Рет қаралды 13,932
Kwenye sehemu hii ya #ChillnaSky, Madee anamzungumzia binti yake kipenzi Chonge na jinsi alivyo karibu naye na pia anasimulia kisa cha aliyewahi kuwa mpenzi wake, Pendo aliyefariki kwa ajali ya gari mwaka 2009 akielekea chuoni Dodoma