2023 bado tunamkumbuka mwamba thank you my brother madii❤❤❤
@shabirseiph9 ай бұрын
R.I.P magufuli ndo raisi anae ishi katika moyo mpaka leo pumzika kwa amani huko ulipo
@abdaiiyatv75703 жыл бұрын
Tunaoangalia nyimbo hii baada ya kifo cha magu tujuanee😭😭😭
@jumaamfaume79053 жыл бұрын
Innalillah Wainnalillah Raji'un
@grorynoel91533 жыл бұрын
Mim wakwaza kwakweli hi nyimbo hitakua story milele
@gracekaaya41083 жыл бұрын
😭😭
@kelvinmartin62963 жыл бұрын
Daaaah yaan acha tu broh
@dismasvalerian61653 жыл бұрын
Niko
@jamesmboya17623 жыл бұрын
Ni kama uliona mbali Madee, you praised his good deeds while he was alive....Salute sana! Naisikiliza hii ngoma kila nikipata muda.
@amourtemu31252 жыл бұрын
Ngoma kali sanaa
@allymdoe734 Жыл бұрын
Ngoma kali sana
@chrissjoel77523 жыл бұрын
*Ziliimbwa nyingi kumsifia mwambaa 💪 ila hii nathubutu kusema ndio baba wa zoote nitasikiliza Leo mpaka keshokutwa 😢😢😢😢😢 RIP MAGUFULI*
@kasimumughuna2013 жыл бұрын
Mliokuja hapa baada ya kifo Cha mwamba wetu JPM tugonge like za R.I.P
@Donrugi3 жыл бұрын
Wangapi tumekuja hapa baada ya msiba wa mh John pombe joseph magufuri 😭😭. PUMZIKA kwa Aman Rais wangu tutakukumbuka daima 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@yohanabundala91622 жыл бұрын
Huu wimbo nilikuaga sijausikiliza vizuri nitaendelea kusikiliza hadi 2100 big Up Madee kwa kutoa bonge la ngoma, R.I.P Magufuli tutakukumbuka daima
@hamissimonami25193 жыл бұрын
Guys lets make this song goes viral, seriously hii ndo nyimbo bora peke ya udhun na furaha dediket Mh rais john R,I,P
@lucasmhagama81663 жыл бұрын
Nimerudi hapa kusikiliza hii hadithi baada ya baba yetu kuondoka Pumzika kwa amani Rais wetu😭😭😭😭🙏🙏🙏
@scoobydoo78443 жыл бұрын
Bye
@pendowanje87223 жыл бұрын
Madee kwani ulihisi mzee atatutoka,,,,,hii hadithi imekua kweli😭😭pumzika kwa amani Baba yetu Magufuli
@saraphinamtagawa16723 жыл бұрын
Naiangalia saiz Mungu mpunguzie adhabu ya kaburi Rais wetu
@alanmateke56704 жыл бұрын
Kama unaupenda wimbo wa madee namuonekano wake mpya naomba like zenu👍
@charlesrichard72704 жыл бұрын
Iyo beat nyuma inaitwa lavie ne mente inahudhunisha sana 😌
@dirakidaramadhani3694 жыл бұрын
K
@stanlee95413 жыл бұрын
D
@vailethfunga2683 жыл бұрын
@@stanlee9541 tano kwa madee
@emanwelmwambyelaemanwelmwa89623 жыл бұрын
izo like mnapata ela au
@OscarCharlse Жыл бұрын
Nimependa tazama this video kwasababu is like a story book. hakika itaishi .
@hassanbusara2773 жыл бұрын
Hii nyimbo Kali Sana ... So much CREATIVITY. respect MADEE
@kelvinmhanga30524 жыл бұрын
Ukisikia usanii ndo huu much respect bro you use big think to pruduct that(kelvin kibadango njombe boy ) gonga like twende mbele
@nkomyajohn42714 жыл бұрын
Kama umegundua wimbo umetabili ya miaka ya mbele, ikiambatana na wafanya kaz Kama Rais magufuli, like plz
@hilamrelated94353 жыл бұрын
Nani kaja hapa baada ya kusikia raisi wetu Magufuli ametutoka🥺
@mussampalo94543 жыл бұрын
Mimi
@anzikisweta7713 жыл бұрын
Mimi
@malayikanepo7883 жыл бұрын
Tuko hapa
@rahmahassan75103 жыл бұрын
Tupo hapa
@simonsweka73053 жыл бұрын
2060... Hadithi imekuwa kweli17.3.2021
@baltzrluus32874 жыл бұрын
wengi wamemuimbia JPM kwa ajili ya kampeni, ila jamaa ameimba kwa ajili ya kumbukumbu ya kudumu. Nadhani hata wapinzani wamekapenda haka kawimbo sema wanasikilizia utamu kimoyomoyo.
@mobaisa17044 жыл бұрын
Iko kikampen hio,, Jiulize kwann wasanii wengi wameimba sifia kipind hik cha uchaguzi
@ahmedishabani91024 жыл бұрын
Atakama kikampeni ila jama kaimbasan
@shaabanramadhan67704 жыл бұрын
Jamaa m bunifu san
@shaabanramadhan67704 жыл бұрын
Hii itaishi san kutokana imemsifia kwa historia yaan nikutu ambacho kitaishi san tofauti na wale walio imba kitu ambacho kilichopo yeye kitu kilitokea kipindi cha ujana wake
@RazzoPopular4 жыл бұрын
Kabisa yani
@danfordmwingira85123 жыл бұрын
Madee tumerud kuhakikisha kama hii nyimbo bado ipo but thanks kwa kuwa na jicho la tatu 👏👏👏
@issasonco2333 жыл бұрын
Kama unaskiliza wimbo huu kpnd hch mpendwa wetu Hayat magufuli ametutoka na kuhuzunika kama mm gonga like twende sawa...maana n wimbo mzuri wa kumuenzi tangia yuko hai mpaka daima na milele
@lasconyundo78752 жыл бұрын
I usually listen this song with a lot of emotions till I can not hold my tears, some time many questions I ask myself but we cant rectify what happened. Kilicho baki tutende wema kama yeye kwa huu muda wa neema tuliopewa na Mungu.
@tamjidimoshi6704 жыл бұрын
Nyimbo ni nzuri sana wazo ni kubwa mnooo hongera big thinker MADEEALI
@lameckgunze63763 жыл бұрын
Kweli "Dunia tunapita" mtu anaona nyumba ya Diamond tu kwene hii nyimbo na ukubwa wa msiba huu duuuh ! R.I.P Mr. PRESIDENT God is LOVE
@wasaficomedytvamour59774 жыл бұрын
Daaah ngoma Kali Sana nime irudia mala nne na saivi kwenye kichwa changu namba 1 on trending
@schoolshamba3 жыл бұрын
Sema madeee nyimbo nlikua nawaza kwa nn uliipa jina la 2060...Leo nimeelewa pumzika kwa Aman anko magu
@schoolshamba10 ай бұрын
Mpka nakufa kila nikimmisi magu ntakua nasikiliza. Na kujakukoment kwenye komenti yangu
@Recap123 жыл бұрын
Mzee alifanya mengi kweli daah 😭😭😭
@khanboe4585 Жыл бұрын
Sema kaka madee uliimba wimbo mkubwa sana hii ni hadithi
@victormarcel40403 жыл бұрын
Dah hii ngoma ndo bora kuliko,madee Msanii aliyeingia studio akasifu kaz ya rais akiwa hai..wasanii wengne unafiki na kufata mkumbo tu kujifanya kutunga nyimbo za sifa baada ya magu kufa..Hii ngoma itaishi..R.I.P MAGUFULI
@chimpaanamtemawingo63553 жыл бұрын
Medee umetisha ,nimependa kukuita medi Namaanisha ww Ni maji,umetisha ,bonge moja la song.Ww kweli MR MADEE.
@shamewakitaa67513 жыл бұрын
Rest in Peace Dr John Magufuli akika ulivyotuachia tunaviona Rais Wetu
@mwinyimwinyi4763 жыл бұрын
Madee kama ulitabili kifo cha mzee wetu kwa hii ngoma yako lala salama Rais wetu mpendwa
@alinotilucamoris61893 жыл бұрын
Lala salama Magufuli, Mungu akuepushie adhabu za kaburini inshallah 🤲🏾 😭😭❤️
@mohamedmwinyi2133 жыл бұрын
Kwer mungu ampumzishe uko aliko
@kudratkadawi68813 жыл бұрын
💕😭😭😭
@boazmwaipopo863 жыл бұрын
Baba umetuacha tunalia watoto wako mpaka wanatufuata masikini kwenye akauti za simu masikini cjui tutunze wapi ela
@keydeemasinga69863 жыл бұрын
Madee the legendary.!!!
@myfuraha9363 жыл бұрын
Hii nyimbo nimeijua baada ya msiba. Hakika imebaki hadithi daima tutamsimulia shujaa wetu. R.i.p baba yetu, mtetezi wa wanyonge, rais wetu kipenzi JP Magufuli.
@JaxsonLukuwi-hi8pr7 ай бұрын
2024 Kama unasikiliza gonga like
@mohamedmwinyi2133 жыл бұрын
Mungu akuweke mahala Salama jpm umeacha pengo ambalo halito zibika
@salomemlagila57573 жыл бұрын
U wimbo umeniumiza baada ya kifo chake , really story
@AbasOmari-g6r27 күн бұрын
Huyo ndo raisi wetu mpenda haki mungu amlaze mahali pema🙏🙏
@mbcgrams54153 жыл бұрын
Hii ni nyimbo bora sana Madee deserve a trophy for this🙏
@thadeusmahendeka44663 жыл бұрын
Madee Asante kwa Kumbukumbu nzur kwa Hayat Rais wetu. Hii nyimbo itaishi Milele. Hii ndio Nyimbo bora ya Hayat Rais Magufuli 🙌🏾. #2015 - 2021 was here!!
@pamelamarck36233 жыл бұрын
Pumzika baba tulikupenda ila mungu kakupenda zaid daima utabak miyoyon mwetu rest in peace our father❤❤❤❤❤❤
@cdadysmart50354 жыл бұрын
Hivi mavocalist wanakwa wapi . Au watu was hiphop sana IQ kubwa ya kufikiria na kuandika bars za hatari..??kipindi cha corona vocalist wakapiga kelele with value less punchline.. TUCHATI YA ROSTAM IKAWA NGOMA ..Now election campaign waimbaji hawana ngoma zaidi ya kubadili melodies za hit zao..MTU MZIMA MADEE Kaonyesha hiphop INA mipango ..BEST ELECTION CAMPAIGN SINGLE AT ALL TIMES ..HOngera bro @madee ..gonga likes kama unaunga mkono hoja ..years teach a lot that days never knew I'm watching this song every now and then ...I'm in USA ..But I'm proud of my mother Country TANZANIA
@slimpirate60204 жыл бұрын
Huyu ni madee ama Lowasa🤔🤔🤦♂️🙏🙏😂 una shabiki mmoja kutoka 🇰🇪 kenya ❤️❤️🔥🔥🔥👏👏👏 🇹🇿
Hongera na asante kwa hii gift baba chonge. Tutaidedicate kwa wajukuu wetu pia. RIP JPM
@ourafricatv90083 жыл бұрын
😢😢😭😭😭😩😩🤯💔🕊️ nakupenda Magufuli Mungu akulinde huko peponi
@NasimaSaidi-zm4mi Жыл бұрын
Tunamkumbuka shujaa wetu daaah
@Hanskapella3 жыл бұрын
Daaah itabaki kuwa hadithi kweli kwa kizazi kijacho.
@PeterLyimo-pp3mn Жыл бұрын
Jaman madee uliona mbal inatakiwa umpe bigap mtu yuppo hai ongera kaka
@kareemmadusa4039 Жыл бұрын
2023 on air alioiangalia hii ngoma baada ya madee kuacha mziki gonga like hapa
@lucasjames21024 жыл бұрын
Bonge LA ngoma ngoma Kali mno yan inamsisimuo franiiv inafaa san kusikiliz na kua kumbukumbu ktk maisha yote yenyemuonekano hai na usio kua hai
@kimpalambapj3 жыл бұрын
I don't know what can I comment here to mean my heartfelt appreciations since this is the heaviest creativity. Bravo!
@saliminingala9348 Жыл бұрын
Baba we mkali hii ngoma itaishi Zaid ya miaka 1000 moyon mwa watanzania
@ancilangailo68873 жыл бұрын
R.I.P Rais magufuri kwa kweli tutasimulia hadithi sana
@samweliisacky32492 жыл бұрын
Hii ngoma inaishi naisikiza kila mala napopata muda Madee wewe nimsanii na usanii wako ni kipaji na sio bahati Uliona mbali brother
@Anti-zionistboy43273 жыл бұрын
madee vp ulijua mzee wetu atatutoka ama? hii nyimbo pia inatuliza pale baba etu anapo ongelewa vbaya na mazuri mengi tunayaona kwa macho( hakika duniani tunapita tu)
@abubakaliyahaya29683 жыл бұрын
Yan m mpka huwa nalia kabisa
@uwezoamani22364 жыл бұрын
Hii funga mwaka hii ngoma itaishi milele imeka kama kumbukumbu ya awamu ya tano itaishi sana zaidi ya umli wa madee ova
@feyzalyusuph143 жыл бұрын
Hii ngoma nuksi mzee wote wametoa ila hii kiboko🔥🔥
@RazzoPopular4 жыл бұрын
Nyimboo Kali kinoma madee unajua Hadi unaboa sema tuu hip-hop bongo haina power hii inabidi iwe 1 trending
@adamabdallah60214 жыл бұрын
Huu ni ubunifu wa hali ya juu.... Kama unaamini kwa uwezo wa MWENYEZI MUNGU.. 2050 utakuwa HAI na kuiona tanzania mpya 2020-2050 LIKE NA COMMENT "AMEN"
@moseschansamukupa45063 жыл бұрын
Pole Sana wanainchi wa TZ..Rais wa Afrika..Lala Salama Rais..With Love from Zambia
@husseinally20224 жыл бұрын
Bonge la chupa ujumbe pia ndio nomaaaa kabisa umetisha mze bb
@misapinamiswi57513 жыл бұрын
The only song that will always be remembered madee you did with your heart .... may GOD bless you Allah Allah zaidii
Hii ni Kali kuliko zote ulizowahi kusikia, like kama unatamani kufika 2060 in shaa Allah
@abubakaliyahaya29683 жыл бұрын
Inshaallah tutafika
@mahmoudaziz47174 жыл бұрын
Bonge la ngoma madee ally.big up bro saluti legend 🙏🙏💎🇹🇿🇹🇿.gonga like kwa legend never die.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
@onesmonyololo30503 жыл бұрын
Nimekuja kusikiliza kwa makini hadithi ilippotimia r.i.p John Pombe
@yohanamgeyekwa47834 жыл бұрын
Hii ndio tofaut ya wenu na wasanii wenye uwezo mdogo wa kufikiliaa. This is super creativity
@edwingwesso68183 жыл бұрын
Mm nlijua wengi wataipenda hii ngoma kwa siku ya Leo ila ina mda sana
@allymohammed77082 жыл бұрын
Sio mpk ufe ndio nije ni seme ulikua rapper bora, nope!! 6ki kuonekana mnafik kwahil aisee. Huyu ndiye Madee wa kazi yke Mola Huyu ndiye Madee wa Haya yote ni maisha Huyu ndiye Madee wa Pendo Big up mwanangu umeitendea haki hii ngoma 11th 07 2022 At 01:31 midnight nikiwa home kimara mwisho
@danielhaule1553 жыл бұрын
Nimekuja kuisikiliza tena Kwa makini baada ya kifo. Madee🙌🙌🙌🙌💥💥💥💥
@insipimedia6 Жыл бұрын
Ndio nimekuja kuelewa hii nyimbo leo😢
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Niko hapa baada ya interview yako on WASAFI daah heshima yako kabisa
@witomsafiri4 жыл бұрын
Madee wimbo wako mzuri sana fasihi yakutosha huo ndio usanii. Naomba unisaidie kumwambia Dogo Janja arudi kwenye hip-hop siku hizi anaimba nyimbo laini sana
@Manjalino3 жыл бұрын
Huu wimbo sasa ndio naona alichomaanisha madee. R.i.p baba John pombe magufulii
@emmanuelbuyamba8533 жыл бұрын
Nimeshangaa kuona ni wimbo wa miezi 7 iliyopita.Kweli hii ni 2060.
@vancemoprince4146 Жыл бұрын
Bado tunakukumbuka mzee wetu magufuli 😢😢
@sakinasaidi67433 жыл бұрын
Huyu baba kajua kutuumiza jman💔allah amsameh alipotelezaga
@fenrearubeiy41703 жыл бұрын
2060 mbali saana kuanzia watoto walozaliwa mwaka huu baada ya miaka kadhaa tutaanza waadithia duhhh, R.I.P jemedar wetu Raisi wa wanyonge
@andeboytv78394 жыл бұрын
Dah brother nyimbo ninzur inaladha nzur nimependa merod dah kila nikisikilizaga Vitu vizur kama hivi huwa napata muzuka wakukaa nakufikilia kuanda kitu kizur hakika unaweza father
@marnasaid77104 жыл бұрын
Ngoma iko vizur saana beat ndo usipimeee
@ramadhanirashid96583 жыл бұрын
Love jpm daaaa machinga tunaumia jamani daaaa yani Kama tumetumbukia shimoni
@susanruo80874 жыл бұрын
Waow, huyu jamaa atakuwa genius
@ourafricatv90083 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Rais wetu Dr John Pombe Joseph Magufuli
@gitiganiibrahimdanhi76924 жыл бұрын
Ubunifu wa hali ya juu sana hongera #Madee 🔥🔥🔥🔥
@tallaskitundu12323 жыл бұрын
Sanaa, Sanaa. Hii ndio Sanaa, na ndio kazi ya Sanaa.
@BABALORECABLETV3 жыл бұрын
And now it has come to pass. JPM is gone 2021 before 2060. May God Almighty rest his soul in eternal peace. Tulimpenda sana kama wana EA Community.
@mohamedjumbe93093 жыл бұрын
Kaka madee nikupongeze kwa hiki kitu ulituliza kichwa Sana humu iih ngoma itaishi sana
@masoudseif35153 жыл бұрын
Kama unaamini imebaki hadithi katika nchi yetu basi usiache kulike kwa kumuombea magufuli alale mahala pema Pepon🇹🇿
@allychengula35113 жыл бұрын
Wimbo huu madee ni mkali Yan mzuri me nitasikiliza mpaka 2600 sio tena 2060 viva..
Huu wimbo inabidi ufikishe billion viewers kwakweli
@salimomary62794 жыл бұрын
Lazima rais akuite ikulu kwa wimbo huu
@almasially65093 жыл бұрын
Rest In Peace mpendwa wetu magufuli🙏 Mungu anajua jinsi gani watanzania tunavokuombea ulale mahala pema peponi
@kymashatz90044 жыл бұрын
Kati ya walio mwimbia magu wewe umetisha👊 umefanya aidia ya kipekee🙏🙏💵💵💵
@emmanuel.rweyemamu Жыл бұрын
Hii ndo maana ya sanaa
@getrudabeatusi54414 жыл бұрын
Nyimbo nzuri plus ubunifu bhas ni 🔥🔥🔥
@feyzalyusuph143 жыл бұрын
Madee kwenye ngoma za hivi hujawahi kufeli mzee baba....nakumbuka kazi yake mola pia uliua sana mzee baba ila hii ndo ngoma bora kwa JPM kuliko zote na ingetumika kama ya maombelezo
@alphonceandrew4734 жыл бұрын
High creadit to this creativity with amazing video respect madee nipe like twende sawa
@lisajema7434 жыл бұрын
Madee umetisha kaka hii nyimbo hatari
@valeriabomphe9014 жыл бұрын
ukiacha mazingira mazuri na mashairi yenye usanaa sanifu, ila kiukweli huyu Raisi kila sifa apewayo anastahili, piga makofi kwa Magu!
@brightonbaya72763 жыл бұрын
Great move kaka style yako kovyako hamna cha kuigiza
@elbaalawy4 жыл бұрын
Bro umeingia na styl3 nyngn kabisa Big up t uh ✊🏿✊🏿✊🏿