DUDE MGONGONI KWA HIYO MLINZ NI NN NA HICHO KITAA WANACHOVAA KICHWANI KINA MAANA GANI COZ KILA SEHEMU WANAZO NAOMBA ANAYEJUA ANIJUZE plz.
@yusuphyusuph5048
@yusuphyusuph5048 3 жыл бұрын
Tumaini jipya kwa wa Tanzania wapenda Haki, Uhuru, na Maendeleo ya watu na vitu kwa pamoja✌👊
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 3 жыл бұрын
Hapo Kuna mijitu inataman idondoke ili oyone Aman, dunia hii inamambo
@mahonamichael6437
@mahonamichael6437 3 жыл бұрын
Lisu tukobow
@eliayohana2243
@eliayohana2243 3 жыл бұрын
Jaman daah nashindwa hat kuelezea karatu ilitia foraaaa wanakaratu n shidaaaa tulikuw wengi San ni furaha mpaka tunahis preshaa daaah,kesho tunawakqnyaga
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 3 жыл бұрын
Jaman chukua chako mapema nikiamanisha ccm muwangalienibsana uyu jamaa anaweza kuchukua sehemu kubwa sna ya wabunge nduo serikali ukiwa unawabubge wangu bungeni ndio mwenye serikali jamani jamani ccm kueni makin sana na uyu mtu
@amosjohn7093
@amosjohn7093 3 жыл бұрын
Kama vile naiona serikali ya itakayoongozwa na lissu
@johnjulius3552
@johnjulius3552 3 жыл бұрын
Rais wetu ni yeye
@josephsererya9218
@josephsererya9218 3 жыл бұрын
Jmn kampeni zmenogaaaa
@novaabas4621
@novaabas4621 3 жыл бұрын
.
@abdullahsultani4377
@abdullahsultani4377 3 жыл бұрын
Jamani Jamani kura kwanza ushabiki baadae tumshangilie sababu sababu tunampenda ila tujiimize kwenda kumpigia kura zakimbunga
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
Hata Lowassa alishatumia chopper.
@amanafi1288
@amanafi1288 3 жыл бұрын
Haijawahi tokea wapi we Mwandishi!? Alivogombea Dr Wilbord Slaa we ulikuwa bado huja machua nn!?
@joojombi2341
@joojombi2341 3 жыл бұрын
Kwani ni lake c wamekodi jmny
@rammdee3809
@rammdee3809 3 жыл бұрын
Kichaa hyo hana la kutuambia wana karatu chadema ixhakwixha kbx hatupigi kura ya hurum tunapig kura ya maendeleo
@danielernest8588
@danielernest8588 3 жыл бұрын
Acha chuki za kijinga labda wee ndio kichaa
@abdullahsultani4377
@abdullahsultani4377 3 жыл бұрын
Nawaomba wanachadema wenzangu tujitokeze kwa wingi tukapige kura tusiishie ushabiki tu ili tushinde tukapige kura zakimbunga pia tulinde kura zetu namba ujume huu uwafikie wanachadema oote
@shijaedson9889
@shijaedson9889 3 жыл бұрын
Pamoja
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 3 жыл бұрын
Hii Ni operation finishi Ndani yake Ni kishindo chakaza
@mrbweichum
@mrbweichum 3 жыл бұрын
*Uko*
@mrbweichum
@mrbweichum 3 жыл бұрын
*Hakika*
@annangwaviwamoses2459
@annangwaviwamoses2459 3 жыл бұрын
Mbona hamjawahi kwenda ruvuma?
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
Tutaendaaa
@vincentmapunda3273
@vincentmapunda3273 3 жыл бұрын
Tarehe 24
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 3 жыл бұрын
Atakuja jmn tz kubwa sana. Ratiba ya nec
@vincentmapunda3273
@vincentmapunda3273 3 жыл бұрын
@@christopherjoseph8330 atakuja uyu ni kusudi la mungu na saizi anatumia hardkopter
@ligungaonline576
@ligungaonline576 3 жыл бұрын
Lazima niendeeeee aiseeeeee
@mosesaliy6098
@mosesaliy6098 3 жыл бұрын
H
@magretangel5242
@magretangel5242 3 жыл бұрын
MANYUMBU
@josephmaginga1863
@josephmaginga1863 3 жыл бұрын
Maraya mkubwa
@magretangel5242
@magretangel5242 3 жыл бұрын
NYUMBU unaweza hadi kukoment duh!🖕🖕🖕
@yussufnassor8283
@yussufnassor8283 3 жыл бұрын
Mtetezi wa wanyonge
@kinyozimndarara994
@kinyozimndarara994 3 жыл бұрын
Wewe ni punda
@eliasjillanga3158
@eliasjillanga3158 3 жыл бұрын
We ndo nyumbu la kike
@josephmaginga1863
@josephmaginga1863 3 жыл бұрын
Wajinga ndo watampa kura jambaz wa lumumba
@eliasjillanga3158
@eliasjillanga3158 3 жыл бұрын
Mbna we mwenew jambaz lakin watu hawakusemi
@josephsererya9218
@josephsererya9218 3 жыл бұрын
Wewe mjanja utampa nan??
@josephmaginga1863
@josephmaginga1863 3 жыл бұрын
@@josephsererya9218 haki Uhuru maendeleo
@adamkilasi6241
@adamkilasi6241 3 жыл бұрын
@@josephmaginga1863 kweli jamani mwaka huu tujaribu kubadilika kwanza hali ngumu mno jamani
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 3 жыл бұрын
Noma
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 3 жыл бұрын
MUNGU NI MWEMA SANA
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
OKSII
Рет қаралды 4,5 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 33 МЛН
TUNDU LISSU AWAOMBA WAKAZI WA KARATU WAVUNJE REKODI KWENYE UPIGAJI KURA
3:36
Tundu Lisu Achafua Hali Ya Hewa Hanang  Yataharuki
12:22
kbd msafi_Tz
Рет қаралды 62 М.
Tundu Lissu Aliamsha Dude Sakata la Mikataba ya Madini, Bunge Lachafuka
6:46
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
OKSII
Рет қаралды 4,5 МЛН