Tundu Lissu Aliamsha Dude Sakata la Mikataba ya Madini, Bunge Lachafuka

  Рет қаралды 928,343

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa tiketi ya Chadema ambaye pia ni mwanasheria mkuu wa chama hicho, amekinukisha bungeni baada ya kusimama na kupinga kwa nguvu zote ripoti za kamati mbili za madini zilizoundwa na mheshimiwa rais huku akienda mbali zaidi na kusema kuwa zimejaa uchafu.
Lissu amefunguka kwamba uamuzi wa bunge kumpongeza mheshimiwa rais, si wa wabunge wote bali ni wa wabunge wa CCM kumpongeza mwenyekiti wao.
Akaendelea kwamba wajibu wa bunge ni kuishauri serikali na si kuisifia na kuiimbia mapambio, na kwamba ripoti ya kamati hizo mbili hazipaswi kusifiwa kwa sababu kabla yake, rais mstaafu, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete waliunda kamati ambazo zilikuwa na mapendekezo bora zaidi.
Maneno makali ya Tundu Lissu, yaliamsha hasira kwa wabunge wa CCM ambao mara kwa mara walikuwa wakimzoea, hali iliyomfanya mwenyekiti wa bunge, Mhe Zungu awe na kazi ya ziada ya kutuliza hali ya hewa bungeni ambayo ilishachafuka.
Lissu amesema kwamba mpaka sasa, sheria zote zilizolifikisha taifa hapa lilipo, kuhusu madini, hakuna hata moja iliyorekebishwa ambapo kiwango kikubwa cha madini kinasafirishwa moja kwa moja kutoka kwenye migodi, jambo alilolifananisha na kuzuia mapanki wakati minofu inasafirishwa.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers

Пікірлер: 441
@gidiuskato7722
@gidiuskato7722 4 ай бұрын
Ambao bado tunatazama hii 2024 piga like😅
@edmundisospeter7837
@edmundisospeter7837 4 жыл бұрын
Kama sisi sio wanafiki tugonge like
@luckmanhuxtler8306
@luckmanhuxtler8306 4 жыл бұрын
Ee baba
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 11 ай бұрын
WE MISS YOU. MR TUNDU LISSU AND CHADEMA KWA UJJMLA
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 5 жыл бұрын
Proffosorior rubbush!! Nimekubali!! Unaona mbali
@kagombaEnok
@kagombaEnok 2 ай бұрын
Tundu Lissu ni chumaaaa
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Жыл бұрын
Hicho kichwa cha Moto, ni basi tuu Tz tunakaujeuri
@gidiuskato7722
@gidiuskato7722 Ай бұрын
Favourite speech ever
@nassorsaid2331
@nassorsaid2331 7 жыл бұрын
huyu mzee zungu ana busara sana ye ndo anadeserve kuwa speaker honestly
@veronicazacharia2080
@veronicazacharia2080 7 жыл бұрын
Nassor Said sure
@10th_Uncle_01
@10th_Uncle_01 6 жыл бұрын
William Ruto
@rashidisadala9460
@rashidisadala9460 4 жыл бұрын
Kweli kabsaa
@rozinkinda1607
@rozinkinda1607 4 жыл бұрын
Mbona unaugovi na magufuri
@danieldaniel-lb2on
@danieldaniel-lb2on 4 жыл бұрын
Ndio,
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 11 ай бұрын
MSOMI AKIWA KAZINI 👏🏻👏🏻👏🏻
@juliuskizito8929
@juliuskizito8929 7 жыл бұрын
Big up Tundu Lisu, wataelewa mbeleni wazee wa wanaoafiki Ndiyoooooooooh!
@selestinefrancis8473
@selestinefrancis8473 6 жыл бұрын
Ndiyoooo
@luluamri370
@luluamri370 4 жыл бұрын
Ha ha ha hivi haya madini si ndio yale alisema Tanzania tutashtakiwa tukibadili mikataba, ,alafu tukalipwa si ndio
@sanyamwita1853
@sanyamwita1853 4 жыл бұрын
lulu amri unajua yeye alifikiri Tanzania 🇹🇿 ndyo ile aliozoea ya kuogopa
@steamnature
@steamnature 3 жыл бұрын
@@luluamri370 Ndio hayo hayo
@philimonambilikile6645
@philimonambilikile6645 2 жыл бұрын
Tutakupenda daima mungu akupe nguvu
@daniellyimo636
@daniellyimo636 4 жыл бұрын
Bungeni Tundu Lisu yupo sahihi na ndio Maana yupo hai Ukweli na Uwazi Mungu Ampe Nguvu....
@selemanilila56
@selemanilila56 Жыл бұрын
.
@seniornyungu9718
@seniornyungu9718 6 жыл бұрын
Prudent sincere super intelligent lawyer and member of Tanzania bungeeee!
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
SEMA risu mwanasheriamkuuuu sioweee
@chamlilemhando7478
@chamlilemhando7478 7 жыл бұрын
viva lissu namkubali sana huyu mtu. safi sana
@nyawawawanyawawa935
@nyawawawanyawawa935 7 жыл бұрын
Cham Mhando Yeah waweza mpa mkeo
@kitabwana9741
@kitabwana9741 5 жыл бұрын
Jamani lisu nakuombea upone mapema uka vizuri sana
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 3 жыл бұрын
Unaikumbuka hii komenti yako? Bado unamkubali lisu?😅😅😅😅😅😅
@priscusaugust7251
@priscusaugust7251 2 жыл бұрын
@@nyawawawanyawawa935 shoga wew
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Hawa ndiyo watu wanaotakiwa kua bungeni siyo iyo migonga meza hovyo
@athuimansaidi6525
@athuimansaidi6525 4 жыл бұрын
Huyu jamaa magufuri ampe nafasi watafanya kazi nzuri
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 7 ай бұрын
Yaani magufuri angempa nafasi huyu jamaa
@amosmerama3680
@amosmerama3680 4 жыл бұрын
I'm proud of tundu lisu,maneno ya mwenye haki hudumu milele
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Binafi Mimi in msomi Nina mkubali lisu
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 4 жыл бұрын
Mbona tena leo anawatetea wezi
@moingety.kaleku8849
@moingety.kaleku8849 4 жыл бұрын
Amewatetea kwa lipi kaka
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 11 ай бұрын
Hongera kwa ujasiri
@delebm543
@delebm543 7 жыл бұрын
mwenyekiti safi kabisa unauelewa mkubwa sana hongera sana pia lisu hongera sana
@mariagoletalex9439
@mariagoletalex9439 5 жыл бұрын
Dele BM
@willeydavid2108
@willeydavid2108 3 жыл бұрын
We miss you TUNDU LISSU 😭😭
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 3 жыл бұрын
Baba Mhe Tundu Lisu ludi nyumbani sasa kazi tumemaliza. "Rabsh tupu" mnazuia makemikia mnaruhusu minofu ya dhahabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 Жыл бұрын
i miss this stuff
@aloycemwakatala2634
@aloycemwakatala2634 4 жыл бұрын
Zungu nakukubali sana linda muda wa Lissu na vinginevyo.
@saudatoller642
@saudatoller642 7 ай бұрын
Daah yaani wabunge wanamkejeli mtu ambae anapambania taifa
@kelvinalex5644
@kelvinalex5644 7 жыл бұрын
hakuna kama Lisu hapa tz mtabakia na ubishi 2 ila ukweli uko palepale
@tecnof1232
@tecnof1232 5 жыл бұрын
Dadaktaa!
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 4 жыл бұрын
Kabisaa hakunaa
@husenijryahya5232
@husenijryahya5232 4 жыл бұрын
Haipingiki mkuu
@shanelisessoa6319
@shanelisessoa6319 4 жыл бұрын
Naunga mkono hoja na watoto woote walio zaliwa 7 septemba mwezi aliopigiwa risasi tuliwaita Tundu Lissu kama ishara na kmb ya mkongwe huyu adim na adhiim Tz
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 4 жыл бұрын
Safi Sana Lissu, spika safi sana, kushoto kwa Lissu ashahamishiwa xxm..Viva Lissu
@imranijuma6955
@imranijuma6955 2 жыл бұрын
Dah MAGUFULI alimkosea huyu
@sniper93999
@sniper93999 3 жыл бұрын
Kuna watu wanabusara sanaaa yaaan ww mwenyekit saf sana
@abdallahibrahim2264
@abdallahibrahim2264 6 жыл бұрын
Yuko sawa lisu
@athuimansaid1369
@athuimansaid1369 4 жыл бұрын
Mungu ndoo anajua
@vanessagoodluck7176
@vanessagoodluck7176 6 жыл бұрын
Daaaah, baada ya hapa walimpiga risasi aseee, ila Hakuna mwana ccm atakae onja ufalme wa mbingu kwa wanayo yafanya.
@hilaliissa5056
@hilaliissa5056 5 жыл бұрын
Ki r0 .
@hilaliissa5056
@hilaliissa5056 5 жыл бұрын
-
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 4 жыл бұрын
Ukiambiwa thibitisha kuwa ccm wamempiga Risasi unaanza oh naonewa oh freedom of speech yaani
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 4 жыл бұрын
@@masebtommy1863 ni mpuuzi,inamaana hujasikia alichokisema huyo Lisu,au akili yako ndio hio imejaa ukungu.
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 4 жыл бұрын
@@masebtommy1863 akili ya kishenzi ndio umeibeba kichwani
@edmundisospeter7837
@edmundisospeter7837 4 жыл бұрын
Tundu lissu your always bright feel strong every don't bother at their intenty
@israeleliah7163
@israeleliah7163 4 жыл бұрын
Silinde ualianza usaliti mapema hata makofi haupigi fala kweli ww
@badymedia9648
@badymedia9648 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 5 жыл бұрын
Eti Leo mlemavu ama kweli dunia ni mapito mungu unipiganie Mimi mja wako ...but mliomfanyia upsnga utawarudia tu.
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Aliokuwa anawachongea hapo akarudi kuwatetea, kimsingi ni myumbishaji tu MPIGAJI. Akisha chochea anajua serikali zile za kuogopa kufuatilia WAKOLONI WETU WA ZAMANI yeye anapata gap la kujifanya nawatetea wekeni MZIGO, analipwa anakaa kimya na inaisha hivyo anawaambia AMEWATETEA. sasa trip hii kachokonoa serikali ya Tanzania halisi isiyo na woga na yenye kujiamini, MIKATABA imepitiwa na serikali imeamuwa kujua kila kitu kuhusu MADINI kabla hayajakwenda popote, JAMAA walishalipa wakasikia kelele za kutetewa tu alafu MCHANGA pia umenasa port, mmh hivi UNANICHONGANISHA, naanza kushughulikiwa unaniomba pesa ukidai nikikupa utanitetea, NAKUPA pesa, alafu kila siku naona NAZIDI KUSHUGHULIKIWA ZAIDI na ww bado unasema ongeza pesa kidogo UTAKUWA SALAMA TU, nakupa pesa lkn nazidi KUSHULIKIWA ZAID NA ZAID NA NINAPATA MAJERAHA KILA KONA..... nakufuata unasema NGUVU ZA SODA HIZO tulia utakuwa salama tu....... Ukishachonganisha, nikashughulikiwa na ukala pesa yangu na usinitetee chochote alafu unachukulia easy tu MIMI NAKUFANYAJE ?
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb Жыл бұрын
Sio mlemavu wa akili kama wwe
@evancemosha7862
@evancemosha7862 7 жыл бұрын
safi sana km list uno vizur
@hamisyahaya9504
@hamisyahaya9504 4 жыл бұрын
Daah lisu mungu akujalie sana we nikiungo
@jaksonjulius9010
@jaksonjulius9010 4 жыл бұрын
Genius Lissu
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Nchi ya hajabu!! Yaani mnakula posho kupitisha azimio la kumpongeza Magu kwa kuunda kamati makinikia??? Unafiki!! Wewe ni mkweli aiseeee!!!
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 4 жыл бұрын
Hapo ni wapi amepingaa? Hivi wa tz wana ccm kwwli mnazo akili za kujua mema na mabaya kweli,,duh,,kosa kila kitu lakini usikose akili.
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Kuzuiwa mapank minofu inakwenda uuuuwi!! Hizi akiliii????
@nasibumatutera786
@nasibumatutera786 2 жыл бұрын
Mh. Tundu Lisu Mwanasheria mkubwa sana msema ukweli hakika hatatokea kama wewe labda kizazi cha Millennium ijayo congratulation be blessed.
@DanielDaniel-ey8th
@DanielDaniel-ey8th 7 жыл бұрын
Message sent.
@jessykaelus1579
@jessykaelus1579 7 жыл бұрын
Jembe langu hilo: nakukubali sana sana.
@renatusvedasto1201
@renatusvedasto1201 5 жыл бұрын
tunaitaji akna lissu zaidi watu kama away ni muhimu
@ericklaizer1696
@ericklaizer1696 4 жыл бұрын
Moto💥 unafaaa saana wew jembe ukwel ckuzote unauma
@KilusuMigaro
@KilusuMigaro Жыл бұрын
Mpe lissu aongee apiganie bandari yetu
@silasfaiwelo4114
@silasfaiwelo4114 4 жыл бұрын
Hahaha gonga like kwa lisu
@allanothuman2941
@allanothuman2941 4 жыл бұрын
Yaaan tanzani yetuu ingekuwa na kina lissu na zitoo wengi tungefik mbalii sanaaa pamoj na kipumbaa tungekuwa mbali balaaa
@fortunatusphilimon8992
@fortunatusphilimon8992 2 жыл бұрын
Asante
@jamesmedard5538
@jamesmedard5538 7 жыл бұрын
Asante Mh.Lissu ujawai kukosea ata malamoja.
@RashidRashid-on4fh
@RashidRashid-on4fh 4 жыл бұрын
Jamaa kaongea ukweli alafu manyumbu wa ccm wanakata sababu wao wakiambiwa hv wote sawa ndo faida ya upinzani
@MatindeMatinde-mn8dc
@MatindeMatinde-mn8dc 4 ай бұрын
Kweli
@frankkaiza3658
@frankkaiza3658 4 жыл бұрын
Uongozi unatakiwa ivo mwenyekiti tulia msikilize lisu apo msema kwer wa mungu mbeba maono!
@eliassingoi7565
@eliassingoi7565 2 жыл бұрын
Mashine ya kazi👏👏👏👏
@0685-z3e
@0685-z3e 4 жыл бұрын
Kweli kabixa lissu umeongea ukweli kabisa
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 7 жыл бұрын
hamuwezi kuwa na akili ccm bila kupata mikiki mikiki kama hii... the guy is challenging u... cha kufanya ni kututhibitishia anasema uongo kwa kuonyesha hiyo asilimia 95 sio kweli inaondoka.
@alinanusyemwatukambo7908
@alinanusyemwatukambo7908 6 жыл бұрын
We we acha uwongo
@consolatamaarufu6762
@consolatamaarufu6762 7 жыл бұрын
jaman mm naomba tuelewane kwamba lisu hajawahi kuingia mkataba na na mwekezaji yeyote sasa kwanini analaumiwa?
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 4 жыл бұрын
Tundu ni baba lao jamaa anajua kujenga hoja
@vicentmayanda3935
@vicentmayanda3935 4 жыл бұрын
lissu anajua sana my role modal
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
We miss you brother
@mamafaiza2651
@mamafaiza2651 4 жыл бұрын
Duh
@athuimansaidi6525
@athuimansaidi6525 4 жыл бұрын
Acha aseme ukweli yamezidi unafiki ndoo maana magufuri anayatumbua Mengine humo
@JosiaWmela
@JosiaWmela 14 күн бұрын
Mda wake umeisha vzr sana
@helenamapunda5848
@helenamapunda5848 5 жыл бұрын
Hongereni singida mashariki
@GodianGamanywa
@GodianGamanywa 2 ай бұрын
nakukubali sana baba 3:03
@danielernest8588
@danielernest8588 4 жыл бұрын
Hakuna mtu imara kama Tundu Lissu huo ndio ukweli kabisa
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 4 жыл бұрын
We miss him
@jumachacha2731
@jumachacha2731 4 жыл бұрын
Nakukubali sana lissu ingawa m niko ccm aise big up sana
@YustaMwanjela
@YustaMwanjela 5 ай бұрын
Nakuubari mh lisuu
@jocefstephen2475
@jocefstephen2475 4 жыл бұрын
mbona kama nimeskia "mfanyeni kiwete huyo!"
@prosperjuma4993
@prosperjuma4993 2 ай бұрын
Naam
@EcoEssence_wellness
@EcoEssence_wellness 7 жыл бұрын
Sure
@bakaryngoneke5606
@bakaryngoneke5606 22 күн бұрын
Kwakweli pesa zilizomsomesha tundu lisu zilifanya kazi yake kila lakher tundu lisu ishi sana mpaka wajukuu wakuanue
@leonardmwita442
@leonardmwita442 4 жыл бұрын
Yap waambie kazi kuchukua posho tu
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 4 жыл бұрын
Kazi ya kusimamia wabunge wa Tz ni ngumu sana
@mbesinghabi1994
@mbesinghabi1994 2 жыл бұрын
Umewahi kuangalia bunge la Kenya 😂😂
@MchotaOnline
@MchotaOnline 4 жыл бұрын
2020 LIKE HAPA
@jamesharrison1553
@jamesharrison1553 4 жыл бұрын
We miss you
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 4 жыл бұрын
Rudi mwanaharakati...mchango wako ni mkubwa na mhimu ktk nchi...hii n nchi yetu ote
@mamafaiza2651
@mamafaiza2651 4 жыл бұрын
Nikipitia hizi bunge kukuangalia rais lissu mtarajiwa naingiwa na imani sana utatuvusha salama na wewe ndio itakae kuwa rais wa wanyonge
@athuimansaid1369
@athuimansaid1369 4 жыл бұрын
Lissu anaongea kwa hasira kwani anaona mambo sio mazuryanayofanyika
@paulowangoma4932
@paulowangoma4932 Жыл бұрын
The term Professorial Rubbish stands today. Wanajitetea kwenye kesi Leo hii wanasamea in 2013 we (Tanzania) were lenient to Investors. 😂
@dickykagusu686
@dickykagusu686 3 жыл бұрын
Angekua ndugaiii
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 5 жыл бұрын
Aaaaah aaaaah Lissu ni noma aseeee...
@shanelisessoa6319
@shanelisessoa6319 4 жыл бұрын
Pombeeeeei tunataka mdahaloooo na Tundu LISSU Na cccmmmmm RUSHENI HOTUBA ZA MIKATABA ZA WA BUNGE WA CCM MAVI NA CHADEMA NGUVU TUONE
@abednego3876
@abednego3876 4 жыл бұрын
Lisu hana hadhi ya kukaa na jpm sehwm moja. Saiz yake ni katambi.
@PaulKivisile
@PaulKivisile Ай бұрын
lazima mkiwashe kama hivyooo
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Subhanaallah huyu Tundu lisu ana penda kutukana sana
@bakariali4026
@bakariali4026 7 жыл бұрын
mtakuja kumkumbuka uyo lisu kwani mushamzomea mara ngapi ,pamoja na zito mwisho munajishuku wenyewe?
@kherysalum638
@kherysalum638 6 жыл бұрын
huyo ndo lusu
@EmanuelyAugustino-jz1dw
@EmanuelyAugustino-jz1dw 3 ай бұрын
Jmn Hadi machizi yananitoka juuu Hawa ccm..siwapendi
@afredyohana356
@afredyohana356 4 жыл бұрын
Mungu ametupa zawad
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 Ай бұрын
hili ndo lilikua bunge la moto kweli sio la sasa hakuna wanachofanya bora hizo hela ziende mahospital
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 4 жыл бұрын
Tundu watanzania wengi akili tunakuelewa mtu 1 tu anayubishwa ccm nzima
@kelvinkiria7852
@kelvinkiria7852 4 жыл бұрын
Waeleze bb ukweli
@matumizitonny1841
@matumizitonny1841 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@piuslugata4931
@piuslugata4931 6 ай бұрын
Subilieni mwakani wapizani watakuwa wengi sana
@abednego3876
@abednego3876 4 жыл бұрын
Huyu ndy mwakilishi mkazi wa Waizi wa madini na rasilimali Tanzania. Bwana Mashavu PUMBAV KWELI
@kulwajames4178
@kulwajames4178 7 жыл бұрын
yani kuna mda huwa naona wabunge wa ccm hawajielew
@selestinefrancis8473
@selestinefrancis8473 6 жыл бұрын
Kabisa
@samsondecoman983
@samsondecoman983 6 жыл бұрын
Uyu mwana ume niadhina ya taifaaa.
@ndenimasawe7258
@ndenimasawe7258 2 жыл бұрын
Tundu namkubali san anaongea point
@this_is_joeh
@this_is_joeh 4 жыл бұрын
Sawa baba wape ukweli
@hannajoseph645
@hannajoseph645 Жыл бұрын
Mmmmm
@bakariali4026
@bakariali4026 7 жыл бұрын
katiba wanapitisha wao kisha wanazomea awa vp
@selestinefrancis8473
@selestinefrancis8473 6 жыл бұрын
Kweli mkuu
@ntegrity277
@ntegrity277 4 ай бұрын
Muda mfupi baada ya huu uchangiaji Lissu alishambuliwa Kwa risasi
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'
17:29
Millard Ayo
Рет қаралды 378 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,3 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 48 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
BAJETI KUU 2017/18:Tundu Lissu amgusa JK
7:49
Mwananchi Digital
Рет қаралды 121 М.
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 311 М.
Tundu Lissu- ccm ni Fashist
8:22
el battawy
Рет қаралды 69 М.
“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche
9:21
Tundu Lissu alivyo fyatuka Bunge la Katiba
6:02
Chadema Diaspora
Рет қаралды 345 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,3 МЛН